Uhulu wakuabudu skuizi umepitiriza ukienda nyumba za ibada naona kama wanaigiza pesa wanaingiza kwa mafuta ya upako imani yanguvu zagiza inafanyika tupo macho brother unjuu sjui nikwambiaje 💥💥💥💥🎙️🎙️🎙️🎙️
Iko wazi Hip Hop artists wengi wanaandika kwa kufikiri( kutumia akili), wale wengine wanaangalia udaku, ngono, kiki, utunzi hafifu na upumbavu mtupu kwa walio wengine
Leta full interview Chen kuzngua ganja Unju ana bonga fact Alafu Albm nmenunua Ina Mawe heavyweight
Uhulu wakuabudu skuizi umepitiriza ukienda nyumba za ibada naona kama wanaigiza pesa wanaingiza kwa mafuta ya upako imani yanguvu zagiza inafanyika tupo macho brother unjuu sjui nikwambiaje 💥💥💥💥🎙️🎙️🎙️🎙️
Uhulu ni Nini hiyo ndugu yangu jifunzeni basi Kiswahili
Unju ana akili sana huyu mwamba watu kama hawa ni faida sana Kwa taifa lolote duniani
Mahojiano mazuri tena ya kimkakati. Yanakuza utamaduni halisi.✊✊
Uwa naenjoy San interview za #unju
Una akali sana, kweli asiyejielewa hawezi kukuelewa
Unju Chukua Jimbo Mzee Baba
Mbona interview fupi wapi tunaipa yamuendelezo?
MHeshimiwa DR.UNJU💯💯💯💯💥💥💥💥💥💥💯💥💯💥💯💥👏👏👏🤝🤝🤝
Hashimu anaimba wee upo boya ww
Mzuka mwingi Unju
Kumsikiliza Unju inabidi umsikilize mwanzo Mwisho Sasa hapa ndo mmefanya nini
Kumbe J r yupo times fm
J.R Junior Naenjoy sana ukihoji interview zako haswa hup hop unasupport kubwa bro
Legend
SEMA unju anabalaa kwenye mahojiano yeyote
Wee mwamba ni mwanaharakati piua, unajua jinsi ya dadavua kitu kwakina majibu yaliyoshba
Akili nyingi unjuuuu
Sana jamaa ni jiniaz
Interview za unju,chid na eyez nako hua naenjoy na hazichoshi
Wewe kama Mimi kabisa na nyandu tozy pia
Hiyo mic 🎤 yenu inatakiwa kunyanyuka kidogo sauti iko chini
Baba ckupingi mazee
Unajua akujui atabaki kukubali nyegezi
Nimerudi leo nilikua mtatumalizia ila bado wapi tuifate maana timesfm ipo nusu jr vip unatusumbua wafuas wako
Bin upupu
Hiphop wana akili
Waimbaji wakihojiwa ni ovyo tu
Ni Hiphoppas(Wanaohusika na utamaduni wa Hip Hop)
Iko wazi Hip Hop artists wengi wanaandika kwa kufikiri( kutumia akili), wale wengine wanaangalia udaku, ngono, kiki, utunzi hafifu na upumbavu mtupu kwa walio wengine
@@frankkajoba8372 kweli kabisa
Hata mashabiki wa muziki wa RAP Wana akili pia😂😂
Huyu jamaa ana nyimbo gani mbona kama hana hit hata moja??
Duh 🤔
We utakuwa umeanza kusikiliza mziki juzi
@@santanatz2559 hizo ngoma zake alizowahi kufanya miaka ya 2009-2012 ni ndogo sana naona anajipaisha tu na kujiweka kwenye ukubwa asiokuwa nao.
Unamzungumzia jamaa gani?
Sawa toa wewe hit tuisikie
Sasa nyie CHIMBO LA HIP HOP kwanini mnapost interview muhimu kama izi NUSU NUSU? hata kwa wakazi mmefanya vivyo hivyo
Kaka tuuwiane radhi kuna muda inatulazimu kufanya hivyo
dada wakazi naye msanii?