Yanga wapo vizuri kwenye usajiri kwakuwa msajili mkuu na mwenye maamuzi ya mwisho ya usajili anaujua mpira vzuri na yupo smart kwenye kila sajili na anaenda kwa target kwamba anasajili kwakuangalia nini anataka Ukija simba wanaosajili ni watu zaid ya wanne au yeyote mwenye uwezo wakusajili anajisajilia tu coz muda ujao mchezaji aliemleta ataweza kupanda dau na akauzwa bei kubwa na kurudisha faida ya aliemsajili Yule dada hana anachojua kuhusu mpira yeye yupo vizuri kwenye management & organisation na sio mpira kiujumla ndo mana sajiri za simba nizakufuata mkumbo na zisizo na tija hapo mbeleni Kiukweli simba saizi wanadevela sana ukiangalia sajili za mihemko, jezi kusuasua, kuanza msimu japo wameshinda lakini unaona kabisa hakuna future nzuri. vyote hivyo ni kutokana na kukosa kiongozi mwenye vision mwenye anaujua mpira na ubora wa uongozi, kiongozi asieyumbishwa na kiongozi mwenye final say Hersi miaka 4 amekuwa yanga lakini unaona kabisa improvement ya mipango yao hadi sasa kakabidhiwa rungu kwa 100% lakini kwa simba unaona kabisa wana drop dah🥲
Unavoongea utadhan kuna kitu unatoa tofauti kumbe ni ushabiki tena yanga kwa kusajili makapi ndo hawajambo kabisa timu unbeaten msimu mzima usajili wote ule unataka kubadilisha nn yan naona momo anaongea mapoint ila ww unataka kubishana na wapinzan ndo shida iliyopo haya kaa na hayo unayoona n miyeyusho ach inyeshe tuone panapovuja
Mi ni Simba ila ungozi wa yanga kwenye usajili upo vizur kwel yani hawataki pesa yao ipotee kilamchezaji wanamsajil wanahakikisha atafiti wapo tayar kutoa pesa nyingi ili tu wapate mchezaji wa uhakika kuliko wamajaribio .sio kama wanashindana bali wana uchungu na pesa yao ya usajili
@@mwikamwika4851 Kwan timu ya baba yako ulivyoambiwa , Kuna sehem viongozi wanazingua wanachofanya nisawa na kusema nabana baajeti sinunui chakula mchana leo nitakula andaz mwisho wasiku mpaka jion unaona gharama uliotumia imevuka hata ile ya kununua chakula ndio wanachofanya viongozi wetu . Unamkosa Adebayo kwasababu ya RS Berkane sawa unamkosa mchezaji uliemtaka kwasababu ya yanga ! Huu si upuuzi wakati sisi tulitakiwa tuoneshe umwamba tulitakiwa tukafumue kikosi pale pale tukamchukua mayele kesi ingekua ishaisha saa hizi .huoni warabu wanachofanya ukiimalika wakiona unawasumbua wanachukua wachezaji wenu wazur bc .
Umetisha momo mm kama msemaji wa wana thimbaaaa nashindwa ata kutoa maamuzi nawangalia tu watu wanavyopiga pesa sina nguvu ndio maana hata sauti yangu haitoki vizuri bajeti ya mshahara wangu tu watu wanakula asilimia zangu leo nimeona bora niseme ukwel nipo tayari kujutoa kwenye usemaje mwezangu manara kule anakula Bata tu.
Yani viongozi kujikubali saana Kama wanafanya kwa weled Ila huo weled hauna uhalisia , imagine unamuacha AZIZ ki mchezaji abaejituma ambae unajua kabisa Kama atafiti kwenye eti unamuacha sababu kataka pesa nyingi halafu unamsajir mchezaji kwa pesa nyingi Kisha hamumtumii hiyo pesa c bora mungeongezea kidogo tu na nyengine ingebaki mukamchukua azizi ki
GSM alikuwa anapigwa zamani sasahivi kazi za usajili zinafanywa na rais enginer hersi said habahatishi anawapandia mwenyewe usibishe watu wanapiga mpunga sana hapo simba wameanzisha kamtindo hako wanamleta mchezaji hata wa majaribio baadae anasepa wewe unafikiri ghalama za kuwaleta nani anahusika yaani Barbra sikuhizi kanenepa sio miss tena anapiga mpunga na ahmedy Ally wake sikuhizi kanenepa hela za michango pia
Umetisha sana mzee wa za ndanii kabsaaa
Yanga wapo vizuri kwenye usajiri kwakuwa msajili mkuu na mwenye maamuzi ya mwisho ya usajili anaujua mpira vzuri na yupo smart kwenye kila sajili na anaenda kwa target kwamba anasajili kwakuangalia nini anataka
Ukija simba wanaosajili ni watu zaid ya wanne au yeyote mwenye uwezo wakusajili anajisajilia tu coz muda ujao mchezaji aliemleta ataweza kupanda dau na akauzwa bei kubwa na kurudisha faida ya aliemsajili
Yule dada hana anachojua kuhusu mpira yeye yupo vizuri kwenye management & organisation na sio mpira kiujumla ndo mana sajiri za simba nizakufuata mkumbo na zisizo na tija hapo mbeleni
Kiukweli simba saizi wanadevela sana ukiangalia sajili za mihemko, jezi kusuasua, kuanza msimu japo wameshinda lakini unaona kabisa hakuna future nzuri. vyote hivyo ni kutokana na kukosa kiongozi mwenye vision mwenye anaujua mpira na ubora wa uongozi, kiongozi asieyumbishwa na kiongozi mwenye final say
Hersi miaka 4 amekuwa yanga lakini unaona kabisa improvement ya mipango yao hadi sasa kakabidhiwa rungu kwa 100% lakini kwa simba unaona kabisa wana drop dah🥲
Bigilimana 😅😂🤣
Kwani nani anasajili pale Yanga?
