UKIAMBIWA UKASOME TAFSIRI YA QUR-AN USIKATAE || Muhammad Bachu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 дек 2024

Комментарии • 224

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 15 часов назад +4

    MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLA akuzidishie afya n uumri mrefu

  • @ibrahimmaabadi1586
    @ibrahimmaabadi1586 15 часов назад +4

    Wallahi ninamshukuru sana Allah kwa uwepo wako. Maana tangu nimeanza kufuatilia hizi raddi ninaelimika zaidi na kutambua uovu wa hao watu wa bidaa. Wallahi nimeona kwamba hawana hoja wala hawajitambui. Hafidhaka Allah ya Muhammad Bachu.

  • @RashidAli-p2j9k
    @RashidAli-p2j9k 19 часов назад +4

    Mashaa Allah. Allah akuzidishie ilmu uzidi kuibainisha haqi shekh Muhammad bachu

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad День назад +8

    Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa uhibuka fi allahi sheikh muhammad bachu

  • @LwPrintingPros
    @LwPrintingPros День назад +16

    Kama hawaja kufahamu sijui kama wataweza kukufahamu tena, ila naamini wanafanyia istihizai aya za Allah

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 День назад +5

    Maashaallah sheikh Muhammad tuko pamoja na tunakupenda kwa ajili ya Allah (s.w)♥️ 💖

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 19 часов назад +3

    Sheikh Bachu tunakupata 100 kwa 100 waelimishe hao maghulafi watu wa bidaa kwakweli Muamedi bachu tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa jamii

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 День назад +10

    Mashallah shekh bachu, hakika tunapata faida nyingi kupitia Hao wanao lazimisha yasiowezakana

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 20 часов назад +3

    Masha Allah sheikh Muhamad bachu Allah akuhifadhi

  • @cammackmarck
    @cammackmarck День назад +3

    Wallah kila unapowafanya wao ubao sisi ndio tunazidi kunufaika allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @AbbasFadhiliAbdallah
    @AbbasFadhiliAbdallah 17 часов назад +1

    Tunakuelewa sana Bachu, endelea kufundisha na kila anaye elimika thawabu unazipata, ila anayepoteza watu wa Allah nakama atazipata. Hajahifadhi kitabu cha Allah,

  • @iddimselemjuma
    @iddimselemjuma 15 часов назад +2

    MashaAllah sheikh leo umetoa somo kamili

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y День назад +9

    Tunashkuru allah akufanyie wepesi ww na ss kukuelewa

  • @khamismaggy6484
    @khamismaggy6484 23 часа назад +4

    Sheikh achana na mjadala huu. Hawa wanajua lkn wamechagua upotofu na Allah kawapa nguvu ya kuelekea huko huko walikojielekeza.

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 День назад +13

    TUPO MWNZA TUNANUFAIKA SAN NA JUHUD YAKO NA ALLAH AKUFANYIE WEPES KUELIMISHA JAHIL HILO ILA SIS TUNAELIMIKAN KUPITIA HILO TAILA

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi День назад +3

    Sheikh Bachu Allah Akuhifadhi na Akuzidishie kila la kheri. Kwa ufafanuzi wa namna hii utawatia maradhi ya pressure wenzetu maana unagonga ndipo hasaa. Illa khofu yangu ni ndugu zetu wasije wakajitia kwenye dhambi kwa ubishi tu wa kukataa haqqi iliyo wazi kabisa kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Bachu (HafidhahuLLah). Allah Atuongoze!

  • @MasudiAli-o8q
    @MasudiAli-o8q 19 часов назад +3

    Hakika Unaeleweka kabisa Shekhe wetu Mashallah.

