CHEKECHE | Kwa nini Marekani na Urusi wavutane juu ya Ukraine?
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2022
- Ukraine imekuwa kwenye vinywa vya mijadala ya siasa za kimataifa kutokana na mzozo kati ya Marekani na Urusi.
Nini kiini cha mzozo huo? Na je kuna nafasi ya mafahari wawili kumaliza tofauti zao juu ya Ukraine?
Mimi nipo upande wa Russia 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Mimi team Urusi
kipindi kizur sana hongereni Azam Tv kwa kutuhabarisha kinacho endelea ulimwenguni
W Acha wapigane,washatupiganisha sana nchini za africa
Wataamia nakwetu hawa maan unaweza kuwa vita ya tatu ya dunia
Ulipgwa wew kwan
Natamani vita iwe kweli kweli ili tuone Marekani kuporomoka kwa uchumi na kukosa ubabe wake wa dunia pili China itachukua mkondo wake na kua pamoja na Urusi sasa hivi Marekani hana ubavu mbele Urusi moja kwa moja ipokua Marekani anawafuasi wengi hata siku moja ki vita hamwezi Urusi nawajulizeni kwa sasa Urusi na China wali saini mkataba wakulindana ikiwa moja wao kaingia ktk vita ni mwezi wa kwanza januar
daaa braza unafatilia news eee ...hatari sana kaka ...hiyo inaitwa kwa akina alima nchokonoe aone moto ukiwaka
Marekani washenzi sana.wamapigana vita ktk nchi za wenzao.Wamempiga.Sadamm.wamemuua Ossam.Waamemuua Gaddafi.Sasa wanachonganisha majirani hii ni shida sana.
Shukran Sana Wachambuzi Mmenielewesha ambayo sikuyajua mwanzoni kumbe kikubwa ni uingiliano wa kimaslahi
It's shameful that I got deeper understanding than you! Bravo Putin. Napenda ningehusishwa kwenye huu mjadala. Mnasahau kuhusu Luhansk na Donetsk walivyobaguliwa na kuvamiwa ... sawa na ilivyokua Georgia. Kuna mambo mawili:
1: Usalama wa Urusi pamoja na kupigwa vita juu ya biashara ya gesi ili marekani ihodhi biashara hio.
2: Suala la warusi waishio urusi (ambao ni 1/3 ya ukraini) kushambuliwa.
3: Marekani anastasia vita ili kufanya biashara ya sir siraha.
Acheni kutumia vyanzo vya upande mmoja, mnatupumbaza.
Duuu,
Sio vyema sana kuona watu wakiuana
Japo Natamani Marekani ashikishwe adabu.
We chenga kweli
🤝
Kweli kaka na sio njia sahihi
Hongera
Buyu rais wa Ukraine ametiwa na NATO na Marekani. Rais wa Ukraine hajali matukio mabaya amboyo itstokea nchini mwake,bali anatafuta kuwapendeza wale walio muweka madarakani.
Team Ulusi Apa
Gadafi aliuawa vby sana kwafitina za wazungu waarabu nikama hawana dunia yakukaa kbs Acha tu wafanye mazoez nawao.
Mungu sikia vilio vya watu wako tunatoka kwenye vita ya ugonjwa wa Covid 19 sasa vita vya ukraine na Russia tatizo hili nila watu wote tumwombe Mungu
Amen
Tatizo la wachambuzi nao ni team USA mbwa tu
Wataanzia wapi kuwa team b
Kuikaribisha Nato Ukraine ni sawa kumkaribisha adui yako sebuleni kwako kitu ambacho mrusi hatokubali kamwe... Ni sawa na Tanganyia kuipa Zanzibar madaraka kamili.. Hawato subutu abadani
Marekan hanajipya kashindwa nikiduku atamuweza putin
Ni kweli hujakosea ila ipo siku zanzibar itakuwa huru tu na itakuwa na mamlaka yake kamili
Eeee mwenyezi mngu tunakuomba simama juu ya hili jambo kwani hakuna kimbilio kwa nchi hususan zinazo tegemea uzalishaji mali kutoka kwa nchi hizi kuu
Athari za vita ni hivi vya kidunia vitamins waliomo na wasiokuwemo.Anaeshabakia vita hajui madhara ya mouth wa bunduki na silaha za nyuklia
Hao Marekani ndio wanaoleta matatizo kila sehemu Duniani, sasa wao huko kwao huku Ulaya wanataka nini?
