WATANZANIA WABUNI GARI INAYOTUMIA UMEME UDSM "TUMEANZA KUUNDA GARI YA POLISI AMBULANCE ITAFATA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 395

  • @bertinruvuna4756
    @bertinruvuna4756 Год назад +4

    Hongereni sana UDSM, hii gari ni nzuri kwa ukweli!Hamuwezi kuweka solar energy upande wa juu ili ichaji battery kwani jua tunalo la kutosha na gari hii inaweza kutembea umbali mkubwa.

  • @dr.alexmagufwa9131
    @dr.alexmagufwa9131 Год назад +4

    Hongereni sana!, Hiyo ni hatua kubwa sana ktk kujitegemea. I'm really proud of you guys.

  • @emmanuelmwalukasa6002
    @emmanuelmwalukasa6002 Год назад +6

    Hongereni sana ma-injinia wetu. Kazi yenu ni nzuri sana na ya kutia moyo. Naomba Mungu awaongezee ubunifu katika kuboresha gari hilo kwa matumizi yenye manufaa kwa taifa letu. Watanzania tumebarikiwa na Mungu hivyo tujiamini, tunaweza. Mtu ye yote asiwakatishe tamaa, ushindi ni wetu. Songa mbele. Hayo ndio maendeleo. Tunaomba "support" ya nguvu toka mamlaka za juu nchini kwa maendeleo endelevu ya teknolojia hiyo.

  • @KuwakuMalumba6895
    @KuwakuMalumba6895 Год назад +9

    We need more Car 🚗 like this in Burundi 🇧🇮 please guys make more Car 🚗 like this. We come to buy to u guys in Tanzania 🇹🇿 but make strong 💪🏿 Car 🚗 we can use for long time. Keep try u best guys. I hope everything gonna be fine in future. Let go back to work now🇧🇮🇹🇿🚗💪🏿

  • @mugishapanther
    @mugishapanther Год назад +6

    Tanzania number one guy nipeni like zangu

  • @joycemetili3876
    @joycemetili3876 Год назад +7

    Hongereni sana UDSM, hii ni sifa na heshima kubwa kwa taifa letu. Nadhani Wizara husika ina cha kufanya ili kuhakikisha ugunduzi huu unaenda kimataifa. Mimi naamini wanaweza kutengeneza gari ya kutumia umeme kwa ajili ya safari ndefu tuachane na unyanyasaji wa mafuta ya waarabu. Kudos UDSM👏👏

    • @abdallahkaskas6168
      @abdallahkaskas6168 Год назад

      utakua na chuki binafsi t waarabu ww huna lolote...

    • @Jackson-Novat
      @Jackson-Novat Год назад

      Serikali hii ndio itakuwa ya kwanza kupiga marufuku. Serikali ya Tanzania inaua vipaji vya watanzania. Watafute UDSM na gari lao baada ya miaka 2. Utaambiwa wanafanya maboresho ya mifumo. Na huo ndio utakuwa mwisho.

    • @LazaroSolomoni-p8v
      @LazaroSolomoni-p8v Год назад

      Hapo sawa

    • @JILBERTDaniford
      @JILBERTDaniford 9 дней назад

      NAPENDA NIWE WA KWANZA KULIENDESHA NIPENI NAMBA ZENU

  • @nicholauslema2707
    @nicholauslema2707 Год назад +10

    Hongereni sana kwa Jitihada za Namna hii. Maoni yangu ni hv, Kuhusu Charging Process/Charging system ni Vema mkachagua Kufunga Solar Panels na MPPT Solar Controller ili Battery iwe inacharge During the Day. Na ikiwezekana Muweke Multiple Batteries( e.g 12v 200Ah × 2). TumeElewana? Au tukutane niwape Madini zaidi...

    • @Mr_smart.code_10
      @Mr_smart.code_10 Год назад

      Fact

    • @Mr_smart.code_10
      @Mr_smart.code_10 Год назад

      Wakutafute

    • @ekiintertrade4862
      @ekiintertrade4862 Год назад

      Hongereni sana kwa ugunduzi, huo ni ugunduzi wa gari hilo lenu.
      Wengine nao wamegundua magari yao, ugunduzi si wa mtu mmoja tu wa gunduzi ni wengi kadiri ya kila aina ya gari.
      Bigup sanaa.