  • @RAMADHANZSHAABAN
    @RAMADHANZSHAABAN День назад +6

    MASHA ALLWAH SH BACHU NAKUPENDA MNO KWA AJILI YA ALLWAH

  • @AbdulmalikiKweyamba-n1p
    @AbdulmalikiKweyamba-n1p 19 часов назад +2

    Allah akujaalie kila la nkheri nakufuatilia sana niko burundi

  • @mohammedhassan-o9s
    @mohammedhassan-o9s День назад +4

    Alhamdulilah tunapata faida ni nying sana mashallah , ila naon kwa hivi hata uwape dalili zote hawatoelewa kwasbb wameshkilia msimamo wao naomba tuendelee na duruusubzetu za lugha na kma kuna kitabubchengine cha fiqhi basi tukianza bac itapendeza ili watu wanufaike na waendelee kujua dini yao inshallah.

  • @MwanakomboAbasi-j1r
    @MwanakomboAbasi-j1r 3 часа назад

    Allah akuhifadhi shekh muhammad wallahi nakipenda kwa ajili ya Allah namuomba Allah akulinde uzidi kutuelimisha

  • @AminaFimbo-rd5je
    @AminaFimbo-rd5je 17 часов назад +3

    Yusuf Diwan hajahifadhi Quran hajui Qur'an na tafsiri zake. Yeye anachokijua ni ujanja ujanja wa Lugha ya kiarabu upande wa Mahwu, Balagha na Swarfu basi. Sheikh Muhammad Bachu, Allah akubariki na akukinge na kila la shari.

  • @IddiMakame-i2l
    @IddiMakame-i2l День назад +2

    JAZAKALLAHU KHEIR SHEIKH BACHU
    KWA KUMSAIDIA ZAIDI SHEIKH DIWANI
    ATUTAFSIRIE KATIKA SURATUL MUUMINUN KUAZIA AYA YA 87 HADI 89 ILI TUJUWE KAMA KWELI YUPO KWAAJILI YA KUENEZA DINI YA ALLAH

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 День назад +2

    Shida ya masheikh wa kikhurafi hawajahifadhi Quran na tafsiir hawaijui.Kazi yao ni kugangaganga maneno tu na kupotosha waislamu.Sheikh Bachu Allah akuhifadhi uendelee kuwakosoa na kutufundisha sisi.

  • @ibnkhalid-mh2rb
    @ibnkhalid-mh2rb День назад +3

    Nataka kufahamu faida ya kuyatikisa mabega wakati wa mwanzo wa kuzungumza halafu الحمدوو kuivuta ni sahihi
    "Allaah atuongoze..."

  • @idrissa1994
    @idrissa1994 23 часа назад +1

    Mashallah Allah akuzidishie elimu ni wazi unaelimisha umma sh.Muhammad Bachu

  • @bukhariznz
    @bukhariznz 20 часов назад +2

    mimi nakupenda kwaajili ya allah nspenda sana ukitamka khee

  • @user-dr9ky5oo1i
    @user-dr9ky5oo1i День назад +4

    Mashallah tumekuelewa shekhe Allah akubariki

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan День назад +1

    JAZAAKALLAAHU KHEIR SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI UZIDI KUWAUMBUA HAO MASHEKH WAGANGA KWA UPOTOSHAJI WA DINI ILI WAKIDHI MASILAHI YAO YA KIDUNIA..

  • @jumakwale8414
    @jumakwale8414 День назад +3

    Masha Allah, Allah akujaalie maisha marefu ummah ufaidike na elimu yako

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День назад +7

    فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya День назад +10

    Elimu unayo itoa na mtu unae shindana nae nikama unamsomesha mtoto wa chekechea masomo ya chuo kikuu Yani huyo mganga ni zuzu kweli nilicheka sana siku 1 alisema et hizi comment zetu ni zako Wewe mwenyewe sijui Sisi waskilizaji zetu zipo wapi Yani mtu zuzu ni zuzu tu, huyo hata Mimi namzidi mbali sana.

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 5 часов назад

    Diwani hawezi kukuelewa bachu ako na kichwa ngumu kama mawe..bt sisi uku nje tunaelimika sana Allah akuhifadhi kka..

