M/Mungu akusimamia wewe pamoja nami sisi pamoja nawe nanyi na tusisahau kusoma soorat iqilas every single day kwa ajili ya maadui na watu wenye usuda Allahumma ameen
Subhanallah kama kungelikua nakosa kingerekebishwa na ulamaa ya wengi Qiraa ya sheikh haina makosa iko sahih Alhamdulilah soma Yako tusikie mbona husda mbaya kwa kila jambo kukosoana tu hapo umekosa wewe kama ni sifa unatafuta sielewi Allah akuongoze
Subhaana Allaah 1.Unajiskia faraja gani kumkosoa sheikh mkubwa kama huyo huku ukimuonyesha sura yake hadharani. 2.Huko Makka na Madina kuna wasomi zaidi yako lakini wapo kimya juu ya hilo. Wewe kwa kitabu kimoja tu tayari umekuwa front line kukosoa hata waliokuzudi hadharani kwenye media. 3.Ungeliandika japo barua kuituma Mamlka ili imfikie sheikh mwenyewe ajirekekbishe kwa siri kama kweli ni kosa. 5.BORA ungelizungumzia kosa hilo kama sehemu ya kuielimisha jamii, pasina kumtaja au kumuonyesha sheikh hadharani. Elimu zetu zichunge heshima na nafasi za wengine.
Ukisikia ujinga ndio huyu Elimu pasina hekima haimfikishi mtu popote Unacokiongea uko sahihi100%100 alicotakiwa kukifanya nikutuma email kwa Sheikh mwenyewe Ila sasa atatumaje wakati kiarabu patupu??? Hajui kiarabu hajui English anacojua ni uswailiiiiiii Muhim aonekanate yy kagundua kitu ao mjuzi Hekima iko wapi kusambaza vitu kama hivi hadharani??? Allah atuongoze
Huyo kijana hajambushia Heshima Sheikh Yasser. Lakini hiyo point yako ya kuwa ATI Makka Kuna Masheikh wengi wakubwa na wasomi kwahiyo huyu kijana kama ametovukwa adabu. Hilo hupo sawa. Kwasababu huko Makka siku hizi ukimkosoa mkubwa jambo basi unakwenda Jela. Kwanza kwa taarifa yako tu nikwambie mimi binafsi Nina wasiwasi kuwa hao Msheikh wa Makka mayahudi walopachikizwa ili kuivuruga Dini. Imamu wa Makka asikosolewe kwaninj yeye kashushwa kwa uzi wa Hariri kutoka mbinguni? Watakosolewa na wataendelea kukosolewa.
Hamna zaidi ya kupenda sifa na mwenyezimungu hakubali amali za riyaa. Wewe kama umeona kuna makosa ulitakiwa utume hata barua au email ueleze mashaka yako. Sasa unatuambia sisi ndio uafanya nini..Sisi ndio tunaosoma? Nyinyi watanzania mna matatizo sana kwa sababu hamna ucha mungu. Hizo elimu zenu hazijaambatana na ucha mungu...Mungekuwa mnapima mnayoyafanya... Hata kama huyo imamu ana makosa basi kuna adabu za kumkosoa mtu bila kumvunjia heshima yake. Sasa wewe unamvunjia heshima yake. Nyinyi wabongo mna shida sanaaaaaaaa......
Nakuchukia sana kwa ajili ya Allah ewe jaahil katika majaahil, na Allah ni shahidi juu ya chuki zangu kwako kwa ajili yake kwa kuwa haupo kwenye haqqi wala manhaj sahihi, Allah akuingoze kwenye haqqi pia ujue maqam yako katika elimu kwani hakika Allah atakuuliza kama umepokea pesa kusambaza elimu au kukashifu wanazuoni , maana wewe mjinga hufundishi elimu kama unayo ila wakosoa sana wenye elimu bila elimu pia , Allah akuongoze ewe jaahil
Ushauri kwako sheikh: Allaah akulipe kwa moyo wako wa kheri. -1.Katika Mamlakat Suudia kuna mabingwa wa tajweed wanaovijua vitabu na sheria za dini zaidi yako na wapo kimya juu ya hilo: -2.Eidha kwa vile wao ni wajuzi zaidi, wameona hilo si kosa kitaaluma zaidi. Na ktk kila fani iwe secular or religious matters kuna kutofautiana/ ikhilaafu katika kuyatazama mambo. Lile ambalo kwa mtaalamu huyu ni KOSA kiufahamu wake huenda kwa wengine ni SAHIHI kielimu yao. -3.Wewe ulipaswa kama umeona ni kosa kwa heshima na nafasi ya sheikh, ulipaswa kama si kuonana naye basi kuandika barua kuielekeza katika Mamlaka ya Suudia ili imfikie sheikh mwenyewe pasina jamii kujua. -4.Ulipaswa kuzungumza au kufundisha juu ya kosa hilo pasina kumtaja jina la sheikh husika.
MNAPOKOSOA WATU JIFUNZENI USULUBU WA QUR'AN Qur'an mara nyingi zaidi hakupendelea kutaja majina ya watu waliofanya makosa. Kwa vile tu inatufundisha kusitiri aibu za watu ili na zetu nazo ziweze kusitiriwa, na asiyesitiri aibu ya mwenziye, naye aibu yake itafichuliwa. Wakati wa Mtume Muhammad (saww) iliposuuka Qur'an katika kutanabaisha masuasuala mbalimbali, ni majina ya watu watatu tu ndiyo yametajwa ndani yake:~ 1. Jina la Mtukufu Mtume Muhammad (saww); 2. Jina la Sahaba Zaid bin Harith; 3. Jina la Abul Lahab. Hivyo, tunawashauri Masheikh muwe mnaelimisha kwa mifano juu ya makosa yanayofanywa pasina kutaja majina ya watu. Shukran
Maashallah Allah akulipe kheir na kuongoze katka njia ilio sawa wewe pamoja na sisi . Hakika umefanya Jambo la uhodari sana wengi wangeogopa kufanya hivyo
Alhabdulillah rabbil aalamiin. ALLAH alietakasika. Anasema bira shaka mmepata kiigo chema mtume Muhammad s.a.w. mtume hakuwa na jazba. Wewe mwiislam mwenye jazba unamuiga nani. Dini ya ALLAH inahitaji uharisia na tafaqqul na mazingatio. Sio!? Jazba na matusi. Ushauri wangu kwandugu zangu Waislam. Tujihid tuwe na tafaqqul na mazingatio Sio jazba na matusi.
