MUZIKI, MADAWA, BIFU, SIKUTAKA KUWA MWINGINE, NITARUDI UPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 198

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 3 месяца назад +45

    Aisee Joslin,Naona kama anasauti flan ya kipekee anafaa kua mtangazaji wa kipindi flan hapo Crown.Dula eeh MPE mashavu mwana Kipaji kingine icho kitawafaa hapo.Much love from Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮

    • @BakariKibauri-qh7gf
      @BakariKibauri-qh7gf 3 месяца назад +4

      Kabisa an hata lafudhi yake imetulia sana

    • @VitalessGalus
      @VitalessGalus 3 месяца назад +3

      amini dulla fanya kweli mwana tumemic xana mshuuah

    • @ShazirMbano
      @ShazirMbano 3 месяца назад +6

      Ndugu hana sifa yakua mtangazaji huyo ni teja

    • @ShazirMbano
      @ShazirMbano 3 месяца назад +3

      ​@@BakariKibauri-qh7gfsaut ya kula ngada hiyo kaka bakar

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 месяца назад +4

      @@ShazirMbano bro humjui jose kuna nyimbo aliimba wanapenda vile naongea,wakiimba wanataka kuchana kama mm jamaa mwanzo niliona kama anaigiza kwamba ubishoo mwingi lkn ndivyo alivyo kuna watu kama mr blue ndio walikuwa wanajaribu kuiga flani yaani vile swagzz lkn jamaa yuko real

  • @MaximilianBabile-j5h
    @MaximilianBabile-j5h 3 месяца назад +3

    Dulla Mbunifu Sana, Hii Mtaa kwamtaa Legend kwa Legend meipenda Sana, Juz ulkuwa na Dullayo, Leo Jozlin ,,, Big up, , Joslin Ni Mkali nanusu, ngoma zote Hit Song,,, Tanzania Vitani ndio Balaa kabsaaaa... Oya Rudi kwenye Game

  • @maigemabina
    @maigemabina 3 месяца назад +17

    Ime kaa vizuri sana old is gold man dullah mtafute Hard mad

    • @mariodattany
      @mariodattany 3 месяца назад

      Amini Kwamba

    • @blessedrider3285
      @blessedrider3285 3 месяца назад

      Hakika man tunamtak mkali wa ragga dancehall hard mad

  • @singokimbwereza9664
    @singokimbwereza9664 3 месяца назад +6

    Hii ndio tunaita professional entertainment documentary…..i like it inavutia kuangalia na kusikiliza

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 3 месяца назад +8

    Huyu mtangazaji ataipaisha xana crown F.m anajua kiukweli anaenda hatua Kwa hatua big up bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯

  • @Ambaryeh
    @Ambaryeh 3 месяца назад +5

    Noma sana dulla planet unajua adi unajua tena 🇲🇿🇲🇿 team crown mko wap

  • @fredymsigala2289
    @fredymsigala2289 3 месяца назад +1

    Msani amejibu safiii mtangazaji yupo saafiii

  • @FeliRoby
    @FeliRoby 3 месяца назад +8

    Like Hapa Kama unaona Crown inaenda kuwarudisha wakongwe wote waliomtaani warudi mjini ✍️

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 3 месяца назад +8

    Watu km hawa tunaitaji Kuwaona km hivi kuwaskia crwon Mnajua Mashallah

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 3 месяца назад +12

    Aliye muona yule jamaa naye lamba mikono huku anakula ugali piga like

  • @Hassanoh_10
    @Hassanoh_10 3 месяца назад +2

    Niite basi mpenzi uwe wangu. Nikutambulishe kwa ndugi zangu. Sifa zote ulizonazo zote ni za kwanguuuu..njoo njoo oohh ohh