Unavoongea utadhan kuna kitu unatoa tofauti kumbe ni ushabiki tena yanga kwa kusajili makapi ndo hawajambo kabisa timu unbeaten msimu mzima usajili wote ule unataka kubadilisha nn yan naona momo anaongea mapoint ila ww unataka kubishana na wapinzan ndo shida iliyopo haya kaa na hayo unayoona n miyeyusho ach inyeshe tuone panapovuja
Mi ni Simba ila ungozi wa yanga kwenye usajili upo vizur kwel yani hawataki pesa yao ipotee kilamchezaji wanamsajil wanahakikisha atafiti wapo tayar kutoa pesa nyingi ili tu wapate mchezaji wa uhakika kuliko wamajaribio .sio kama wanashindana bali wana uchungu na pesa yao ya usajili
Kwani umetumwa au umeagizwa? Nenda hukohuko Kwa utopolo
Unaliwa mkundu ww
Nakubali
@@mwikamwika4851 Kwan timu ya baba yako ulivyoambiwa , Kuna sehem viongozi wanazingua wanachofanya nisawa na kusema nabana baajeti sinunui chakula mchana leo nitakula andaz mwisho wasiku mpaka jion unaona gharama uliotumia imevuka hata ile ya kununua chakula ndio wanachofanya viongozi wetu . Unamkosa Adebayo kwasababu ya RS Berkane sawa unamkosa mchezaji uliemtaka kwasababu ya yanga ! Huu si upuuzi wakati sisi tulitakiwa tuoneshe umwamba tulitakiwa tukafumue kikosi pale pale tukamchukua mayele kesi ingekua ishaisha saa hizi .huoni warabu wanachofanya ukiimalika wakiona unawasumbua wanachukua wachezaji wenu wazur bc .
Sasa wewe Kama hujui mpira pesa zinaingiaje bora unyamaze tu naona hata hujui umuhimu wa mashabiki cjui we mwanachama upo upo tu!
Namkubali sana mzee wa kudere 🙌🏾🙌🏾
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤🤍
ruclips.net/video/keekDotg4uM/видео.html
@@donmoofmmawaidhaaudio4508l
Nikweli kabisa simba inahitaji washambuliaji wapya wenye manufaa makubwa sio kuleana wakati simba inahitaji mafanikio makubwa
ila akpan hajapewa milioni 200 , sio wa milioni 200 , coastal union wamepewa milioni 100 na akpan amepewa 50M kama signing fees
Wa kudere na kuelewa sana
Broo umeongea point sanaa ndio maana soka letyu tuna feri sana duhhhhh
Daaaah jomba uyu mtata sana sijuh taarifa anapata wapi
Imeisha hiyo sema kocha kenge sana 😢
Shida kusajili bila kuwepo kocha sasa kocha akija anaona hawaingii kwenye mifumo yake sasa hata kama ww ndo kocha utafanyaje unadhani😂
Kudere leo umeongea point kidogo biashara za watu wajinga SN sio kwa NN wanakuwepo Simba pale
Umetisha momo mm kama msemaji wa wana thimbaaaa nashindwa ata kutoa maamuzi nawangalia tu watu wanavyopiga pesa sina nguvu ndio maana hata sauti yangu haitoki vizuri bajeti ya mshahara wangu tu watu wanakula asilimia zangu leo nimeona bora niseme ukwel nipo tayari kujutoa kwenye usemaje mwezangu manara kule anakula Bata tu.