Nikweli alichokiongy sheikh nisahihi kwan hata mm nnae eafik yang anamuiga huy mpk unakerek usomaj wak maana km anafanya uchep hiv namchez kwaiyo nikwel
Mashallah, umeitendea haki Qurani na wasomaji wa Qurani wanaojifunza. Kwa sababu Qurani si adhana. Kwenye adhana labda Targhiydi isingekuwa kosa. Lakini umeweka wazi itakuwa kosa katika Qurani.
Asalam ALEY kum hata mm nimekuelewa nikwamba kuwa imamu WA msikiti WA mama au madina sio KWAMBA hukosei LAZIMA utakosea sasa akitokea MTU WA kumkosoa hapo ndipo ahida inaanza utasikia wivu au wewe hukosei Mara huna elimu yule ni imamu WA maka wewe huna hata uimamu umakosoa??? Kumbe wewe lengo LAKI nikutaka kutanabaisha au kuipa heshima qurani heahima YAKE katika uaomaji.maashallah ALLAH AKUJALIE SHEIKH.
Mungu akuhifadhi sheikh Hajji ume sema ukweli na kuna wengi wanao igiza mashekhe khaswa wa haram mimi kumwambia mmoja alikuwa akiadhini kuigiza adhana ya makkah nika mtanabahisha hayo ni makosa hata kama yule muadhin wa makkah yuwa adhini hivo! labda ni maumbile yake Katika حي على الفلاح Anasema حي على الفلاحعه Badala ya حي على الفلاح
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
HUYU UPEPO MWENYE KAKOSEA KUMILUITA SHEIKH ANAITWA YASSER ADDUSARY SIO ADDOSARY DAL INA DHWAMMAH AKAJIFUNZE YEYE KUTAMKA MAJINA YA WATU NDIO AJE AKOSOE WATU
Hiyo namna sheikh anasoma inaitwa Tonnal variation katika fasihi ya kingereza ya usomaji wa mashairi na kwenye Quran inaruhusiwa. Wew ni nan umkosoe masheikh waliochukua masters katika Quran na kujua sheria za usomaji katika Qiraa zoote 7
Haji upepo sio wa kwanza kulisema Hilo , masheikh wakubwa akina Ayman Suweid na baadhi ya mashekhe wakisalafi wameutanabahisha umma juu ya usomaji ya Dr dousary Allah amhifadhi , hata Sudeis ana makosa pia na umma umetanabahishwa hasa uvutaji wa mada katika neno العلمين Suratil faatiha , Rudi ukamsikilize
Masufi wanatabia kama za nzi! Kutafuta penye kidonda, kila kukicha wanafuta kuwatia dosari watu wa sunnah hasahasa baladu tawheed wa sunnah قل موتوا بغيظكم
@@MuhammadRajabu-rd3fm na anaelekezwa hapa ni nani kwaza ni bora zaidi angelipigia sim sheikh anamuelekeza si ndio hekma na busara kuliko kumsema kwenye mitandao
Si kama ameelekeza, huyu ameelekeza uongo, anaaema huyu shkhe hafanyi, kwa yoyote anaejua Qur'ani ataona kua huyu jamaa ameweka chumvi wala shkhe hafanyi hvyo, ila kwa asiejua Quran kuisoma sahihi ndio ataona kua anachokisema huyu jamaa ni ndio anvyofanya shkjeyni sio sawa yeye anaongeza chumvi sana sana sana
للمساهمة في دعم المكتبة الشاملة المكتبة الشاملة كتاب فتاوى نور على الدرب للعثيمين [ابن عثيمين] الرئيسيةأقسام الكتب الفتاوى فصول الكتاب ج: ص: 2 مسار الصفحة الحالية: فهرس الكتاب تجويد القرآن بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟ [بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟] فأجاب رحمه الله تعالى: نعم القراءة بالتجويد ليست واجبة وإنما هي سنة لتحسين الصوت بالقرآن لأنه ينبغي على الإنسان أن يحسن صوته بتلاوة كتاب الله ومن التحسين التجويد وأما كونه واجبا فلا إذا كان الإنسان يقيم الحركات يرفع المضموم ويفتح المنصوب ويكسر المجرور ويسكن الساكن فليس عليه إثم في ذلك
SHEIKH UMEONGEA VIZURI. HATOKUELEWA AMBAE HAJASOMEA FANI HII. NANYI MLIOMSEMA SHEIKH HAPA ALIPOKOSOA USOMAJI WA SHEIKH YASIR DOSARY MUOGOPENI ALLAH KATIKA COMMENT ZENU. SHEIKH NIA YAKE QURAN ISOMWE KWA UFASAHA LAKINI NYINYI MWAMUATTACK, HILO MNALOLIFANYA NI KOSA MBELE YA ALLAH, MWAZINGATIWA KUWA MWATETEA MAKOSA. KWA HIYO NI VYEMA MZIFUTE HIZO COMMENT KWANI SHEIKH YUKO SAHIHI KATIKA KUELEZEA KOSA HILO. HAKUNA MWAACHUONI YEYOTE ALOBOBEA KTK QURAN ANARIDHIA USOMAJI HUO WA SHEIKH YASIR. ALLAH ATUONGOZE SOTE KTK HAKI
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
Asalam alaykum. Mimi bado sijaona makosa ya usomaji wake na kur-an nimekuja nakupokelewa njia tofauti ya usomaji na Allah amewaafikisha kusimamia nyumba ilio kubwa Alkaaba. Natena wakasikilizwa visomo vyao na maulamaa wakbwa sio wewe vipi utoe makosa kwawatu ambao Allah kashawaweka kusimamia nyumba yake. Ivo wewe huoni haya kukosoa wanazuoni? Basi wanazuoni hukosolewa nawale waliobobea Katika elimu mche Allah
Mashaallah. Hivi ndivyo tunavyotakiwa kukosana Kwak heshima, nidhamu na upole wa unyenyekevu kwani hata mkosolewaji nae ataelewa kwa wepesi kuwa anakosolewa.
NASISITIZA KUA SHKH HAJAKOSEA HUKMU KTK VISOMO VYAKE. TEGA SIKIONI. USIKIE VZR SAUTI. SIO MDOMO. USIHUKUMU KWA KUTIKISIKA MDOMO. HALI YA KUA SAUTI IKO SAWA.
