Singida Black Stars 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 28/12/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 201

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 15 часов назад +3

    Hongereni Sana Azam-Youtibe.
    Mko fasta sasa kupandisha Highlights. Biiig BIGUPS... 👍

  • @4revertv523
    @4revertv523 15 часов назад +67

    Usilike comment yangu maana nimemfanyia singinda ubaya ubwela

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 14 часов назад +3

    Didn't know, Tanzania league is so tough like this.
    Congratulations Simba for the big win.from Cameroon

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 14 часов назад

      Welcome my friend Tanzania is your second home say ubaya ubwela in advance 😂😂😂😂

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 14 часов назад +1

    Aksante sana Mungu Kwa zawadi ya ushindi wa timu yangu pendwa Simba SC ❤❤❤❤❤

  • @Burange666
    @Burange666 14 часов назад +5

    Sasa Singida nendeni mkanywe supu ya mbwa halafu mkacheze na Utopolo

  • @MseyaMayuki
    @MseyaMayuki 13 часов назад +1

    SIMBA ni jeshi la mtu mmoja,hongereni wachezaji wetu endeleeni kupambana hivyo hivyo❤❤❤#SIMBA nguvu moja

  • @JUDITHELISHA-h1y
    @JUDITHELISHA-h1y 12 часов назад +4

    Ande kofi alichokifanya kwa kibu Denis ni makusudi na kitendo cha kipuuzi sana,tunawaomba sana wachezaji wampira watambue kuwa ukimsababishia mwenzio majeraha ya makusudi unaigalim timu na family ya huyo mtu mana mpira ndo kazi yake ,sjapenda kwakwel

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 13 часов назад +5

    Gori kipa wa Simba yetu apewe maua yake❤❤❤🪴🌹🏂🌺🌺🌺🪴

  • @DavidAbellJunior-jc2vm
    @DavidAbellJunior-jc2vm 14 часов назад +3

    Spider man pin pin mussa Kamara❤

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 13 часов назад +4

    Alhmdhulillah

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 14 часов назад +3

    Singida walisahau kwamba Mo alikuwa mbunge wa Singida na kuna sadaka alitoa hawatamfunga simba maisha yao yote wakiwa Singida

  • @JilaxBrown
    @JilaxBrown 10 часов назад

    Daah.. ila camara amejitahidi sana kudaka.. daah hadi raha.. simba nguvu moja.. ❤❤

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 14 часов назад +2

    Ubaya ubwelaaaa❤❤❤❤❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 13 часов назад +1

    Jaman ongera vijana,Hakika mwaka huu wetu.❤❤❤🎉🎉🎉🪴🌹

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 15 часов назад +5

    KULIWA AMELIWA CHUI.. UCHUNGU ANASIKIA CHURA...

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 14 часов назад +1

    This is 🦁💪

  • @AminaFadhili-qe3et
    @AminaFadhili-qe3et 12 часов назад +3

    👈👈 ukimnyosheya mwenziyo kidole kimoja 👈👈 kumbuka wewe vimekugeukiya 4. Utapomuombeya mwenziyo baya. Lazima litaanza kukufika mwenyewe 😂😂😂.

  • @ModouTop-h3g
    @ModouTop-h3g 15 часов назад +3

    Simba is the best team ❤️⚪❤️

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 14 часов назад +4

    Songa mbele twende chama langu

  • @Jton-u1h
    @Jton-u1h 11 часов назад

    Camara man of the match

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 14 часов назад +1

    Ubayaaaa ubwelaaa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 11 часов назад +1

    Kama unateseka na matokeo haya wee lichawi 😂 hii ndo Simba Sc ya ubaya ubwela

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 14 часов назад +4

    Ubaya ubwela kama wote tmekubali

  • @BraisonHamis
    @BraisonHamis 10 часов назад

    Kimya ww huogopi hio ndo simba❤

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 13 часов назад +4

    Hivi ndivyo Tunataka Mussa Camara Awe 💪
    Congole nyingi sana Kwa Makanda wetu Hawa Wa Simba sc"
    Simba Nguvu Moja.