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 Год назад +5

    I support the big work they are doing ,
    Mungu awainue zaidi ,
    Safi sana pambaneni .
    Mungu afungue njia ,
    Tusibeze kazi ya mtu ,
    Let's promote this to go further .ni vile tu tumekosa watu wenye Ari ya kuleta mabadiliko

  • @Liberatusnsekela
    @Liberatusnsekela 8 дней назад

    Asanteni sana. Na Mungu awabariki na awawezeshe kubuni makubwa zaidi. Ninaomba mbuni mashine ya umwagiliaji yaku-charge inayotumia ghalama nafuu kuliko hizi ghalama za mafuta.

  • @barakahtwinzi8927
    @barakahtwinzi8927 Год назад +1

    Hongereni sana udsm mmefanikisha hakika hii nzuri watanzania tusapotii hii juhudi ya wagunduzi wetu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад +3

    Hongereni saana, Elon Musk wanamuona Genius Kwa ajili magari yake ya Tesla, naomba Hawa Wataalam wawezeshwe kabla hajachukuliwa na Nchi nyingine, Kwa hakika hata Kagame anaweza wachukua , naomba wawezeshwe kweli tutafika mbali

  • @FrankThomasTillya
    @FrankThomasTillya Год назад +2

    Big up, Binafsi ningependa kuona wakitumia body ziliotengenezwa tayari, hakuna haja ya kudesign wala kutengeneza body mpya, zipo nyingi tayari sokoni, na mifumo mingine tayari inameet safety standards, muhimu ni electric motor part na efficiency

    • @anthonysindabaha7517
      @anthonysindabaha7517 Год назад

      Kuna Haja kubwa sana ya kudesign kuliko kutumia body ambayo ipo on market
      Hao TDC wanafanya innovations kupata idea mbali mbali..

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 Год назад +10

    hyo gari nimeipenda ila ongezeni kitu cha ziada kwamba. Hiyo gari fanyeni iweze kujichaji. wakati unaendesha mfumo wa tairi ufungwe mota zenye kuchaji battery ya pili (emergency), kwa maana baada ya KM hizo 100 battery iwe full,,, shirikisheni ideas za wadau

    • @musicschool_tz7014
      @musicschool_tz7014 Год назад +1

      Hii idea nzuri waifikirie

    • @lungusii
      @lungusii Год назад +1

      Ukiongeza uzito kwenye tires uta create another issue kwa mimi kucharge lazima uchaji kama ilivyo kawaida

    • @deustibalema9426
      @deustibalema9426 Год назад +1

      Hili haliwezekani, linapingana na principles za physics na engineering.

    • @stainlesseducators699
      @stainlesseducators699 Год назад

      Utakuwa umeviolet principle of conservation of energy. Energy can't be created.

    • @otmarmkali8883
      @otmarmkali8883 Год назад

      @@stainlesseducators699 ruclips.net/video/93NXHr3fxpo/видео.html

  • @BLESED-CHANNEL
    @BLESED-CHANNEL Год назад +6

    UDSM hongereni sana kwa hatua hiyo ila swali masudi kipanya wa clouds alitengeneza gali ninyi nayi mmetengeneza gali je hakuna anaye weza kutengeneza baskeli za kuchaji maana tunahitaji baskeli kwaajili ya mizunguko ya hapa dar es saalam naomba mtutengenezee baskeli za kuchaji.

  • @BRIGHTONRICHARD-c3r
    @BRIGHTONRICHARD-c3r Год назад

    hongereni sana kaka MUNGU awtumie katika iyo program mahali ambako TANZANIA tunaenda watakuja kupiga saluti kwa huyu MUNGU wetu aliye hai MUNGU AWBARIKI

  • @sabbob574
    @sabbob574 Год назад +1

    Hii gari ina speed gani?

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 5 часов назад

    Hongera kwenu wasomi wetu.
    Haya ndio Mwalimu Nyerere aliyaota na kuanzisha chuo kikuu.

