Jinsi ya kupika Maandazi laini sana😋- Recipe 1 (hamira na maziwa)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 88

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 22 дня назад +1

    Muzurii

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  22 дня назад +1

      @@naturelle1097 thank you

  • @sophiankirote3192
    @sophiankirote3192 3 месяца назад

    🎉🎉🎉napenda hii

  • @AminaMjeni-iz8uo
    @AminaMjeni-iz8uo 6 месяцев назад +1

    Mashalllah tabarakllah 💕💕💕💕

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 5 месяцев назад +1

    Good job ❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      @@MareMa-kb3iy Asante sana

  • @Teddyauma-y6c
    @Teddyauma-y6c 6 месяцев назад

    Masha Allah twabaraka llah😙😙😙😙

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      @@Teddyauma-y6c Asante sana🙏

  • @SamiaRajab-f2b
    @SamiaRajab-f2b 2 месяца назад

    Mashaalh❤❤

  • @Johnson-br6zg
    @Johnson-br6zg 6 месяцев назад

    Napenda Sana jamani ❤❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      Asante sana🙏. Ukipika tupe mrejesho

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 5 месяцев назад +1

    Masha Allah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад +1

      @@rahmahasan32 🙏🙏❤️

  • @FaridaMousa-xy2rk
    @FaridaMousa-xy2rk 6 месяцев назад +3

    Wow

  • @marangalydia4049
    @marangalydia4049 6 месяцев назад +2

    Nimenda kweli

  • @meowzna
    @meowzna 5 месяцев назад

    Yummy👍😋🎉

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      @@meowzna thank you❤️❤️

  • @elizabethtoo352
    @elizabethtoo352 5 месяцев назад

    Very clean mama,with gloves on.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      Asante mpendwa♥️

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 6 месяцев назад

    Asante sana my tamuu😊

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      @@ellahjonas4881 ♥️♥️asante

  • @elizabethkamwaro1425
    @elizabethkamwaro1425 6 месяцев назад

    Good stuff. Please translate into english language and teach us more ❤, especially chapati

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      @@elizabethkamwaro1425 Thank you. I'll try to do that. You can visit my English channel where the same recipes are in English. ruclips.net/video/FTUQWZC2x8w/видео.html
      Chapati English ruclips.net/video/53uIKsE3KTg/видео.html

  • @MarthaKusaga
    @MarthaKusaga Месяц назад

    Yaan me sielewi kbs ukisema vikombe kadhaa
    Naomba uniambie kwa kg

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Месяц назад

      Unaweza kuuliza Google vikombe vingapi ni kilo ngapi. Pengine utapata jibu. Miye kubadilisha vikombe kwenda kilo au kilo kuja vikombe siwezi sina ujuzi huo

  • @MyPhone-k9b
    @MyPhone-k9b 4 месяца назад

    Masha Allah ❤❤❤ how about baking powder mbona hujawaeka nambie

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  4 месяца назад +1

      Maandazi hasa asili yake ni hamira. Siku hizi ndo tunaweka baking powder. Kawaida ilikuwa baking powder inatumika kufanya half keki si Maandazi. Lakini ukipenda unaweza kuchanganya na hamira. Maandazi yanayowekwa baking powder tu ni kama half keki na kamwe hayavimbi na ndani yanakuwa mazito. Mi nimezoeya sanasana haya ya hamira

    • @Amani715
      @Amani715 3 месяца назад

      @@Mapishi_TVthanks for this response manake na mimi I had the same question after seeing other people wanaweka. I used machine kukanda, the dough wasn’t soft kivile. How long kuacha the dough iumuke? I used an hour

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 месяца назад

      @@Amani715 hiyo saa moja ni sawa. Ila kama unakoishi kuna baridi mara nyingine unga huchelewa kuumuka unaweza kufika hata 2 hours.