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 3 месяца назад +11

    Hii idea ni kali sana kuwatafuta wasanii wakongwe kipindi kikali Sana

  • @hamimhamis-dx5cv
    @hamimhamis-dx5cv 3 месяца назад +1

    Mwana Ako na VOICE Flan iv ya Kistar.❤❤❤

  • @jeanbaptistebyamungu9443
    @jeanbaptistebyamungu9443 3 месяца назад +3

    Bro asante sana kutuletea haomajama tunakumbuka kazizao🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍👍👍

  • @alvinmalle9624
    @alvinmalle9624 3 месяца назад +12

    Joslin ana roho ya ki rasta uki msikiliza majibu yake yuko smart sana..👍

  • @fredgonga
    @fredgonga 3 месяца назад +3

    Madawa yaliharibu sana wanamuziki wetu..

  • @gansolizo
    @gansolizo 3 месяца назад

    Kuacha kuwa sikikiza King Kiba,Fid Q,AY ,Léo hiii natokea kusikiliza iyi narudia Mala pili ❤Tokoss Brother iko Sawa ...Mupeni sapoti . Toka Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @HarunaKashushu
    @HarunaKashushu 3 месяца назад +3

    Sio kitu kibay kufuta verse ni ktk hali ya kueka vitu sawa “ well spoken jamaa ana busara angeeza kijibrag lakin kapoa fresh

  • @ProphetStevenMission
    @ProphetStevenMission 2 месяца назад

    Degree yupo safi, class number moja....

  • @shafii93
    @shafii93 2 месяца назад

    Jamaa anaendeshwa na love. Hiphop wa ukweli.

  • @Thekidsknowledger
    @Thekidsknowledger 3 месяца назад +4

    Alikua fresh ukijumlishia na cash ni mcheshi msafi ukimuona utaweza kumpa respect!🎉

  • @K25795
    @K25795 3 месяца назад +4

    Wa kwanza hapaa

  • @shabannayopa5406
    @shabannayopa5406 3 месяца назад +21

    Ukiachilia mzk nakumbuka mwaka 2004 pale Kivule katika shule ya Mbonea s/chool ulikuwa dom leader wetu nataman siku 1 urud kwenye game bro!

    • @gitanokambarage8789
      @gitanokambarage8789 3 месяца назад

      Dah namm nakumbuka siku anamaliza olevel hapo kivule ndo tulikuja kushakeshake

  • @frankstar.001
    @frankstar.001 3 месяца назад

    Bonge la star.. Kenya tunakukubali mwana. Been a long time aisee

  • @vocalizertz6868
    @vocalizertz6868 3 месяца назад +4

    Kuna ngoma ameimba na lady jay dee inatwa umewezaje,,,,bonge la Pini. Beibeeee umewezaje chukua akili yangu ,huoni unaniumiza ,huoni kama unaniliza beibeeeeee🤝🤝🤝🤝

    • @AminCoaf
      @AminCoaf 3 месяца назад

      @@vocalizertz6868 waliuwa sanaa

    • @atumwanjala2802
      @atumwanjala2802 3 месяца назад

      We unajua music...Bonge moja la Ngoma

    • @khanafrica22
      @khanafrica22 3 месяца назад

      Ngoma langu pendwa la muda wote toka kwake

    • @godfreyvijana4331
      @godfreyvijana4331 3 месяца назад +1

      shda n haipo huipat popote cjajua inapatikana vp

  • @lindalisaibrahim78
    @lindalisaibrahim78 3 месяца назад +1

    Mashallah mama anasauti nzuri kama mwanae anaongea kwa kituo na kwa busara sana

  • @ibrahstar7590
    @ibrahstar7590 3 месяца назад +2

    Hiki ni kitu kikubwa SANA naomba TU viongozi wa 👑 waipe nguvu hii kitu.

