Asante sana mtunzi na waimbaji. Excellent, excellent!! Huu wimbo haunichoshi kuusikiliza na hata kuuangalia. Traditional gospel song yenye vionjo vya uchezaji vya Mwanza, Kagera na Mara. Aah, catholic melody. Mpiga kinanda utaniua kwa vionjo vyako.... Aaaah mbarikiwe sana watoto wa Mungu, nami nampenda Mungu.u
Ni ajabu sana wimbo uyu muzuri saana yanataga kweli kumpenda Mungu kwa moyo wote iyo na mapashwa yangu kwa yote Baba Mungu aliyo nitendea. Mungu Mwenyezi awajaze baraka yake. Maendeleo mema . Alphonse Marie.
Mmeyaheshimisha mszingira ya nyumbani kabisa. Hamkuwa washamba wa kuyatafuta majengo makubwa mazuri ya kifahari au madaraja, ziwa wala bahari. Mnastahili kuigwa. Wimbo mxuri kabisa. Ninyi na Bukene (Pangusaneni), big up
Holly Trinity mnafanya kazi nzuri sana. Wanakwaya.. wimbo ni mzuri.. endeleeni kututafakarisha na kutuamsha kimwili na kiroho katika kumsifu na kumtukuza Mungu.. 🌹🌹🥰🥰
Mungu ametuumba ili Tumjuwe, Tumpende, Tumtumkie na Mwisho Twende Mbinguni. Hongereni sana kwa kutimiza wajibu wenu. Mnamtangaza vema Mungu wetu. Mungu awabariki sana
Asante Sana wanakwaya wa Ngudu. Mnazidi kutuimarisha kiimani. Mungu aendelee kuwatumia katika kuineza injili kwa njia ya nyimbo. Asanteni mungu awabariki Sana.
Wow! Asanteni sana. Wimbo mzuri, halafu mmeonyesha kwamba mwampenda Mungu kwa nguvu zenu zote mnavyomchezea vizuri. Mada ya Upendo kila mara inanigusa moyo.
Nyimbo nzuri sana inaonyesha Imani
Mungu awabariki sana naerekeya. FROM DRC nyimbo ikon kama Nvuwa ananyesheya Familia yangu.
Waimbaji mubarikiwe sana na Mungu azidi kuwa nanyi ktk imsni
Mbarikiwee wanakwaya wenzangu mlipo huko msipungukiwe na chochote ktk maisha yenu
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri
You did a good job guys God bless you 🎉🎉❤
Wimbo mtaaaamu sana God bless you guys🎉❤🎉❤❤❤
❤kumsifu Mungu ni raha kwa kweli 🙏
❤ viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekana lazima vimpende Mungu wa kweli na wapekee.
Asante sana mtunzi na waimbaji. Excellent, excellent!! Huu wimbo haunichoshi kuusikiliza na hata kuuangalia. Traditional gospel song yenye vionjo vya uchezaji vya Mwanza, Kagera na Mara. Aah, catholic melody. Mpiga kinanda utaniua kwa vionjo vyako.... Aaaah mbarikiwe sana watoto wa Mungu, nami nampenda Mungu.u
Navo upenda huu wimbo ❤️❤️kila ck asbh kabla yakwenda kwa miangaiko yang lazima niuckilze🔥🔥🔥🔥🔥
Nampenda Mungu wang.... Najvunia Kuwa m Catholic
Wimbo mzuri sana hongereni sanasana mungu awatangulie ktk uinjilishaji wenu
Ahsanten Sana wimbo mzr Mungu awaongoze
Hakika Mungu ametutendea makuu,kazi nzuri Sana
Hongereni sana wanakwaya Mungu awabariki
Nampenda Mungu kwa moyo wangu wote. Ungamo zuri sana
Proudly catholic 🥰
Wimbo mzuri, wasisimua na kuburudisha kweli?
Mungu awabariki wanakwaya pia Fabian kwa kazi nzuri utadhani ni ya jana
Hatarii sio kwa mizuka hiyo mingoma sasa Nouma hakika mmenibariki
Mko safi sana mt. Maria
Mungu abariki kazi zenu.
