MBWADUKE: Goli? Ubaya ubwela! Fadlu alichopatia ni...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 69

  • @FaabinOmar-d6e
    @FaabinOmar-d6e День назад +8

    Kazi nzuri mchambuzi wangu

  • @ElikanaKimayi
    @ElikanaKimayi День назад +7

    Mchambuzi wangu wa kila mda ambayo habebi mtu kama umekosea nakwambia ukweli mungu akujalie maisha marefu mzee wa data

  • @abdalahmnalu7059
    @abdalahmnalu7059 День назад +6

    Nilichokiona Jana singida walimaliza muda mwingi kwa kupiga kelele tu uwanjani

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 День назад +4

    Barikiwa Mwaduke

  • @ShadadiAmri-e6c
    @ShadadiAmri-e6c День назад +5

    Mola akujaalie mbwaduke

  • @mkilwaabdul9230
    @mkilwaabdul9230 День назад +3

    asee wewe ndio mchambuzi usie na makando kando.mungu akubariki.

  • @YusuphAbdul-rm7nx
    @YusuphAbdul-rm7nx День назад +3

    Ahsante hakika wewe ni msema kweli

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 День назад +1

    Mchambuzi bora hapa nchini ni Mbwaduke,kongole nyingi kwake

  • @InnocentSiganje
    @InnocentSiganje День назад

    Mchambuzi pekee namari moja tz anachambua mpira hana mapenz na upande wowote 🎉🎉🎉

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 День назад +4

    Tunashukuru kwa uchambuzi mzuri na bora kabisa ila umeacha goli la Kibu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День назад +3

    CHAMBUA BABA WEWE NDY BORA UNAUJUA MPIRA. KIPA WA SINGIDA NDY ALIYEMFUATA MCHEZAJI.

  • @Yohanankwabi-e9o
    @Yohanankwabi-e9o День назад +2

    Ubaya ubwelaaa🦁🦁🦁🦁

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs День назад +1

    Nilisubiria kwa hamu uchambuzi wako upo vizur sanaaa

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo День назад

    namshukulu mungu mwema katusaidia tumepata ushindi muhimu dhidi ya utopolo na GSM

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 День назад +1

    Nakukubali sana chambuzi ila goli la Kibu liliokataliwa hujaligusia

  • @ZimbweJr-f7k
    @ZimbweJr-f7k День назад

    ❤❤saf Sana nimefurah kuskia kibisawala❤❤

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 День назад +2

    Mbwaduke ile ilikuwa clear offside ya Rupia
    Pitia tena utaona tuache ushabiki .japo kamata aliiokoa, mbona goli la kibu ulichambui. MZEE SAFARI HII UBAYA UBWELA. SINDANO ZIMEGOMA. Kmc fungeni Cctv kamera.

  • @azzanassor3482
    @azzanassor3482 День назад +2

    Simba Nguvu Moja ❤

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz День назад +4

    Apo ndo nimerizika baba, nilikua nasubiria uchambuzi wako

  • @Lazarokidulanya
    @Lazarokidulanya День назад

    Kazi nzur sana kaka

  • @absm8084
    @absm8084 День назад +1

    🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸 rushwa mnaitumia sana lkn si hivyo tu jana mmetoa bonus hadi 100 million lkn sisi Tunamwamini Mungu tunazidi kung'ara nyie endeleeni na sindano zenu😅😅😅😅

  • @parkipunyparsangey5464
    @parkipunyparsangey5464 День назад

    Your the best ❤

  • @babanajma1896
    @babanajma1896 День назад +2

    You’re the best

  • @nyamtumanyaga334
    @nyamtumanyaga334 День назад +3

    🦁🦁🦁

  • @remeninoeswai6316
    @remeninoeswai6316 День назад +3

    Mbona ujachambua goli la kibu

  • @hamadbakar7091
    @hamadbakar7091 День назад +2

    Simba nguvu Moja ubaya ubwela

  • @AlexNgonya
    @AlexNgonya День назад +1

    The great Mbwaduke ✈️✈️✈️ 4:34

  • @AbdallaKhamis-m6i
    @AbdallaKhamis-m6i День назад +5

    Saf San brother Wang

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n День назад

    wew haji wacha unafiki kwan timu yako nyuma mwiko mumeshacheza mechi ngp na munachezeshwa na refa mwanamke na pia munanyonga wew Sema umeumia simba kushinda

