Allah amuhifadhi abulfadhil wallah ameitangaza haq kwa kinywa chake sisi walimwengu tunashuhudia hilo,,habar za habari za etii (taaluma vs taalumu) hatuwez kum-beza kwa hilo,kwetu inatosha kumuona anasema haq na anafundisha dini na anaifuata sunna Wallah qassim n mtu wa kher na elimu hake sio ya kubezwa kabisa Namuomba Allah amuhifadhi yeye na familia na wanafunzi wke Allah awape mwisho ulio mwema
Hapa haumbuki mafutaa wanaumbuka waislam wot e ikiwa sote Ili kufahamu jamb lazima tusomeshwe tena twasomeshwa lugha isiyokuwa yetu na lazima tu tuelew huu wote ni unafik njia sahihi ya kumkosoa mwislam mwenzio sio hiyo ya kuwekan kweny mitandao
Ki vipi na umemsikia mwenye kasim mafuta hana ilimu ni matusi tu hilo lijuwe na mtume s a w alisema mwisho wadunia mkweli yuwaonekana mrongo na mrongo kama kasim mafuta yuwaonekana mkweli
Ww inaonyesha unajua sana lugha Toa clip na ww ujibu sio una comment tu Toa clip na umradd sio unasema tu msikilize wau iyo inaatifiwa wap huyo ulomwambia una uhakika mambo hayo anayajua?
Assalaam alleykum warahamatullah wabarakatu,sasa mmekuwa kaz kukosoana tu,mngetambua kunamaeneo hayana hata msikiti,nashauri tumie mda wenu kueneza din,mm ninslim kwa hili sijapenda,kama hajui kwann utoe aibu ipo siku utakosea na make hujakamilika,make wew nimwadam mche Allah
Ila wewe inaonekana ni mwanafunzi mzuri wa kassim mafuta. Inaonekana wamfuatilia ssaana. Na ikiwa kwenye lugha ni hayo tuu uliyoyaona katika mengi uliyosikiliza, basi jua kuwa hiyo kosa 1% na kupatia 99%. Hapo ndio ulipokosea tuu wewe mwenye chuki zako. Halafu waumia roho sana kwa kuwa umepuuzwa kwa kitambo kirefu saaaaaaaana. Kiufupi umepuuzwa na umepuuzwa na umepuuzwa. Pole sana muislamu mwenzetu.
Mimi sikasiriki kwa hivo unavo sema kwa sababu hata mimi ninasema kwaio ikiwa mimi sipendi kusemwa basi inabidi niache kwanza mimi kuwasema wengine lakini maadam mimi nakusema wewe basi ujue hilo mimi halinikasirish ispokuwa tu ntasisitiza adabu na heshma Al muhim nihivo wala hujakosea kusema mimi namsikia kasm mafuta nikweri mimi nampenda na pia namsikiliza kwa sa babu yeye ni ndugu yngu ktk imani na hlitafutika hilo mpaka pale moja wetu atakapo ritadi Kasim mafuta anamapungufu yake kama binadam wengine ktk dini na dunia Lakn chaa ajabu maungufu yake watu waliyanyamazia sasa akajuwa kuwa watakuwa wanamuogopa au labda hawana elim mwenye elim ni yeye kwa kule kunyamaziwa Kumbe watu walijuwa kunafaida gani mapungufu ya muislam mwenzetu kuyaweka hadharani Sasa wanamjibu kama alivo fanya kwa wengine cha ajabu mnaumia msiumie ikiwa mwawafanyia hivo wengine ikiwa hamtaki hivo basi nanyinyi msiwaseme watu ila kama mta wasema watu na nyie mtasemwa Kiukweri mimi sijaona adabu mlio nayo au suna mlio nayo au busala mlio nayo nakama mtasema mtume alikuwa kama nuinyi basi kwa hakika mnamzulia na wala asinge mpata yeyeote wakumfata ntakupa mfano ikiwa mtume kwatabia zaje alipendwa mpaka na makafili akaitw mkweri na muaminifu watu wakasilim kwa tabia zake nzur tazama wakati wanaweka jiwe jeusi wana gombananani aweke hajuwakataa pamoja ba ukafiri wao mpaka wakasilim sasaniambieni nyinyi mlio kama mtume yupi mlio msilimisha jwa tabia zenu hamna adabu kwa wazee hamna adabu kwa mashekh hamna huruma kwa wadogo allah atuongoze samahani ingawa najuwa sijatumia rugha ya matusi wala ya udhalilishaji ila nataka tusigombane tyuuu
Unatafuta umaarufu wala huna jipya, hata angeongea kidigo inawezekana angekosea japo ni lugha yake, je kiarabu alichojifunza kuna ajabu akikosea,tuachie Shekh wetu Wallaah tunampenda tunamuelewa na hii da'awa inakuwa maa shaa Allaah
Subhannallah tumefika sehemu dini imekuwa mwatafuta kulipwa na Tube nasio dini bali ukweli kuwa vijijini hakuna miskiti wala walimu mnakaa mijini na Kuboresha hitima plus maulidi .