  • @hajiojuma
    @hajiojuma 3 месяца назад +3

    watoto wa kkoo hap enzi hizo fire brothers

  • @rashidkopa
    @rashidkopa 3 месяца назад +3

    Nzur sana wakongwe kazin

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 месяца назад +4

    Sauti ya dhahabu kaka 🔥🔥🔥🔥

  • @athumanhamisi4793
    @athumanhamisi4793 3 месяца назад

    Mwamba tunamkubali sana mombasa kenya kwanza lile dude dhahabu i say joslin uliuwa yani bila mjadala thought dully ni legend alafu wakati huo blue alikuwa juu ila mwamba ulitisha kinyama💥💥💪🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 3 месяца назад +2

    Maswali mazur sana hautupotez kwnye kuelewa kk DJ

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto 3 месяца назад +13

    Ni kitu kizur sana mnachofanya crown manake kukumbuka vya kale ni kitu cha busara na kuenzi makubwa waloyafanya

  • @issamwakinyo3203
    @issamwakinyo3203 3 месяца назад

    Namkubali sana huyu mwamba anajua mziki

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 3 месяца назад +1

    Bora mwili wake umerudi 🙏🙏🙏

  • @nassoromelele7339
    @nassoromelele7339 3 месяца назад +2

    MSHKAJI MMOJA🔥📌

  • @malulujr
    @malulujr 3 месяца назад +4

    Bonge moja la interview lenye ubunifu mkubwa zaidi,Dah kubwa sana hii pia Asanten tumejua mengi kuhusu Joslin,
    Saafi kabisa,leten na nyingine

    • @MapeKhamis
      @MapeKhamis 3 месяца назад

      Na Mwandishi Wetu Mkali Dulla Maswali Yametulia

  • @fahmsaidi1010
    @fahmsaidi1010 3 месяца назад

    Mshikaji mmoja hivi bonge Moja la ngoma

  • @livinusgeorge6148
    @livinusgeorge6148 3 месяца назад +1

    Bado ananipatia vibe mpaka this time
    nikisikiliza mziki wake ,we ask u to come back plz!

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 3 месяца назад +8

    Dah huyu mwamba haja enjoy kipaji chake

  • @renbethponera6059
    @renbethponera6059 3 месяца назад

    Nakukubali sana dullah wambua

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 3 месяца назад +2

    Baliloni beeezy na Joslin mapefume oooyaaaah jomba ukitoa PEKE YANGU ya Adili hisabati na CNN ya NGWAIR hawa wakija kutoa goma lao litakuwa ni la bongo SESSION For life

  • @boscojoseph814
    @boscojoseph814 3 месяца назад +1

    Kitu kizuri sana dulla mtafute pia Z anto na Qj

  • @TonyMasterog
    @TonyMasterog 3 месяца назад +1

    Respect to you 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @leslienakara9890
    @leslienakara9890 3 месяца назад

    Jamaa Concious sana aina ya kujibu

  • @PaulJackson-j7o
    @PaulJackson-j7o 3 месяца назад +2

    Namkubal sana mwanangu Joseln toka enzi za mshikaj mmoja hiv,dem simuelewi hatali sana

  • @msafirimoses8815
    @msafirimoses8815 3 месяца назад

    Umri umeenda lakin usela mwingi😂😂😂

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji 3 месяца назад +3

    Anajua kujibu maswali Hana ubinafswi kabisa strong bro

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar 3 месяца назад

    Ukiwa na roho kama ya yule jamaa anaepiga ugali pale nyuma bila kujali camera utaishi maisha ya amani sana na kujali yako tu

  • @Bonnysikaonga
    @Bonnysikaonga 3 месяца назад +1

    Dura long time kama siyo planet bongo nilikuona du

  • @chizzasmartworldwide
    @chizzasmartworldwide 3 месяца назад

    Bro Leo nimeota nikitoa single hit na wewe...sijui kaa unaimbaa

  • @jeffreyalybeatstz
    @jeffreyalybeatstz 3 месяца назад

    One love

  • @ulicydickson6816
    @ulicydickson6816 3 месяца назад +2

    Siku moja mtafte pasha nae umuhoji, kitambo sana juvue yuko wapi nae

  • @UswegeHamza-d8z
    @UswegeHamza-d8z 3 месяца назад +6

    anangoma zake zinaishi mpaka sasa
    mshikaji mmoja
    niite bas

    • @chibwabwamafioso9177
      @chibwabwamafioso9177 3 месяца назад

      Anaongea kama blue ata ukiskiliza floor na melody kama blue yule wakati anatoka

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 3 месяца назад +1

      Moja kati ya ngoma kali Sana.