  • @hyman2188
    @hyman2188 15 часов назад +8

    KAPIGWA CHUI KILIO KWA VYURA WA JANGWANI😅😅😅

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 13 часов назад

      Kama alivyopigwa Dodoma kilio Kolozidad.

  • @HussenErick-k4k
    @HussenErick-k4k 14 часов назад +1

    Simba laha saana kweli

  • @PakatJames
    @PakatJames 14 часов назад +5

    Ile kibu Denis kuvutwa mkono kuanguswa kwenye penalt box alafu mchezaji wa singida akamkanyqga kwa makusudi yaani maamuzi ya hovyo kuwahi kuyashuhudia kunako kuangalia kwangu mpira. Simba wanapaswa kuandikia bodi ya ligi malalamiko kuhusiana maamuzi haya hovyo. Singida sijui kitu gani walichokuwa wakilalamikia kila wakati kwa mwamuzi?

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 14 часов назад +1

      Red card

    • @mwinukalucia5894
      @mwinukalucia5894 14 часов назад +1

      Mnapenda penalty, jiandaeni kung'olewa kibabe mlipo hapoooo😅😅

    • @godifreymunisi
      @godifreymunisi 11 часов назад

      ​@@mwinukalucia5894tuliza kinyeo hicho 😂😂😂 unaongea kwa uchungu sana na bado manina zenu

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 11 часов назад +3

    Singida hawakuwa na nidham ya mpira, kisa milioni 50 , wangetulia wangeweza hata sare lkn akili zilikuwa zinawaza ahadi na ndugu Yao utopolo

  • @JUDITHELISHA-h1y
    @JUDITHELISHA-h1y 12 часов назад +4

    Tunaomba kamati ya saa 72 itazame lafu ya makusudi ya andekofi

    • @Maradona2857
      @Maradona2857 11 часов назад

      Ni kweli. Hajaonyesha uungwana kabisa.

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 14 часов назад +3

    Ila leo simba amezurumiwa penaty

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 13 часов назад

      Tena mbili na kadi nyekundu moja kwa singida ila 🐸FC hawataliona hilo

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 13 часов назад +1

      @mauamshindo2558 ndo hivyo ila kikubwa point tyuuuuu

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 13 часов назад

      @MahaSaeed-hf3gs Kweli kikubwa point tatu tu familia❤️🦁

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 13 часов назад

      @@mauamshindo2558 ingawa maneno mengi Sana ila mungu ni mwemaa maana mm tumbo lilikuwa la Moto Leo toka Saa tisa

  • @AbdalaMzava
    @AbdalaMzava 12 часов назад +3

    Fabric luamba ngoma umetuufanya tupateraha mung u akulinde jembe

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 14 часов назад +1

    Singida ndogo sana

  • @charlzlyimo1982
    @charlzlyimo1982 10 часов назад

    yeee wameshenetwa😂😂😂

  • @HamisiMafinga-f3m
    @HamisiMafinga-f3m 11 часов назад +1

    wana simba tunanenepa tu

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 11 часов назад +1

    ruclips.net/video/WUCfhjRwfqg/видео.html&lc=UgzGWtBkvA5RYrIoJH54AaABAg&si=89WHPDyqryHgfQAO

  • @tarrustv6403
    @tarrustv6403 12 часов назад +1

    Pinpin 🙌🙌💥

  • @PakatJames
    @PakatJames 14 часов назад +2

    Goli la simba lilokataliwa ni halali kabisa haya maamuzi kama vile waamuzi hawaoni kabisa. Mchezaji wa simba alicheza mpira ule wa kichwa kabla ya kumgusa Metacha Mnata.