  • @zawadikina8540
    @zawadikina8540 День назад +2

    Uchambuzi uludiwe goli la kibu hujachambua

  • @rahimmchatta4719
    @rahimmchatta4719 День назад

    Umeongelea maamuzi Tata ya kuiumiza Singida but goli halali la kibu lililo kataliwa hujalizungumzia kabisa, ina maanisha nini ? Otherwise Hongera kwa kazi nzur

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks День назад

    Sema goli kipa alisukumwa ili apoteze balance ndo goli likaokotwa mbele refa wamchongo huyo mbona nawewe unashindwa kusema kitu ambacho Kiko wazi unaturudisha enzi za radio tanzania

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ День назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians jana Singida hawakucheza na SIMBA walicheza na WAAMUZI kitu kilichopelekea kupoteza Mchezo. Timu Kubwa ilileta Utoto mchezoni namna ya ku-react ktk matukio nk

  • @VicentKisonga-r2e
    @VicentKisonga-r2e День назад

    Ande kofii kwa kibu alistaili kadi nyekundu straight bila kupepesa

  • @athanasevaristmahega7488
    @athanasevaristmahega7488 День назад +1

    ❤❤

  • @boniventuresingino7405
    @boniventuresingino7405 День назад +1

    Ubaya ubwela!!!

  • @yohananombo5723
    @yohananombo5723 День назад

    HIYO ya shakei ni offside

  • @FAUZALRIYAMIY
    @FAUZALRIYAMIY День назад

    MBWADUKE UNAITENDEA HAKI KAZI YA UCHAMBUZI HUNA UNAZI

  • @FAUZALRIYAMIY
    @FAUZALRIYAMIY День назад +1

    GOLI LA KIBU LILIKATALIWA

  • @FAUZALRIYAMIY
    @FAUZALRIYAMIY День назад +1

    PENALTY YA KIBU

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 День назад

    Waamuzi waliharibu utamu wa game,

  • @Naseebukapenulo
    @Naseebukapenulo День назад

    Tanzania hii akuna kama wewe mzeee

  • @HajiHija-zv5ym
    @HajiHija-zv5ym День назад +6

    Haya maamuzi ni matatizo ya Kamati ya waamuzi na TFF kupanga waamuzi wakike ambao ni wadhaifu kisheria hata ya Dini hususani kwa mechi za Simba

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 День назад +8

      Yaani, nyie mkifunga magoli yenu ni halali, ila Simba ndio magoli ambayo sio halali

    • @HajiHija-zv5ym
      @HajiHija-zv5ym День назад

      @bahatimshali2731 Sio halali kabisa ni ufyukunyiku tu na Fluku na ubingwa hamubeb

    • @BoloYoung-f4b
      @BoloYoung-f4b День назад +5

      Wacha kupanik mwaka huu ni ubaya ubwela mpaka muombe poo!!!

    • @SULEIMAN-l8v
      @SULEIMAN-l8v День назад +1

      utopolo mtupu

    • @melissa_garden
      @melissa_garden День назад +2

      Bado hamjasema 😅😅 umesahau Kayoko na Maamuzi yake siku ile enheee mbona haujasema kama Matatizo ya Kamati ya waamuzi ya TFF kupanga maamuzi kilaza kama Kayoko na ulifurahia Ushindi wenu na mkauona na nguvu???.... Tulia dozi ikuingie

  • @Deodatusi
    @Deodatusi День назад +1

    ❤❤❤