MANARA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA YANGA KUICHAPA TANZANIA PRISON GOLI 4-0 | WACHEZAJI WETU WANAJITUMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 170

  • @AlphanMbundamila
    @AlphanMbundamila 19 дней назад +2

    Wakuabudiwa ni mungu tu hongeraaa sanaaaaaaaaaaaa manara👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 18 дней назад

    Askari magereza hawana akili muda wote wanawaza wafungwa tu yani hata familia zao wanatamani zipigwe pingu safi Raisi wetu Sunday manara 💚💛🙏💛🙏

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 19 дней назад +2

    Safi sana bugati wanayanga tupo pamoja na wewe❤❤❤

  • @MasoudKimbunga
    @MasoudKimbunga 13 дней назад

    Napenda sana wa2 kama hawa wasio penda kupelekeshwa kisa vyeo

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 19 дней назад +3

    Oyeeeeee Bugatti mungu akulinde bro ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZuhuraAwadhi
    @ZuhuraAwadhi 19 дней назад +4

    Manala mwanaume anatakiwa awe hivyo Big up bro umeonesha sifa ya mwanaume ni kujiamini

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 19 дней назад +3

    Good talking brother big support to us wea really very proud of you.

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 19 дней назад +10

    Hatupaswi kutishwa

  • @AmisiJaribuni-gz1zd
    @AmisiJaribuni-gz1zd 19 дней назад +4

    Manaraa nitumie nmbaa nkutumiee Ela ya soda😂😂

  • @GadsonEnos
    @GadsonEnos 19 дней назад +19

    Safi Sana Haji Umemujibu Vizuri Huyo Mjelajela Anafikili ww wa Kayenze.

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 19 дней назад +3

    Dah kajamaa kanapenda ugomvi kinoma 😀😀😀😀😀😀😀

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 19 дней назад +3

    Askali kayafyataaa😂😂😂

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 18 дней назад

    Manara ni nomaaa😂😂

  • @KamonaKintu-or2gs
    @KamonaKintu-or2gs 19 дней назад +1

    Safi sana mechi yaleo nimefirai sana gamod alikua ametupoteza ushauli wangu kwa pacome katunyima goli Leo makocha wampe ushauli

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 19 дней назад

    Buggati karejeaaaa...❤❤❤

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 19 дней назад +5

    MUNGU ni mwema karibu Sana Tena Sana Ebugadi hongera Sana kazi njema kila la kheri kwenu kazi kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom

  • @athumannassoro5073
    @athumannassoro5073 18 дней назад

    Safi sana manara

  • @IddiShabani-mc9mn
    @IddiShabani-mc9mn 19 дней назад +2

    Manara unatafuta kiki una maneno machafu sana jua askari Magereza ni chombo cha dolla acha dharau bro

  • @BenjaminiThomasi
    @BenjaminiThomasi 19 дней назад +2

    Amemjibu vizuri mazunguzo yao na gari la magereza inahusiana vipi!,

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 19 дней назад +3

    Hahahahaha daaah el Bugatti hiki ni chuma kweli kweli et kawaambie wafungwa wenzio huko

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 19 дней назад +1

    Buggati mmoja tu. 💪

  • @rishasboytz6120
    @rishasboytz6120 19 дней назад +1

    Et wafungwa wenzie ngoja kafungiwe tena ndo muanze kupiga mikelele😅😅

  • @massuraja1796
    @massuraja1796 19 дней назад +6

    Yanga bingwa

    • @alimohamed691
      @alimohamed691 17 дней назад

      Hakuna ahadi kwenye mpira ni gemu ngumu

  • @PINMOND-b9t
    @PINMOND-b9t 18 дней назад

    So good manara

  • @JemsNiarira
    @JemsNiarira 17 дней назад

    Bugat yes

  • @MatridaLinus
    @MatridaLinus 19 дней назад

    Mungu akulinde kaka yangu tunakupenda sana wananchi

  • @ayubumtweve5899
    @ayubumtweve5899 18 дней назад

    Heeeeee tutafute ela 😂😂😂😂😂

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 19 дней назад +1

    Tatizo wabongo wengi hawajui sheria ndio maana wanateseka

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 19 дней назад +6

    Ila Bugatti 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 19 дней назад +3

