Urusi yatangaza kusimamisha mkataba kati yake na Marekani
HTML-код
- Опубликовано: 26 сен 2024
- Urusi imetangaza kusimamisha ushiriki wake katika utekelezaji wa mkataba wa upunguzaji wa silaha kali kati yake na Marekani.
Akihutubia taifa kwa njia ya televisheni leo, Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Urusi haijajiondoa kutoka kwenye mkataba huo bali itasimama kushiriki kwenye kutekeleza makubaliano baina ya mataifa hayo mawili.
#AzamTVUpdates
nyie wote ambao mmekomenti apo eti urusi kashindwa vita nyinyi nimashoga amuwezi kumpenda poutin maana anacho wafanyia amuwezi kusaau angekuwa kashindwa vita majeshi yake aingekuwa inashikilia mikowa minne iyo utuba imewagusa nyinyi mashoga mbele ya poutin kiboko🇷🇺❤️💪❤️🇹🇿uraaaaaaaa
We hujui mathara ya nyuklia ndy unaropoka! Ungejua kwanini amesitisha huo mkataba na Marekani kuwa anajiandaa kutumia silaha za nyuklia.
@@barakakusa7606 natamani nickie ameyalipua haya mashenzi,yashughulikiwe kama walivyo waua kina Sadam na muamar gaddaf. Yapigwe hayo ma nato.
Hana jpya, tulishamuzoe kwavitisho alisema atakayeingilia vita atakiona chamtema Kuni kumbe mhun2
@@charleszakaria643 sasa mbona awaingilii
@@barakakusa7606ww ukipmbana na mtu utamuachia akupige kwa hiyo nyukilia alilipua sawa kuliko marecani siku zote aone nchi nyingine bora alipuliwe hata ikipiga dunia marecani kila siku kuonea africa kuwaibia kongo na africa yote na warabu wacha amuonyeshe Huyo zeleksy kwa nnasiache madaraka na na waelewane yakaisha hawataki wanataka wao waonekane wababe siku zote ndio hayo ya nyukilia itakua tu vyakula na maisha yasha kua magum kwa ajili ya vita vyao visivyo isha marecani anapenda vita
Safi sana
Thabit uko vizuri sanaa, nakukubali sanaa ktk masuala ya uchambuzi, be blessed
Thabit namkubali Sana 👏👏
Alidi uko sawa sio wale manyang'au wa chekeche hawajui kitu chochote kinachoendelea Duniani Kwa maswala ya urusi na marekani pamoja na washilika wake.asante
Wale wachekeche si mashoga wale ulikua ufahamu
Wale wa chekeche poor poor aisee🤝
Huyu kichwa Safi huyu anaoujuz mno
Viongoz wengi ambao huwa wamepitia kwenye Vita ving vya nchi yake na nyingne amepgana Vita vng km Intelligencer
Mrusi mjanja sana na yupo tayali kwa nyuklia
Putin kichwa ameona hawa jamaa wamemshindwa watatumia nyuklia
Nyuklia haziko urusi tu, wao walikopi kutoka Marekani. Huwezi kumtishia mwenzakao kwa nyuklia wakati ni yeye alieanza kuzitengeza na kuzitumia na badaye akazilaani. Huyu jamaa (pumbavu sana) anatumia neno nyuklia kama vile ni urusi ndiye ana silaha hizo tu.
@@Ambagaye Unaweza kuwa wakwanza ukabaki na ukwanza ukakosa usasa kwa kuboresha.Utashangaa ulikuwa wa kwanza kununuua gari kwawakati ule uliona Lina speed. kanunua mwezako leo japo kachelewa kanunua gari lenye speed kukuzidi.Nani atakuwa bora kwa wakati huo?
@@Ambagaye umewapa somo la uelewa Isipokuwa wakitoa comment za maana dhidi yako nijuze, maana wengi wa wachangiaji
ni waathilika wa itikada za AlQaida na Boko Haramu.
@@saimonijonas1471 vita hii mshindi atakuwa ni yule Mwenye Technology
bora ya Siraha za kivita na Wala siyo kelele za ushabiki Kama ule wa timu za Simba na Yanga.