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu День назад +2

    Allah akuhifadhi shekhe bachu

  • @MussaYasini
    @MussaYasini День назад +2

    Mashallah vzr sana shekh wetu

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku День назад +1

    Alhamdulillah Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na wao pia na zaidi ni mwenye akili atazingatia na ajue kweli usufi utwarika ushia ni upotovu

  • @MASOUD-e3i
    @MASOUD-e3i День назад +2

    Allah Akubariki Akhu Muhammad Bachu hilo diwani ni ganga halielewi kitu kwanza liongo sana na utapeli tu

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر День назад +9

    Simba huzaa simba allah akubariki

    • @AyoubHajj
      @AyoubHajj День назад

      Wallah akhi ndugu yangu
      Me nafurahi sana manke tunaelimika kwa dalili zilizo wazi
      Sema akhi Muhammad bachu hiki kibonde chake anakipiga dana dana anavyo taka yeye adii raha wallah
      Allah atuhifadhi ndugu zangu

  • @YAMALONLINETV-b3v
    @YAMALONLINETV-b3v День назад +2

    MashaAllah kila kitu Kiko wazi kabisa wanaubishi tu

  • @LuluAquai
    @LuluAquai День назад +5

    Safi sana sheikh Muhammad bachu

  • @jambu966
    @jambu966 22 часа назад +1

    Assalam aleykum warahamatullah wabarakatuh shukran Sana Sheikh Bachu.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 День назад +4

    Wallahi umefafanua nyepesi kabisa and I hope wengi wataelewa lakini Mr Diwani sioni kama atakubali hata kama ameelewa

  • @ahmetmwandu8499
    @ahmetmwandu8499 23 часа назад +2

    Mpasue kabisa ganga yusuph diwani.. Sijui anafikiria nini yule. Allaah amuongoze

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud День назад +3

    Jazaakallahu khaira

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi День назад +2

    Sheikh wetu muhammad bachu me naomba nitoe ushauri tu, huyu mwenda wazimu atatupotezea muda ima uwekwe munaqasha baina yako na yy ama mfungie maongez km ulivyowafungia kina abuu rududi baad ya kushindw kuvunja hoja na kutoa ushahid juu ya jambo fulan wakawa wanazunguka na kuropokw mpk ile mada wakaitia kwapuni bx na huyu mfanyie hivyo hivyo kwn una mengi muhim ya kuyazungumza na kuwapa w2 faida ktk dini yetu.
    Sk zote m2 akishatia nia yake ya kua atakwend kunyume na ww bx allah pekee ndo atamuongoza kupitia ujinga wake au atamuacha aangamie baad ya kuja ukwel akaukataa kw iyo usisumbuke na w2 ambao ni machizi sisi tunataia faid ya v2 vingi kupitia ww InshaAllah.

    • @KhamisFundi
      @KhamisFundi День назад

      Mdiwani hutumika kama ubao kuwaelimisha watu, kila anapojitutumua sisi ndio tunafaidika zaidi kupitia mwalim wetu Allah amuhifadhi Muhammad Nassor Bachu

  • @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk
    @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk День назад +8

    Mashaا الله she mihamadi bachu الله akuongoze nakupenda kwa ajili ya الله

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День назад +4

    أسأل الله أن يرفع درجتك

  • @KasimuKiduba
    @KasimuKiduba День назад +1

    Mashalaah tunapata faida nyingi sana

  • @IbrahimSuleyman-xs7wi
    @IbrahimSuleyman-xs7wi День назад +7

    Alhamdulillah Leo nmkuwa wa kwanza akhy bachu nijibu nifurahi😅

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 День назад +1

      Atakujib in shaa Allah

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  День назад +3

      Mashallah Allah akubarik @IbrahimSuleiman-xs7wi

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn День назад

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. ruclips.net/video/2CgZnMuvfyk/видео.htmlsi=7R3cOoaKQqlztpQb kuna hii clip chafu ya haji upepo naomba uiskize