    Ila manara😂

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 19 дней назад

    😂😂😂😂 safi sana El Bughatti

  • @ramadhansaid5348
    @ramadhansaid5348 19 дней назад +1

    Hapa haji umekosea

  • @bhuzahope2746
    @bhuzahope2746 19 дней назад +1

    Ndiyo shida ya manara

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 19 дней назад

    Askali ndukiii mpaka sasa anakimbia hakujua Bugatti mpenda bifu kuliko kula😂😂😂😂😂

  • @MussabhalengaBhalenga
    @MussabhalengaBhalenga 19 дней назад +1

    Hao magereza watakua wamelewa pombe hao

  • @IsmailiSindiyo
    @IsmailiSindiyo 19 дней назад

    Yanga bingwa

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 19 дней назад

    Manala nakubali sna😅😅

  • @AsinathMuhidini-ye6jc
    @AsinathMuhidini-ye6jc 18 дней назад

    hahaaaaa eti we nani kwani asikali magereza

  • @mosesaugustino5518
    @mosesaugustino5518 19 дней назад

    Bahati mbaya siku moja ufanye kosa hata kwa bahati mbaya upelekwe kwao ndio utawajua vizuri askari Magereza..

  • @tinanyanda
    @tinanyanda 19 дней назад

    Mbona ameingia kwenye gari, ye angetulia tu, watu wapo kazini 😁😁😁

  • @RamadhaniKiduba
    @RamadhaniKiduba 16 дней назад

    Manara saa zingine huwa unaropoka na yeye ni mfungwa mtarajiwa wewe sio mungu
    Kuna siku isiejukana ukiingia kwenye anga zao
    ndo utajua ,

  • @RamadhanHuseni-v7e
    @RamadhanHuseni-v7e 19 дней назад +2

    Akionekana tuu bassss ushindi tumeula

  • @blues4life633
    @blues4life633 19 дней назад +2

    Askari wa bongu wanataka kumpanda kichwani kila mtu, haya sasa kula Chuma hicho kwa el Buga🔥🔥😂

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 19 дней назад

    Yanga hatutushiwi yauu

  • @HosseinJuma
    @HosseinJuma 19 дней назад

    😂😂😂 manara we atar sn huo ndio uwanaume kaka

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 19 дней назад +1

    Manara awe mshaur wa timu yetu

  • @AthumaniyshehozaYshehoza
    @AthumaniyshehozaYshehoza 18 дней назад

    Nawewe mwenyewe

  • @andrewkilulu
    @andrewkilulu 19 дней назад

    Balaaaa hiii

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu 19 дней назад +1

    Wewe raia wa kawaida dhubutu kumwambia afande hayo maneno kama ujala virungu vya magoti.

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 19 дней назад

    #watolee_amliwafungwa_wenzio 😂😂😂

  • @AthumaniyshehozaYshehoza
    @AthumaniyshehozaYshehoza 18 дней назад

    Magereza ndo kakosea mwenyewe

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 18 дней назад

    Manara hata akigombea uraisi atapita kwa kishindo kura za wanayanga tu zinatosha

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 18 дней назад

    Hana busala manara

  • @salimumsoloni
    @salimumsoloni 19 дней назад +2

    Dah pa1sanabugat

  • @rehemasam6946
    @rehemasam6946 18 дней назад

    SEMA tena BUGAAAAAAAAAAAAA

  • @scopy0428
    @scopy0428 19 дней назад +6

    Bugatti

  • @sarapianmatiku5689
    @sarapianmatiku5689 19 дней назад +1

    Siku akifika magereza ndio atawajua umuhimu wao sio hayo maneno yake kutaka kumdhalilisha Kamanda

    • @AlphanMbundamila
      @AlphanMbundamila 19 дней назад

      Kamanda wap wewe mshamba wew kamanda ni mungu tu

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 17 дней назад

    Kiburi cha Haji Manara kipo juu sana.
    Lakini kijapo kiburi ndipo aibu ipo njiani.