  • @EditherGregory
    @EditherGregory 12 часов назад +1

    Kapigika vizurituu

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 14 часов назад +4

    Hawa washukuru hata kumaliza mechi wakiwa wote 11

  • @RehemaKusana
    @RehemaKusana 11 часов назад +1

    Anafungwa singida anaumia yanga😅😅😅😅

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 часов назад

    Hizo M100 mtugawie nusu yake 🤣

  • @emanuelnyabuke2883
    @emanuelnyabuke2883 14 часов назад +1

    Simba nguvu moja wameonesha ukubwa wao kila mechi

  • @ZahiriAlly-ej7nc
    @ZahiriAlly-ej7nc 15 часов назад +1

    simba nguvu moja

  • @PeterManda-h1w
    @PeterManda-h1w 14 часов назад +1

    Hii simba mwaka huu sio poaa

  • @PendoJoram
    @PendoJoram 10 часов назад

    Simba mbere nyuma mwikoooo

  • @mugapro
    @mugapro 12 часов назад +2

    Hii timu ikikutana na yanga, italia sanaaa, amini kwamba

    • @josephvenus3259
      @josephvenus3259 12 часов назад

      😂😂😂😂 njooni tu. Ubaya Ubwela tupo kileleni

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis 11 часов назад

      Unasema yanga vile vibonde?😂

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 13 часов назад +1

    Singida furaha yao ni kufungwa na Yanga ila wakiliwa Simba wanaugulia maumivu kweli😂😂😂

    • @YamunguMatamya
      @YamunguMatamya 13 часов назад

      😂😂😂

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis 11 часов назад

      Kwani hujui hao ni kitu kimoja na yanga? Poleni wa na yanga

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 14 часов назад +4

    Hivi singida black stars leo walikuja kucheza mpira au kuchezea mpira na kumchezea mwamuzi kitu kidogo wanamkimbilia refa utadhani ni malast born simba sc nguvu moja ubaya ubwela from kenya 🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 13 часов назад +2

    Congratulations Simba, but Chemolon Fondo bado anafanya makosa mengi

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 13 часов назад

      Mengi mno an natamani hata aanze benchi mechi tatu atie akili

  • @FettyAbuu-k3d
    @FettyAbuu-k3d 10 часов назад

    Ila kipa ndo anaetuokoa kiukweli camara

  • @AishaLwiva
    @AishaLwiva 11 часов назад

    Hata mimi nashangaa sana,,!! kufunga nimfunge singida,, eti wanaoumia yanga,, hahaa nabado huu ndiyo ubaya ubwelaaa

  • @morisgonzalo
    @morisgonzalo 14 часов назад +1

    Kuna watu wanateseka sana walijua watafunga mwaka wakiwa juu ila mda huu wanaumia wakiwa choon

  • @robertcharz518
    @robertcharz518 13 часов назад +2

    ila rupia ni mtu na nusu ingawa mambo ni ubaya ubwela leo

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 14 часов назад +2

    Utopolo anateseka mkiwa wapiiiii

  • @Mangekimambitv-p3l
    @Mangekimambitv-p3l 15 часов назад +1

    Wa kwanza

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 11 часов назад

    Hawa washambuliaji wetu kuna mda wanabadilika wanacheza ovyo yani mpk mtu uelewi

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 14 часов назад

    ❤❤❤❤❤

  • @InnocentCurling-se2pp
    @InnocentCurling-se2pp 15 часов назад +2

    Ubaya umefanya ubwela

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw 14 часов назад +1

    Makolo bhanaa😂😂😂😂....hio point moja tutaipata tukikutana tena kiulaini kabisa😂😂😂😂😂.....tambeni pande zenu ...pande zetu hamtambi😂😂😂 mara nne mfululizo fanya mchezo nini...enewei Hongera penalt fc

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 12 часов назад +5

    Hamna mpira wote wanarukaruka..
    Simba linabebwa sana

    • @FinahMussa
      @FinahMussa 12 часов назад

      Bebwa na wewe chura wewe😂😂

    • @eliudmwaipasi7732
      @eliudmwaipasi7732 12 часов назад

      kunya mavi atazoa alikamwe😂😂

    • @EmmanuelMandela-f7k
      @EmmanuelMandela-f7k 12 часов назад

      Teseka mwaka huu maumbwa wote

    • @ShairaniAdam-s3o
      @ShairaniAdam-s3o 12 часов назад +1

      Panuaa mwiko uingiee huoo

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 11 часов назад +1

      kubebwa kuna aina nyingi .. unaweza ukaamua "kuukalia mti" vile vile ukabebwa au kupakatwa..!

