- Видео 285
- Просмотров 527 514
Chimbo La Hip Hop
Танзания
Добавлен 17 сен 2022
TRUBA GEORGE AWACHANA ROMA NA NEY WA MITEGO, AWAKATAA WAKAZI NA ZUCHU
#cloudsmedia #crownfm #crowntv #diamondplatnumz #eastafricaradio #freestyle #millardayo #music #podcast #simulizinasauti
Просмотров: 854
Видео
KAYUMBA " MWANAUME HAUTAKIWI KUKATA TAMAA KIZEMBE, AIZUNGUMZIA BSS, SHOW ZA CHAKA 2 CHAKA NK
Просмотров 16214 дней назад
KAYUMBA " MWANAUME HAUTAKIWI KUKATA TAMAA KIZEMBE, AIZUNGUMZIA BSS, SHOW ZA CHAKA 2 CHAKA NK
WASANII WA HIP HOP WANAANDIKA KULIKO WA BONGO FLEVA, THE MAFIK WATAPIKA NYONGO. PART 2 THE MAFIK
Просмотров 259Месяц назад
WASANII WA HIP HOP WANAANDIKA KULIKO WA BONGO FLEVA, THE MAFIK WATAPIKA NYONGO. PART 2 THE MAFIK
BEEF YA RED SUN NA JOSE CHAMELEON ILIVYOMCOST MISOSI KENYA NA UGANDA. PART 2 MISOSI
Просмотров 469Месяц назад
BEEF YA RED SUN NA JOSE CHAMELEON ILIVYOMCOST MISOSI KENYA NA UGANDA. PART 2 MISOSI
JINA BWANA MISOSI LILIVYOPATIKANA UTACHEKA. MUHINDI AHUSIKA. PART 1 MISOSI
Просмотров 925Месяц назад
JINA BWANA MISOSI LILIVYOPATIKANA UTACHEKA. MUHINDI AHUSIKA. PART 1 MISOSI
NI KWELI MIMI, ONE NA NIKKI MBISHI NDIO TRIO BORA KWENYE RAP YA BONGO MUDA WOTE, STEREO AMPA ☑️ MEX
Просмотров 2,3 тыс.Месяц назад
NI KWELI MIMI, ONE NA NIKKI MBISHI NDIO TRIO BORA KWENYE RAP YA BONGO MUDA WOTE, STEREO AMPA ☑️ MEX
BAADA YA KIFO CHA MBALAMWEZI THE MAFIK WALIINGIA TASUBA BAGAMOYO KUSAKA VIPAJI. PART 1 THE MAFIK
Просмотров 249Месяц назад
BAADA YA KIFO CHA MBALAMWEZI THE MAFIK WALIINGIA TASUBA BAGAMOYO KUSAKA VIPAJI. PART 1 THE MAFIK
BONGO HAPAJAWAHI TOKEA TRIO KALI KWENYE HIP HOP KAMA YA ONE, NIKKI MBISHI NA STEREO. MEX CORTEZ
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
#music #millardayo #hiphopmusic #freestyle #wasafi #diamondplatnumz #cloudsmedia #simulizinasauti #eastafricaradio #podcast #crownfm #crowntv
UTASHANGAA 😳 CHID BENZ ALIVYOFANYA UNYAMA KWENYE NASIKIA HARUFU YA ROMA. PART 2 BIN LADEN
Просмотров 2,5 тыс.Месяц назад
UTASHANGAA 😳 CHID BENZ ALIVYOFANYA UNYAMA KWENYE NASIKIA HARUFU YA ROMA. PART 2 BIN LADEN
KHALIGRAPH NDIO RAPA NUMBER 1 EAST AFRICA,ATOA SABABU, FID Q NA LORD EYEZ, SIMBA, MEX CORTEZ PART 1
Просмотров 8 тыс.Месяц назад
#music #millardayo #hiphopmusic #freestyle #wasafi #diamondplatnumz #cloudsmedia #simulizinasauti #eastafricaradio #podcast #crownfm #crowntv
UONGOZI WA TONGWE NA MAMAAKE ROMA TULIMKATAZA ROMA KUIMBA SIASA BAADA YA KUTEKWA. BIN LADEN PART 1
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
#music #millardayo #hiphopmusic #freestyle #wasafi #diamondplatnumz #cloudsmedia #simulizinasauti #eastafricaradio #podcast #crownfm #crowntv
WASANII WA SIKUHIZI WANAFANYA MAMBO KIMICHONGO, HAWAJUI KURUDISHA KWA JAMII. PART 3 MAALIM NASH
Просмотров 7112 месяца назад