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 День назад +4

    Asante nilikua nasubiria kwa hamu vedeo yk

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 День назад +1

    Ukristo mambo leo duuh hatari. Ila comments zinathibitisha kua wengi tunaelewa faida kubwa inapatikana Jazaka Llahul khayr 😊

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm День назад +1

    Hao washavaa jezi nikisikiliza nacheka sana,,eti allah nikitu kingine rabbu nisehemu kamungu inachekesha HAO WASHAVAA JEZI

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 День назад +2

    A.Aleikum
    Naomba Please yeyote atakae muona Yussuf Diwani a mwambie huku kenya TUNAOMBA AYA HAU HADITHI ya wazi wazi inayo sema Marungi na mugokaa ni Haramu please AYA AU HADITHI YA WAZI WAZI itatusaidia sana tena pakubwa inshaAllah.

  • @muhammadkarama9996
    @muhammadkarama9996 День назад +2

    Huu mjadala wenu wachosha sasa. Mwenye kutaka haqi ashajua haqi iko wapi. Tauhid ni kumpwekesha Allah. Na kugawanya tauhid ni kugawanya aina za kumpwekesha Allah wala hagawanywi Allah. Mfafanulie huyo mchawi taarif ya tauhid kisha basi huu mjadala umechosha

  • @FarahJey
    @FarahJey День назад +1

    لقد أسمعت لو ناديت حيا ولكن لا حياة لمن تنادي
    ولو نار نفخت بها أضاءت ولكن أنت تنفخ في رماد

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e День назад +1

    Ikiwa bayana iko wazi hawataki basi allah avunje ndimi zao kwakule kushindana na hakki, ili kuwapoteza watu.

  • @isarichard
    @isarichard День назад +3

    Sheikh mwambie yule muganga yusuf dawani awe anafungua sehemu ya comment asiwe anakukutukana nakufunga comment. Isa wa Zambia🇿🇲

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 7 часов назад

      HAWEZI KUFUNGUA KWA SABABU ANAJUA KUWA ANAWAPOTOSHA WATU NA WATAMKOSOA MWENYEWE NAMTAMANI SANA AFUNGUE HANA LOLOTE

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 9 часов назад +1

    DIWANI JIFINZE KWA BACHU USITETEE UGANGA BWANA

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya День назад +5

    Wewe bacho, hutakiwi kuitwa mwalimu unatakiwa uitwe mwalimu wa walim au sheikh mkuu au ulamaa

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 20 часов назад +1

    Yusuf Diwani Hana tofauti na Aduii Chongo

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney День назад

    MASHAALLAH Leo matamu kwel asaaa

  • @ShaibMussa
    @ShaibMussa 22 часа назад

    YANI UYU YUSUF DIWANI KAMA MLEVI YANI 😂😂😂😂😂

  • @abuujamsheed2345
    @abuujamsheed2345 День назад

    Haya ni madhara ya kuingiza fikra zao za kisuffiya katika mipaka ya Allah hawa jamaa wamenitoka kbsa

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op День назад +1

    Achana nalo Hilo taira la kisufi linaleta kiburi na jeuli Allah, alichome

  • @Muswlih
    @Muswlih 23 часа назад +1

    Yusuf Diwan kufunga sehem ya comment hahahaha anajua utumbo anaufanya

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga День назад +3

    Sheikh lete aya au hadith inayogawanya tawhid mara 3,
    Kila siku unabadilisha mada.