  • @anglehope8534
    @anglehope8534 6 месяцев назад +1

    Woooooooooow

  • @PauloTairo-v3v
    @PauloTairo-v3v 2 месяца назад

    Jaman mm Naomba kuuliza kwann mm nikipika hayo Mandazi yanakuwa na shimo ndan

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 месяца назад

      Unasukuma sana. Andazi linakuwa flat kabla hujachoma

    • @FaidhatiMunisi-iz4cy
      @FaidhatiMunisi-iz4cy День назад

      Na unaacha unga unaumuka sana​@@Mapishi_TV

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian 5 месяцев назад

    MashaAllah

  • @EstarKomba-k5l
    @EstarKomba-k5l 13 дней назад

    Hich kiung kinacho fanya maandaz kuw laini kinauzwaj

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  9 дней назад

      @@EstarKomba-k5l unamaanisha siagi? Sijui bei yake huko ulipo

  • @claratawete1568
    @claratawete1568 5 месяцев назад

    ❤️❤️❤️❤️

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      @@claratawete1568 🙏🙏❤️

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 5 месяцев назад

    Mimi napenda ya nyama

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      @@MareMa-kb3iy Hata mimi pia

  • @MwanahamisiIsmail-o2l
    @MwanahamisiIsmail-o2l 3 месяца назад

    Nimependa iyo fresh ninini

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 месяца назад

      @@MwanahamisiIsmail-o2l hamira (yeast)

  • @vyonneeugine7507
    @vyonneeugine7507 6 месяцев назад

    Yummy

  • @bas2823
    @bas2823 6 месяцев назад

    👍😆❤"

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      @@bas2823 🙏🙏🙏

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      Asante sana♥️♥️

  • @LeahKaluwa
    @LeahKaluwa 17 дней назад

    Yeast

  • @Ndubi254
    @Ndubi254 Месяц назад

    Naona ni Kama ukutumia baking powder. So you don’t have to use it?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  Месяц назад +1

      Sikutumia. Maandazi ya Kiswahili hasa hupikwa na hamira tu bila baking powder.

    • @Ndubi254
      @Ndubi254 Месяц назад

      @ Asante sana. Napenda hiyo sana nitaijaribu pia

  • @ValentinaMasanja-ge1vh
    @ValentinaMasanja-ge1vh 6 месяцев назад +1

    Cjaona packing powder,ayo mandaz ayawekwi hyo chapa mandash?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад +2

      Maandazi asili yake hasa ni hamira na si baking powder. Lakini unaweza kuitumia ukiamua. Recipe ijayo nitapika Maandazi ya hamira na backing powder insha'Allah.

  • @MariamMaulidy-g9z
    @MariamMaulidy-g9z 8 дней назад

    Kama nakuwa sna siag ntaeka nn

  • @asinaperpetuakamau6159
    @asinaperpetuakamau6159 4 месяца назад

    Ni yeast kwa kingereza

  • @eddiemwangaraba9289
    @eddiemwangaraba9289 2 месяца назад

    yeast

  • @leakeyojiambo1423
    @leakeyojiambo1423 5 месяцев назад

    Hujambo, naweza tumia baking powder badala ya hamira?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      Sijambo. Ndiyo unaweza ila yatakuwa tofauti na ya hamira. Hii hapa recipe ya baking powder. Mayai si lazima kuweka ruclips.net/video/FM77L7MLhes/видео.html

    • @leakeyojiambo1423
      @leakeyojiambo1423 5 месяцев назад

      @@Mapishi_TV ahsante

  • @sylviaisutsa
    @sylviaisutsa 5 месяцев назад

    Mamy naeza ongeza mayai??😁😁

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад +1

      @@sylviaisutsa unaweza 1 au 2 my dear

    • @sylviaisutsa
      @sylviaisutsa 5 месяцев назад

      @@Mapishi_TV thank you dear

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 6 месяцев назад

    MaashaAllah

  • @FahimaahMklh
    @FahimaahMklh 5 месяцев назад

    Maziwa ya Unga naeza tumia au

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      Ndiyo, unaweza kutumia maziwa ya unga

  • @HelenLaizer-s6i
    @HelenLaizer-s6i 5 месяцев назад

    Jmn rudia kdg 5:52

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 месяцев назад

      Shika hicho kimstari chekundu kinachoonyesha muda kwenye video kirudishe nyuma hiyo sehemu itarudia

  • @StellaTuja
    @StellaTuja 5 месяцев назад +1

    Hamira -yeast

  • @anglehope8534
    @anglehope8534 6 месяцев назад

    Matamu

  • @Muhsini-w9h
    @Muhsini-w9h 6 месяцев назад

    Nifundishe

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  6 месяцев назад

      Somo ndo hiyo video yenyewe

  • @CynthiaKatunge
    @CynthiaKatunge 6 месяцев назад +1

    Hamira ni nn kwa kiingereza

  • @anglehope8534
    @anglehope8534 6 месяцев назад

    Woooooooooow