  • @AlexShirima-k4m
    @AlexShirima-k4m 12 часов назад +2

    Ubwela mwingi

  • @AbdallahIsmail-vh1tb
    @AbdallahIsmail-vh1tb 12 часов назад +1

    Metacha mipira ya kutenga hajui target ya kudaka 😂

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 14 часов назад +1

    Wakuje waseme nani aliahidi Pesa zote ziLeee? 😂😂😂

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy 14 часов назад +1

      Simba kashinda nawashaur hizo Hela wawape watu wenye uhitaji maumivu yaendelee mpka mwakani🤗

  • @timonleo9720
    @timonleo9720 14 часов назад

    ❤tumejipigia, my wetu. Sema hawa jamaa hawakuja kucheza mpira walikuwa vitani

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 14 часов назад

      Ahadi ya milioni hamsini waliyotoa uto ndio unaona wancheza hivyo ngoja wacheze na vibonde wenzao utacheka mpira wao hutaamini hawa ndio waliowasumbua Simba..!

    • @mamaa746
      @mamaa746 13 часов назад

      Waache watusaidie kuimarisha timu yetu ​@@hassanmfaume4522

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 13 часов назад +1

    HAO NI WASHAMBA TU WANAMSAKAMA REFA TATIZO LA NN WACHE USHAMBA GOLI HALALI TU

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 14 часов назад +3

    Simba bingwa hakuna timu yakuizuia

  • @MartineHusein
    @MartineHusein 13 часов назад

    🎉🎉🎉

  • @leahfanuel254
    @leahfanuel254 12 часов назад

    Na huyu rupia tutasajiri simba 😂

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 15 часов назад +1

    Ubaya ubwela uhendeleee

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 13 часов назад +1

    Kazi kuikamia tu na rafu

  • @ZainabuOmari-y7h
    @ZainabuOmari-y7h 10 часов назад

    Rupia umri wangu mkubwa huyu

  • @athumanially7823
    @athumanially7823 13 часов назад +1

    ila kipa wa mnyamaaaa😂 apewe maua yake jamani anaupiga mwingi❤

  • @ecostats51
    @ecostats51 13 часов назад +2

    Simba ni ya kawaida mnoooooo.🟢🟡

    • @ce-08
      @ce-08 13 часов назад +2

      Kuruka ruka kwa maharage ndyo kuiva kwake ww tulia dawa ikuingie

    • @AminaFadhili-qe3et
      @AminaFadhili-qe3et 13 часов назад

      Mwambiye uyo 🐸🐸

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis 10 часов назад

      😂

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 12 часов назад

    M100 mtugawie nusu make tumeshinda 😜🤣

  • @gundasontv570
    @gundasontv570 14 часов назад +1

    Azam tafuteni mchambuzi mwingine mbadala wa Amri Kiemba, Kiemba cyo mchambuzi bali ni mshabiki hata ninyi wenyewe Azam mfuatilieni vzr uchambuzi wake mtanielewa ninachomaanisha

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 13 часов назад +5

    Kuliwa aliwe chui, maumivu apate chura 😂
    Ni wivu tu 😏

  • @absm8084
    @absm8084 12 часов назад

    Huyu magulu fc, utopolo na gsm vs ubaya ubwela

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 14 часов назад

    Sio vizuri kabisa mchezaji huyo alie mkanyaga kibu Denise vipi apewe Kadi yekundu huo sio ubinadamu ni ushenzi mtupu

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 14 часов назад +2

    Mwamuzi ilitakiwa ampe kadi nyekundu huyo beki wa singida aliye mkanyaga kibu denis makusudi na ilitakiwa afunike kwaju wa penalty

  • @Yonabangilidaniel
    @Yonabangilidaniel 12 часов назад

    mimi ni simba damdam hii ipo wazi kuwa hatunabeki kabisa

  • @AsiaSaid-z4h
    @AsiaSaid-z4h 14 часов назад +1

    Ubaya ubwela

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 14 часов назад +2

    Singida ahadi .imewapozaa.ubayaaa.ubwelaaaa.Wambie haooooop

  • @Remigiusmalsery
    @Remigiusmalsery 14 часов назад

    Point moja lazima take sitake naitoa kwake

  • @SuleimanAbrahman
    @SuleimanAbrahman 12 часов назад

    Goli moja tu hali hii ngoja yanga tutie goli nne

    • @EmmanuelMandela-f7k
      @EmmanuelMandela-f7k 12 часов назад

      Yanga ipi hii ya tia maji

    • @absm8084
      @absm8084 12 часов назад

      Shenzi type one😅😅😅😅 goli nne mnazitoa wapiiiiiii

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 11 часов назад +1

      @@absm8084 za bahasha kwani wewe hujui..??