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e День назад +1

      Wewe ni taahira kama hujaelewa kapimwe akili

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn День назад +1

      Suratul Maryam ayah ya 65

    • @izmamuizmamu6521
      @izmamuizmamu6521 День назад +1

      Kila siku Aya mnapewa tena unadai nn😂
      Au umetumwa na Diwan Kuja kuchafua Hali ya hewa

    • @eidallyeidally5093
      @eidallyeidally5093 День назад

      katoto kadiwano😂😂😂

    • @SaidMadai
      @SaidMadai День назад

      Hamna ktk kur an iyo aya km msemavyo tiket kutokea ktk ukiristo n laillahaillawaahu Muhammad rasulullah iyo yenu mumeitoa wp mn Mtume hakufundisha c bidaa iyo​@@NoorAli-vj4gn

  • @mohamedmrisho6343
    @mohamedmrisho6343 День назад

    nisahihi allah ndy huyohuyo rabuku au rabi mlez huyooo nimungu

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm День назад +2

    Akhy chukua hiyo kumsaidia hata masufi wanakiri Allah ndie aliyeumba lkn Kun wakati humuomb awaokoe jailany tena kupitia kaswid yao ....madadi yaaa jailaaany madady yaa jailaany........... Diwani hamun kitu pia hata waisilamu wanaokwenda kwa wagang wanakir Allah ndiye aliyeumba mbingu na Ardhi

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 16 часов назад

    Wamefunga comenti zao hao waganga watapeli. Wanakutukana sheikh wetu. Lalalala wafungue comenti tuwajibu sawa na maswali yao

  • @SamhatPandu
    @SamhatPandu День назад +2

    Uyo tapeli haelewi2 mpk anakera ss

  • @adnanestropa7092
    @adnanestropa7092 День назад +2

    MashaAllah

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan День назад

    Jamani huyu Mganga ana khofu na Allah kabisaaa!

  • @AmourSaid-p1x
    @AmourSaid-p1x День назад

    Kwa hakika waumini wote ni ndugu, JE WEWE UNAPOSEMA NDUGU YAKO HUYO ULIESEMA NI NDUGU YAKO, NI NDUGU YAKO KWENYE UGANGA AU KWENYE KUTAPELI AU UNAMAANA GAN UNDUGU WAKO WEWE NA YEYE

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 7 часов назад

    DIWANI ANAZOZAZOZA TU WANAOMUELEWA WANAUFAHAMU KAMA YEYE WASIOJUA KITU

  • @MuemedeMussa
    @MuemedeMussa Час назад +1

    Ana hoja nhengine huyu bora umuache ni mjinga

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 День назад

    Bachu ni mshahara.😂😂

  • @omarjuma1794
    @omarjuma1794 День назад +1

    Hao hawarelewi yaani vyoote ivo unavyowaleza, Kufahamu pia ni Rizk

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e День назад +1

      So kama hawaelewi Wameamua tuu kushindana na hakki na kuburi Cha ujahli kimewajaa

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb День назад

    Ungekuwa unachembe katika Elimu ungejua.namna ya kuelezea hayo mafungu ya tawheed

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z День назад

    الحمدلله sio الحمدو لله😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha День назад +1

    Haya uliyoeleza ndiyo km usahihi wa maulidi,hakuna aya wala hadithi bali tumeyapata kutoka kwa wanavyuoni.

  • @RajabuMsumari-dh5jb
    @RajabuMsumari-dh5jb День назад +1

    Bachu acha ujinga kasome.

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 День назад

    Wewe kweli mwehu, unaulizwa nini unajibu nini,
    Wacha wehu unajidhalilisha

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e День назад +1

      Wewe ndo mwehu tena hata akili huna usicho kuelewa niniapo sasa au akiliyako nisawa na yusufu diwani sio😅😅😅

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e День назад

      Yani wewe ni taahira sijapata kuona shekhe kufafanua vizuri bado wabishana ,allah akuongoze

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب День назад +1

    Yusuf diwan anatumia akili Hana hoja Kwanza binafsi namwambia hajui makusudio ya nususwi inabidi asome maqaaswidu Sharia na pia asome usulul fiq'h vizur naona Amesoma wasilati shafi Sana kwajili ya kuagulia na kulia nyama

  • @iddikayombe166
    @iddikayombe166 20 часов назад

    Naomba uwaambie waweke mambo wazi tukomenti kwa Nini wanaficha?