Nakuskiliza kutoka Cape Town lakini kama unataka eti kumdhalilisha kwakumkosowa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadh hakuna litakalo kusaidia kwasababu kukosea nikawaida na yye sio wakwanza kukosea hate wewe hapo kiarabu sio lugha yake nakukosea lazima utakosea .kwakumalizia tunapata faida nyiiiiingi saana kupitia Sheikh Qassim Mafuta
Unachokisema ni sahihi ila ninachokuomba uwe na insaaf kwani huyu Mafuta ndiye mwenye tabia ya kuwakosoa wenzie pindi wanapokosea, alimkosoa Mohammed Iddi ktk kosa la kilugha wakati anajua wazi kua Abuu Iddi alipitiwa na ubinadamu tu lkn si kwamba hajui lugha. Hivyo nikuombe ndugu yangu uanze na huyu Mafuta kwanza kumkanya kwani yeye ndiye chanzo cha hizi vurugu.
Mcheni Allah . Sheikh Qassim mafuta ni Sheikh ambae kabobea katika kila fani na analingania daawa ya mtume . Allah amuhifadhi Sheikh wetu Abul Fadhil Qassim mafuta na ammpe umbri mrefu azidi kutunufaisha
Sasa Mtu Hamjui Mpaka Fail Na Maf Ulu Ukasema Kabobea Kwenye Fani Gani? Mtu Mweupe Mnoo ila Kwakuwa Nyie Mawahabi Ni weupe Zaidi Basi Mwamuona Ndio Shheheee
Allah amhifadhi shekh Qasim Mafuta no sheikh wetu mbora kabisa na Kwa saawa Tanzania hii Hana mfano tafuta wengine wa kuwakosoa au jikosoe mwenyewe huna elimu we ya kumfundisha Bali wewe unatakiwa ukakae usome kwake unarudia Tu alipo teleza kidogo ASA hilo si kosa la kuteleza yeyote aweza kosea .Allah akuifadh shekhe Qassim Mafuta
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
Unaesoma kwenye kitabu na anasoma alichohifadh nan ni rahis kukosea Asome uarabun na kukaa huko kwa miaka asijue faaila wal maf uula unachosema kua na in swafu allah hamjanyui mwenye kujikweza in taabih
KUTELEZA KATIKA LUGHA NIJAMBO LA KAWAIDA TUU HATA KIPINDI ANABISHANA NA MUHAMMAD IDI SHEKH ALISHALISEMA HILO KATIKA MAELEZO YAKE HATA WEWE TUKIKUKAGUA UNAMAKOSA MENGI
Masha'Allah tunaendelea kusubiria muendelezo wakumkosowa huyo dajjal wakisalafi.. masheikh msichoki kuwakosowa Mawahabi maana walishakufurisha waislamu sana. Allah awape umri mrefu wenye faida kwa jamii nzima yakiislamu amiin
@@ashrafuomaribakari7101 Lazima uwe na wasiwasi maana nyinyi Mawahabi hamna mnachokijuwa zaidi ya kutowa watu kwenye uislamu na kutukana. Allah awaongoze amiin
Munakwenda wapi nyinyi munaojiita mashekhe Mbona wapotofu sana? Muda mwingi munatumia kushambuliana ktk mitandao nyinyi kwa nyinyi Kuliko kutangaza dini kwa hekima "na subra "
Upuuz mtupu na akili huna ungekuwa na akili usijifanya kuwa na akil wakati kichwan ni patupu na lazima ujue kuwa lugha ya kiarabu sis tunajifunza hii ni lugha ya waarabu kwahyo sis tunasoma na kukosea kupo mpumbavu wew
Ulikua nimtu unaeheshimazako. Leo unajihumza katika mambo yasio kuhus. Bas hiv sasa wew ndio waonekana mtu asiejielewa. Ww wadhani unavojitutumua uposawa yote. Sis twakuskiliza. Hakuna alie salmika nahayo. Fanya jambo litakalo kusaidia mbele ya molawako.