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 3 месяца назад +7

    Madawa sio mazuri

  • @amrimadunda7821
    @amrimadunda7821 3 месяца назад

    Dulla ipo powa Sana hii mtafute Baysa nae atoe madini yake

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 месяца назад

    Sema ,,dawa sio powa

  • @davieNgolejr3-z1z
    @davieNgolejr3-z1z 2 месяца назад +1

    aliemuona dada kapita kavaa dera like mingi

  • @msafirimoses8815
    @msafirimoses8815 3 месяца назад

    On the 1 and 2 tutafutie soldier roho 7

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq 3 месяца назад +1

    Joslin ana saut kama ya mr blue

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 3 месяца назад

    Dullah nakubri coz uwa una detail kibao za mtu unae muoji

  • @rajah9328
    @rajah9328 3 месяца назад

    Mumtafute Mb Dogman mwamba pia alikua mkali sana

  • @platotaurus2301
    @platotaurus2301 3 месяца назад +3

    Dulla mwenye Planet Bongo yake. Kaka umeondoka na Planet Bongo yako EATV.😂😂😂😂😂😂 Zile dakioa 10 za maangamizi hazinogi kabisa.
    You the best mzee. U have the kinda love for the art which in unmatched. Endelea kuwakumbuka watu wengi waliosahaulika kama hii almasi hapo.
    Nyimbo zake au Album zake tunazipatwje huyu mwamba??

  • @omarysalim5951
    @omarysalim5951 3 месяца назад

    🎉🎉🎉 Jose maskan fire

  • @عزيزه-ر1ه
    @عزيزه-ر1ه 3 месяца назад

    Hii nmesikiliza Mara 10

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 3 месяца назад

    Crown TV nyie hamfai ninooma!

  • @AminCoaf
    @AminCoaf 3 месяца назад +1

    Bonge moja ya inteview jamaa yuko real sana alaf smart kichwani na kama kweli anatumia drug ajipambanie kwanza yeye mwenyewe na wadau pia wamsaidie jamaa ni talented kubwa sio sawa kuicha hivi hivi

    • @FajeFesto
      @FajeFesto 3 месяца назад

      Hatumii madawa

  • @Ashersunbae2
    @Ashersunbae2 3 месяца назад

    Josline seems very positive and calm,,,, na hvyo kumbe ndo the way anaongea

    • @richmontanna7934
      @richmontanna7934 3 месяца назад

      Indeed very positive n calm pure talented @Ashersunbae

    • @charlespatrick8632
      @charlespatrick8632 3 месяца назад

      Huyu ndivyo alivyo Toka tumboni mwa mama yake

  • @ankochoka
    @ankochoka 3 месяца назад

    SAFI SANA 👏👏

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 месяца назад

    COME BACK FUNDI WA MUZIKI 🔥🔥🔥💯💯

  • @kassimsuleiman1575
    @kassimsuleiman1575 3 месяца назад

    Wasaidieni sio kuwahoji alafu mnajinufaisha nyinyi alafu baada ya hapo nyinyi mnapata umaarufu wasanii wakongwe wanabaki wapuuzi tu

  • @godsonmgisha5517
    @godsonmgisha5517 3 месяца назад

    Kuna joslin na dullayo maisha haya😮

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 3 месяца назад +5

    Ngosha pale pembeni yuko taraaatiiibu na tonge lake kisamvu

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 3 месяца назад +1

    Joslin featuring:Marioo,pafyum remix is coming

  • @wazirihamdu6106
    @wazirihamdu6106 3 месяца назад +2

    Namuona mshikaji nyuma pale anapiga kipunga mdogo mdogo 😂 huku akishushia na maji baridiiii

  • @pajokakasasa
    @pajokakasasa 3 месяца назад

    Jamaa walikuwa hatari sana!

