Mapusti mezeni kamusi ndo mtaninyaka,,,,,Hip Hop is us forever,,,keep it Mbishi/Unju,,,,kila kitu umezingatia kaka,,mimi ni fan wako na uzuri hood tuko pamoja,,,much respect✌.Ni nadra sana msanii akawa mkali hivi,,Nikki anavitu vyote hivi kama mnabisha njooni mniuwe niko Temboni,,Lyrical Mastery,Flow and Delivery,Artistry in Visuals,Contribution to the Community, Collaborations and Influence,Personal Authenticity,Social Consciousness and Activism,Consistency and Evolution,Cultural Impact.
Brothers Nikki, wabongo tunao ujua mziki mzuri tupo wachache sana na chaguzi ipo kwetu sio wasikilizaji wengi hawana elim ya kujua vitu vizuri. Bro u got Bars Bro. I understand u bro 👊🏾
Sauti ya jogoo na playboy ni ngoma zako kali sana bro ila bado we ni mkali ungekuwa marekani ungekuwa tajiri kwa mistari yako ila bongo hiphop hailipi bado
Hivi ndio unaweka vina: Na ndio kwanza, nime-puff Indica, Game tough Leo patachimbika nimekasirika, Mnaongea hamueleweki mmeghafirika Appy kuhusu hao watu feki nimeshafirisha, Nimeshazika Mtu wa ku-mind nimeshafika,
Wanene tv onjuu Sina unyonge, si delay kama echo, konde gang hatetewi na baba levo Staki tuzo, masacka wa sakamedo, nishajitoa sadaka sakalamento, im rebel ,label gani kutwa mnasign mazombie,kupelekeshwa puta kama mang'ondi,mtawekwa sana bondi Unju bado fresh kwenye mic fine, toght like y guy vignity
Tuliokua tunaisubilia Ngoma hii kwa hamu kubwa gonga like kwaajil ya UNJU💥💥💥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
JAMAA ANA #FLOW ZA UAKIKA ... DOPE VIDEOS!! HUWA NAMLINGANISHA NA #THE_GAME ... 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 ... #SEATTLE 🙌🏻
Ngoma ni kaliiiiiiii sana naipenda sana from Tanzania 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
One love kutoka 254 noma sana
Biashara yenyewe frame ya chupi, na bado ruti za uturuki hazikauki 🔥🔥🔥🔥
oya kichwa panzi hawezielewa!!
Akili kubwa mzee😊
@@MohammedAzgar-e4l😂😂😂😂 kabisa inahitaji D mbili ili uelewe kamaanisha nini
@@mugadimon3563 kabisa kaka
Ruti ni Nini?
Ndo real hip hop artist aliebaki hai huwa hafatagi mkumbo S/o to you unju✊🏾🙌🏾🐐
Nimeickiliza mara 5 ndio nimekuja kwenye comment kusoma
Nikki Mbishi ni full package ya hip hop, ukihitaji punchlines zipo, metaphors zipo, worplays ndo usiseme.
TRUE MEANING OF HIP HOP IS BIN UNUQ
Bro hakuna kama huyu mchizi bongo haja wahi tokea kama unju akifa ndio utasikia hoooh jamaa alikua noma
fact
NO LIE
@@chefaziz6913 bongo marapa wakali walio waikutokea n gwea na uyu jamaa
Great lyrist, great presentation. Kwenye kupewa fagio kamata mwenyewe ila kama ina malipo, usimsahau Johnny Vigeti kwa royalties
Mbishi ni mmoja tu 🙌🙌🙌🙌🙌
Hapo ndipo utajua nchi yetu Kila kitu kinaendeshwa na connection huyu mwamba anajua sana
Label gani kutwa mnasign mazombi,
Kupelekeshwa puta ka Mang'ondi,
Mtawekwa sana bondi 😲😲😬
Nikki wakupe ubalozi wa VIAGRA,This too Hard🔥🔥
Fala sana 😅😅😅
@saidadam5093 Ngoma IMEDINDA kinyama😀🔥🔥🔥
Hii ngoma vitu ni viwili tu, kuonesha ufundi wa uandishi na flows, na kumdiss Roma aka Romanza bas…. Unjuuu 🫡🫡
With love from the 254
Mapusti mezeni kamusi ndo mtaninyaka,,,,,Hip Hop is us forever,,,keep it Mbishi/Unju,,,,kila kitu umezingatia kaka,,mimi ni fan wako na uzuri hood tuko pamoja,,,much respect✌.Ni nadra sana msanii akawa mkali hivi,,Nikki anavitu vyote hivi kama mnabisha njooni mniuwe niko Temboni,,Lyrical Mastery,Flow and Delivery,Artistry in Visuals,Contribution to the Community, Collaborations and Influence,Personal Authenticity,Social Consciousness and Activism,Consistency and Evolution,Cultural Impact.