Sheikh Tatizo skuizi mitandao inatuharibu sana ,hii clips kuna mtu ummoja ameitoa anajaribu kukosoa baadhi ya masheikh wa makaa wanaokosea katika usomaji ikiwemo sheikh Dossary na watu wakakoment sana ila kuchaguliwa kuwa Imamu mkuu wa maka kuna vigezo vingi na kuna mabaraza maalum ambayo yanampendekeza ,na kwa taarifa yako Imamu Yasser ameongezewa mkataba wa kuendelea kuswalisha Harram kuanzia kile kipindi cha ramadhani,usifate mitandao kwa ajili ya dini sheikh utapotea sana
Hapana yeye sio wa kumkosoa Sheikh kama yule, labda kataka watu wa Subscribe kwa malengo mengine, wewe umepata faida gani hapo zaidi ya kupoteza muda tu!!
@@hassanmubarak704 kabisa habibiy ila wengi amewaongopea Kwa kule kujifanya anaadabu hakuna lolote kwanza anazungumza bila uhakika wa mambo kosa lake la kwanza laanza hapo
Hajji Upepo weeewe unjaa upepo kwa kichwa.. Enda ukatafute tiba kakangu.. Hilo jina tayari la shekhe dosari Ni AL-DOWSRY) sio dosari, kwa hakika unalitaamka makosa, Jee vipi hiyo Quran..? fanya heshima na hii dini kupotowa watu wasio juwa uwapotoshe.. Allah atupe hidaya tuifwate..
Unachokifanya Ni kusengenya na kuzalilisha ulichotakiwa kufanya Ni kufundisha na kukosowa makosa Bila kumtaja mtu huoni kama wamvunjia heshima wewe mkosa hekma eti unawaelimisha watu wewe ndiye unayestahili kukosolewa hadharani Kwa sababu ametumia njia isiyostahili hadharani hebu tupe ayyat ama hadithi inayoruhusu kutumia njia ya kumkosoa mtu mwenye ilmu yake kiwaziwazi Bila Kwanza kumfikia ili ikubainikie amekubali kosa ama amekataa kosa
@@sullaymanchande632sijui kapatia ao kakosea lakini tujiulize nihekima kuweka mambo kama haya social media nakumtaja muhusika tena imam wa msikiti kama makka hadharani??? Unaonaje angalimtumia email Sheikh nakumueleza kua shekh ww huna elimu na huko makka naona Hakuna wasomi kwahiyo naomba nikurekebishe ! Sheikh angelielimika akawaca kusoma makosa na file likaishia hapo. Ila kwa maskitiko hata jina la Sheikh mwenyewe hajui kulitamka Hata masahaba walikua wakikosea sababu ni bin Adam lakin waliyamaliza nakusahhihisha ndani ndani pasina kuwapa faida makafiri Kwahiyo ukosefu wahikma aliooenyesha huyu jama nimbaya zaid yakosa la anaekosolewa . Allah atuongoze
HUELEWEKI MPUUZI WEWE MALA MAUMBILE MALA HANA KOSA YANI SHIDA YAKO UNATAFUTA UMAARUFU HUU NI UJINGA KAMA ULIKUA UNATAKA KUWEKA SAWA HUKUA NA HAJA YA KUMFANYA WAMFANO HASA UNAPO SEMA HUJUI NI MAUMBILE AU KUSUDI JINGA WEWE
@@saidkipalo4427msitukanane Waislamu!! Ungemuelekeza vizuri tu Kuna hadithi imepokewa na Abu huraira kuhusu mlango wa kusoma Quran.Anasema nilimsikia mtume Muhammad(saw) akisema:Itatokea zama za mwisho watu wataisoma Quran Kwa kuivuta Kwa madaha Hata ikapoteza maana yake, na hawafanyi hayo isipokuwa Kwa kujionyesha tu na Wala hawana taqwa.
@@saidkipalo4427 Hapa hakuna chuki ila namwambia ukweli kama alikua amefatilia basi angejua kua sheikh anafanya kusudi lakini kusema mala Hana uhakika mala anao huko ni kukurupuka na kutaka views hakuna kingine Yani hawezi kufanya bahth na kuja na jambo la uhakika kama sio UTOTO ni nini Sasa aache kudumbua watu bana wasomi hawako hivyo
Hemu msikilize IDRISA ABKAR SINDO UTAJUATA KABISA MANA UYO YASSIR AL DOSSAR HALALAMIKI KAMA IDRISA ABKAR KUAA MAKINI UNAPO SAHIHISHA WENGINE WAPO SAW KUTOKANA NA QUR'AN BAZI YA MAENEO UNATAKIWA UVUTE HAD 6
SHK. WEWE NDIO HUJAELEWA ANAVYOTAMKA SHK. YEYE HATINGISHI MIDOMO, BALI NI SAUTI INAYOBADILIKA KATIKA KOO KWA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAWIMBI. SIO MDOMO SHK... ELEWA KWANZA KISHA NDIO UTOE MAELEZO. SHK. DOSARY YUKO SAHIHI. WEWE NDIO HUJAMSIKILIZA KWA KINA.
Al-Hajj 3. Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi. 4. Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali.