Waaaaa hii kiukweli Mungu awabariki maana ukweli amenitendea makuu
Ni wimbo mzuri ambao maadhui yake hayatachuja wabarikiwe sana mtumzi na waimbji wote. AMINA
Ni ajabu sana wimbo uyu muzuri saana yanataga kweli kumpenda Mungu kwa moyo wote iyo na mapashwa yangu kwa yote Baba Mungu aliyo nitendea. Mungu Mwenyezi awajaze baraka yake. Maendeleo mema . Alphonse Marie.
Wimbo mtamu time signature dynamics
Hongeleni sana wapendwa nimeangalia wimbo huu nimzur sana
the song is so nice hongera wana kwaya mungu asidi kuwapa maneno ili muendelee kuwaimbia mwenyezi mungu tukiomba atlinda sisi wote
hongereni sana, wimbo mtamu wenye ladha ya kipekee ya kiafrica hakika najivunia kuwa mkatoliki.
Nampenda Mungu ni mweñye huruma na upendo anifundisha up.en
Sauti nzuri na miondoko pia.ujumbe umefika
Ahsante san kwa wimbo mzur ❤
Ahsante sana kwa wimbo mzuri mno .I love catholic
Wimbo mzur saaana jaman tujitahd Roma ivyoivyo
Wimbo mzuri Sana hongereni sana
Nampenda Mungu
Mwabeja sana bhanakwaya
Hongereni sana Mungu ametutendea mengi makuu Mungu mwema barikiwa sana waya
Hakika ujumbe mzur Mungu awalinde ,na kuendelea kutoa jumbe nyingine❤
Wimbo wangu pendwa barikiwa waimbaji wote
Mmeyaheshimisha mszingira ya nyumbani kabisa. Hamkuwa washamba wa kuyatafuta majengo makubwa mazuri ya kifahari au madaraja, ziwa wala bahari.
Mnastahili kuigwa. Wimbo mxuri kabisa. Ninyi na Bukene (Pangusaneni), big up
The drums though....I like it
Kweli nampenda Mungu wangu kwa makuu yasiyoweza hesabika.
Hakika mungu ametutendea makuu kazi nzuri
Hongereni wimbo mzuri sana ,video nzuri mpaka rahaaaa❤
Hongera shujaa wa nyimbo za kumtukuza mungu wetu
Aiseee Mungu awabariki kwa wimbo mzuri san
Nice song, vipi ningaliweza kupa hii song
Holly Trinity mnafanya kazi nzuri sana.
Wanakwaya.. wimbo ni mzuri.. endeleeni kututafakarisha na kutuamsha kimwili na kiroho katika kumsifu na kumtukuza Mungu.. 🌹🌹🥰🥰
@@HOLYTRINITYSTUDIOS kinanda amepiga nani jaman?
Napenda sana dahhh...inanibariki
Wimbo mzuri sana. Mwenyezi Mungu awalinde na kuwa bariki.
Hongereni wapendwa KWA kuinjilisha KWA njia uimbaji
Najivuania kuwa mkatoliki had raha nyimbo nzuri
Ni kweli tumupende mungu kwa moyo wetu wote na mapendo miye
Hongereni sana Wana ngudu kwimba nimevutiwa
Wimbo huu naukubari sana mara yangu ya kwaza kuusikia niliusikia kwenye kwaya ya mt paulo kimara inaujumbe mzuri sana
wimbo mzuriiii sanaaa, hongerenii sanaaa
Ninapenda nyimbo zakwetu Africa 🙂🤗
Ubunifu mzuri sana hapo
Asanteni kwa wimbo bora kabisa.
Wimbo mzuri Mungu Mungu zaid kuwabariki
Viva R.C viva....wimbo mzuri...video nzuri..hongeren
Mungu ametuumba ili Tumjuwe, Tumpende, Tumtumkie na Mwisho Twende Mbinguni. Hongereni sana kwa kutimiza wajibu wenu. Mnamtangaza vema Mungu wetu. Mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana wanakwaya.