Badala ya kujadiliana vpi mtaikoa jamii tufanye vp tupate dola ya kiislam ati unamkosoa sheikh kassim nyinyi mmemsoma Mtume (saw) naona hawa mashehe wetu kukosoana2 ndo wameona ndio dini
Hilo nikosa la ukimi umeteleza nawala sio kosa la jahil(hajui) hapana nikosa la kibinadamu husimbandikizie Shubha zako wew unajua lugha kumliko yeye sh.kasim mafuta?
Makosa ya kilugha hata ww huwezi kuepukana nayo, wanakosea Waarabu wenye iyo lugha.. lkn kukosea lugha si kukosea Manhaj. Unaweza ukajua lugha na ukawa ktk manhaj ya upotofu.
بسم الله الرحمن الرحيم Ndugu zangu katika imani ningependa kusema kwamba hivi tunavyofanya havileti picha nzuri, sisi ni binadamu si wakamilifu ukamilifu ni wa Allah pekee, kama Sheikh kakosea muite faragha muelimishane والله الموافق
Alitakiwa akosoe yaliomo katika kitabu anachokifundisha ( hapa ni uthulu 3 ) au madda zake za kupinga bida'a katika Dini .Lakini kuteleza katika matamshi ilhali somo limeeleweka hakuna tija hapo.
Yaani.huyu sufi nae hama kitu KUMBE yeye hajui jambo unasema ta allumu ndio faaili ikisha mbe unaotia jaari Ar ba ii hio jari ndio mansuub pumba la sheikh mafuta yuko sahihi hakukosea huyu kichwa maji ndo kalikoroga TA ALLUMU fiilu gani hio tusaidie 😂😂😂😂😂🎉😂
Sheikh haji assalam alaykum, iyo heading ya video hujafnya sawa inakejeli.....lengo sio kuaibishana na unaweza kusema kwamba wao pia wanatumia lgh ya kejeli iyo sio hoja kielmu na Dini....unapoandika heading jitahidi isiwe na kejeli ndani yk
@@wakatikaisi6743 inamana wao wakitumia kejeli na nynyi pia mtumie sio ...hii ni dini mzee sio upuuzi.....kama wfny hvy tufuteni namna ya kuwarekebisha lkn sio na nyny kjb au kutumia kejeli pia
Hapa ni upuuzi tu, kutaka kumdogosha Mafuta. Mtu haiwi Kiswahili mara nyengine huteleza itakua lugha ya kujifunza? Mbona na weye hukuja kama weye umekuja na makaratasi uliyo andikiwa ili usome? Ungeingia bila makaratasi baadae ukatoa elmu.
Shaikh wew unachokijuw ni kukat ndevu ty ukafanan na mkeo,na kufatilia makosa ya mashekh waliokuzid kielim na huku ni kuwakosea adabu,huo mda wako unaopoteza hapo ungeweka darsa ukawafundisha wenzako usufi
Acha kumtusi sheikh wetu kassim mafuta tunapenda sana kwajir ya Allah
Hajamtus anamuonesha haqqi
حفظه الله تعالی شیخ قاسم ❤
Allah amuhifadhi sheik wetu na amkinge na hasadi za waja
Allah amuhifadhi abulfadhil wallah ameitangaza haq kwa kinywa chake sisi walimwengu tunashuhudia hilo,,habar za habari za etii (taaluma vs taalumu) hatuwez kum-beza kwa hilo,kwetu inatosha kumuona anasema haq na anafundisha dini na anaifuata sunna
Wallah qassim n mtu wa kher na elimu hake sio ya kubezwa kabisa
Namuomba Allah amuhifadhi yeye na familia na wanafunzi wke Allah awape mwisho ulio mwema
Usilalamike 😂
آمين
Mashalwah, Mafuta amkosoa mpaka salim barihyan, Asante shekh Mafuta kaumbuka
Hapa haumbuki mafutaa wanaumbuka waislam wot e ikiwa sote Ili kufahamu jamb lazima tusomeshwe tena twasomeshwa lugha isiyokuwa yetu na lazima tu tuelew huu wote ni unafik njia sahihi ya kumkosoa mwislam mwenzio sio hiyo ya kuwekan kweny mitandao
Shekh wajifunza kusoma 😢😢😢😢 kama mtoto wa madrasa
mashekhe iyo siyo dini muogepene Allah amjengi bali mnaharibu siyo dini hiyo wallahi
Subhanallah Allah amuhifadhi sheikh wetu qassim mafuta wewe mwenyenye umesema faailu walmafuli umekosea ila kiuhalisia humuwez huyo sheikh watu wanaishia kukucheka tu unajidhalilisha mwenyewe
Ki vipi na umemsikia mwenye kasim mafuta hana ilimu ni matusi tu hilo lijuwe na mtume s a w alisema mwisho wadunia mkweli yuwaonekana mrongo na mrongo kama kasim mafuta yuwaonekana mkweli
Huo niushabiki sasa waisilamu tusome tusifate mumbo kama fish anafo fata mzoga
Allah awaifadhi mashekh zetu wote wakisalafi kwani maadui ni wengi mno
لا يفصل بين فاعل والمفعول.