😂😂😂💥
👊👊👊
My best rapper/Mc of all time in the world
nikki kweli mbishi🙌🙌🙌
Numbers don't lie even hips don't lie roma...
Hacha ulaghai na kujiona spy kainfomer
Ha-floss Chindo utasema hakai Calfonia .....
Wakaz mpe maarifa huku co Kibaha maili 1
🤣🤣🤣 SPEECHLESS
Hii haina comeback😂😂😂
Best rapper I know from Tz...much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪UNJU👌
Unju hii itakuwa funga mwaka alaf itaishi sana niamini bro
Unju yani we sio bahat mbaya kuzaliwa bongo usinge zaliwa hapa tusinge kuwa tunapata huu ufundi wa u.s.a broo bongo makusudi respect sana
THE ONE &ONLY NYEGEREEE
Naku kubali toka 🇨🇩
Unjuu umetisha kinoma my G rapper ever in the world 🙌⭐💥
unju.......that's a masterpiece
Unju the GOAT..deserves his flowers while he can still smell them.
Brothers Nikki, wabongo tunao ujua mziki mzuri tupo wachache sana na chaguzi ipo kwetu sio wasikilizaji wengi hawana elim ya kujua vitu vizuri. Bro u got Bars Bro. I understand u bro 👊🏾
D voice hii nyimbo ndio itakutoa tu km prom yakutosha
Sauti ya jogoo na playboy ni ngoma zako kali sana bro ila bado we ni mkali ungekuwa marekani ungekuwa tajiri kwa mistari yako ila bongo hiphop hailipi bado
Izi sio AKILI mimba we pimbi uwelewi tuu
Sikiliza vizuri hamna MIMBA hapo
Akili mnemba au Artificial intelligence
Niki inatoshaaa babaaa Inatoshaaa 🙌🙌🙌🙌🙌
Noma sana Jesus saves gangsters too
Ka lijari ndani shoga 🔥🔥🔥🔥🙌
Mziki mnene subiri guncher aunge mawire kipndi una play fool ndo Mimi na train troops
General wa kikos Kaz you know ma gang crooked
Hii imeenda
Hivi ndio unaweka vina:
Na ndio kwanza, nime-puff Indica,
Game tough Leo patachimbika nimekasirika,
Mnaongea hamueleweki mmeghafirika
Appy kuhusu hao watu feki nimeshafirisha,
Nimeshazika Mtu wa ku-mind nimeshafika,
👊👊
Kama Kuna msanii wako kapotiwa Unaweza kutupia likes hapa tukajuana
Ngoma ni kali sana, remix mpe respek Saigon mzee wa kulimboso
Utagikiri nimesikia mond au masikio yangu
Kama rejali ndani shoga 😢
pure talent nikki mbishi
Kibabe Mno🔥🔥🔥 General wa Kikosi Kazi✊🏿
Mkitaja majangwa msinisahau Antarctica, that's why l call you the genius of bongo hip-hop. 😊
Akitoka chid benz rapa wangu bora ni niki mbishii umeua sana broh
nipo naiskiliza tena leo
Yes this is NIKKI MBISHI... Hard Punch
Ebana umetema quanta nyingi sna
Hatari sana, ukimsikiliza Dr. Unju, utangundua wanapwaya sana.
Tusidangayane hakuna wa kukaa kiti kimoja na Unju,hao wengine ni heshima tu.