  • @jamesmichaely8646
    @jamesmichaely8646 Год назад

    Hongereni Sana Kwa Hatua Mulio Fikia Ila Kwenye Chaji Mnaweza Kutengeneza System ya Kuchaji better Kama Gar Zingine hyo Itakuwa Bora Zaidi Na Hicho Kitu Kinawezekana Bc

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 Год назад +5

    Nime penda kazi ni nzuri sana.
    Lakini nina maoni, kwanini ktk mfumo wa umeme wasinge dizaini mfumo wa umeme gari likitembea liwe linajichaji lenyewe ili chaji isihishe.

    • @Mr_smart.code_10
      @Mr_smart.code_10 Год назад

      Hapo maana yake watengeneze gari za huduma za jamii

    • @musicschool_tz7014
      @musicschool_tz7014 Год назад

      @@Mr_smart.code_10 unamaanisha wataikosesha tanesco pesa

  • @saidmkashari6002
    @saidmkashari6002 Год назад

    Assalamualaikum Je kama gari itaisha change Yaani njiani na safari bado ujafika je njia gani mumeweka Ili wakati gari chaji imesha njiani?

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Год назад

    Hongereni kwa assembling nzuri...

  • @MrMachume
    @MrMachume Год назад +1

    Watu wengi kinachowasumbua ni ujinga na kutojitambua. Kama wewe hujawahi kugundua au kutengeneza chochote unawezaje kuanza kukosoa elimu hii kubwa ya kutengeneza magari kisa bodi? hujitambui wewe, na ukiwa hivyo ndani yako halikai neno jema, kazi yako ni kutafuta mabaya usiku na mchana. MUNGU akusaidie sana.

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Год назад +11

    UDSM hongereni sana huwo mundo wa gari ni mzuri sana hasa wa Gofu 🏌️ hata kwa watalii hao wanao ponda wancheni tu ndio wabongo

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 9 дней назад

    Hongereni sana jamani watanzani tusipuuze hii kazi ya vijana wetu wa kizazi hiki tuwape support kwa kila namna ni miaka mingi hatujawahi sikia hili jambo kubwa kama hili nchini kwetu. Tusiwavunje moyo. Najua kuna challenge zingine zimebeba nia njema. Lakini hasa tuwamotiveti. Pia naomba wayauze tu kwa bei isiwe ghari .barikiwa udsm

  • @gwandumimwailemale7788
    @gwandumimwailemale7788 7 дней назад

    I do appreciate, keep it up men.

  • @smeena3447
    @smeena3447 8 дней назад

    Very good keep up the good work,....

  • @msafirimatingo6065
    @msafirimatingo6065 Год назад

    Saf sana watanzania,nimeipenda San,Mungu aikumbuke Tanzania,gar zetu ni zetu tu shepu ya gar haitupi shida huo ni mwanzo tu naamin mazr yanakuja mbele,go on brother.

  • @emmanuelherman-pb9dx
    @emmanuelherman-pb9dx Год назад +2

    Mpo vizuri hata royc rolls iliaza hivi hivi hongereni

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 Год назад

    Hongereni udsm,hongera Tanzania yangu

  • @denismtonyole5965
    @denismtonyole5965 Год назад

    Nimeipenda sana hiyo project mloifanya oky sasa naomba mwendelee kutoa vifaa vya kuuza kwa kila mtu kwa beinafuu mtapata mafanikio makubwa sana hususani kuanzia pikipiki mpaka hayo magari mambo mingine fanyeni utafiti kuanzia MOTA na BATTRY vitengenezwe hapa hapa tz ili vifaa hivyo tupate kwa bei tunayoimudu wa tz na nchi jirani asnteni Mungu awabariki sana.

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 Год назад +1

    Hongereni sana UDSM. Mmelianzisha mlimalize. Msikate tamaa.

  • @JohannesJamal
    @JohannesJamal 3 дня назад

    Injinia umebuni HIVYO bodi ni nzuri SANA ya kimameni SANA hiyo gari ni ukipita HAKUNA mwingine utakuwa mwenyewe usikatishwe tamaa na wasiopenda maendeleo hongera SANA .