Urus mwamba imara
Mchambuzi anaakili sana
Putin saf sana marekani mashoga
Yap muwe mnaleta wachambuzi Kama hawa sio wale wa kwenye chekeche hawajitambui kabisa wanatumia elimu yao kupotosha wajinga
Kumbukeni msisahau Hawa NATO walichotufanyia enzi hizo àchen Putin awaweke sawa M,zee ongeza kichapo,mbona wao ghadaf,...,,,
🔥🔥🔥🔥🔥
usa ndiyo shida duniani taifa hilo ni la kishenzi sana na migogoro yote duniani ikiwemo kutengeneza makundi ya magaidi ni marekani,wakati umefikia usa inaibika kwa kuishi ikiwafanya watu wote wajinga
Putin tunakuelewa vzr sana
Thabit anachambua haya mambo kwa kina sana..👏🏿👏🏿👏🏿
Nyie wachambuzi namipa ongera sana kwa uchambuzi wenu uko wazi
Tupo nyuma yako
Marekani mchonganishi
Safi sana Russia 🇷🇺 yani uko mbele ya Muda mkuu
Nyuklia sio poa....tuache ushabiki....ni kifo Kwa uhai!!
Acha zipigwe
😜😜😜😜😜
Dotto Mabula nishoga anawashwa mkunduni. Wata chonga sana Russia 🇷🇺 babalao
♥️
viva Russia
Huyu Mchambuzi Namkubali Sana Kuliko Wale Waliopita Na Mtayarishiwao Kipindi! Walikua Ovyooo Kabisa Walikua Wanazungumza Wasivyovijua! Kiufupi USA Na NATO Na Umoja Wa Ulaya Maji Ya Shingo Hawamuwezi Mrusi Ameshajiandaa Muda Mrefu Sana Kabla Vita Kuanza lmekula Kwao Na Mnafiki Wao Mgombanishi Wa Dunia Ovyoo Kabisa Marekani!
Uuuuuuuuuuraaaaaaaaa'paasibyaaaaaaa sputanyaaaaaaa uuuuuuuuuuraaaaaaaaa akhmuuuut long lives putin,more blessing baba wanyoooosheee wapuuzi hao
Huyo ndo mchambuzi sasa sio wale wa kweny chekeche
Huyo ndo mchambuzi anachambua uhalisia anaouona , sio mnaleta wachambuzi wanaangalia Borrell kasema nn , au Ursula kasema nn kwenye MSM zao unakuja kutupa uchambuzi
PUTIN
🇷🇺💪Ushindi kwako
MUNGU awaepushe waliyo wake nahivita yakila leo
Salute kwa putin
Tena wamechelewa
Urusi Ana tecnogy ambayo ni Siri haijawahi toa Siri yake your ya. Kisilaa kwa sababu ya kulinda taifa lake ambayo matifa mengine hayana hiyo tecnogy
Teknolojia ipi hiyo mkuu?
@@rumdeesonsoa1811 tunaposema tecnogy kunaupana mrefu technology ktk kutengeneza vitu technology kugundua vitu technology kucopy vitu tecnogy utafiti ipo ktk sehemu mbili mbali
Choko choko za Marekani ndo zimesababisha yote hayo sasa kipi cha kuficha
UKWELI AZAMU NILIKUWA SIJAWASIKILIZA NINYI, NAOMBA MCHIMBE KABISA TAARIFA, UKWELI PUTINI YUKO SAHIHI MAGHARIBI NI TATIZO, SERIKALI YETU , HAIPASWI KUWAHUSUDU HAWA MAGARIBI
Hicho ndicho walitamani yatokee sasa yanakwenda kutokea na mwisho wake mbaya mno sijui ni nani aliidanganya Marekani kumpa uraisi Biden😭😭😭
Mmmmh! Hata angekuwa nani angepigana tu ni vita iliyopangwa karibu karne sio rahisi kutopigana mtihani kwa kweli
Hiyo imepangwa na nchi nzima sio na Biden. Nia yao ni kuiminya Urusi isiwe na uwezo wa kiushawishi
Mchambuzi nimemuelewa
Russia ni mkuu sana!! Marekani huwa anateseka sana!! Afu hajawahi kushinda vita!!