  • @RAMZANJumma-hr3ff
    @RAMZANJumma-hr3ff 18 часов назад

    KWANI MAWAHABA MUNA MAMBOGANI TENA WEZETU TOFAUTI NA UISLAM

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 День назад

    Diwani kafunga mpaka comments .
    Domo chafuu matusi mengi kama mau zinde.
    Ila atanyooka tu senge bovu....
    Tuanasoma hapa hatushindani.
    Sheikh Muhammad msomeshe huo mganga muuza dawa... Hamuna kitu humo usichoke.

    • @ameirmohamedhaji2823
      @ameirmohamedhaji2823 День назад

      Mwacheni Diwani na matusi yake nyie msitumie hio ndo taqwa hatujibu matusi kwa matusi.

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 4 часа назад

    Sh. Wasikushugulishe hao. Hata washirikina wa sasa Kama yeye huyo Diwani ndio walivyo hukengeuka ktk masiala ya kuabudu.

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e День назад

    YANI SHEE HUYU YUSUFU DIWANI NIMJINGA ILEMBAYA UKITIZAMA VIDEOYAKE YAJANA NDO UTAAMINI KWAMBA NIMJINGA KUPITILIZA. NANDOMANA ANAFUNGA SEEM YA KOMENT ANAJUA ANGESHAMBULIWASANA NA WATU WENYE UFAHAM

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 День назад

    Diwan anazidi kujiumbua kuwa uelewa wake mdogo
    Anakurupuka Sana inaonekana

  • @IddyHasani-n2t
    @IddyHasani-n2t День назад

    Tatizo watu wakomenti tupo kishabiki zaidi hutuangalii haki uko wapi tukaifuata as tunaangalia Alie SEMA ni shekhe waupande Gani Allah atuongoze katika kuifuta haki ilipo bila kujali Alie SEMA ninani,

  • @LuluAquai
    @LuluAquai День назад

    Sheikh bachu baada ya darsa hii,huyu achananae,hana point,achananae

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 День назад

    yusf diwan سورة الفيل anaijua tafsiri kweli

  • @mohamedmrisho6343
    @mohamedmrisho6343 День назад

    asalm kwema mm nafuatiliya ila kinaniuma kitu kimoja mnatukanana ukiona mtu hajuii mlinganien kwa taratibu sy mtukanane

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 День назад

      Ukisikiliza mwanzo mpaka mwisho HAKUNA TUSI lolote kwenda kwa Mheshimiwa Diwani, na kuitwa MGANGA yeye mwenyewe anaona sawa nd mana msimamo wake siku zote anasema UGANGA UPO KWENYE UISLAM. Kiufupi DIWANI HAJATUKANWA

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 День назад

    Mimi shekhe nimekueew achana na uyo mlevi

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z День назад

    Tafuta kitabu hiki kitakusaidia ufahamu kidogo حسن التفهم والدرك لمسألة الترك 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @danialsuleiman9706
    @danialsuleiman9706 8 часов назад

    Huyu mzee atakubali tu mara hiii darasani kwake watu wanazidi kukimbia uko

  • @alihoza1797
    @alihoza1797 18 часов назад

    Hili diwani kweli niganga halijui kitu mbona mpumbavu kiasi hiki jamani

  • @Tolleiyss-g6b
    @Tolleiyss-g6b День назад +1

    Tuko pamoja

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan День назад

    HUYO MGANGA DIWANI AKASOME AU AULIZE AFUNDISHWE NA SI KUWA NA ELIMU NDOGO KWA LENGO LA KUTETEA UGANGA WAKE

  • @ramillywood909
    @ramillywood909 7 часов назад

    Huyu jamaa hafai hata kujibishana nae hajiamin na elimu yake kafunga tusikomment, nahis kama lengo ni kumjibu yeye ili tuelimike basi twenzetu, laa kama hay majibu ni kwa ajili yake bas achana nae astupotezee mda, kila time yupo redio anatafta washtiri