  • @priscusvenans
    @priscusvenans 5 дней назад

    Hongeren sana wekeni mfumo wa kujichaji yenyewe inapotembea baada ya kuichaji kwenye umeme ikitembea iendelee kujichaji itapendeza

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Год назад

    Serikali iingilie kati na kuwasaidia hawa ndugu waendelee zaidi kutengeneza magari kama haya. Hongera sana vijana.

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 Год назад +1

    Nitahitaji gari moja.

  • @gadiosmangana.
    @gadiosmangana. Год назад +1

    Hongereni Sana aisee,msisikilize wakatisha tamaaa keep going,big up.

  • @ibrahimmakonyola4905
    @ibrahimmakonyola4905 Год назад +1

    Safi san kk

  • @ismailahmed8728
    @ismailahmed8728 Год назад +1

    Kwa huku ulaya ni kama electric scooter 25,30,50km but tz comes up golf 100km or more good start msisahau nyingine kupeleka katika viwanja vya mpira kwa mkapa couse is look like uwanjani itapendeza piya airport na mahotelini all the best

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 Год назад

    kazi nzuri sana ,,,

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ Год назад

    Hongereni sana kazi nzuri

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 Год назад +1

    hio motor mmeipima practically kabisa kwamba inaweza kwenda km 100 bila kuisha charge na kuendesha noah... maana hata huku uingereza magari ya umeme yapo mengi na wnasemaga km 300 bila charge lakini hata 150 hazifiki na yanakua yashaishiwa... engine za umeme au motor hazinaga uhasisi kama engine za petroli... ndio maana hata huku ulaya watu wengi hawapendi magari ya umeme maana betri zake zinakufa kama simu za mkononi tu...

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Год назад

    Hongera bongo sihami nilikuwa nampango wakuhama

  • @ahmetmwandu8499
    @ahmetmwandu8499 Год назад

    Hongeren sana ni hatua nzuri

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 Год назад

    Safi sana mpo vizuri Tanzania Up

  • @mclee493
    @mclee493 Год назад +1

    I wish dr samia suluh hassan hili ulipatie. Kipaumbele kama mpira nas tuwe na vyetu tanzania naipenda nchi yangu

  • @gershommaloda5248
    @gershommaloda5248 Год назад

    Hongereni Udsm kwa kuweza kutengeneza aina hii ya gari. Hata hivyo nafikiri Mhandis unafahamu kuwa gari zitumiazo nishati ya umeme zimekuwa Sokoni kule Ulaya kwa miaka sasa. Kuita mmebuni gari ya kutumia umeme nafikiri sentensi haijakaa sawa ! Tafadhali mtuweke sawa hapo ili jamii iende sawa nanyi tafadhali.

  • @ezekielgwamaka9998
    @ezekielgwamaka9998 Год назад

    Hongereni sana hii ndio tz ya kisasa elimu kwa vitendo na maendeleo ya kweli

  • @modestbartholomew1731
    @modestbartholomew1731 Год назад

    Mkiwezeshwa mnaweza,mbona Uganda wametengeneza Marcopolo bus.Mwanzo Mzuri hongera sana.

  • @yesuyuhaipectv9176
    @yesuyuhaipectv9176 Год назад +2

    Lo! Mungu awainue zaidi, hata wenzetu walianza gari lilikuwa na tairi za chuma.Mimi Askofu Nkundwe Zebadiah Mwakatage.Ninawapongeza sana saan.Hata Body mlivyo ibuni kwa mara ya kwanza nimeipenda hiyo gari itakuwa na soko sana kwenye matukio.Isaya 41:6-7 inasema wakasaidiana kila mmoja akaisifia kazi ya mwenzake akaifanya kwa usitadi

  • @rofinkitali3765
    @rofinkitali3765 Год назад +3

    Tafuteni katika kumbukumbu za Kitivo cha Uhandisi hapo UDSM. Gari ya kwanza ya umeme ilitengezwa hapo UDSM miaka ya sabini.