Weye mwenyewe kusoma hujui Tuliambiwa dunia ya mwisho vitajitokeza vishekhe vya uongo mmoja wao ni weye Mmechoka kusemana wenyewe sasa hivi mnaingilia nchi za watu Loo Allah atakushindeni
Msikilize Vizuri Naujue Yeye Hayupo Huko Ulipo wewe. Anatuhadharisha Sisi Tunaoiga Lakini Nimuhimu Kuiga katika Kheri Au katika Usawa Nalile Lisìlo Sawa Tuachane Nalo
Mimi nakubaliana nawe kwenye hili. Lakini unapo sema jambo hili ni kosa unatakiwa ulilete lililo sawa. Kwa hiyo katika kukosoa hayo unga fanya ihsani ya kurikodi kisomo sahiihi ili tufaidike. Kwenye hayo makosa mimi nakubaliana nawe 💯%
Chuki na watu wa sunna, hazitokusaidia kitu,walekebishe masufi wenzio waache kwani maulidi kisha waache shirki za kutawasuli kwa mayiti ndo uje katika watu wa sunna walokatika daawa ya mtume
Si kua anamkosoa, ila shkhe anavyosoma si kama hivi anavyosema huyu jamaa, huyu ameweka chumvi, kama mtu ni msomaji wa Quran ataona hapo shkhe analeta madi, ambazo wanazivuta kama mashkhe wengine na wala hafanyi kama hivi huyu anavyofanya, si jambo sawa kuongeza uongo ambao si sahihi kwa asie jua kusoma Quran ataona kama vile anavyosema huyu jamaa anaekaa chini na kuweka chumvi kukosoa mashkhe, shkhe hawezi kuweka kusalisha makkah kama ingekua ni kweli anafanya kama huyu anavyosema, huyo mtoto ndio anafanya kama huyu anavyofanya, ila kwa yoyote anaejua kusoma Quran akisikiliza shkhe anavyosoma ni tofauti kabisa na huyu jamaa anavyosema, ni chumvi tupu unasingizia na wasiojua wataona kama unayoyasema ni sawa, wewe rekodi walau peji kadhaa usome kama kweli wewe unajua kusoma Quran sahihi kiasi unakosoa maimam wa makka makosa ya kuwasingizia, mche ALLAH wewe,
Chaajabu huyu jamaa hana jitihada yoyote katika din ukimuangalia hata muonekano wakehauna athari katika dini jamani mukisha kula vyenu nendeni mukaongeeni mambo ya tonge waacheni kuwatukana watu ambao vizazi navizazi vimetumia kuwandaa kwaajili ya dini nyinyi kaeni uwanaharakati wenu nyinyi mume lelewa kihila na hila zeni zimewafanya dini imewashida nyini watu nyinyi tabia zenu zinanuka yani lile jopo lile jopo lililo mchagua halijaona wewe khaini ndoo umeona kweli wenzetu dini imewashinda acheni hila Nenda wewe ukachaguliwe kua imam mulijisau kusoma din mukashika mila za babu zenu mukaona nidini sasa munajiita wasomi msiba mkubwa
Sheikh haji upo vzr Mungu akuzidishie elmu
M/Mungu akusimamia wewe pamoja nami sisi pamoja nawe nanyi na tusisahau kusoma soorat iqilas every single day kwa ajili ya maadui na watu wenye usuda Allahumma ameen
Subhanallah kama kungelikua nakosa kingerekebishwa na ulamaa ya wengi Qiraa ya sheikh haina makosa iko sahih Alhamdulilah soma Yako tusikie mbona husda mbaya kwa kila jambo kukosoana tu hapo umekosa wewe kama ni sifa unatafuta sielewi Allah akuongoze
Mtafute inbox inshaAllah mjadili ikisha mtupe fatwa usimpinge kama alivopinga yy.asaakher Mungu atawezesha 11:57
@@SULEIMAN-l8vamtafte inbox vipi yeye kapiga adharani na yeye anapigwa adharani
Allah akulipe jazaa kwa juhudi zako kufikisha usawa kwa kauli njema
Subhaana Allaah
1.Unajiskia faraja gani kumkosoa sheikh mkubwa kama huyo huku ukimuonyesha sura yake hadharani.
2.Huko Makka na Madina kuna wasomi zaidi yako lakini wapo kimya juu ya hilo.
Wewe kwa kitabu kimoja tu tayari umekuwa front line kukosoa hata waliokuzudi hadharani kwenye media.
3.Ungeliandika japo barua kuituma Mamlka ili imfikie sheikh mwenyewe ajirekekbishe kwa siri kama kweli ni kosa.
5.BORA ungelizungumzia kosa hilo kama sehemu ya kuielimisha jamii, pasina kumtaja au kumuonyesha sheikh hadharani.
Elimu zetu zichunge heshima na nafasi za wengine.
Ukisikia ujinga ndio huyu
Elimu pasina hekima haimfikishi mtu popote
Unacokiongea uko sahihi100%100 alicotakiwa kukifanya nikutuma email kwa Sheikh mwenyewe Ila sasa atatumaje wakati kiarabu patupu??? Hajui kiarabu hajui English anacojua ni uswailiiiiiii
Muhim aonekanate yy kagundua kitu ao mjuzi
Hekima iko wapi kusambaza vitu kama hivi hadharani???
Allah atuongoze
Huyo kijana hajambushia Heshima Sheikh Yasser.
Lakini hiyo point yako ya kuwa ATI Makka Kuna Masheikh wengi wakubwa na wasomi kwahiyo huyu kijana kama ametovukwa adabu.
Hilo hupo sawa.
Kwasababu huko Makka siku hizi ukimkosoa mkubwa jambo basi unakwenda Jela.
Kwanza kwa taarifa yako tu nikwambie mimi binafsi Nina wasiwasi kuwa hao Msheikh wa Makka mayahudi walopachikizwa ili kuivuruga Dini.
Imamu wa Makka asikosolewe kwaninj yeye kashushwa kwa uzi wa Hariri kutoka mbinguni?
Watakosolewa na wataendelea kukosolewa.
Kawaida ya tz kila mmoja mwalimu na ili aonekane anajua lazima ajirushe .
Lugha ni ya warabu mbongo unajikutaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Linapokuja kukosewa kwa quraan basi ni lazima ukosolewe alkamalu lillahi pekee
MASHALLAH nimependa Hikma yako
Asante sheikh kwa kutufahamisha inawezekana kweli ni kasoro za maumbile Allahu aalam wa Ahkamu
Umeleta pwenti kwa heshima masha allah
MashaAllah
Asante kwa Nasaha zako
Tuseme ndio maumbile yake
Hamna zaidi ya kupenda sifa na mwenyezimungu hakubali amali za riyaa.
Wewe kama umeona kuna makosa ulitakiwa utume hata barua au email ueleze mashaka yako. Sasa unatuambia sisi ndio uafanya nini..Sisi ndio tunaosoma?
Nyinyi watanzania mna matatizo sana kwa sababu hamna ucha mungu. Hizo elimu zenu hazijaambatana na ucha mungu...Mungekuwa mnapima mnayoyafanya...
Hata kama huyo imamu ana makosa basi kuna adabu za kumkosoa mtu bila kumvunjia heshima yake. Sasa wewe unamvunjia heshima yake.
Nyinyi wabongo mna shida sanaaaaaaaa......
Shukran kwa kutuzindua
Sheikh haji ww mkali sana vipengele unaviona hasa ALLAH akupe uwezo zaid ili tukaesawa
Marshallah sheikh umenichekesha sana
Mashalla Tabaraka rahman Allah yahfadhak ya sheikh
Jazakumu llahu kheir kwa ufafanuzi
Sio sawa sheikh ww una kariri
Upo sahihi jazaaka Allahu khayra
Nakuchukia sana kwa ajili ya Allah ewe jaahil katika majaahil, na Allah ni shahidi juu ya chuki zangu kwako kwa ajili yake kwa kuwa haupo kwenye haqqi wala manhaj sahihi, Allah akuingoze kwenye haqqi pia ujue maqam yako katika elimu kwani hakika Allah atakuuliza kama umepokea pesa kusambaza elimu au kukashifu wanazuoni , maana wewe mjinga hufundishi elimu kama unayo ila wakosoa sana wenye elimu bila elimu pia , Allah akuongoze ewe jaahil
Kweli kabisaa
Dini ni ya Allah ,tunaomba sh.hajji endeleya na huu uslubu katika kukosowa Allah akuhifazi
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ
❤
Ushauri kwako sheikh:
Allaah akulipe kwa moyo wako wa kheri.