Na ww pia umekosea apo hujui lugha.
Sahihi alitakiwa asemeje kama hivi amekosea?
Msikilize wau iyo inaatwifia wapi
Ww inaonyesha unajua sana lugha Toa clip na ww ujibu sio una comment tu Toa clip na umradd sio unasema tu msikilize wau iyo inaatifiwa wap huyo ulomwambia una uhakika mambo hayo anayajua?
Uyu mwalimu ana ilmu kunzidi sheikh qasim mafuta
Kivipi
Salafi na wanasunna someni hizi fani za LUGHA mnanyanyasika sana mlipuuza nahau na swalfa chukueni hizi fani
Sahihi
Allahul mustaan Allah atuongoze kuijua haqq na baatwil tuiepuke Alkamaalu lillah
Nyinyi hodari wa lugha mnajiona.
Semeni qalallahu wa qala rrasul saw.
Wapoteshaji.
wew kichaaaa umetokea wapi toka lini kichaaaa akawa msomi wew peleka upuuzii wako hukoo
Hhhhhhhhhhhh eti kichaaa anabainishiwa haki
Hajui lugha wahabi wenu
Assalaam alleykum warahamatullah wabarakatu,sasa mmekuwa kaz kukosoana tu,mngetambua kunamaeneo hayana hata msikiti,nashauri tumie mda wenu kueneza din,mm ninslim kwa hili sijapenda,kama hajui kwann utoe aibu ipo siku utakosea na make hujakamilika,make wew nimwadam mche Allah
Huyu kasim mafuta kazi yake kupotosha na kutusi watu huyu kijana amfundisha bila matusi
Mh hatari, watoto wa kishki wamekuwa wengi. Pole sana ndugu yangu watu hawanufaiki na unachokifanya bora somesha darsa watu wanufaike
anachofanya mafuta TU kutukana wenzake 😅ndo watu wananufaika sio,
Zama hizi mutakalimiim wengi na huyu ni miongoni mwao. Kuteleza kiligha sioni kama ni makosa ya kufanyia radd. Allah amhifadhi Sh. Qassim Mafuta.
Sheikh kassim mafuta.. Allah amuhifadh
Allah amjalie MOTO HUMO MUWE MAKAZI YAKE - AMEEN
Ila wewe inaonekana ni mwanafunzi mzuri wa kassim mafuta. Inaonekana wamfuatilia ssaana. Na ikiwa kwenye lugha ni hayo tuu uliyoyaona katika mengi uliyosikiliza, basi jua kuwa hiyo kosa 1% na kupatia 99%. Hapo ndio ulipokosea tuu wewe mwenye chuki zako. Halafu waumia roho sana kwa kuwa umepuuzwa kwa kitambo kirefu saaaaaaaana. Kiufupi umepuuzwa na umepuuzwa na umepuuzwa. Pole sana muislamu mwenzetu.
Mimi sikasiriki kwa hivo unavo sema kwa sababu hata mimi ninasema kwaio ikiwa mimi sipendi kusemwa basi inabidi niache kwanza mimi kuwasema wengine lakini maadam mimi nakusema wewe basi ujue hilo mimi halinikasirish ispokuwa tu ntasisitiza adabu na heshma
Al muhim nihivo wala hujakosea kusema mimi namsikia kasm mafuta nikweri mimi nampenda na pia namsikiliza kwa sa babu yeye ni ndugu yngu ktk imani na hlitafutika hilo mpaka pale moja wetu atakapo ritadi
Kasim mafuta anamapungufu yake kama binadam wengine ktk dini na dunia
Lakn chaa ajabu maungufu yake watu waliyanyamazia sasa akajuwa kuwa watakuwa wanamuogopa au labda hawana elim mwenye elim ni yeye kwa kule kunyamaziwa
Kumbe watu walijuwa kunafaida gani mapungufu ya muislam mwenzetu kuyaweka hadharani
Sasa wanamjibu kama alivo fanya kwa wengine cha ajabu mnaumia msiumie ikiwa mwawafanyia hivo wengine
ikiwa hamtaki hivo basi nanyinyi msiwaseme watu ila kama mta wasema watu na nyie mtasemwa
Kiukweri mimi sijaona adabu mlio nayo au suna mlio nayo au busala mlio nayo nakama mtasema mtume alikuwa kama nuinyi basi kwa hakika mnamzulia na wala asinge mpata yeyeote wakumfata ntakupa mfano ikiwa mtume kwatabia zaje alipendwa mpaka na makafili akaitw mkweri na muaminifu watu wakasilim kwa tabia zake nzur tazama wakati wanaweka jiwe jeusi wana gombananani aweke hajuwakataa pamoja ba ukafiri wao mpaka wakasilim sasaniambieni nyinyi mlio kama mtume yupi mlio msilimisha jwa tabia zenu hamna adabu kwa wazee hamna adabu kwa mashekh hamna huruma kwa wadogo allah atuongoze samahani ingawa najuwa sijatumia rugha ya matusi wala ya udhalilishaji ila nataka tusigombane tyuuu
Allah akupeni maelewano baina yenu
Daah yaani nlivoona hiki kichwa cha habariii nkajua kuna jambo la maaana kumbe upuuuziiii tu.....