Sasa shidann pole maana unapoteza hata Nuru vumilia yatakuwa Sawa tuu
Loooh kumbe nawao wanatoaga Mali kauli wanavojigamba basii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nime kuelewa mzee wa kudere viongoz wa Simba waaache ushamba
Safi kabisa
Nakuelewa sn mze
Ni ya kweli kabisa
Hapa anamzungunzia kocha zoran kipindi kile anapewa mkataba alitoa masharti na alisema wazi boco, chama, phili, onyango alisema kabisa hawa siyo
Kocha anataka alete wazungu wengine nini
Ila nimekuelewa broo
Asante sana momo
Simba tunapigwa sana
Naitwa edger natokea mbeya grean city bana timu yangu ya simba atup raha kama turivo zoea yan kwa kipind hk tunapata shida t
Shida ni kwamba tunasajili bila ma kocha
Ukweli ndio huo.. Basi wata umia kuambiwa ukweli
Simba inahujumiwa na viongozi wake nishasema zamani sana
Huyu taarifa zake huwa ni za uongo, yani kinachomjia kichwani analileta kwenye radio, huyu si ndo alitwambia Sakho Hana mkataba na Simba.
Kweli nimeona hayo sawa
anaongea sanaa , ila kama yanaingia akilini hasa hasa hii point ya mwisho
sahihi asee
Kocha ana akili sana huwezi ukampa masharti ya nusu fainali shirikisho halafu wachezaji utumbo
Sio shirikisho club bingwa
Nakubr Sana
Kama nimekuelewa
Tupe za ndani za malaika na konde
Wew muongo
Mbona mzungu hawezi
Uyoo muongo sana tu
Ukweli mtupu wanasimba tuamke 😭 hadi Yanga watatupita
Wawapite mara ngapi
Yani viongozi kujikubali saana Kama wanafanya kwa weled Ila huo weled hauna uhalisia , imagine unamuacha AZIZ ki mchezaji abaejituma ambae unajua kabisa Kama atafiti kwenye eti unamuacha sababu kataka pesa nyingi halafu unamsajir mchezaji kwa pesa nyingi Kisha hamumtumii hiyo pesa c bora mungeongezea kidogo tu na nyengine ingebaki mukamchukua azizi ki
Dah
Kocha wa simba hatufai haendan na las na uzito wa lig yetu tunaomba uchebe waturudishie klabuni
Si mlisemaaa bonge la kochaa
Si tuliambiwa ni kocha wa vikombe huyu au tumepigwa hapa ?
Kwel izo zandani kaka
Mzee wa kuderee unajua
Aa nimekuelewa sana umeongea sana wakudele
Mzee wa kudere wachane
Tatizo ni hansipope kufa
Simba iyooo
Momo nomaaa
Momo, Momo uongezewe ulinzi
Weweeeee
Nakuunga mkono momo
Kiongo hichooooo
Poit muhimu ni ya mwisho
🤣🤣 🗣️ zaaandaaaaniii !!!!😂
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤🤍
ruclips.net/video/keekDotg4uM/видео.html
hahahaha huyu mkuda kwel yan
Topsella tv
Ukweli mtupu
Viongoz bure kabisa hawa
Yani yanga usem gamond amtak chama ana tak namba 6 aucho kachoka usemi wewe muongoooo fala wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkataba wa ZORAN kama wa pikipiki....😢🤣🤣
Hahahaha umenichekesha Ila we yangaaa
,zandaaaaani
Momo watakuteka ooooooh
🔥
ruclips.net/video/Rrtc4BO-RTA/видео.html mdada wa kazi kafumaniwa wakifanya mapenzi na mlinzi jikoni duh dunia imevaa chupi
Imeisha iyo momo
Mm
Vp
huyi hana jipya muongo kweli
Momo 😂😂😂😂
K kubwa wote hao
Huyu nae porojo tu mdomo du kama herufi za mwisho za jina lake
🤣🤣🤣🤣 umejua kunifurahisha km eruf za mwisho
😂😂😂😂😂😂
Sasa Endeleen kusema porojo ila mtayakumbukaaneno yake
Mambo yake kama joti!!!
Ila ila jamaaa .😂😂😂😂
Gusa maandish ya blue ukatazame Video nilivyomfunika DOGO BALAA ruclips.net/video/ZXoVZuZFMy8/видео.html
Akpan
Wapigaji wapo Kwa boss wako gsm Kwa mo hayo hayapo. Sasa tuone Kama utadhubutu kumsema utakosa bahasha kenge wewe usituletee vurugu msimbazi.
Tulia ww mkiambiwa ukweli mnanunaa umeona Yanga asahv Wana sajili kihoreraa kama zaman? Mtaumbuka mwaka huu
GSM alikuwa anapigwa zamani sasahivi kazi za usajili zinafanywa na rais enginer hersi said habahatishi anawapandia mwenyewe usibishe watu wanapiga mpunga sana hapo simba wameanzisha kamtindo hako wanamleta mchezaji hata wa majaribio baadae anasepa wewe unafikiri ghalama za kuwaleta nani anahusika yaani Barbra sikuhizi kanenepa sio miss tena anapiga mpunga na ahmedy Ally wake sikuhizi kanenepa hela za michango pia
Hhhhhhhhhhh
Hahahahaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