-1.Katika Mamlakat Suudia kuna mabingwa wa tajweed wanaovijua vitabu na sheria za dini zaidi yako na wapo kimya juu ya hilo:
-2.Eidha kwa vile wao ni wajuzi zaidi, wameona hilo si kosa kitaaluma zaidi.
Na ktk kila fani iwe secular or religious matters kuna kutofautiana/ ikhilaafu katika kuyatazama mambo. Lile ambalo kwa mtaalamu huyu ni KOSA kiufahamu wake huenda kwa wengine ni SAHIHI kielimu yao.
-3.Wewe ulipaswa kama umeona ni kosa kwa heshima na nafasi ya sheikh, ulipaswa kama si kuonana naye basi kuandika barua kuielekeza katika Mamlaka ya Suudia ili imfikie sheikh mwenyewe pasina jamii kujua.
-4.Ulipaswa kuzungumza au kufundisha juu ya kosa hilo pasina kumtaja jina la sheikh husika.
Allah ajaalie huu ujumbe umfikie mwenyewe mapema sana ❤
MNAPOKOSOA WATU JIFUNZENI USULUBU WA QUR'AN
Qur'an mara nyingi zaidi hakupendelea kutaja majina ya watu waliofanya makosa. Kwa vile tu inatufundisha kusitiri aibu za watu ili na zetu nazo ziweze kusitiriwa, na asiyesitiri aibu ya mwenziye, naye aibu yake itafichuliwa.
Wakati wa Mtume Muhammad (saww) iliposuuka Qur'an katika kutanabaisha masuasuala mbalimbali, ni majina ya watu watatu tu ndiyo yametajwa ndani yake:~
1. Jina la Mtukufu Mtume Muhammad (saww);
2. Jina la Sahaba Zaid bin Harith;
3. Jina la Abul Lahab.
Hivyo, tunawashauri Masheikh muwe mnaelimisha kwa mifano juu ya makosa yanayofanywa pasina kutaja majina ya watu.
Shukran
Maashallah Allah akulipe kheir na kuongoze katka njia ilio sawa wewe pamoja na sisi . Hakika umefanya Jambo la uhodari sana wengi wangeogopa kufanya hivyo
Alhabdulillah rabbil aalamiin. ALLAH alietakasika. Anasema bira shaka mmepata kiigo chema mtume Muhammad s.a.w. mtume hakuwa na jazba. Wewe mwiislam mwenye jazba unamuiga nani.
Dini ya ALLAH inahitaji uharisia na tafaqqul na mazingatio. Sio!? Jazba na matusi. Ushauri wangu kwandugu zangu Waislam. Tujihid tuwe na tafaqqul na mazingatio
Sio jazba na matusi.
Sheikh haji mbona hakuongea kwa jazba lbd umeshindwa tu kumfahamu vzr binafc me mwnyw nimejifunza kitu kwa hii darsa allah atuongoze kwenye kheri
Nikweli alichokiongy sheikh nisahihi kwan hata mm nnae eafik yang anamuiga huy mpk unakerek usomaj wak maana km anafanya uchep hiv namchez kwaiyo nikwel
Mashallah, umeitendea haki Qurani na wasomaji wa Qurani wanaojifunza. Kwa sababu Qurani si adhana.
Kwenye adhana labda Targhiydi isingekuwa kosa. Lakini umeweka wazi itakuwa kosa katika Qurani.
allah akubarik kwa jitiada yako shekhe
Tumekuelewa vizur sheikh Hajji Upepo lakini nadhani ungeifanya hii Darsa kwa Lugha ya Kiarabu ingependeza sana. Asante
Mashaa Allah
Jazakallah Khairan
Jamma umemzidishia kabbisa.wew umeongeza kabbisa kabbisa
WATU BWANA MTU KAONGEA VIZURI TU MNALETA CHUKI HAINA MAANA UKIWA MAKKA NDY HUKOSEI HAPANA, Sheikh Haji Asante kwa ukumbusho.
kasom vzr ndo mawimbi hayo ya bahr
@@KombHaji-dr5pdMawimbi ya upotoshaji???
Ww unazijua utaratibu unaotumika kumpa imamu kibla cha MAKKA halafu msikilize vizuri uyo mwehu anavyoongea anamkubali halafu analeta ujinga
Nakwe nye maulid uwemkwel
Asalam ALEY kum hata mm nimekuelewa nikwamba kuwa imamu WA msikiti WA mama au madina sio KWAMBA hukosei LAZIMA utakosea sasa akitokea MTU WA kumkosoa hapo ndipo ahida inaanza utasikia wivu au wewe hukosei Mara huna elimu yule ni imamu WA maka wewe huna hata uimamu umakosoa??? Kumbe wewe lengo LAKI nikutaka kutanabaisha au kuipa heshima qurani heahima YAKE katika uaomaji.maashallah ALLAH AKUJALIE SHEIKH.
MASHAA ALLAH Ustadth tuna pasta Faida kutoka kwako Alhamdulila
Shukran akhuy mungu akubariki
Shukran sanaa sheikh kwa kutukumbusha makosa ya usomaji MOLA akusahilishiye akuzidishiye ilmu
Nobody is perfect in the world.,,,,,,Allah only is perfect in everything.There are many things that we don't know. Allah knows that we know not.
Even if no perfect in this world, this is not mean other to shut up their mouth to remind him.
Mtiyani kwl
Hhhhhhhh
Chukran sheikh kwa nasaha,
Usomaji wake na wko tofaut
Mungu akuhifadhi sheikh Hajji ume sema ukweli na kuna wengi wanao igiza mashekhe khaswa wa haram mimi kumwambia mmoja alikuwa akiadhini kuigiza adhana ya makkah nika mtanabahisha hayo ni makosa hata kama yule muadhin wa makkah yuwa adhini hivo! labda ni maumbile yake
Katika
حي على الفلاح
Anasema
حي على الفلاحعه
Badala ya
حي على الفلاح
yupi huyo?
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
Shukran sana habeeb
Masha allah al shkh, shukran wa jazakallah khayran kwa kutuelimisha, mm mwenyewe pia nlikua najua yuko sawa.
من سمع سمع الله به، ومن يراء يراء الله به.