M/mungu aepushie mbali balsa hili amina
Marekani ndio tatizo kwanini wasiwe na umoja thabiti unaoheshimu mipaka ya wengine mahusiano ya majirani nidhamu ya kuheshimiana mataifa pakana pamoja na mabara kwakadiri ya maumbile yadunia mpaka wao ndowaonekane kiunganishi,wapatanishi au waamuzi wa namna wengine waishi na mbona waowakitaka kufanya yao hawaingiliwi na nikwamaslahi yao wamekua wakiangusha tawala nakuweka wanazo taka wao mfano Iraq, Libya , Congo ya P.Lumumba nk wengine wakifanya ni kosa.
duh ndugu zetu jaman watanzania mungu awalinde asimame nanyie maneno mengi jaya itajik kikubwa nikuwaombea ndugu zetu wakachukuliwe salama warudi nyumban salama ame
Amani itatokana na NATO na Marekani kuondoavikisi vya huko Ukraine.
Mwenyez mungu Awa epshe wote wa shushe chin slaha
Sio kweli
Marekani niwanafiki wakubwa na wao ndo chokochoko
bwana abdu shakur mbona sauti yako haisikiki vizuri sijui ni mitambo kueni makini katka kueka mitambo sawa ili tuwapate vyema
Mungu ingilia kati
Russia ni inchi kubwa sana marekani niwababe sana. Lakin mwaka huu watulie Russia itawanyooisha kbx😂😂😂😂
Ujuwi marekani vizuri ww
Ukweli tunao hao Marekani wana jeshi wao wamekiona Syria pale putine alvyona un na nato kuteketeza Libya kasema nitawaonesha wanajeshi wengi wa Marekani waliwawa sana hadi bashar Assad kuingia
@@luteking wewe acha kuklemisha ya kale mpaka leo....marekani ilikua zamani sio leo hii..mchezo wa marekani washa ushtukia kitambo sana
let's Go putuni wanyosheeee ao you crain na marecan yake washa zoea kuuwa watu ovyo zam Yao watakipata chaina irani corea let's Go it's awa time now atuitaki America sababu hi vita yeye ndo chanzo
Subhana allah allah awahifadhi yarab ukraine
Nato hawana msahada wowote wataiacha yukileni iliteketea kama libia
Kwani Libya sio hao nato walio iteketeza
wandishi wa habari mbona munaeleza mashambulizi ya Urusi tuambieni na Mashambulizi ya Ukraini pia
Mungu wetu wanaweake na watoto ndio wahanga wa vita 'watapoteza Wapendwa 'vita inaenda kuzalisha vifo na ulemavu.Wewe ndiwe Ebenezer! Shughulika mwenyewe. Hatuwezi bila wewe
mm npo kwa urusi,China na korea
Tutawachapa wote watakao jingiza time Russian
Team Urusiiiii yan team Putin
Hapa kuna jambo si mchezo
Russia wanataka sehem yao na wataichukuwa soon
Ndoto za mchana hizo rafiki
@@georgekimasaofficial1629 sio ndoto za mchana wana nguvu sana na pia ni eneo lao kiasili na ndio maana wazanzibar wanataka uhuru wao lkn 🐕 nyinyi mnaona mnavyofanya ni haki
Ukraine ni sehemu moja muhimu sana kwa usalama wa urusi putin hawezi kuona ukraine ikiwa chini ya nchi za ulaya na marekani..ndo mana kaichukua crimea saivi ashaichukua lughansk na Donestki.kilichobakia sasa ni kuichukua nchi yote na kuirejesha chini ya himaya ya urusi na hilo litawezekana hizo kelele za nchi za ulaya na marekani ni kelele tuu kama kawaida yao kusema
Lazima Wachukue Awatakubali Kwanza Wanajiweza
Amani ya Ukraine ni kukubali tuu kuwa pamoja na Russia la sivyo itasababisha vita ya Dunia nzima
322
Mnasoma bibilia tafakaliji sana haya ni maandalizi ya kuja kwa mala ya pili nyie mnaona nikama vita iko mbali lakini hiii ni vita ya dunia inatakiwa kuomba msiweke ushabiki kama wa mpira nikuonba naut ipo mlangoni kwa wotee
Duuuu
Wewe unaogopa nini ikitokea Vita yatatu yadunia acha tufe kizazi iki nichadhambi tufe wote waje watu wapya waishi maisha Yao mapya ivyo hakuna chakuogopa merekani waende nakufa tufe tu navita ya3 itokee tu yadunia mbona freshi tu
Tunaomba mungu vita hii iwe pale kabisa ili tuwe na amani Afrika bila hivyo wazungu wataendelea kututawalia matatizo yote ya dunia ni Marekani na matatizo yote ni vyongozi wapumbavu wetu weusi
Kweli, Viongozi majuha ya kiafrika nao ni tatizo kama like LA Ukraine sasa linaangamiza nchi kwa kujidanganya Uyahudi
Kweli Duniani watu hatufanani, yani kuna wanaume huko wanakomaa kwenye baridi nginja nginja na mi Missiles na misilaha mingine mikubwa kulinda mipaka ya Nchi zao, ila kuna wakina Juma Lokole, H Baba na Babalevo wao wanagombania Uchawa.