Urusi ilishinda vita ipi?
@@rumdeesonsoa1811 vita ya korea, vietnam, ile vita ya pili ya dunia!! Aliyemwangusha hitler ni Russia. Hujui cyo soma kaka
@@micamathew2595 mueleweshe hajui kitu huyo ushabiki tu unamsumbua
Adolf Hitler Yuko wapi?
@@micamathew2595 Urusi alishashindwa vita Uingereza na Ufaransa ndio waliomsaidia Urusi kumuungusha Hitler...
Mchambuzi mzuri sana, ni independent thinker inaonyesha ni maoni yake halisi sio ya kucopy na kupaste!
Uraaa🇷🇺
Wacha ushoga wewe urusi wanapigana na ndugu yake anaua ndugu zake yeye ndio fala wewe shoga marekani kibokoo kama mti anaweza kuku chonganisha mjinga nani wewe fala
Ongeza vitu baba ushindi ni wako
Hatusimami na Mashoga, tunasimama na Urusi. VIVA URUSI VIVA PUTIN
Pputin kapgwa ana mpya
Hi
Ukisikiliza kwa umakini wachambuzi wengi wa mgogoro kati ya Urusi na Ukraine, wanakataa kujiingiza kwa Marekani mojakwamoja katika kuchochea vita hii. Matokeo ni lazima Urusi atumie silaha zake zote!
Putin muhoga anaogopa wenzake watamzidi silaha
Nipekupata sabiti ngangana na omba namba ya sabiti mulangi
Rusia pigaa hao manyahau
Putin na wengine Acheni.vita wanateseka ni wengi.vita sio.vizuri
Uraaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿
Hawa wote ni wapumbavu sana midude yote hiyo ni kwaajili ya kuuwa binadamu
Joe Baden to traveling to ucrain will not change anything underground on ucrain because they so many different engineering of wipon technology on this four heavy whaity between lran chaina Russian noth Corie this are vary andnvince technology they are am is to make sure end of Western power dimand
huyu jamaa anaingamiza nchiyake nakaa pale
Kwahiyo huyu Jamaa akili zake zote anaiwaza vita na anako elekea yupo tayari kutumia silaha za nyuklia.
URAAAAAAAA
Usicheze na hii mutu!!
Si wanamchokonoa wenyewe, acha wakione tu akuna jinsi.
Akitumia nuclear ndio itakuwa mwisho wake maana sasa ashakuwa tishio la dunia
@@rumdeesonsoa1811 tishio ni Marekani na washirika wake wanataka waitawale kila nchi kama Dunia ni yao
Nataman putin angekua mtanzania na watanzania tuwe na misimamo na mapenzi ya nchi yetu kama walivyo warusi
MUDA HUU TUNASHUHUDIA HAYA AFRICA ILIKUA MUAMAR GADAFI NA MAGUFULI WAZEE WENYE MAAMUZI MAGUMU NA SISI TUINGIE BRICS.. PIGA CHINI MASHOGA WA WEST NA MAREKANI
West ni wapumbavu, mbona wao wanafanya ujinga mwingi wazi tu
Maji ya kikufika shingoni hutawaita wapumbavu. Kama raisi wa Siria, ameanza kulaumu nchi za magharibi, kwamba huu sio wakati wa kuweka mbele siyasa bali uhai. Aliyasema hayo baada ya kuona hakuna msaada unaotaka nchi za magharibi. Mambo yakiwa sawa ni rahasa kuongea lolote unalojisikia kuongea. Lakini mambo yakikubana, wale uliyowasema vibaya, utaenda kuwaomba msaada. Hata ukiwaita wapumbavu, kumbuka sisi bado tu watumwa wao. Maana kila siku tunaenda kwao kuchukua mikopo. Kwa hiyo hawa watu majina yoyote tunatakayowaita, bado wana nguvu kutuzidi.