Hata watu walipoona hii comment yako walijua ni maneno ya maana kumbe maneno ya upuuzi tu😂
Hebu tamka tena jina sheikh Abdulwahaab
Unatafuta umaarufu wala huna jipya, hata angeongea kidigo inawezekana angekosea japo ni lugha yake, je kiarabu alichojifunza kuna ajabu akikosea,tuachie Shekh wetu Wallaah tunampenda tunamuelewa na hii da'awa inakuwa maa shaa Allaah
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
Wacha ujinga akikosoa wenzke je mwehu anaon Raha muache akosolewe hajui kitu akasome
Subhannallah tumefika sehemu dini imekuwa mwatafuta kulipwa na Tube nasio dini bali ukweli kuwa vijijini hakuna miskiti wala walimu mnakaa mijini na Kuboresha hitima plus maulidi .
Nakuskiliza kutoka Cape Town lakini kama unataka eti kumdhalilisha kwakumkosowa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadh hakuna litakalo kusaidia kwasababu kukosea nikawaida na yye sio wakwanza kukosea hate wewe hapo kiarabu sio lugha yake nakukosea lazima utakosea .kwakumalizia tunapata faida nyiiiiingi saana kupitia Sheikh Qassim Mafuta
Lugha hajimui halaf anachukua kitabu cha sheikh na kukikosoa bila ya kuuliza wajuzi wakitabu hicho
Utoto mtupu
Sasa kwa utoto huu ndio unataka akujibu
Ndugu Abdullah mie nipo Durban
Unachokisema ni sahihi ila ninachokuomba uwe na insaaf kwani huyu Mafuta ndiye mwenye tabia ya kuwakosoa wenzie pindi wanapokosea, alimkosoa Mohammed Iddi ktk kosa la kilugha wakati anajua wazi kua Abuu Iddi alipitiwa na ubinadamu tu lkn si kwamba hajui lugha. Hivyo nikuombe ndugu yangu uanze na huyu Mafuta kwanza kumkanya kwani yeye ndiye chanzo cha hizi vurugu.
Kumbe lugha hajui minikajua hajui dini tuachie shkh wetu
Kwan kashikwa 😂
HUKU KUTOJUA LUGHA NDIO CHANZO CHA KUTOJUA DINI KWA SABABU ATATAFSIRI VITU KINYUME NA MALENGO YA ALIYEVISEMA VITU HIVYO
MIMI SI MTU WA TWARIQA
ILA NIMEFURAHI QASSIM MAFUTA KUKOSOLEWA MAANA KAZIDI SANA KUJIONA MJUZI WA LUGHA NA MENGINEYO MENGI
Ustadhi tunaomba short clips za hivo vibwagizo
Huwezi kufanikiwa chichote wew kakae utulie
Shekh uwoni ata aibu wamkosoa mtu wemwenyewe wasoma kitabu ata mtoto wa ibtidaia ana soma kama kilivyo 😢😢😢😢😢😢 pole ostadh sema tu comment ujulikane tu
Huyo shekhe aliye wakosoa mawahabi hamuwezi kielimu napia ashamkosoa muftyi 17:45
Huyu MAFUTA aje maarif tunamtaka mdahalo wa uso kwa uso
Subhana llah huyu shekh mbona anafanya mambo ya kitoto au ndo anataka umaurufu kwa nguvu
Shekh unacheza na mtandao ujulikane hahahahaaa
Mcheni Allah . Sheikh Qassim mafuta ni Sheikh ambae kabobea katika kila fani na analingania daawa ya mtume .