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 11 дней назад

    Hongereni sana jmn issue y bodi haina kikwazo issue ni injin 😮🎉😮🎉😮🎉😮🎉😮🎉y 😮🎉😮🎉

  • @cimpleweston6327
    @cimpleweston6327 Год назад

    ongeleni sana kazi nzuri

  • @Francylau
    @Francylau Год назад

    Hongera sana. Ukwel tuseme ivi ni lini watatengeneza gar la mtaan huu ujinga tumeuchoka. Injinia mzimaa leten Gari sio vifaaa vya gari vilivyoungana watu wanunue ivi sura hiyo nan atainunua 😔😔😔😑😑 kiberiti

  • @protasmichael2660
    @protasmichael2660 Год назад +2

    Hongera sana nitaleta range langu mniwekee mfumo wa umeme

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 Год назад

    UDSM hakika hongereni sana sana. Kama serikali ingewaongezea capital ya kueleweka naamini historia kubwa itatengenezwa na UDSM. Magufuli angekuwepo basi hii project ingesongabele sana.

  • @luagampugusi8389
    @luagampugusi8389 Год назад

    Jitihada mzuri sana wataalamu kutoka kitivo cha maarifa🎉🎉,ombi langu ni muunge nguvu pamoja na kaka Masoud Kipanya na wale wa NIT team kulifanya swala kuwa endelevu.Pia naomba kufahamu haya wataalamu
    1.Siku za mvua inatembea hii?
    2.Inabeba uzito usiozidi kiasi gani kwa injini iliyopo?
    3.Inaweza kwenda kwa speed gani ya juu zaid ikiwa na uzito wa juu wa kikomo kubeba?

  • @husseinlatifa1443
    @husseinlatifa1443 Год назад

    Ninaiona kesho nzuri ya Tanzania, hongereni sana

  • @DanielMuthaka-i9f
    @DanielMuthaka-i9f Месяц назад

    Ilove the technology sana mnaweza kufanya kwa IST yangu niko hapa Kenya na kama inawezekana nitawapata vipi

  • @honorascusmatembe2987
    @honorascusmatembe2987 Год назад

    Ongera sana aisee mungu ibatiki Tanzania kwangu mm nashukuru hata kwa icho kidogo angalau.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Год назад

    Hongera japo mmenichanganya tu kwenye frog light .hiyo ni ya UD pekee

  • @revocatuskato9474
    @revocatuskato9474 Год назад

    hii ndiyo maana halisi ya elimu ya juu,hongera sana

  • @johnb.j.m206
    @johnb.j.m206 Год назад

    Hongereni sana UDSM. Haya mambo ndiyo tunapenda tupate wabunifu toka vyuo vyetu. Pamoja na mafanikio hayo nawashauri muelekeze nguvu kutumia teknologia ya microchip badala ya kutumia nyaya.

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 Год назад +4

    Nzuri!!! hii itabeba wachezaji waliyopata majeruhi

  • @rulangwa
    @rulangwa Год назад

    It is a very good golf car i love it

  • @travelwithme14
    @travelwithme14 Год назад +1

    Hongera kwenu vp kuhusu kp Motors

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 3 месяца назад

    Nipongezeni jaman watanzania hata kwa like tu

  • @lucyluhaga783
    @lucyluhaga783 Год назад +1

    Kazi nzuri lakini Sasa mmeunganisha2 vitu vya watu..jaribuni namna nyingine

    • @simonmwashambela3233
      @simonmwashambela3233 Год назад

      Tupende vya kwetu aijalishi vimeunganishwa saw lakin wamejalibu na wanaweza sna

  • @hamadsalimhamad2399
    @hamadsalimhamad2399 Год назад

    hongereni sana sana tunataka tanzania mpya, naomba namba zenu za mawasiliano nina kitu cha kuboresha hiyo gari.

