CHEKECHE || Mkutano wa Wajumbe wa NATO nchini Lithuania na ndoto ya Ukraine kujiunga NATO 15 07 2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 июл 2023
  • Je, mkutano wa Umoja wa Kujihami wa NATO nchini Lithuania na hitimisho la kuikatalia Ukraine kupata uanachama wa umoja huo una maana gani?
    Je, ni kuipa kiburi zaidi Urusi au ni kuitesa Ukraine?
    Ungana na Raymond Nyamwihula na wageni wake ndani ya #CHEKECHE

Комментарии • 39

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 11 месяцев назад +1

    Asanteni kwa uchambuzi.. tatizo lenu ni moja tu .mnachelewa kutuletea vitu kama hivi

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 11 месяцев назад +3

    Uyo mzee yupo marekan anaweza akawa yupo kwenyejinsia moja😂😂😂

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 11 месяцев назад +1

    Daaa yaani Hawa jamaa wananuka damu ya kinazi na hawaoni kabisha ukweli yaani wanaomba na Dua eti Ukraine ajiunge NaTo duuu aisee yaani nimeamini kweli ukiajliwa na Shetani huwezi Fanya kazi ya Mungu

  • @donizzo9570
    @donizzo9570 11 месяцев назад +3

    Tatizo lenu ukishakuwa marekani basi hamuongei ukweli halisi kuhusu hivi vita mnaegemea upande wa Magharibi... Kwaufupi marekani na washirika wake wameahindwa kupambana na Urussi kwa njia zozote iwe kijeshi ama kiuchumi au kivikwazo mbinu zote zimefeli..

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 11 месяцев назад +1

    Dah hili zee liongo kweli au kwakua yuko malekani bila shaka anaweza kua wa jinsia moja

  • @koudrashabani1912
    @koudrashabani1912 9 дней назад

    Wajiuunge Mrusi Atawanyoosha

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 11 месяцев назад +2

    Voa ni wapuuzi tu

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 11 месяцев назад +1

    Abdullah shakuli unacho sema sio ukweli Urusi aina mgogori wowote Wagner wapo na wapo kazini wewe upo upande mmoja wa Marekani hoja zako tunafatilia sana

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 11 месяцев назад +2

    Tukisha zipoteza hizo F16 tu watajuwa umuhimu wa mzungumzo

  • @RidhiwanSeifJuma-fk6zj
    @RidhiwanSeifJuma-fk6zj 11 месяцев назад +2

    Hawana lolote hao NATO wanaiogopa urusi ilesio Libya , urusi ana historia ya kushindwa vita , lazima mseme ulweli

  • @salubrown4013
    @salubrown4013 11 месяцев назад +2

    ya paswa marekani wabadiri sela yao DuniA yasasa siya zamani Rasinyvo wata sababisha matatizo makubwa sana kirio chawengi kita skirizwa Akika kabisa

  • @mabagaplatnum8307
    @mabagaplatnum8307 11 месяцев назад

    Bg upp

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q 11 месяцев назад +1

    Uturuki nae mnafiki,, nawakbali sna wachambuzi ukweli muko sawiya,, cc ni team Russia lkn kw undani urusi imefeli lkn tnaikbali kwsbb wamagharibi c wema iko cku wapigwe lkn urus hana mshirika madhubuti

  • @mohammadingai3476
    @mohammadingai3476 11 месяцев назад

    Hapo uturuki amejichanganya mno hasomi alama za nyakati

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 11 месяцев назад +1

    Hata ukrein apewe uwanachama Leo NATO haiwezi kwenda sambamba na spidi ya Urusi kutokana na kuwa hii si kawaida yao wanaloliamuwa wao kuhusu uvamizi Huwa hawataki sibabu na wanaofanya hivyo ni hizo hizo nchi za NATO na washabiki wake Kwa maana hio nikuwa NATO wameonesha dhahiri udhaifu wao wa hofu juu ya suala Zima la kuisaidia ukrein zaidi ni pale zilipofeli jitihada zao za mwanzo zote

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 11 месяцев назад +1

    Jamani ehhhh, tutambue ya kwamba, NCHI zenye silaha za nyuklia haziwezi kupigana Vita za moja kwa moja. Unazani zikipigana nini kitatokea? Bila shaka ni maangamizi. NATO HANA MPANGO WA KUPIGANA VITA NA URUSI.

