Shisha ina madhara mengi katika mwili, tumbaku yake ni kali sana kushinda sigireti, Kemikali nyingi za sumu zimepatikana katika moshi wa shisha Unaweza kuishia kuvuta moshi mwingi zaidii kuliko sigara kwa sababu kwa kawaida unavuta pumzi na kuvuta kwa muda mrefu na kutumia pipe kubwa zaidi. Ikilinganishwa na sigara, katika kipindi cha wastani shisha unavuta: Mara 2-3 ya kiasi cha nikotini Mara 25 mpaka 50 kiasi cha (tar), mvuta shisha anavuta moshi wa tumbaku na mishi wa makaa na kemikali ta mafuta ta manukato ya kuficha harufu ya moshi wa shisha. Allah anasema فَمَاذَا بَعْدَ ٱلْحَقِّ إِلَّا ٱلضَّلَٰلُۖ Na kipo kitu gani baada ya haki, isipokuwa upotovu tu? Maradhi mengi sana tanatokana na shisha na ndugu yake sigireti na wote makhabithi
Shisha ni Mraibu "drug addiction" na ikitumika sana mpaka inafikia huwezi tena kukaa muda bila ya kuipata na utakuwa tayari kuwacha mambo yako ya maana kwa kuitafuta hiyo Shisha. Allahu a'alam
Shisha ina madhara mengi katika mwili, tumbaku yake ni kali sana kushinda sigireti, Kemikali nyingi za sumu zimepatikana katika moshi wa shisha Unaweza kuishia kuvuta moshi mwingi zaidii kuliko sigara kwa sababu kwa kawaida unavuta pumzi na kuvuta kwa muda mrefu na kutumia pipe kubwa zaidi. Ikilinganishwa na sigara, katika kipindi cha wastani shisha unavuta: Mara 2-3 ya kiasi cha nikotini Mara 25 mpaka 50 kiasi cha (tar), mvuta shisha anavuta moshi wa tumbaku na mishi wa makaa na kemikali ta mafuta ta manukato ya kuficha harufu ya moshi wa shisha. Allah anasema
فَمَاذَا بَعْدَ ٱلْحَقِّ إِلَّا ٱلضَّلَٰلُۖ
Na kipo kitu gani baada ya haki, isipokuwa upotovu tu?
Maradhi mengi sana tanatokana na shisha na ndugu yake sigireti na wote makhabithi
Mtizamo wangu shisha ni Haram moja kwa moja na uharam wake niambo mengi kwanza ni kuharibu afya yako na Allah amekataza hilo
Shisha ni Mraibu "drug addiction" na ikitumika sana mpaka inafikia huwezi tena kukaa muda bila ya kuipata na utakuwa tayari kuwacha mambo yako ya maana kwa kuitafuta hiyo Shisha. Allahu a'alam
MashaAllah kwa mchango wako muhimu sheikh Nadir.Allah akupe kheri zaidi kwa kutupa faida.
Kwa dalili Aya ya Allah Wala talkuu biayiyakum ila tahaluka usijiingize kwa mikono yako katika maangamizi na moshi unadhuru
Pili ni israaf ya pesa kuchezea pesa kwa kuvuta na kutoa Moshi isioleta faida na israf ni Haram kama Allah alvyotangaza
mashaAllah Sheikh Ahmed
Tatu kwa Hadith ya mtume muhamad swalallahu aleihiy wasalam alosema kila kileweshacho kingi na kidogo chake ni Haram nadhani hoja tatu hizo zatosha