Allah amuhifadhi Sheikh wetu Abul Fadhil Qassim mafuta na ammpe umbri mrefu azidi kutunufaisha
Hhhhhhh, MPAKA FANI YA UJINGA KABOBEA SANA, Hhhhhhhhhhhh
Awe na fani zote lakini akikosa fani ya heshima hana maana
Sasa Mtu Hamjui Mpaka Fail Na Maf Ulu Ukasema Kabobea Kwenye Fani Gani?
Mtu Mweupe Mnoo ila Kwakuwa Nyie Mawahabi Ni weupe Zaidi Basi Mwamuona Ndio Shheheee
@@hafidhseif1686 👍SAFI SANA. MAWAAHABI VILAZAAAA. WAFU KWA WAFU
@@hilalkhalfan1452
Maana ujinga kwako Elimu
Wewe umeferi
بين فاعل ومفعول
basi mwenzio kasoma kwa moyo na ww ungesoma kwa moyo
امجنون انت
Swali lako hajaliskia
MAWAHABI WASHAWAHARIBU MASHEKHE WETU SASA NAWAO WAMEANZA KUDHARAU NA KUKEJELI MASHEKHE WENZAO JAMBO AMBALO MASUFI WALIKUA HAWANA.
HUNA ELIMU YA KUJIBIZANA NA SHKH KASSIM MBALI NA KUTAFUTA UMAARUFU TU NA SIFA
wew mwenyew haujitabu
Mumekosa hamna pakukimbilia hayo ni maneno ya mkosaji
Allah amhifadhi shekh Qasim Mafuta no sheikh wetu mbora kabisa na Kwa saawa Tanzania hii Hana mfano tafuta wengine wa kuwakosoa au jikosoe mwenyewe huna elimu we ya kumfundisha Bali wewe unatakiwa ukakae usome kwake unarudia Tu alipo teleza kidogo ASA hilo si kosa la kuteleza yeyote aweza kosea .Allah akuifadh shekhe Qassim Mafuta
Kwaio kakosea kweli Bin Mafuta?
Molo Mtukufu amjalie mafuta aungue motoni na mafuta yake MWENYEWE - AMEEN 🤲🤲🤲
TUNAKUSIKILIZA TUKIWA SOUTH AFRICA CAPE TOWN MAASHAALLAH huku south africa Sisi ni twarika damu.
Shukran Al hajj upepo..
Kua mtu wa SUNNA na sio twariqa
Bismillah Rahman Rahim
Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili.
KWA WALE WAABUDU MAKABURI
Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
[Musnad imaam Ahmad (12/314)]
Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@@iddijumaali7192elewa kwanza usikariri
Poleni kw upotevu wenu
Dunia hii hakuna mkamilifu ndugu yangu mche mungu wako na walimwengu kwa jumla .
والله أعلم على ما نقول وكيل
Allah akuongoze sasa hapo shida ipo wapi
Shida IPO wapii we huonii shida IPO wapii anatakiwa akae darasanii asomee lughaaa
Na ww ALLAAH Akuongoze kwa sababu shida hujaiona 😂
Mashaalah ❤️ ❤️
Bila shaka mwamtambua shekhe qaasim n nn kwa upande wa nahwi namaanisha muelewe yy n bina damu
Unaesoma kwenye kitabu na anasoma alichohifadh nan ni rahis kukosea
Asome uarabun na kukaa huko kwa miaka asijue faaila wal maf uula unachosema kua na in swafu allah hamjanyui mwenye kujikweza in taabih
Hakuna shek wa kikhurafi anaeweza kumrudi shekh kassim bin mafuta Allah amuhifadhi
Kassimu mafuta walitukanana na wanafunzi wenziwe hadi kuitana mayahudi na wazee w liwati vp hapo
Shkh qasimu mafuta ni mjididi tz &kenya
Haji Upapa tafuta elimu kwanza kabla ya kutafuta umaarufu. Acha ubaradhuli
Sheikh mwapata Faida gani mukikosoana mitandaoni? Wallahy aibu. Mwaskitisha. Mwajidhalilisha. Hakuna cha thawabu hapo. HasbiyaAllahu waniimal wakil. Mwapoteza umma. Sio kuulimisha.