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 11 месяцев назад

    Asante sana❤❤🎉🎉

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 11 месяцев назад

    Huyo mchambuzi mzee piga chini hakuna anachokijuwa kuhusu uwanja wa vita.

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 11 месяцев назад +1

    haja toa vigezo vyovyote poutine kawa shinda hao manyangao sijuii kwanini haoni eti kuna matatizo ndini ya rashia wala mze mkubwa kama yeye hawezi kujua kama kuna mchezo ambao poutine Ana wazubaza aima Ana wacheza hao wamagharibi

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 11 месяцев назад +1

    Huyu anacho ongea hata hakielewi vizur

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl 11 месяцев назад

    Naipendeleyaka sana uchambuzi wenu muko Sawa kabisa apana ule anaye jiita mwalimu waneno lamungu wakilembe

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 11 месяцев назад +1

    na ikiwa nyinyi niwa somi basi nawaomba nyinyi ngisi mlivyo muwafatilie wachambuzi hawa ambao nakwenda kuwapa majina wa 1 Jack baud wa2 asoulino

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 11 месяцев назад +1

    tayari na kaka yngu uko miongoni mwahao hao nyinyi wte mna wasapoti manyangaou kweli uchambuzi wenu fack

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 11 месяцев назад

    tayari tayari Abdul Shakur abud yeye kama yeye tuna muelewa yeye lazima ateteye siasa za America uchambizi wake Huna maana sana

  • @atomicexposior6012
    @atomicexposior6012 11 месяцев назад +1

    Ware nato washenz wanataka sodoma ienee kote

  • @SelemaniMeena-oo3os
    @SelemaniMeena-oo3os 11 месяцев назад +1

    Mzee hana lolote anaongea kuifurahisha marekani, putin ni mshindi

  • @user-dn2ic3jg5s
    @user-dn2ic3jg5s 6 месяцев назад

    Profesa. Ali. Magema. Kutoka. Tanga. Tanzania. Nyinyi. Wachambuzi. Mwasema. Yukereni. Akijiunga. Na. NATO. Urusi. Watufyata. Mkia. Si. Kweli. Kwa. Urusi

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 11 месяцев назад

    Daa kumbe hata huyu mchambuzi kijana licha ya ndevu nyingi kumbe nae ni shooooga sulini dawa yenu inachemka huo mpaka sio shida mpaka haupigani hata wote mrusi hawamuwezi na wangemuweza sahz mngeongea mengine.

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 11 месяцев назад +1

    na nimekea hapo sinto rudi kufwatilia tena hiyo chanel yenu ikiwa utarudi kualika hao mabwana vibaraka

    • @eninganyange9403
      @eninganyange9403 11 месяцев назад

      tatizo mna miemko ulifatilia aljazeer ukasikia walivyo chambua?

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 11 месяцев назад

    mpuuzi wewe mzee

  • @amanipaulo8775
    @amanipaulo8775 11 месяцев назад

    Kwa hiyo nyie wachambuzi hamjui putin anataka nini au nato na Marekani hamjui wanataka nn fatilien kiundani

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 11 месяцев назад

    Usipotoshe wewe shoga kijana putin hajaomba mazungumzo kwamba kashindwa bali mazungumzo kwa matakwa yake na malengo yake wakigoma basi ndio yanakamilishwa kwa kichapo kama hivyo mikowa ishaondoka tayali nato felia siraa zao watafute wa kumuuzia

  • @abdalahngozi5455
    @abdalahngozi5455 11 месяцев назад

    Hiki kipind sijui ni kwann wanaalikwa watu wenye mrengo mmoja,ila huyu mchambuz wa studio hajua siasa za kimataifa kabisa cjui kwnn anaalikwa,anafaa kuwa mchambuz wa wa siasa za wilaya coz hana uelewa

    • @eninganyange9403
      @eninganyange9403 11 месяцев назад

      wewe ndo hujui siasa umelishwa matongo pori

  • @eninganyange9403
    @eninganyange9403 11 месяцев назад

    huu ndo uchambuzi wa siasa afu utakuta watu wakishashiba dona wanakuja na komenti eti wapo upande wa magaribi