#cloudsmedia #diamondplatnumz #millardayo #music #podcast #simulizinasauti #freestyle #crownfm #crowntv #eastafricaradio
JINSI DADA ZETU WANAVYOENDA KUJIUZA UTURUKI, UNYANYASAJI OMAN, MAISHA YA MBELE NK. RAHMA THE CEO
Просмотров 2,7 тыс.2 месяца назад
JINSI DADA ZETU WANAVYOENDA KUJIUZA UTURUKI, UNYANYASAJI OMAN, MAISHA YA MBELE NK. RAHMA THE CEO
"WANAOSIFU POMBE HAWAANGALII MADHARA YAKE KWA VIZAZI VIJAVYO", AFRO BEAT NK. PART 2 MAALIM NASH
Просмотров 8752 месяца назад
"WANAOSIFU POMBE HAWAANGALII MADHARA YAKE KWA VIZAZI VIJAVYO", AFRO BEAT NK. PART 2 MAALIM NASH
ALIESHUSHA WIMBO WA MBOSSO OLOLO YOUTUBE ADAI FIDIA, " LAZIMA WANILIPE" MSIKILIZE HAPA
Просмотров 1032 месяца назад
ALIESHUSHA WIMBO WA MBOSSO OLOLO RUclips ADAI FIDIA, " LAZIMA WANILIPE" MSIKILIZE HAPA
"MSINIITE MC WASANII WA SINGELI WANAJIITA SANA MAMC" MAALIM NASH NUSU ALIE, UKATILI. PART 1 MAALIM
Просмотров 4,3 тыс.2 месяца назад
"MSINIITE MC WASANII WA SINGELI WANAJIITA SANA MAMC" MAALIM NASH NUSU ALIE, UKATILI. PART 1 MAALIM
RAPA PEKEE MWENYE TAJI LA BSS YUZZO MWAMBA AMETUIBUKIA CHIMBO. MIDUNDO NA MISTARI, MAKAMBAKO KID
Просмотров 4532 месяца назад
RAPA PEKEE MWENYE TAJI LA BSS YUZZO MWAMBA AMETUIBUKIA CHIMBO. MIDUNDO NA MISTARI, MAKAMBAKO KID
KAMA HAUWEZI KUNICHALLANGE SIKUPI COLLABO. FID Q PART 3
Просмотров 2,4 тыс.2 месяца назад
KAMA HAUWEZI KUNICHALLANGE SIKUPI COLLABO. FID Q PART 3
BAADA YA KUMALIZA BEEF NA RADO, FID Q AAHIDI UJIO WA COLLABO YAO. PART 2 WHO IS FID Q
Просмотров 4,1 тыс.2 месяца назад
BAADA YA KUMALIZA BEEF NA RADO, FID Q AAHIDI UJIO WA COLLABO YAO. PART 2 WHO IS FID Q
NILIKATAA KUA MWANASHERIA,ILINITAKA NIMTETEE MHALIFU NA IMANI YANGU YA DINI HAIRUHUSU. PART 1 FID Q
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
NILIKATAA KUA MWANASHERIA,ILINITAKA NIMTETEE MHALIFU NA IMANI YANGU YA DINI HAIRUHUSU. PART 1 FID Q
LIL CHAVEZ NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. HII ITABAKI KWENYE HISTORY, KWENYE 💯% UNAMPA NGAPI?
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
LIL CHAVEZ NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. HII ITABAKI KWENYE HISTORY, KWENYE 💯% UNAMPA NGAPI?
KWANINI WASANII WENGI WANASUMBULIWA NA MSONGO WA MAWAZO/STRESS. JOHN AMBROSE MWANASAIKOLOJIA
Просмотров 1002 месяца назад
KWANINI WASANII WENGI WANASUMBULIWA NA MSONGO WA MAWAZO/STRESS. JOHN AMBROSE MWANASAIKOLOJIA
MEXICANA LACAVELA KID HAIDARY SCODA NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. KANIKUMBUSHA MANGWEA AISEE
Просмотров 7012 месяца назад
MEXICANA LACAVELA KID HAIDARY SCODA NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. KANIKUMBUSHA MANGWEA AISEE
"HAKUNA ALIE JUU YA SHERIA." A/INSPECTOR WA POLISI JOSEPH KAMALA KUHUSU WANAOCHUKUA SHERIA MKONONI.
Просмотров 1702 месяца назад
"HAKUNA ALIE JUU YA SHERIA." A/INSPECTOR WA POLISI JOSEPH KAMALA KUHUSU WANAOCHUKUA SHERIA MKONONI.
