🚨Uchambuzi EFM,Kiufundi,Simba 1-0 Singida bs,Mpira ulikuwa mbovu sababu ya presha,Simba wamestahili.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 25

  • @PakatJames
    @PakatJames 15 часов назад +12

    Sijaona waandishi na wachambuzi wakizungumzia goli halali la simba na faulu aliofanyiwa kibu kwenye penalt box na kukanyagwa kwa maksudi. Kama haya mambo angafanyiwa Singida black stars hivi sasa mitandaoni kungekuwa kumechafukwa kuishutumu simba kubebwa

    • @SuleimanAlly-c9p
      @SuleimanAlly-c9p 14 часов назад +1

      Yaan kaka we acha tu dah ,ila inauma

    • @PakatJames
      @PakatJames 14 часов назад +1

      @SuleimanAlly-c9p kabisa Viongozi wanapaswa kupiga kelele kwa wahusika kwani kuna mbinu chafu za wazi kuihujumu simba

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 15 часов назад +4

    Simba wanapaniwa mno kwenye hii league

  • @fredcheppe1667
    @fredcheppe1667 15 часов назад +3

    Binafsi naona ugumu wa game za Simba inatokana na wapinzani kuwekewa ahadi za PESA ambazo zinafanya wapinzani kukamia Sana Hali inayofanya kupoteza focus ya mchezo....

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 13 часов назад +3

    Kila mchezo wanaocheza simba basi hapo kuna timu pinzani ambayo hutoa ahadi na msaada ili simba ifungwe na kuipunguzia kasi yake na wale wapinzani wanaotoa ahadi ili timu yao ishinde kirahisi,

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 14 минут назад

      Simba ni jeshi la mtu mmoja hatuna chawa wowote tunapata ushindi kwa nguvu za MUNGU tu.

  • @DENISTMwangomo
    @DENISTMwangomo 4 часа назад

    Goli halali la Simba limekataliwa ila hakuna anaezungumzia.

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 2 часа назад

    Yule mwamzi alinichefua kweri singinda hawakustari kumaliza gem wakiwa Kamila.

  • @paulcharles321
    @paulcharles321 10 часов назад

    Walipanic jili ya ahadi ya hela nyingi sana

  • @BarakaMangombe
    @BarakaMangombe 13 часов назад +2

    Wanasimba tupo kama toto yatima kwenye ligi,hivyo wachezaji wetu hawapaswi kudeka,wakomae hivyo hivyo

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 13 минут назад

      Mtetezi wetu ni MUNGU tu.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 13 часов назад

    WACHEZAJI WA SNGIDA WALIKUWA WANCHEZA RAFU SANA NA WALIKUWA WANAKAMIA SANA. KOCHA WAELEKEZE WACHEZAJI WAKE.

  • @MAASHAALLAHFREEDOMBUTCHER-w8v
    @MAASHAALLAHFREEDOMBUTCHER-w8v 14 часов назад +1

    @MAASHAALLAHFREEDOMBUTCHER-GOLI MOJA LA SIMBA SAWA NA MAGOLI 10 YA UTOPOLO WATAKAYOFUNGA KESHO .SEMAJI LA CAF CHUKUA HIYO UWAPIGE NAYO WALE JAMAA .

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 13 часов назад +2

    Haowalikuwa kamawaarabu kulalama

  • @thomasmwachambi1024
    @thomasmwachambi1024 15 часов назад +1

    ZINGIDA BLACK STARS WAMEJITAHIDI NAONA WAPEWE HATA NUSU WA KILE WALICHOAHIDIWA NA UPANDE WA PILI.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 13 часов назад

    GOLI LA KIBU D LILIKUWA NI GOLI HALALI

  • @UlamaaTz-n6j
    @UlamaaTz-n6j 15 часов назад +1

    Nikwel bhan Yan simb kweny Ligue hiii wanakamiwa sijui kwann ya. Duh mpka aharuelew

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj 4 часа назад

    KAGOMA ANACHEZA UNAVYOTAKA ,UKITAKA PASI TWENDE VIATU TWENDE

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 15 часов назад

    Singida hawana kocha wana mtu wa majungu kawafanyia majungu kitambi

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 15 часов назад +1

    Hata.goli.alilokataa muamuzi lilikua halali kabisa kumbukeni.magoli.aliofungwa manula na as vita au all ahyl.

    • @KhamisRamadhan-l3l
      @KhamisRamadhan-l3l 13 часов назад

      Na la pamba dhidi ya simba vipi😂

    • @KELVINSHAWEJI
      @KELVINSHAWEJI 11 часов назад

      pia lilikua goli but apa tunazungumzia mechi ya leo​@@KhamisRamadhan-l3l