🤣🤣🤣
kila mbuzi hula kulingana na uref wa kmba yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanaume ni bora uwe mbuzi ule kwa urefu wa kamba yako ila sio kuwa kupe(chawa) kwenye mgongo wa mbuzi kumnyonya damu.
@@martinmaryogo3676 🍆🍆
Ni
Abdul shakuru hatukusikii
hiii ndiyooo hile fitina za waiziraeli watapigana nduguu Kwa nduguu na mpaka duniya yoyote itaingiya vitani
Let Ukraine be independent
True
Bora tu waelewane ili Dunia ibakie na amani
Marekani na Russia ni wamoja Marekani mnafiki tu
Mimi nakuomba Mwenyezi Mungu,,uepushe mbali hivi Vita nawaza wajawazito nawaza watoto na wazeee see Mungu ingilia Kati viongozi familia zao zinakua salama wanatesoteseka ni wananchi
7u7
Wamalekani ni namba 1
Wacha wauwane kwnz wapo weng sn n hawan kaz z kufny Wacha wapungzne kwnz
Mkorofi huyu baba, mi simpendi kama nini anapenda vita , mbona anataka kuiteasa dunia
Ujui fatilia habari kutoka sehem tofauti ndo utakapoelewa
@@keddlynebonny6462 mchochezi ni mmarekani
TUNAMUOMBA MUUMBA AWANUSURU WAJA WAKE NA VITA .KUNA WATU WENGI WATAATHIRIKA NA VITA SIO NZURI
Hapa naona tatizo ni uchonganishi wa marekani na kwasababu vita haijapinwa ndani ya marekani na raia wake hawajui taabu ya vita. Nashauri urusi na china wapeleke majeshi yao kule cuba alafu tuone kama marekani watafuhi. Marekani kila sehemu wao wanachonganisha vita kwa nchi za mbali
Waeslam wote wapo upande ya urusi tunajuwa kwataharifa yenu mta tandikwa
Mzozo huo ni kuonyeshana umwamba na kiburi cha dola kuu mbili MAREKANI na URUSI. Ngoja tone.
Ee Mola tusaidie kwenye vita hivi kwasababu vita hivi c vya ukraine tu bali ni vita vya wote tunategemea tourists
Yesu uwatete
W
Marekani siipigwe tu
Na nani axa?
@@georgekimasaofficial1629 Na mrusi
I I ok
Vita vya kiuchumi daaa pesa izi
Huyu majid ni shabiki wa marekani wala sio mchambuzi
Marekani lazima aje ateteme hapo
Mmarekani hawezi , kwenda kusadia, vita itakuwa kubwa karibu ulaya yote.
Mrusi anatamaa vita ya ulaya ilirudi tena, , tumekoka vita jamani. Korona haitutoshi
Dalili za wazi za kurudi kwa yesu kristo
Uko sindi tutazidi kuangamia kabisa
hilo yesu unalijua wewe2 usituletee ukafikri hapa
Amina mpendwa,Jicho la Kiroho linaona hilo,Mungu akubariki sana
Yesu yeye ana bahati zake maana alikufa mapema msalabani....ww unasema turudi kwake....tutaeneaje kwenye huo msalaba mmoja jamani??...Mm hadi hii leo nikiingia kanisani namuona amekaa peke yake pale msalabani....nahisi tutafute njia nyengine sisi kondoo wa Bwana.
@@mirosasaromi6079 Yesu hakufa mungu alimpaisha juu angani
tatzo la wanahabari wetu mnavigugumiz sana
Team URUSI tujuane
Marekani hawapaswi kusikilizwa Kama waitelekeza ukreni
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Wanataka nin warusi
Tunaamini sikuzote wanna leta machafuko ya kusababisha wananchi kufa no Wana siasa viongozi wenye maamuzi tegemewa. Lakini ninadhani hasa hutokea baada ya kuto kuheshimiana Kwa kukubaliana kukukubaliana . Lazima Kila kiongozi akubali maamuzi yaliyoamriwa. Au yaliyoonekana yameshinda.
Siwapigane tu … naona wanatuzingua tu..
Wakipigana utanitafuta kaka...usichukulie poa na kufikiri itakula kwao tu!!...hapo lazima tuwajibike sote
Hiyo vita sio ndogo baba
Usisahau mafahali yakigombana nyasi ndohuumia
Mnauliza tu hata sisi tanganyika tunataka adui asiwe karibu nasi ni Habari kwa usalama wetu ni bora adui awe mbali nasi ukreni mpumbavu hajui kuwa kutemgeneza adui karibu nawewe ni hatari kwa usalama wako pia ikumbukwe harahara jirani na fimbo ya mbali haiuwi nyoka kiherehere cha wa yukreni kitawatokea puani hata Nato waungane wataaibika kwa urusi
Faiz zanin, ww kama hujui kitu nyamaza usitangulize kisimi Chako humu. Ww hujui chochote kuhusiana na hayo mataifa mawili. Cc tunaongea kwa evidence.