MANDOJO ALIKUA VERY COOL VERY SMART, KAMA ALBERT MANGWEA. BLACK RHINO
Просмотров 1452 месяца назад
MANDOJO ALIKUA VERY COOL VERY SMART, KAMA ALBERT MANGWEA. BLACK RHINO
MSANII AOMBA ASITAJWE, " NINA WASIWASI KUHUSU MAISHA YETU YA BAADAE" ATUMA UJUMBE MZITO KWA JAMII
Просмотров 1732 месяца назад
MSANII AOMBA ASITAJWE, " NINA WASIWASI KUHUSU MAISHA YETU YA BAADAE" ATUMA UJUMBE MZITO KWA JAMII
WALIO SABABISHA KIFO CHA MAN DOJO KUCHUKULIWA HATUA. " HII ITAKUA FUNDISHO" RAFIKI WA MAREHEMU
Просмотров 4082 месяца назад
WALIO SABABISHA KIFO CHA MAN DOJO KUCHUKULIWA HATUA. " HII ITAKUA FUNDISHO" RAFIKI WA MAREHEMU
DIRTY SOUTH KID T GWAN NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. UNAMPA 100% NGAPI KWENYE 💯
Просмотров 1,1 тыс.2 месяца назад
DIRTY SOUTH KID T GWAN NDANI YA MIDUNDO NA MISTARI. UNAMPA 100% NGAPI KWENYE 💯
NILITOLEWA VITU NJE, RUGE NDIE ALIENIPA HELA YA KODI, NCHAMA AIELEZEA SAFARI YAKE. HAUTAAMINI
Просмотров 5413 месяца назад
NILITOLEWA VITU NJE, RUGE NDIE ALIENIPA HELA YA KODI, NCHAMA AIELEZEA SAFARI YAKE. HAUTAAMINI
BONTA AAHIDI KUWAKUTANISHA NIKKI MBISHI NA NIKKI WA PILI KWENYE WIMBO MMOJA. WIMBO, SIASA MPYA NK
Просмотров 8533 месяца назад
BONTA AAHIDI KUWAKUTANISHA NIKKI MBISHI NA NIKKI WA PILI KWENYE WIMBO MMOJA. WIMBO, SIASA MPYA NK
Jr heshima kamanda🇰🇪 HipHop saaana!
Jr kama umemjua Juzi uyu Mwana Ahah
Kwenye Ngoma ya dizaata vina ft Trubadour ikawaje verse ya Trubadour ikafutwa how?
Akaja akakwambia vipaji vyenye thaman kama one na Nikki mbishi.
Truba ndyo msanii wa mwanzo Kbsa kumchana maalim Nash anakwambia Nash MC hana uwezo album nzima anajielezea
Mzee kipindi kinakushindaa...unatuletea machawa sasa...umezingua jr bongosiasa na hiphop wap na wap
Haya wezi msenge huyu
Kwanini tusifie majukumu au wajibu wa taasis, kuna upande umechagua rasta
Chimbo la wasenge
Wapi na wapi hiphop na wauza bandari na rasilimali zetu?nawewe mtangazaji msenge tu
Machoko wamevamia hiphop 🖕🏿
Dotto tulia namdai kulwa... string theory featured by dizasta vina.
Chimbo ra hip hop nimoto broo unajua sana
Nmejua sababu ya kuvaa hilo bango kumbe lengo ni uchawa Ili apate tenda za barabara na ujenzi 😂😂😂😂😂😂😂😂
Truba George brain act
Lil chaves
Spana za unju
Heshima bob Jr.
Fuck politics
Mapana kwa saund 😅
2024
Mbona mmesema hamkumuita wakati mumemuita. Telewe lipi? Mlimuita au hamkumuita?
Nakubali
Unafiki mwingi , baada ya kusoma text za watu ndo wameamua kumlegezea
BABA ya muziki Mkaka wa NONDE🎧
Sawa wambie hukweli man phinoto
Wanafki sana hawa Ccm basata
Kwa Jambo hili hata mm nitakuja basata kumpa mkono nguli
Hamna kitu - mambo ya baba au mwanangu sio kazini 😅
Mnatuchukza
Asante Basata
akasome kitabu kinaitwa RAP GENIUS, kwenda na vina ni katika uandishi ambayo hata waimbaji wanafanya but katika MUZIKI WA HIP HOP SIDHANI KAMA INA SHERIA YA UTUNZI,NI NAMNA GANI UNAWASILISHA MAUDHUI YAKO!!HAWA WASANII WA WORD PLAYING WANAJIONA WANAJUA SANA ILA AWE NA ADABU KWENYE UANDISHI WA MWANA FA AU LABDA ANATAFUTA MILEAGE
Play boy ya nikki mbishi ilifaa kupata tuzo, flow, message, creativity Dope !!
Uyu jamaa ni hatari sana makambako ipo mikono salama
SALUTE...
Hii inatosha kua tu mwana @siasa
I ask for Dizasta Vina next time. Thank you
Mex mstarabu Sana big up
Jr junior 💥💥🔥🔥🔥
Kameme ni nn?
Khaligraph ametuinua hapa EA, Mex blessed bru, keep the game going.
Mbishi one
✊
MUZIKI WA SASA UMEKOSA UHALISIA KATIKA KUUWASILISHA.KILA KITU FAKE NDIO SABABU HAUISHI NA WALA HATUFIKI MBALI.ZAMANI WALIIMBA MUZIKI WAO KILA MSANII ALIKUWA NA SAUTI YAKE NA NJIA ZAKE ZA KUGHANI LAKINI SI SASA.INASIKITISHA,TUMEKUWA WATUMWA WA SANAA ZA NJE NA SIO ZA KWETU
Improve your Sound Jr Junior….keep it Up
Now I'm going to personally make sure OG has a collaboration with Mex before the year ends
Nakubali unachokifnya mzee na pindi hili Mzee wanahip hop umetutoa unyonge
chimbo linakua
Pilato na game....salute from 254
mwanangu sana huyo Nash mc😂
In Africa to be precise