Barnabas kumbuka hata huyo siria kukosa msaada ni sababu ya vikwazo vya hao magharibi.mbona kama unajitoa data mzee.robo tatu ya watu Duniani wanaishi chini ya vikwazo vya marekani EU sababu hawataki nchi zingine ziwe na amani ili waendelee kuzinyonya na kupora rasilimali.hebu fikiria tz Mali tulizo ibiwa na ujerumani na bado zingine wamefukia humu humu tz na huwezi zichukua haya waingereza je?pia masurubu waliyo yapata Babu zako nani atakulipia.wao walishagamwaga ugari kitambo acha putini amwage mboga wakose wote.hizo nyukilia kama putini anazo na amedhamilia kuwanyoosha basi mm naungana na putini amalize mchezo tuone upande wa pili itakuaje.japani iligongwa na marekani si unaona walinyooka ......naimani hata hili litaenda powa kabisa
Alukaida, islamiki state ni mmarekani
God bless Russia God bless our present putin
🇷🇺
Alivamia alizani ataachwa
Putin kavamia alizani watu watamuacha kakutana na mziki wa haibu
Shogaaaaaaa nenda kafirwe na wamerikani na Europe pumbavuu
@@nasseralhatmi1762 ww ndio shoga hapo unajifanya hujijui
@@rumdeesonsoa1811 Nenda kafirwe na wamerikani na Europe nyamafu unanuka kumamayako tena sitaki usome comments zangu kabisaaa koma sina shida na nyauuu masikini mkubwa falaaa
Sadiki Kazimoto aibu gani kakutananayo Putin? Hao Marekani ndio wamekutana na aibu maana walidhani watamshinda ki rahisi lkn wameshindwa kwaiyo aibu iko kwa nani?
Putin ameshindwa vita plain and simple
Putin hajashindwa anapigana na nchi ngapi wasiingie kule wangeona mrusi mjanja anawaumiza kiuchumi
Brain washed mr
Kivip??
@@emmanuelkanyela275 Haijalishi anapigana na wangapi alicho takiwa ni kushinda tu coz alisema ataiangusha Ukraine Kwa siku kadhaa lakini imeshindikana na amesha kula hasara kibao mpaka sasa je unadhani hajashindwa? Na unadhani wakati anaanza harakati zake za kuipiga ukrane hakujuwa kunawatu watamsaidia zerensk na ukumbuke alitoa vitisho kuwa yoyote atakae ingilia kuisaidia ukrane atakiona Cha mtema Kuni Leo Kuna mataifa kibao yanaisadia Ukrane kwanini asiyapige hayo mataifa kama alivyosema? Ukweli ameshindwa tu.
Vunga basi acha kuwa marekani
Putin tumbo joto kaishiwa mbinu Kila aina ya silaha katumia kapata zero
Vichaa msiojitambuwa mpo wengi sana humu
Hajafikia malengo..ila kachukua maeneo makubwa makubwa ya Ukren..anayeshindwa ni yule anayepewa nguvu na Nchi 40 na bado anapingwa..
Hujui kinacho endelea ndugu, Putin hajapigana na aseme apigane basi ukrene inakuwa jivu.
@@IbrahimAli-yd1ng kweli kabisa..Maana Russia inajeshi kubwa sana sana lakini walipelekwa ni laki na 80 tu kati ya 2700,000..meli zaidi mia 100 za kivita Submarine pia zipo.. Ukren itafutika. Mabomu mazito yapo.. angalia wanaakili kiaina Kwa kusema Russia inataka kuifuta Ukren wanakili kupingwa!!!!
Wew huna unacho fahamu kumuhusu Putin kojoa ulale
Right now I can say RUSSIA is the past tense we stand solidarity with Ukraine
Pole
Shoga
mwehu wewe
Shoga tu
Russia 💪
Russia is good country ever
Niko pamoja na urusi
Putini awezi mziki wa yukrein kashachemka mwaka umeisha ana jipyaa
Acha ujinga urus Yuko viziri