Huyo sio kama hajui kusoma sema matamshi ya ulimi wake sio mazuri acheni ujinga mashekhe wa kiislaam
Jamaa anataka kusafiria nyota uyuu
Sijapata faida yoyote ulichokielezea inawahusu washairi
Silaha kubwa y'a makhurafi nahau,eti wanasomeshwa nahau zaidi y'a miaka 9,hawajui tawhid,wanaabudu makaburi,
Huyu mwendaazimu huyu mwenyewe anakop na kupest
Maa shaa ALLWAH
ww shekhe mjinga sn mbn unasifa sana
Sheikh Upepo
Mashehe acheni hizoooo woteeee mnatuchosha cc maamumah mnatuuziiiiii kwa kweliiiiii acheni tfadhalini sn.Hatuwapi sifa mashehena nyinyi sio mashehe
Sasa kama ww maamuma unatakiwa ukae kimyaa
Maamuma huwez kutoa sifa ni kweli kwa sababu mtoa sifa anatakiwa awe na elim kwanza kisha ndo atoe sifa
Usitafute Kiki kupitia sheikh
Shukran habeeb msichoke kuwasomesha mawahabi mpk viziwi wasikie nakutambua kwamba hawa watu ni wachache wa elimu
Wewe huoni huyo sheikh anaangalia kwenye kitabu hapo?
KUTELEZA KATIKA LUGHA NIJAMBO LA KAWAIDA TUU
HATA KIPINDI ANABISHANA NA MUHAMMAD IDI
SHEKH ALISHALISEMA HILO KATIKA MAELEZO YAKE
HATA WEWE TUKIKUKAGUA UNAMAKOSA MENGI
kwako ndomtihani wew na qassim mafuta wew bado chalii mdogooo sana
Masha'Allah tunaendelea kusubiria muendelezo wakumkosowa huyo dajjal wakisalafi.. masheikh msichoki kuwakosowa Mawahabi maana walishakufurisha waislamu sana. Allah awape umri mrefu wenye faida kwa jamii nzima yakiislamu amiin
Mche Allah mbona unakuwa huna hekma kijana
@@ر.ج.ب hiyo ni hekma ila kwa nyinyi Mawahabi ndo sio hekma. Insha'allah karibuni mtaiona haki na njia ya kweli
Hebu jikague unaswali swala tano? Nina wasiwasi na w
@@ashrafuomaribakari7101 Lazima uwe na wasiwasi maana nyinyi Mawahabi hamna mnachokijuwa zaidi ya kutowa watu kwenye uislamu na kutukana. Allah awaongoze amiin
Munakwenda wapi nyinyi munaojiita mashekhe
Mbona wapotofu sana?
Muda mwingi munatumia kushambuliana ktk mitandao nyinyi kwa nyinyi
Kuliko kutangaza dini kwa hekima "na subra "
Uislamu umekuwa waajabu badala ya kubishana na makafiri mnaghitilafiana wenyewe kwa wenyewe its shame kwa nyote wallahi
Yaani tumua che ili tukacheze Ngoma, Hilo haliwezekeni
Yaani masufi bhana wakikosa hoja ni vituko sana
Wewe hujielewi. Umekosa hoja hakika mfa maji huishia kutapatapa.
Allah atuongoze wote kwenye haki
Mbona unasoma kama watoto wa chekechea??
Tatizo mnaloga sanaaaa
Watu wa bida mkikosolewa na sheikh kassim mafuta mwalaumu uwahabi Kassim
Upuuz mtupu na akili huna ungekuwa na akili usijifanya kuwa na akil wakati kichwan ni patupu na lazima ujue kuwa lugha ya kiarabu sis tunajifunza hii ni lugha ya waarabu kwahyo sis tunasoma na kukosea kupo mpumbavu wew
Hahaa eti anafundisha huku unakodoa macho chini uliza shekh alikua na kitab
Mashekh kuchambana sahivi nyie si mumuogope allah jamn mbona mnaharibu jamii jmn
Ulikua nimtu unaeheshimazako. Leo unajihumza katika mambo yasio kuhus. Bas hiv sasa wew ndio waonekana mtu asiejielewa. Ww wadhani unavojitutumua uposawa yote. Sis twakuskiliza. Hakuna alie salmika nahayo. Fanya jambo litakalo kusaidia mbele ya molawako.
HATA WEWE PIA TEYARI UMESHAKOSEA
Sema kosa lake kwnza anajitia anajua afu anakosea vitu jama hvyo ni mtihani sana
Badala ya kujadiliana vpi mtaikoa jamii tufanye vp tupate dola ya kiislam ati unamkosoa sheikh kassim nyinyi mmemsoma Mtume (saw) naona hawa mashehe wetu kukosoana2 ndo wameona ndio dini
Umaarufu kazi
Mm huwa napenda ile mijadala ya kielimu baina ya sheikh Mazinge anavyo wagaragaza wakristo na kusilimu
Sio hii
Hilo nikosa la ukimi umeteleza nawala sio kosa la jahil(hajui) hapana nikosa la kibinadamu husimbandikizie Shubha zako wew unajua lugha kumliko yeye sh.kasim mafuta?
