KHALIGRAPH NDIO RAPA NUMBER 1 EAST AFRICA,ATOA SABABU, FID Q NA LORD EYEZ, SIMBA, MEX CORTEZ PART 1
HTML-код
- Опубликовано: 1 ноя 2024
- #music #millardayo #hiphopmusic #freestyle #wasafi #diamondplatnumz #cloudsmedia #simulizinasauti #eastafricaradio #podcast #crownfm #crowntv
Respect the OG🇰🇪 Khaligraph jones 🇰🇪
Khaligraph ametuinua hapa EA, Mex blessed bru, keep the game going.
Khaligraph 🔥🔥
*Much love from Kenya Mex*
Mex umeongea poa sana. O.G ni #1 africa
Mex mstarabu Sana big up
In Africa to be precise
Now I'm going to personally make sure OG has a collaboration with Mex before the year ends
Nakubali unachokifnya mzee na pindi hili Mzee wanahip hop umetutoa unyonge
Mex Cortez nakubari bro🔥,Mungu akijalia ukapata muda wasikilize Trez agah kutoka Mozambique,au força suprema fanya nao ngoma.
Oya DIZASTA VINA anahitajika hapa Chimbo
Nilishasema siku moja wana wakabisha kinyama lakini nitasema tena hapa kupitia hii comment yangu kwamba ,marapa wanaofanya mziki mzuri wengi sio mabigwa Kwa freestyle
search Sharma boy from somali
Mex👑
Hakuna Rapper kama Khaligraph Fido vato ndio nini saaa
@ sharma boy
Mex yupo vzr hits songs kama zote tema yai nation namkubali sana ♥️ 🎶 sema jr ongeza 🎤 bwn mic moja noma
Mic zipo sawa mzee bado hujaisoma gem
hii ndo ushauli aufate
This Guy is on top
Nakubali mex
Jamaa Yuko sawa sana
Mex much love to you bro
Motooo
Hata kiingerza fid q huchana vibaya mno ila yeye ameamua kuchana kwa kiswahili kama ja
Chimboni 🔥🔥🔥🔥
MEX CORTEZ IS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta anaitajika apo mzee
Mex baada ya ngosha
Namkubal san mex cotez 1 rapper in tanzania
Dizasta vina,atimbe chimboni
Huyu jamaa ni mnyama sana
Namwona hunju humu ndani aise.
Mex ako juu
Uyu jamaa anapasuka kama mbele
Kichwa madin sio kichwa cha chn 🤙🏽
Mbishi one
Jamaa ako na ubongo sana uyu ata mashairi yake ni mazito
Khaligraph yua rap, lakini haongei,au hana ubunifu mkali kaa Fid Q , Hata aki rap kiingereza bado Khaligraph ako Shallow, kwa uandishi na ubunifu, Fid Q is still the best Rapper in East Africa. Fid Q ni Nas, Biggie, Pac in Swahili version .
Unamjua OG ama unamskia tu? Itakua labda huelewi rap za kiingereza!
Umfananishe Khaligraph na Fid q?? Fid Q anakalishwa na Roma. Khaligraph level zake Tanzania hakuna
@@ericksonodhiambo9964Itakua haelewi ngeli.
Yoo bruh khaligraph is in another level ❤ OG to the top
Chunga kauli yako bro...khaligraph ni sawa na tz nzima og ni next leval
Msake sasa unju,msodoki,au dizasta
Spana za unju
𝐍𝐆𝐎𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐍𝐀 𝐀𝐊𝐄 𝐍𝐈 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄
Mimi Fid Q mfalme kwa hip.hop
Loco Spitta mbona alishawahi kumkalisha Mex kwenye freestyle battle. Ila pamoja na hayo yote Mex is still my G.
yeah kwenuye ile bato lao la kingeleza na majaji alikuwemo na one ambaye ndo msela wa mex
@@atenionesmo_A10 Yap kumbe unakumbuka
Oooh loco spitta mtu hatar sana yule... but shout out to mex ako na consistance. I wish ningemuona loco to these levels mex yuko.
Kadgo tafadhali tunamuhitaji
Iyo video ya "simba" itakuwa moto kinoma
ili pindi linafanya tujue ving
Piga story na songa pia tumsikie mzee
Mbna verse nyingi anasema hazikumbuki? Ko ikifika kwa show inaonekana atabugi sana😮ila Big up sana bro❤
Polee sana ndugu upo nyuma ya muda, 99% ya wasanii duniani awakumbuki verse za nyimbo zao zote na kabla ya show wanafanya rehearsal (Mazoezi) inachukua mpaka week nzima kufanya mazoezi kabla ya show kufanyika ivyo lazima akumbuke verse.
@@impeccablerito7922 shukrani kwa kunileta karibu na muda
@@spartachize122 yeah bandugu Sema sio kesi sana kusahau mistar kama Wayne Ana ngoma kali sana na haandiki na Kuna show kibao kashindwa kuimba mistari yake na Ana ngoma kibao kali na kasahau mistari.....so Aina shida sana bro kwenye ulimwengu wetu wa hip hop.
@@impeccablerito7922 salute yeah perfect na wapo kibao sana akiwemo Ata mkali 2pac Ana ngoma nyingi sana kiasi ya kwamba Kuna baadhi ya mistar alikuwa hakumbuki labda mpaka asikie bits or nyimbo .
@@ramadhanijuma6522 kizazi sana
Fid alikua anakuogopa buana achen unafiki
Mex Cortez unatisha kak
Jr pls tumtafute kad go tupige nae story pls brother
@@ramadhanijuma6522 Mzee mwenzangu yule, afu huwezi amini mambo mengi tuu ila tungeshakutana na Kadi Go
@@chimbolahiphop9981 kakaa sana kimya arafu ni mmoja Kati ya wale walio bora.....nahisi mara ya mwisho kupiga nae story ilikuwa pale sayalini ulikuwa na dulla kwenye dk 10
Kuna mtu kama Joseph mtambo....hawa ni wageni pendwa sana wanatakiwa wafike kwenye Meza yako kaka Jr....tupige nao story mbili Tatu kama Jose bado Ana deni kubwa sana na mashabiki zake....arfu yupo kimya....Japo hatujui tatizo nn....umepiga story na Rado ivi una muachaje squzer....kaka Jr...
@@chimbolahiphop9981mbona ya dizasta wameomba kinoma, hlfu husemi su
Mlete msodoki