SHK.MSABBAH AKIRI KUROGWA MKOKOTONI ASIMULIA HALI ILIVYOKUA KARIBU APOTEZE UHAI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 9

  • @sammoses7479
    @sammoses7479 Год назад

    Masha Allah, m/mungu azidi kukulinda

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 2 года назад +3

    Kirambi haha hatari inaonesha sh Musabbah alikua mtata sana huyu utotoni Allah ampe taufiq na afya njema azidi kutupa elimu

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 года назад +3

    Mashaallah...kulikua na wajuzi

    • @salumnassor6555
      @salumnassor6555 2 года назад

      Binadamu wabayaaa sanaaa mtoto Anakosa gani na yapo hayo kirambii mpaka leo

  • @ibrahimubakarisuhuzwa4737
    @ibrahimubakarisuhuzwa4737 2 года назад +1

    Cjaelewa chochote naona Kama unashauri watu wafanye ushirikina muogope ewe mja waallah

    • @Di-official97
      @Di-official97 2 года назад +1

      Ngoja tukueleweshe
      Unajua kua hata mtume muhammad s.a w alifanyiwa ushirikina
      Na hapo anaelezea alipokua mdogo na hata hakua shekh ila ameelezea jinsi alivofanyiwa ushirikina tu

    • @amerwelder7786
      @amerwelder7786 2 года назад

      Sasa uwo ushirikina upo wapi apo

  • @kadoditsa3805
    @kadoditsa3805 Год назад

    Hahahah...... Kwani huyu ni nani.... Angalieni Makucha zake hapooooo.🤣🤣🤣... shekhe gani huyuuu

    • @salimkhamis9406
      @salimkhamis9406 Год назад +1

      Shekhe msabaha hyo kama humjui ni Shekh Salim Msabaha na kuhus kucha mfanyie mpango apate mke mdoogo tu aongeze akamkate kucha kma una mdgo wko ni aula