Majid umesomekaa
We sema zipigwe wakati inch zetu za Africa zinategemea huko badara ya kuomba mungu vita isitishwe ww unaomba wapigane em nendeni na nyiee unazani vita ni Bibi yenu au tumieni akili ndugu zangu tumuombe mungu
Hizo nguvu mbona haweki kwa Israel na parestina
Acha kujidanganya mataifa makubwa Duniani yenye nguvu za kijeshi ni Marekani na Urusi
Umeongea la maana kwelii
Let's go Russia
NAIJIULIZA MASWALI MENGI SIPATI JIBU HUYU MMAREKANI NI MBWA GANI ? KILA MAHALI NI YEYE NA DUNIA IMEKAA KIMYA..! UN INAFANYAKAZI GANI ? WACHA WAJARIBU KUIZUIA RUSSIA WAKIONE CHA MTEMAKUNI PUTIN SI KAMA SADAM AU GADAFI WAJARIBU WAKIONE MAKAFIRI WAKUBWA HAO
Tulia gahidi unazani ni kujilipuwa na nyuklia
@@jpmanotaofficial639 sasa umecomment nini? Auna uelewa kwa kinachoendelea Bali mkurupukaji wa kuandika comment.
Hao wamarekani tunawadai GADAFI wetu raisi wa AFRICA viva RUSSIA
Putin wa maize wote hao
Marekani humuwezi mrusi achana nae utachepwa
A
Zipigwe tuuuu. Amna shida
😁😁😁
unataka marekani asitishwe we vipi????????
Mimi nasema nato Ana nguvu nato ni umoja wa marekani ' putin unanguvu tumia fimbo kwaupendo usiogope mungu au Allah awe nawe
🤔Ukraine ni koloni la Urusi. Sasa pamoja na kuwa imekuwa nchi huru hivi sasa sio busara kujiunga na NATO kwasababu ni tishio kwa Urusi wakati nchi nyingi na hasa jumuiya ya NATO haipendi nguvu za kijeshi za Urusi. Urusi anahaki ya kujilinda na hajawahi kumvamia mtu yoyote kama ilivyo Uingereza, Marekani na washirika wao. Urusi ni lazima kupigana kupata maslahi yake.
Nakubaliana na Urusi lakini sio sawa kusema Ukraine ni koloni la Urusi. Muungano wa USSR ulikuwa kama ilivyo Tanzania ambapo Urusi ilibeba jina la Muungano huo. Kama Muungano hauna maslahi uvunjwe na kila mmoja aungane na anaetaka lakini hakika jirani kuungana na adui yako ni adui pia. Muungano wa Tanzania nao ipo haja kuvunjwa au kufanyiwa "reform" Zanzibar imeshadhulumiwa vya kutosha.
Bado mimi nyuma na vita alakini bado nafatilia pia
Kichwani mwa rais Putin
kwani hao marais wa Nchi hizo wao wamejficha wap?
Gas
Yaan mataifa ya kipuuzi mno utafikiri waumbaji watu na vyote ni wao.
UK kazen mskubali kupigiwa nyumban kwenu
Hii ni njia ya kurete vitu za vita africa all those weapons will end up in africa
Mimi kama putin anataka nini ukoo ukreni ukreni wampe
😂😂😂
Inasikitisha kuona watu wanafurahia kinachoendelea Ukraine....Ni kweli Putin ana haki kujilinda ila syo kwenda kivita tena nchi ndgo sana alitakiwa kwenda kwa amani na pia Ukraine ana haki ya kuchagua wap wanataka kwenda ni nchi huru....
Putin 😎👊💪👍☠️
Warusi ni wakorofi hawawezi kumchagulia rafiki Ukraine .
Russia Yako sahihi hivi wewe ukiwa na binti unae mlinda na kumchunga harafu ukampamgisha nyumbano kwako kijana kitombi unataka nini
So apa naona urusi iko na china alf ukrane iko na marekani kwaivo vita niza nchi gani na gani lkn china achana nayo bt,,,,,,,
Mimi naitwa kwa Nina rajdabu naishi kambini mantapala seulement kutokana n'a marekani njo mwanzilishi wa funo ulimwenguni Obama nimunafiki
Putin Ana Aki fikirieni Africa tuta kuwa wapi? Kilakitu afrika paka ulaya Sasa sisi weusi tutafikia wapi?
Wewe abdulshakur nani amekwambia urusi ni mchokozi fatilia vizuri swalaa la ukraine ilianza vipi vitaa mwakaa 2014