هذا يطلب
Kwa Hakika Hakuna mkamilifu yoyote Kwa hii Dunia Ila Allah pekeyake
Mungu akubarikiwe Sheikh maana nimecheka😂😂😂
Jamani msishabikie kukomenti tu sikilizeni hadi mwisho😂😂😂
ishallah hekma nzuri na umeeleweka na upo saw allah sw akuhifadh
Napenda watu wenye elim kwani ninapenda nipatikane sehem.ya watu wenye elim yoyote ya mwenyezi Mungu
HUYU UPEPO MWENYE KAKOSEA KUMILUITA SHEIKH
ANAITWA YASSER ADDUSARY SIO ADDOSARY DAL INA DHWAMMAH AKAJIFUNZE YEYE KUTAMKA MAJINA YA WATU NDIO AJE AKOSOE WATU
Wewe nawe ndio hoja gani hiyo hilo jina kwani ndio quran
Hiyo namna sheikh anasoma inaitwa Tonnal variation katika fasihi ya kingereza ya usomaji wa mashairi na kwenye Quran inaruhusiwa. Wew ni nan umkosoe masheikh waliochukua masters katika Quran na kujua sheria za usomaji katika Qiraa zoote 7
Haji upepo sio wa kwanza kulisema Hilo , masheikh wakubwa akina Ayman Suweid na baadhi ya mashekhe wakisalafi wameutanabahisha umma juu ya usomaji ya Dr dousary Allah amhifadhi , hata Sudeis ana makosa pia na umma umetanabahishwa hasa uvutaji wa mada katika neno العلمين Suratil faatiha , Rudi ukamsikilize
Shida ni kosa shida kingereza kinatambua usomaji wa quran hairuhusiwi kifupi kosa
Sahihi, asome kwa sauti yake
MashaAllah umefafanua vizuri
Haji mie namshangaaa mbona kwenye BARZANJI kuna mambo tele hukosoi
Wewe jahili wakiwahabi usilazimishe makosa kwenye barzanji. Wewe kama umeyaona yarekebishe
@@abiabi9353 weye msomi wa kitwariqa kwa hio barzanji ni maasuumiina hakosei
Masufi wanatabia kama za nzi! Kutafuta penye kidonda, kila kukicha wanafuta kuwatia dosari watu wa sunnah hasahasa baladu tawheed wa sunnah قل موتوا بغيظكم
Ubarikiwe
Wallahi ya'alam
Kweli yako allah akuhifadhi
Allah atusameh sote
Kuna watu wanapenda umaarufu sana
Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake
Unapo elekezwa jambo uspanik sikiliza chukua faida ukiona lina kukwaza acha ustukane
@@MuhammadRajabu-rd3fm kwani umeskia hapo nimetukana mtu yoyote aiza umesoma vibaya
@@MuhammadRajabu-rd3fm na anaelekezwa hapa ni nani kwaza ni bora zaidi angelipigia sim sheikh anamuelekeza si ndio hekma na busara kuliko kumsema kwenye mitandao
nikweli huyu hamuelekezi shekh anaelekeza umma ambao unafuata anacho kifanya shekh
Si kama ameelekeza, huyu ameelekeza uongo, anaaema huyu shkhe hafanyi, kwa yoyote anaejua Qur'ani ataona kua huyu jamaa ameweka chumvi wala shkhe hafanyi hvyo, ila kwa asiejua Quran kuisoma sahihi ndio ataona kua anachokisema huyu jamaa ni ndio anvyofanya shkjeyni sio sawa yeye anaongeza chumvi sana sana sana
Sh haji upepe
Haji upepo anafanya kazi kubwa Allah akufanyie wepesi zaid
Nahi NIKUONESHA dini cyo maqa tuuuu kama mawahabi wanavyoitak kuwa maqa hawakosei
للمساهمة في دعم المكتبة الشاملة
المكتبة الشاملة
كتاب فتاوى نور على الدرب للعثيمين
[ابن عثيمين]
الرئيسيةأقسام الكتب الفتاوى
فصول الكتاب
ج: ص:
2
مسار الصفحة الحالية:
فهرس الكتاب تجويد القرآن بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟
[بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟]
فأجاب رحمه الله تعالى: نعم القراءة بالتجويد ليست واجبة وإنما هي سنة لتحسين الصوت بالقرآن لأنه ينبغي على الإنسان أن يحسن صوته بتلاوة كتاب الله ومن التحسين التجويد وأما كونه واجبا فلا إذا كان الإنسان يقيم الحركات يرفع المضموم ويفتح المنصوب ويكسر المجرور ويسكن الساكن فليس عليه إثم في ذلك
Sheikh wangu ungeenda kumwambia mwenyewe kuliko kusema kwenye mtandao 😂 subhanallah halia kua yeye mwenyewe hajui 😅😅😅 unasema hapa ili iweje
Mpe nauli aende
Naona umekuwa aalim wa kukosoa tu soma wew tukusikie nakuomba urikodi kuanzia alfatha mpaka an Nas ili tujue kama wew hukosei
Kweli kabisa alikuwa asomee tumsikie
ndio kwaz na yy asome tumsikia no makosa??
SHEIKH UMEONGEA VIZURI.
HATOKUELEWA AMBAE HAJASOMEA FANI HII.
NANYI MLIOMSEMA SHEIKH HAPA ALIPOKOSOA USOMAJI WA SHEIKH YASIR DOSARY MUOGOPENI ALLAH KATIKA COMMENT ZENU.
SHEIKH NIA YAKE QURAN ISOMWE KWA UFASAHA LAKINI NYINYI MWAMUATTACK, HILO MNALOLIFANYA NI KOSA MBELE YA ALLAH, MWAZINGATIWA KUWA MWATETEA MAKOSA.
KWA HIYO NI VYEMA MZIFUTE HIZO COMMENT KWANI SHEIKH YUKO SAHIHI KATIKA KUELEZEA KOSA HILO. HAKUNA MWAACHUONI YEYOTE ALOBOBEA KTK QURAN ANARIDHIA USOMAJI HUO WA SHEIKH YASIR.
ALLAH ATUONGOZE SOTE KTK HAKI
ni kwel lakin naamin shekh hashindan anatoa elim ili kuweka sawa ili kutanabahisha na hakuna mkamilifu hata yeye anayake makosa
Hata Anaejua Anaweza Kukosea Nahayo Nikatika Makamilifu Yaubinadamu Katika kukosea Kwake. Ukamilifu Wakila Naikatika kukosea Kwake.