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu Год назад +1

    Mimi nimewapenda sana hao vijana, natamani sana ikawe mladi endelevu, ili kuepukana na magari ya mafuta,

  • @marojumamugha3062
    @marojumamugha3062 Год назад +1

    Hongera sana kiukwel nimefurahia jins Tanzania inavyozidi kupiga hatua

  • @petrondunguru6069
    @petrondunguru6069 3 месяца назад

    That is very good.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Год назад

    Hongera sana sio wengine wamekalia umbea na majungu na uchawi na roho mbaya. Ila ona Tz uwa hawathamini hao watu utasikia Wazungu wamemchukua yuko kwao anaunda magari . Kuna wabunifu wengi ila Serikali ya mavi kunuka haiwathaminin, ndio maana mimi niliamua nijiondokee mavi kunuka nije Ughaibuni nitumie ujuzi wangu kwa watu wanaothamini ujuzi wangu .

  • @MagariUsed
    @MagariUsed 5 дней назад

    Tatizo la huyo engineer ni kiswahili chake ila hongera kazi nzuri

  • @abdalahsambala6667
    @abdalahsambala6667 Год назад

    Kanzi nzuri hapa next time ni kuboresha kweny body na interior desighn kuleta muonekano mzuri

  • @Netnaija89
    @Netnaija89 9 дней назад

    Kazi nzuri

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 10 дней назад

    Hongeren sana

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 10 дней назад

    Vijana safi sana kaza mwendo mutafika 🎉

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 9 дней назад

    Kazi nzur

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Год назад

    Safi kabisa Yani mh rais awashike mkono mtengeneze mengi zaidi

  • @bulunjamalimikulwa4876
    @bulunjamalimikulwa4876 Год назад +12

    Changamoto yetu kubwa sisi hua tunatengeneza vitu vingi sana, panapokuja kuleta ugumu ni bei. Niliwahi kujiuliza kwenye vitu vidogovidogo kama mafuta ya kupikia ya singida (ALIZETI) yanatoka kwetu hapa hapa na ukizingatia japo sio kwa umuhim kiwanda tulikua nacho karib na tulipokua tukiishi lakn bei ya mafuta ikawa juu kwa asilimia 14.29% kwa lita ukilinganisha na mafuta ya safi. Nachanganyikiwa nisielewe n nn shida hapo, duh! Mambo ya ajabu sana.

    • @joycemetili3876
      @joycemetili3876 Год назад +2

      Bulunja, hata huoni ugunduzi, juhudi na mafanikio ya watanzania wenzako?!! At least wape pongezi then mengine baadae

    • @petrowashale1891
      @petrowashale1891 Год назад

      Yuko sawa wengi wamepongeza ye ACHA akosoe kwenye ukweliii unajua mataifa ya wenzetu kwasababu bidhaa zinatengenezwa home gharama sio kubwa mfano magari Kuna nchi Hadi znaweka restrictions kwambaa asubuhii wafanyakazi watumie magari ya umma na sio magari Yao kupunguxa folen ..
      LAKINI KWA TANZANIA GHARAMA INATOKANA NA KWAMBA VITU VINGI HATUTENGENEZI NYUMBANI.. TUNAUNGANISHA VITU AMBAVYO TUNANUNUA NJE.. HAPO NDIO CHANGAMOTO ZINAPOZALIWA

    • @abdallahkaskas6168
      @abdallahkaskas6168 Год назад

      Izo ishu ni kutokana na Kodi kubwa kutoka Serikalini kwaiy mwisho w cku mweny bidhaa atatak kufidia kodi yake kwa kufanya bidhaa yake iwe ghali ...

    • @englebertfilbert316
      @englebertfilbert316 Год назад +1

      Kuna dogo alitengeneza helicopter ......aliishia wapi....mwingine radio station ....aliishia wapi

    • @Francylau
      @Francylau Год назад

      Kaka. Ni Bora watengeze gari zuri kwa bei wanayotaka huenda akapatikana mteja sasa gari la gofu kaka gofu mtu akishinda au kushidwa unajua? Ivi anaelimu Gani huyu jamaaa?Bora masudi kipanya

  • @johnsalem8236
    @johnsalem8236 Год назад

    Imekaaa powa sana hiyo big up kwa wanaume hao waloingia kazini

  • @J4UPro
    @J4UPro Год назад

    Hongereni sana

  • @uswegemwamakula6101
    @uswegemwamakula6101 Год назад

    Inatia moyo kuona kuwa vinaja wanaweza kufanya kitu kinachoneka,serikali itoe support