We leta chokochoko tukutolee D code III
Flow kali saaaaana
NUMBERS DON LIE EVEN HIPS DON LIE ROMA ACHA ULAGHAI NA KUJIONA SPY KA INFORMER HA-FLOSS CHINDO UNAWEZA SEMA HAKAI CALIFORNIA
😂😂😂🙌🔥💥
Konde gang hatetewi baba levo
Salute kaka All the way from randburg south africa
Watu weweeee,huyu ndo Niki mbishi ninaemfahamu sasa 🔥 📛 👩🚒
aseee...huyu Unju atakuwa ni Alien 👽 anaandika na kudeliver kwa ufundi mkubwa sana!
Mbish young killer moni ndio watu ninaowana wanajua 🔥
Umu nikkki kapita styles nyingi sana big up saana
Huyu Niki hapewe heshima kabla hajakufa
Biashara yenyewe frem ya chupi na bado ruti za uturuki azikauki
Atariiii sanaaaaa
Nikki Mbishi Unju The GOAT 🐐🐐🐐🐐🇹🇿
Unjuu ❤🎉
Huyu jamaa anafanya hiphop ile tunataka 🙏
Asante sana
Dah😂😂 kweli mboso kapita mulemule kwa ibra
Siku iyo mungu aijakie ikifika naingia ivyoo
Huyu jamaa ni fundi sana mh sijjui watu hawaoni ama ni vip
WAKAZI mpe MAARIFA huku sio KIBAHA Mail 1 , KIBAHA FINEST.
maarifq😂😂 apo ina itaji c3 d2 uwezi elewa
Kumdis roma
Oyaa weee 🙌🙌🙌
Sinanajua ikiwa noma inakuwa noma kaka mbishi salute
Dah huyu jamaa sina sifa mpya ya kumpa,itoshe kusema hakuna km unju
Wanene tv onjuu
Sina unyonge, si delay kama echo, konde gang hatetewi na baba levo
Staki tuzo, masacka wa sakamedo, nishajitoa sadaka sakalamento, im rebel ,label gani kutwa mnasign mazombie,kupelekeshwa puta kama mang'ondi,mtawekwa sana bondi
Unju bado fresh kwenye mic fine, toght like y guy vignity
Bro ishi miaka mia bro i need ur mind
No lie NIKI MBISHI NI HABARI NYINGINE kabisa ..kila kukicha kisu kinakuwa kikali noma sana!
Unju is real nigga!💥✊
Bongo bila nikki mbishi hakuna hip hop
Nipate like zangu sasa let's respect the HIP-HOP ON TOP 🔝
Mkitaja mabala msinisahau Antarctica
Rebirth ya Unju
Nikki dondosha namba namba niku tunze my nigga maana hii show sio poa👑👑💯🖤
@@chefaziz6913 Zipo kwenye profile
UNJU the BEAST
blaza hii ni noma...huyu ndo Nikki sasa
Nilimiss sana hizi flows kuntu...Big Time Mzazi
King of hip hop🙌🙌🙌
Thump up from Boston⭐️🌏
Mbishi humu humu mamae umeua unengaa
#KONDE GANG ,Hatetewi BABA LEVO...... 😂😂😂 🚨
Nikki Mbishi Baba Malcom🙌🙌🙌
Real definition of hip hop, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is incredible.
Roma kachanwa paka mwenyewe kafurahi
Ndo aliyataka😅😅
Hii ni hip hop sasa
Oya job mcheki nakaaya sio familia uje nakaya ni atari sana na NIKKI NDIO ALINIFANYA NIACHE KURAP
Kwann😅😅
now we can talk about who is the best rapper in the world,this is genius
Kumammamamammake.. ila unjuuu khaaaaaa usiwafanyie hivo kaka.. daaah...
😂😂😂
Lebo gani kila saa umna sigh ma zombie😂
Full verse no chorus ,mtu mbadi sana kweny uandishi
#unju bin unuki 🎉 😂😂kalidadi ndani shoga
The return of the mummy giza 😂
😂😂 ..
Ndoto zangu hazina deadLine, above the law navukaga na Redlight❤ UNJU
General wakikosikazi🧘🏿♂️🧘🏿♂️🧘🏿♂️🗝️🌍
on trending🔥🔥🔥🔥🔥