Barzanji je hem kaaa ifahamishe wat wanaikosoa nyinyi isomeshen hakuna wat wanaosoma ivo
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
Asalam alaykum. Mimi bado sijaona makosa ya usomaji wake na kur-an nimekuja nakupokelewa njia tofauti ya usomaji na Allah amewaafikisha kusimamia nyumba ilio kubwa Alkaaba. Natena wakasikilizwa visomo vyao na maulamaa wakbwa sio wewe vipi utoe makosa kwawatu ambao Allah kashawaweka kusimamia nyumba yake. Ivo wewe huoni haya kukosoa wanazuoni? Basi wanazuoni hukosolewa nawale waliobobea Katika elimu mche Allah
Mashaallah. Hivi ndivyo tunavyotakiwa kukosana Kwak heshima, nidhamu na upole wa unyenyekevu kwani hata mkosolewaji nae ataelewa kwa wepesi kuwa anakosolewa.
NASISITIZA KUA SHKH HAJAKOSEA HUKMU KTK VISOMO VYAKE. TEGA SIKIONI. USIKIE VZR SAUTI. SIO MDOMO. USIHUKUMU KWA KUTIKISIKA MDOMO. HALI YA KUA SAUTI IKO SAWA.
Sheikh Tatizo skuizi mitandao inatuharibu sana ,hii clips kuna mtu ummoja ameitoa anajaribu kukosoa baadhi ya masheikh wa makaa wanaokosea katika usomaji ikiwemo sheikh Dossary na watu wakakoment sana ila kuchaguliwa kuwa Imamu mkuu wa maka kuna vigezo vingi na kuna mabaraza maalum ambayo yanampendekeza ,na kwa taarifa yako Imamu Yasser ameongezewa mkataba wa kuendelea kuswalisha Harram kuanzia kile kipindi cha ramadhani,usifate mitandao kwa ajili ya dini sheikh utapotea sana
Shukran ❤
Baaraka llahu fik
Mashallah
Umekosoa kwa heshima na nidhamu kubwa
Allah akujaze kheri
Hapana yeye sio wa kumkosoa Sheikh kama yule, labda kataka watu wa Subscribe kwa malengo mengine, wewe umepata faida gani hapo zaidi ya kupoteza muda tu!!
@@hassanmubarak704 kabisa habibiy ila wengi amewaongopea Kwa kule kujifanya anaadabu hakuna lolote kwanza anazungumza bila uhakika wa mambo kosa lake la kwanza laanza hapo
@@hassanmubarak704hajamkosoa bali ametanabahisha na
Hana adabu hatakiw kwanza kumlenga mtu direct af ni imam mkubwa huyu ana husda nae..mbona babu zake wa kitwariqa hawakosoi ndo wabovu balaa
Hajji Upepo weeewe unjaa upepo kwa kichwa.. Enda ukatafute tiba kakangu..
Hilo jina tayari la shekhe dosari Ni AL-DOWSRY) sio dosari, kwa hakika unalitaamka makosa,
Jee vipi hiyo Quran..? fanya heshima na hii dini kupotowa watu wasio juwa uwapotoshe.. Allah atupe hidaya tuifwate..
Unachokifanya Ni kusengenya na kuzalilisha ulichotakiwa kufanya Ni kufundisha na kukosowa makosa Bila kumtaja mtu huoni kama wamvunjia heshima wewe mkosa hekma eti unawaelimisha watu wewe ndiye unayestahili kukosolewa hadharani Kwa sababu ametumia njia isiyostahili hadharani hebu tupe ayyat ama hadithi inayoruhusu kutumia njia ya kumkosoa mtu mwenye ilmu yake kiwaziwazi Bila Kwanza kumfikia ili ikubainikie amekubali kosa ama amekataa kosa
Up sahih xn shekh
Naona anatafuta followers katka tv yke
Nimefatilia anachosema shekh na anavo soma imam ni tofaut kabisa
Kabisa ni tofauti tofauti tofauti, anaweka chumvi sna shkhe wala hafanyi anavyofanya huyu jamaa, astaghfiru llaj
Elimu muhimu kuna usomaji aina saba wa Quran mpaka uelewe hilo kwanza
Tupe kosa lake akhiy
Barakaallahu akhiy umesema kweli usomaji wa quraan uko aina 7
Kaka huyu upepo mtaftie kosa lengne ila kwa hapo yupo sahihi , mie mwenyewe nilihamaki nikasema ngja nimsikilize kwanza nijue kavurunda wap. Ni kweli Upepo yupo sahihi
@@sullaymanchande632sijui kapatia ao kakosea lakini tujiulize nihekima kuweka mambo kama haya social media nakumtaja muhusika tena imam wa msikiti kama makka hadharani??? Unaonaje angalimtumia email Sheikh nakumueleza kua shekh ww huna elimu na huko makka naona Hakuna wasomi kwahiyo naomba nikurekebishe ! Sheikh angelielimika akawaca kusoma makosa na file likaishia hapo.
Ila kwa maskitiko hata jina la Sheikh mwenyewe hajui kulitamka
Hata masahaba walikua wakikosea sababu ni bin Adam lakin waliyamaliza nakusahhihisha ndani ndani pasina kuwapa faida makafiri
Kwahiyo ukosefu wahikma aliooenyesha huyu jama nimbaya zaid yakosa la anaekosolewa .
Allah atuongoze
Wacha husda kijana. Hakika ya husda hula mama ya mtu kama vile moto hutafuna kuni.
Subhanah llah, laiti angekuwa anakosea asingerudishwa mara ya pili, asomee sasa yeye tumsikie
HUELEWEKI MPUUZI WEWE MALA MAUMBILE MALA HANA KOSA YANI SHIDA YAKO UNATAFUTA UMAARUFU HUU NI UJINGA KAMA ULIKUA UNATAKA KUWEKA SAWA HUKUA NA HAJA YA KUMFANYA WAMFANO HASA UNAPO SEMA HUJUI NI MAUMBILE AU KUSUDI
JINGA WEWE
Nadhani Wewe kwa upuuzi wako ndio huelewi mbona Sisi tunamuelewa vizuri Sana lengo la Ustadh ni Nasaha Acha chuki Mdogo Wangu
@@saidkipalo4427msitukanane Waislamu!! Ungemuelekeza vizuri tu Kuna hadithi imepokewa na Abu huraira kuhusu mlango wa kusoma Quran.Anasema nilimsikia mtume Muhammad(saw) akisema:Itatokea zama za mwisho watu wataisoma Quran Kwa kuivuta Kwa madaha Hata ikapoteza maana yake, na hawafanyi hayo isipokuwa Kwa kujionyesha tu na Wala hawana taqwa.