  • @odamssanga9025
    @odamssanga9025 Год назад

    Kwa kweli mbaka hapa, itaonekana Elimu inamaana, sio MTU anasoma Hadi chuo kikuu Ila anaishia kuuza nyanya, kwa kweli kwa hapa hata sisi ambaye hatujasoma Basi tunahamasika kusoma na kuwasomesha WATOTO wetu, kwa kweli Ni hatua nzuri Sana Sana sanaaaa! Anayekosoa huyo ndiye ambaye hawezi kitu, kwa ujumla wenye MAMLAKA mliunge mkono Hilo Jambo, bila kuogopa wakuu wenu wa Dunia. Amen.

  • @primeprinting948
    @primeprinting948 Год назад

    safi sana inaweza tumika town vizuri tu

  • @solutionprovider7155
    @solutionprovider7155 Год назад

    Safi sana kazi nzuri

  • @EvaristaOlivaryKway
    @EvaristaOlivaryKway Год назад

    Bravoooo bravoooo Mungu azidi kutenda

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 6 месяцев назад

    Tanzania 🇹🇿 tunaweza Allah kuza vipaji vya ndugu zetu ❤❤

  • @lungusii
    @lungusii Год назад +2

    Tuna weza tuwezeshwe na tusi bezane, big up my brothers

    • @samoskiyalo6095
      @samoskiyalo6095 Год назад

      Hongeleni sana hiyo iwe ajira yeno fanya muwezavyo tunapenda kujifanya wajuaji na kutupa vingi wakati bado vinafaa

  • @saidkuwingwa485
    @saidkuwingwa485 Год назад

    Huu ni mradi mkubwa sana hasa kwa watu wenye mahoteri hizi gofu car ni nzuri sana zinapunguza cost harafu unaweza kwenda na design yako ikawa ya kipee. MWANZO MZURI

  • @ammoody8130
    @ammoody8130 7 месяцев назад

    Maashallah Maashallah Maashallah

  • @phoncechriss
    @phoncechriss Год назад

    Big up for good work UDSM

  • @mtaakwamtaa4425
    @mtaakwamtaa4425 Год назад

    Mm tangu nakua nsisikia udsm sio wa kufanya kitu kidogo kama hiki sasa huki unaweza kukishindanisha wapi daaah bado tena bado

  • @swamituisihaka2552
    @swamituisihaka2552 Год назад

    MaashaAllah! Pongezi kwao.

  • @TimothyNtahali-hu1jx
    @TimothyNtahali-hu1jx Год назад

    Kutengeneza gari lenye umeme ni nzuri hata Kwa kutunza mazingira but inatumia charge km 100 ambayo ni ndogo inatakiwa angalau itembee km 300- 400 ndipo charge iishe.

  • @evenalyrayani839
    @evenalyrayani839 День назад

    Hongereni sana UDSM Tanzania tunawaitaji watu kama nyie mnaye tumia akili 👌🌹pokeeni maua yenu.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 8 дней назад

    Kumbe Tz tutaweza, Namuomba mama Samia awaangalie hawa na ikiwezekana sasa ifike mda wote waliojaribu kuunda vitu na wabunifu waitwe watengenewa kabsa bajet Ili waendelezwe, siku tutaunda vitu vingi sana

  • @petrowashale1891
    @petrowashale1891 Год назад

    Hiyo gari inabidi itafutiwe mechanisim ya kujichaji Kwa ikiwa inatembea na mfano Kwa kutumia rotary motion ya tyres..
    Maaana km 100 zikiisha kujichaji Tena ni 4hrs huo ni muda mrefu sanaaa

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад

    Woohf big up Sana 💪 kwenu

  • @JILBERTDaniford
    @JILBERTDaniford 9 дней назад

    Mungu ibariki nchi YETU MUNGU MPe nguvu na ujasiri SAMIA kuunga mkono ma ingeneer WETU wa kutengeneza gari