  • @sophiaazizingaiwa3857
    @sophiaazizingaiwa3857 13 часов назад

    Hamna refa hapo rafu za waziwazi alafu atoi maamuzi yyt

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw 14 часов назад +1

    Mechi 15= penalt mechi 12...sasa hio ni timu au kolokwinyo😂😂😂😂

    • @Rehemamakuka
      @Rehemamakuka 14 часов назад +1

      Ndo hizo hizo penat ndo zinawanyima raha au hujui kama ni mwaka wa kufosi??

    • @lameckkamugisha8887
      @lameckkamugisha8887 14 часов назад

      Unateseka ukiwa wapi wazee wa mbeleko magoli ya mkono FC

    • @Yohanankwabi-e9o
      @Yohanankwabi-e9o 14 часов назад

      Bado hamjasema ubaya ubwelaa😢😢😢😢

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile 14 часов назад

      Timu Bora sana Simba SEMA hujitambui tuuu

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 14 часов назад

      Tutajie hizo penalti na timu zao.

  • @AnnaKissiya
    @AnnaKissiya 14 часов назад +1

    Sinngids waliahidiwa mapesa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 14 часов назад

      Milion khamsini utopolo waliwaahidi lakini umeona uwezo wao ulipoishia mwaka huu ubaya ubwela kila njama wanazoifanyia chama langu zitawarudia wao utopolo 😂😂😂

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 13 часов назад

      Mawazo ya kipuuzi sana hayo. Ulitaka SBS wawaangalie tu hapo uwanjani? Machete bao au draft.

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 13 часов назад

      ​@@simonnjovu586vyovyote mfanyavyo sisi tushawafunga

    • @mamaa746
      @mamaa746 13 часов назад

      Mimi ni shabiki wa simba, lakini huwa siipendi kauli ya *WAMETUKAMIA*.
      Kwa hiyo tulitaka tuachiwe tu kama tunacheza na visiki? HAPANA. Tupambane ili timu yetu iwe bora. Tusipende kamserereko

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 13 часов назад

      @@mamaa746 sasa umeangalia mpira wanacheza rafu ka tupo ulingoni

  • @Millerremmy
    @Millerremmy 14 часов назад +2

    Ubaya ubwela from kenya south coast region

    • @AnastaziaAndrea-e2f
      @AnastaziaAndrea-e2f 14 часов назад

      kama mlishinda mara ya mwisho kayoko yu wapi fikiria kisha upate aibu

  • @FahamuHamza
    @FahamuHamza 12 часов назад +1

    Watawaka miguu hawa jamaa hawajui mpira chezeni kwa uangalifu

  • @PhatySalim-u9q
    @PhatySalim-u9q 12 часов назад

    Simba nguvu1

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 14 часов назад

    unyama mwingi

  • @SirmwelSirndamu-m5u
    @SirmwelSirndamu-m5u 13 часов назад

    Ubaya ubwela🦁🦁

  • @aishapongwe8364
    @aishapongwe8364 14 часов назад

    Hii mechii leo ilikuwa km ugomvi vilee

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 14 часов назад +1

      Milioni 50 waliwaahidi hawa kenge utopolo ila wamekufa. "Na tutamfunga yeyote atakayekaa mbele si wanawashwa tutawakuna upele "😂😂😂

  • @BenMtweve-d1b
    @BenMtweve-d1b 12 часов назад

    Ubaya ubwela❤😂😂😂

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 14 часов назад

    Tumewafunga babu na bibi

  • @JAMESBITURO-wf4tc
    @JAMESBITURO-wf4tc 14 часов назад

    Asee boresheni video

  • @Lenatus-l9i
    @Lenatus-l9i 13 часов назад

    Hii ndio simba

  • @CliffMogaka-d8c
    @CliffMogaka-d8c 13 часов назад

    Ubaya ubwela 2

  • @sabatoager
    @sabatoager 14 часов назад

    ubaya ubwela