  • @andrew29468
    @andrew29468 3 месяца назад +2

    HUYU JAMAA NI BRIGHT NA MKWELI

  • @NellyLwitiko
    @NellyLwitiko 3 месяца назад

    Brazza dulla mtafuteni jose mtambo aisee ili bongo moja la kipindi

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 3 месяца назад

    Wanazimika na yangu perfume ma sister du wanakoma nami room,,, hatar sana huyu mwamba

  • @salekhkhamissalekh
    @salekhkhamissalekh 3 месяца назад

    dah Joslin ni mtu mmoja yupo really sana asee

  • @gitanokambarage8789
    @gitanokambarage8789 3 месяца назад

    Tutafutie Mirror, QJ, Hard Mad, Sister P, zay B,

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 3 месяца назад

    Joslin bado yupo Timamu❤❤❤❤

  • @OthmanChuma
    @OthmanChuma 3 месяца назад

    Mr. Perfume

  • @TinoMagold
    @TinoMagold 3 месяца назад

    Maswali ya ulizwe na ngoma zenyewe itapendeza zaid aise

  • @YasiniGandy
    @YasiniGandy 3 месяца назад

    Mh🎉🎉

  • @deodatusseguke8499
    @deodatusseguke8499 3 месяца назад

    Huyu jamaa anaakili sana, ila kama utamsikiliza vizuri.

  • @justinmongi423
    @justinmongi423 3 месяца назад +1

    Dulla Planet fanyeni mipango huyo dogo aache ngada bhana siyo mambo hayo

  • @YusufuYusufutomasijuma
    @YusufuYusufutomasijuma 3 месяца назад +1

    Jamaa mnyamwezi mpk kuongea kwake

  • @fakikhatoro3876
    @fakikhatoro3876 3 месяца назад

    Mkali

  • @ndackdominic_24
    @ndackdominic_24 3 месяца назад

    Unyama

  • @PJaofficial
    @PJaofficial 3 месяца назад

    👏 🎉🎉

  • @JoseWilson-vb2di
    @JoseWilson-vb2di 3 месяца назад

    Dah joslin wap mzee

  • @zackofficial9840
    @zackofficial9840 3 месяца назад +5

    Dulla fanyeni mpango Joslin afanye remix ya Perfume na Marioo Kisha idondoke street naamini kitakuwa kitu kikubwa sana

    • @cyrusnovel198
      @cyrusnovel198 3 месяца назад

      Angefanya na Mimi angerudi mjini

    • @soloartist_ivanvespalusind1609
      @soloartist_ivanvespalusind1609 2 месяца назад

      Awa kina nani sijui mnawapaisha tu ila sio level za kina Joselyn waliokuwa wanafanya muziki unique kila mtu.

  • @geohmakerseven
    @geohmakerseven 3 месяца назад

    💥💥💥💥💥💥

  • @fatackysam
    @fatackysam 3 месяца назад

    Big Joooos

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 3 месяца назад +1

    I love this guy for no reason if u ask me ,i just love him

    • @khanafrica22
      @khanafrica22 3 месяца назад

      Usini cheat kisa mwamba tafadhali...mbona sijakukosea😅

  • @juliusmbarama9313
    @juliusmbarama9313 3 месяца назад +7

    Microphone kubwa kuliko mtu😂

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 3 месяца назад

    Imamu Abbas mkombozi wa mitaa ya kati nae yupo wapi

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 3 месяца назад

    Yupo mbinga uku

  • @TinahLamajo-xb9xe
    @TinahLamajo-xb9xe 3 месяца назад

    Nooma sana