  • @FredrickMajami-t5q
    @FredrickMajami-t5q 18 дней назад

    Leta askari wenzio

  • @Suzannachazzy
    @Suzannachazzy 19 дней назад

    sijui leo waandishi wataongea nn maana wanasubiligi yanga wafungwe wapate cha kuongea mbaya zaidi ni kupondea wachezaji na kocha wao

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 19 дней назад +1

    Etii mpuuuzi dar

  • @HASSANTAGALILE
    @HASSANTAGALILE 19 дней назад

    interview kila mahali wao walitaka awapishe wapite.kawajibu kwa dharau sana.wangelikuwa Tipidienga wangekuzazalisha.hawanaga utani.lakini magereza ukiingia anga zao utawajua

  • @HajiHija-zv5ym
    @HajiHija-zv5ym 17 дней назад

    Hata uyo Askari nijeuri tena ni mjuba

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 19 дней назад +1

    Watu wanasifia ujinga

  • @richardgeorge5377
    @richardgeorge5377 19 дней назад

    Ww siyo Yanga unatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kuwa ww ni Yanga

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 19 дней назад

    Sasa hawa askari kama hawataki gari yao kuonekana si wangekaaa gerezani sio kwenye mpira

  • @godsonrwegasira4414
    @godsonrwegasira4414 19 дней назад

    Et watishe wafungwa wezio mh

  • @OmaryMahmoud-n5e
    @OmaryMahmoud-n5e 19 дней назад

    Mtoto wa mjin... Safi xna

  • @JeniphaSamwel-r9j
    @JeniphaSamwel-r9j 19 дней назад

    Nice

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 19 дней назад

    Bugatti bhna eti hizo Shari ndo anazipenda 🤣🤣🤣🤣

  • @dainamichael5624
    @dainamichael5624 19 дней назад

    Kwani yanga mechi iliyopita kapoteza?

  • @HASSANTAGALILE
    @HASSANTAGALILE 19 дней назад

    zelu zelu anadharau sana sometimes

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 19 дней назад

    Yaani makolo mwaona kila anachofanya Manara afungiwe Tu,wangapi Wana makosa mazito Zito wanafanya hawafanywi chochote,alo kuambia Askari hakosei ni Nani,Ni binaadam pia wanakosea na hapo alikosea Yule Askari,tuseme ukweli

  • @iddykamona8917
    @iddykamona8917 18 дней назад

    Hahaha mzee xiuliambiwa ukae kwa kutulia.

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 19 дней назад

    Ww ndo unafaa kuwa msemaji

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 19 дней назад

    Raisi yipo anapesa kama vua ya mawe

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd 19 дней назад +1

    Manar Msenge nanyinyi munao mshangria hamnazo

    • @mrben227
      @mrben227 19 дней назад

      Ah ww acha tu kka ila kimsingi alichokifanya manara si kitendo cha uungwana mana askari alikuwa kazini

    • @PaulinaLunyonga
      @PaulinaLunyonga 18 дней назад

      Matuc Yann ww ukiambiwa wewe ndio msenge 😂

  • @SehlmMchemia
    @SehlmMchemia 19 дней назад +1

    Sawasawa manara akaamrishe wafungwa wenzie uko kuma uyoo askar

  • @hidayaomary8611
    @hidayaomary8611 19 дней назад

    Bugatti ni mmoja tu nakukubali sn nigutahi sn kukuona kiwanjan 🎉

  • @IssaSaid-l6l
    @IssaSaid-l6l 19 дней назад +1

    Penda xnaa manara tumemic vitu vingi tunaomba uje uwe msemaji wa yanga pengo lako alitazibika

  • @BlazeDèMontez-h3b
    @BlazeDèMontez-h3b 18 дней назад

    Huyu jamaa ananyota kubwa sana kwenye soka chunguza alipo hama simba kuja Yanga simba inayumba mpakasasa na alipo anza matatizo na Yanga yanga ikaanza kuyumba now amerudi Yanga imeanza upyaaaa jamani huyu mwamba ana kitu