Kongole kwenu kutoka kwa jirani kutoka hapa Kenya.
Safi Sana ujumbe mzuri
Wawoooo wimbo mzuriii saana
Itoshe Kusema Sihitaji Kuongeza Neno @The real Lovely Catholic Song's Acha Iwe
Nimebarikiwa sana...penda mungu na moyo wako wote
Mmenibariki sana. Mungu wa Mbinguni akawabariki siku zote za maisha yenu
Nilijua awa na wakatoliki ndo kuimba zao zinakuaka na hayo melodie protestant wamejua imba sana
Mungu awabariki..nikijaliwa neema ya kufika Tz nitahakikisha nimewaona kwa macho nicheze nanyi pia..
Utukufu kwa Mungu Juu heshima na Utukufu kwa Mungu Nampenda Mungu wangu hakika mmebarikiwa!!!!!
wimbo mzuri nimeupenda Mungu awabariki katka utume
Jaman utamadun wetu Africa unapotea kwa kuufufua kwaujumbe huu mzur nampenda MNGU asir yandan kabisa mbarikiwe
Mu barikiwe marafiki kwa ngoma kali
Mungu awabariki sana wanakyaya wote wanao litangaa neno la mungu
Mambo mazuri sana hapa.Nice one Brothers
Asante kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki.
Jamani nimeupenda wimbo huu nikiusikilizanga unanifaliji saana
Kazi nzuri sana. Hongereni sana tena sana.
Wimbo mzuri, video nzuri na vifaa vya mziki safi. Hizo ngoma na mazingira reminds me so many things about sukuma tribe
Hongera zenu kwa kazi zuri. Atukuzwa Mungu milele
Asante Sana wanakwaya wa Ngudu. Mnazidi kutuimarisha kiimani. Mungu aendelee kuwatumia katika kuineza injili kwa njia ya nyimbo. Asanteni mungu awabariki Sana.
Mbarikiwe sana waimbaji wenzangu!!!
Amin nafarijik na kway Ang rc 4ever
Ndabakunze cyanepe
Good keep it up iam learning shahili bit by bit iam a zambian
NICE....KAZI NZURI SANA
A very blessing song, asanteni sana kwa kujitolea kusambasa injili, mungu awabariki sana
I have given this video so many views💕💕💕💕💕 I love love love it
Nampenda Mungu kwa moyo wangu wote na kwa nguvu zangu zote
Wakora munooooo.... !!!!!!!!. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Akanana kaire konaaa..!!!!
ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html Karibu kusikiliza Zaidi Muziki mtakatifu. Ukipendezwa please subscribe🙏🏽
Hongerani Sana mmbarikiwe
Hasantesanna kwa okweli kilamtu anapenda mungu
He has been so faithful🙏,my mouth will sing the goodness of Good😭😭😭 today and forever.
Kazi nzuri Mungu awabariki
Wow great am touched
Wow! Asanteni sana. Wimbo mzuri, halafu mmeonyesha kwamba mwampenda Mungu kwa nguvu zenu zote mnavyomchezea vizuri. Mada ya Upendo kila mara inanigusa moyo.
Aliliiiiiiiiiiiii....alii aliiiiii! Nimeangali hii video ila natamani kuamka kitandani nicheze; hongereni saaaaaana,wimbo mzuri sana,,,,hakika najivunia daima kua mkatoliki
2pp0w
Ni mimi wasema wallahi
Nivyema,Mungu ainuliwe
Hongera Sana Wana choir Kwa wimbo mzuri Sana..+254
ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html Karibu kusikiliza Zaidi Muziki mtakatifu. Ukipendezwa please subscribe🙏🏽
@@Msemwa sante Sana kaka
Safi saana Mungu awabariki
Spiritually i feel enriched by this song. Nimerudia ...na bado ni wimbo taMu. May God bless 🙏
Ni ajabu sana wimbo mazuri kama asali God bless you so much mtu