Umesoma lakini akili ya kufikisha ujumbe kwa anayekosea hujui
Makosa ya kilugha hata ww huwezi kuepukana nayo, wanakosea Waarabu wenye iyo lugha.. lkn kukosea lugha si kukosea Manhaj. Unaweza ukajua lugha na ukawa ktk manhaj ya upotofu.
Manhaj ndio nini. Usikosee kama shekhe wako mafuta
@@shabansaid2323 Mana inaonesha ww mwenyewe mjinga unapotea ndugu
@@aliabdulla5395 sasa hili ndio tatizo lenu masalaf sasa matusi yanini? Kama hujui sema sijui
@@shabansaid2323 Yenu nyinyi sio matusi mnapowatukana wanachuoni.
@@aliabdulla5395 kumbe unakalilishwa vitu usivyovijua?
mwenzako amehifadhi wewe kazi kukodoa macho tu.
Ww nifala tu kwan aliehafidhi makosa na anaetizama naakasoma sahihi niyup mwenye elim
wewe mwenyewe waangalia Kwa umakini kwenye kitabu wanakosea waarabu sembuse mimi na wewe. au huwasikilizi waarabu.
Mwamba hupati jina kwa hivyo😂😂
UJUAJI MWINGI UMEMPONZA MAFUTA 😅😅😅😅KAJICHIMBIA KABULI MWENYEWE 😅😅😅
Kwani Sheikh Mafuta alikuwa anafundisha lugha
Mpigie umuulize
Hata wewe jina la Sheikh Abdulwahaab umetamka vibaya
بسم الله الرحمن الرحيم
Ndugu zangu katika imani ningependa kusema kwamba hivi tunavyofanya havileti picha nzuri, sisi ni binadamu si wakamilifu ukamilifu ni wa Allah pekee, kama Sheikh kakosea muite faragha muelimishane
والله الموافق
Alitakiwa akosoe yaliomo katika kitabu anachokifundisha ( hapa ni uthulu 3 ) au madda zake za kupinga bida'a katika Dini .Lakini kuteleza katika matamshi ilhali somo limeeleweka hakuna tija hapo.
Mbona Muhammad Bachoo akitukana maulamaa humwambii km awaite na awaelekeze?
Anatukama maulamaa na wala hana elim
Anafundishwa Mana yake arudiii darasaniii....sio kukosoaa mashekh Yee mwenyew elimu hanaaaa
@@wakatikaisi6743.... Hio ndio tabia ya Muhammad Bachoo kukisoa masheikh ilhali yeye mbu mbu mbu
Si tatizo ni kweli kakosea muhimu wewe jibu hoja zake alizomradi shekh lako
Yaani.huyu sufi nae hama kitu KUMBE yeye hajui jambo unasema ta allumu ndio faaili ikisha mbe unaotia jaari Ar ba ii hio jari ndio mansuub pumba la sheikh mafuta yuko sahihi hakukosea huyu kichwa maji ndo kalikoroga TA ALLUMU fiilu gani hio tusaidie 😂😂😂😂😂🎉😂
Na kukosea ibara kidogo ya kiarabu haimanishi kuwa hajuwi . Mtu ulimi huteleza wakati mwengine
Jeuri/kiburi ndo vinavyo mponza
Kuteleza kwa ulimi si hivi...amekosea ibara nyingi sana..
yamanisha hajui quran kiabu hadithi ikiwakiarab huji itakuwaje
Kukosea na KUTO KUJUA ni vitu viwili
Hajakosea bali HAJUI
Kama unaamni kuna kuteleza kwnn ujinadi kuwa unajua kufanya riseachi ya ilimu upumbavu mtupu maklele kama mbwa
Sheikh haji assalam alaykum, iyo heading ya video hujafnya sawa inakejeli.....lengo sio kuaibishana na unaweza kusema kwamba wao pia wanatumia lgh ya kejeli iyo sio hoja kielmu na Dini....unapoandika heading jitahidi isiwe na kejeli ndani yk
Waoo Kwan hawatumii kejeliii
@@wakatikaisi6743 inamana wao wakitumia kejeli na nynyi pia mtumie sio ...hii ni dini mzee sio upuuzi.....kama wfny hvy tufuteni namna ya kuwarekebisha lkn sio na nyny kjb au kutumia kejeli pia
Hapa ni upuuzi tu, kutaka kumdogosha Mafuta. Mtu haiwi Kiswahili mara nyengine huteleza itakua lugha ya kujifunza?
Mbona na weye hukuja kama weye umekuja na makaratasi uliyo andikiwa ili usome? Ungeingia bila makaratasi baadae ukatoa elmu.
Mwiteni mmfundishe au mumu ulize yeye katumia fani gani au anatumia njia ngani elimu ipi