@@saidkipalo4427 Hapa hakuna chuki ila namwambia ukweli kama alikua amefatilia basi angejua kua sheikh anafanya kusudi lakini kusema mala Hana uhakika mala anao huko ni kukurupuka na kutaka views hakuna kingine Yani hawezi kufanya bahth na kuja na jambo la uhakika kama sio UTOTO ni nini Sasa aache kudumbua watu bana wasomi hawako hivyo
Hemu msikilize IDRISA ABKAR SINDO UTAJUATA KABISA MANA UYO YASSIR AL DOSSAR HALALAMIKI KAMA IDRISA ABKAR KUAA MAKINI UNAPO SAHIHISHA WENGINE WAPO SAW KUTOKANA NA QUR'AN BAZI YA MAENEO UNATAKIWA UVUTE HAD 6
WEW SHEKHE UNATAFUTA KIKI TU HUYU SHEKHE HAJAKOSEA HAPO COUZ HAJAVUTA GHARKA NYINGI SAW SAW IYO INA ITWA MADATUL TWAWIL KUA MAKINI UNAWEZA KUKOSEA PASIPO KOSOLEWA SW
The palate may be deep into thee nose for the first reader but for the it's not hence the sideways jaw movement.
Boy
Mbona unazidisha sana tofaut na yy anavyosoma umemmIdishia
Mbona husomi weww
SHK. WEWE NDIO HUJAELEWA ANAVYOTAMKA SHK. YEYE HATINGISHI MIDOMO, BALI NI SAUTI INAYOBADILIKA KATIKA KOO KWA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAWIMBI. SIO MDOMO SHK... ELEWA KWANZA KISHA NDIO UTOE MAELEZO. SHK. DOSARY YUKO SAHIHI. WEWE NDIO HUJAMSIKILIZA KWA KINA.
Mbona hajasema hivo....haji kua mtulivu...uyo mtoto sawa
بارك الله فيك يا شيخنا علي الفوئد الجم
Dunia hii kila mtu mwanachuoni, wengne wanatak sifa wasifiwee, Wangine hjiona wao hawana makosa, wengne no RIYAA
Al-Hajj
3. Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi.
4. Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali.
Petro nenda nyuma ssshhetani we 😢 uu kikwazo kwangu
Mashekhe hawana Adabu na dini
Weye mwenyewe kusoma hujui
Tuliambiwa dunia ya mwisho vitajitokeza vishekhe vya uongo mmoja wao ni weye
Mmechoka kusemana wenyewe sasa hivi mnaingilia nchi za watu
Loo Allah atakushindeni
Allah akuongoze usiweke mskhara ukaanza kumkosoa yeye kayaona makosa kusahihishana kwenye dini nisahihi acha kubeza
Btalaaaaa ..anasema bta la a a a makosa
Nimeskia vizuri na nimegundua usomaji huo ni sawa nabkuongezea herufi isiyokuepo
Nilipomsikia uyo mtoto ndo nimekuelewa vyema, ila kwa yy sheikh nilihic ni mic zinatoa iyo saut, ishaa Allah
Uko sawa kabisa sheik, ambae hato kuelewa ni mbishi wa maksudi tu!
Jee, umewapelekea taarifa?
Msikilize Vizuri Naujue Yeye Hayupo Huko Ulipo wewe. Anatuhadharisha Sisi Tunaoiga Lakini Nimuhimu Kuiga katika Kheri Au katika Usawa Nalile Lisìlo Sawa Tuachane Nalo
Jazakka llhahu khaira
Mimi nakubaliana nawe kwenye hili. Lakini unapo sema jambo hili ni kosa unatakiwa ulilete lililo sawa. Kwa hiyo katika kukosoa hayo unga fanya ihsani ya kurikodi kisomo sahiihi ili tufaidike. Kwenye hayo makosa mimi nakubaliana nawe 💯%
Chuki na watu wa sunna, hazitokusaidia kitu,walekebishe masufi wenzio waache kwani maulidi kisha waache shirki za kutawasuli kwa mayiti ndo uje katika watu wa sunna walokatika daawa ya mtume
WEWE MGANGA WA KIENYEJI KOSOANA NA WENYE NJAA WENZIWE ZAIDI UNATUMIWA KUFURAHISHA MAKADIRIA
Kabisaaaaaaa huyu mganga anazingua😂😂😂😂😂
shukran kwa jitihada lakini mbona utafute kiki kwa jitihada za wenzio
Upepo upepo
Si kua anamkosoa, ila shkhe anavyosoma si kama hivi anavyosema huyu jamaa, huyu ameweka chumvi, kama mtu ni msomaji wa Quran ataona hapo shkhe analeta madi, ambazo wanazivuta kama mashkhe wengine na wala hafanyi kama hivi huyu anavyofanya, si jambo sawa kuongeza uongo ambao si sahihi kwa asie jua kusoma Quran ataona kama vile anavyosema huyu jamaa anaekaa chini na kuweka chumvi kukosoa mashkhe, shkhe hawezi kuweka kusalisha makkah kama ingekua ni kweli anafanya kama huyu anavyosema, huyo mtoto ndio anafanya kama huyu anavyofanya, ila kwa yoyote anaejua kusoma Quran akisikiliza shkhe anavyosoma ni tofauti kabisa na huyu jamaa anavyosema, ni chumvi tupu unasingizia na wasiojua wataona kama unayoyasema ni sawa, wewe rekodi walau peji kadhaa usome kama kweli wewe unajua kusoma Quran sahihi kiasi unakosoa maimam wa makka makosa ya kuwasingizia, mche ALLAH wewe,
Chaajabu huyu jamaa hana jitihada yoyote katika din ukimuangalia hata muonekano wakehauna athari katika dini jamani mukisha kula vyenu nendeni mukaongeeni mambo ya tonge waacheni kuwatukana watu ambao vizazi navizazi vimetumia kuwandaa kwaajili ya dini nyinyi kaeni uwanaharakati wenu nyinyi mume lelewa kihila na hila zeni zimewafanya dini imewashida nyini watu nyinyi tabia zenu zinanuka yani lile jopo lile jopo lililo mchagua halijaona wewe khaini ndoo umeona kweli wenzetu dini imewashinda acheni hila
Nenda wewe ukachaguliwe kua imam mulijisau kusoma din mukashika mila za babu zenu mukaona nidini sasa munajiita wasomi msiba mkubwa
Shukran
Man mm nimesikiliza hizo mbwebwe kwa huyo shehe czioni ila kwa huyu mkosaaji anazilazimisha zije na ziwepo
Haji upapa anatafuta umaarufu tu
Hakuna Mkamilifu ila Allah
Al_Kamaalulillah