  • @innocenthaulee
    @innocenthaulee 18 дней назад

    Angezichapa aone😂

  • @robbyhans1436
    @robbyhans1436 19 дней назад

    Nyie msifieni tuu ila huyo askar kaomba kiustaraabu sasa huyo haji manara amejibu jeuri sababu ya mashabiki wake wapo wengi kuna mda tunatakiwa kuheshimu vyombo vya dora

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 19 дней назад

    😂😂😂kakimbia kwenye gari mpeni kichwa hivyo hivyo namaneno yake ya shombo

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 19 дней назад

      @@allygoodboytzsdoneintanzan3970 kichwa Gani apewe wakat anachoma sasa

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 19 дней назад

    Buga buga Bugattiiiiii

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 19 дней назад

    Huyu mzungu pori anajifanya kijana wakati kazee 😅😅

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 19 дней назад

      Acha wivu inakuhusu nn

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 19 дней назад

      Mzungu pori lakini anavuta pumzi unayoivuta wewe

    • @SamwelMzumbwe
      @SamwelMzumbwe 19 дней назад

      Ww ambae sioo mzungu poli una umarufu gan anae kujua nan pombe bila kula

  • @MariaTeodosioJanelaJanela
    @MariaTeodosioJanelaJanela 17 дней назад

    Lakini kwakweli jamaa kakosea sana Kwaombwa vizir San lakikwakua wana wazifu ndio wanafanya pakushikili sawa

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 19 дней назад

    Katika asikari ambao huwezi kuwanawa ni magereza!
    Sema wamekustahi tu! Maneno machafu tu, sijui walikufanya nini siku umewekwa ndani kwa kula ela ya chama cha mapinduzi😂

  • @MussaRqjqbu
    @MussaRqjqbu 19 дней назад

    Kauli za mashoga hizo kawaida

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO 18 дней назад

    KA MDOMO😂

  • @FlavianMtewele-f7u
    @FlavianMtewele-f7u 18 дней назад

    Hana kosa lolote hapo haji ni ubabe ubabe tuu .

  • @shaelshael2191
    @shaelshael2191 19 дней назад

    Mwehu huyu baba

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 18 дней назад

    The guy is so rude, no respect at all to humans. CCM walitaka awe M-NEC huyu, so you can see the quality of leaders we have. Hao CCM aliwalangua bado wanamwona ni fit kuwa kiongozi!

  • @ZairinaZairinaMahiza
    @ZairinaZairinaMahiza 18 дней назад

    Acheni uoga waTanzania Manara yuko sahihi kwanini wasisubili interview iishe ndo wapite

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 19 дней назад

    Hatutaki kuwakosea heshima Askari wetu hata kidogo Magereza lazima mfunguo kesi huyu ama sivyo jamaa atajifikiria yuko juu ya kanuni

    • @bakariomarimndeme6059
      @bakariomarimndeme6059 19 дней назад

      Wafungue kesi kwa lipi haswa.nshi hivi ni huru kila mtu ana haki yake wangemwendea kwa kumheshimu maua angewajibunkwa heshima.

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 19 дней назад

      @@MohamedIbrahim-bn1gz ww Sheria unalijua kweli tangia lini ukawapenda maaskali au ukolo unakutesa Aya anashtakiwa kwa kesi gani

  • @augustinoluanda2926
    @augustinoluanda2926 18 дней назад

    Huyo zeruzeru wenu hipo siku ataomba poooo na kuanza kalalamika na kusema wananionea Kwa sababu ya ulemavu wake.hata yeye alishafungwa alipoiba pesa ccm

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 19 дней назад

    Mkifungwa hamumtak mnasema mamruki mkishinda mnataka kwel uto hawajielewi

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 19 дней назад +3

    Bugati

  • @Nasibu-i6b
    @Nasibu-i6b 18 дней назад

    Goli labaka alitumia mkono akawambia wanzeke nimefunga kwa mkono

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 18 дней назад

    tff wawe makini na hivi vitu ipo siku watu watakataana kama ile ya mwanza