UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025
  • СпортСпорт

Комментарии • 517

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 6 месяцев назад +24

    Crown MPO vizuri Sana kuchambua Mpira big up nakupeni nyota Tano.

  • @edwincain849
    @edwincain849 6 месяцев назад +41

    Hongera sana crown 👑 media,nawapata vizuri kutoka Tokyo Japan

  • @ElishaMgaya
    @ElishaMgaya 6 месяцев назад +11

    Mnajua adi mnjua tena walahe.....Hans wew pepon moja kwa moja through analysis ov footbal events especially in transfer👏

  • @lwengephillip7516
    @lwengephillip7516 6 месяцев назад +12

    Mko vizuri sana, mnatakiwa muwe huru msifungamane na upande wowote hata kama mna mapenz yenu binafsi ya timu lakn kazi kwanza.

  • @JamesPhiri-sz5qn
    @JamesPhiri-sz5qn 6 месяцев назад +10

    Crown Media nawafata nikiwa Zambia lusaka 👑🇿🇲🇹🇿🇹🇿

  • @AslamNyama
    @AslamNyama 6 месяцев назад +16

    Kwa uchambuzi huu smalizi MB kwa media yoyote za ya hapa NYUMBANI mmetisha sana

  • @Djhansmonstertss
    @Djhansmonstertss 6 месяцев назад +11

    Crown Media mpo vizuri san

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 6 месяцев назад +7

    Crown Media hapa ni nyumban you're welcome Beg up to the King kiba sio redio ya familia hii hapa ni nyumban

  • @benardhezron5191
    @benardhezron5191 6 месяцев назад +26

    Mko vizuri mpaka mnaboa. Hatari tupu, pure football analyses.❤❤❤

  • @tubonemahalack7505
    @tubonemahalack7505 6 месяцев назад +4

    Crown media hapa ni nyumbani mko vizuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @amidubebedou3637
    @amidubebedou3637 6 месяцев назад +31

    Crown sports nomaa nawafatilia kutoka Qatar 🇶🇦

    • @WalterJosephat
      @WalterJosephat 6 месяцев назад +2

      Kuhusu habari ya fei nakukubali saana hance

    • @hemedsalala7184
      @hemedsalala7184 Месяц назад

      Naitwa zahil salala mim ninacho mshauli fei toto aende tu simba

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 6 месяцев назад +17

    Crown 👑 for life

  • @NimrodLeken
    @NimrodLeken 6 месяцев назад +4

    Crown is changing media👌

  • @barakamalemi
    @barakamalemi 6 месяцев назад +4

    Nimekubari kazi nzuri I respect you guys

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 6 месяцев назад +32

    Mupo vizuri sana

  • @mathewbundu235
    @mathewbundu235 6 месяцев назад +25

    Kiba alicheza sana kumleta Jeff Lea Crown Media.Ila nilitamani jina la kipindi kiitwe CROWN MICHEZO badala ya CROWN SPORTS

    • @muddyhamza9606
      @muddyhamza9606 6 месяцев назад +4

      😂 Sasa michezo si ndo sports 😂😂

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 6 месяцев назад

      😂😂😂​@@muddyhamza9606

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 месяцев назад +4

      MSIGOMBANE BASI KIITWE CROWN RIYADHA 😂😂😂😂😂 YOTE SAWA TU

    • @Leyla-b5z4o
      @Leyla-b5z4o 6 месяцев назад +2

      Michezo ni sports na sports ni michezo kilicho kuchanganya wewe ni lugha tu😅

    • @gblessabell2046
      @gblessabell2046 6 месяцев назад

      Unajua unacho kiongea

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 месяцев назад +25

    HANSI UPO SAWA HUWA UNAONGEA UKWELI

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 6 месяцев назад +28

    Wa kwanza mm

  • @SadaNassolo
    @SadaNassolo 15 дней назад +1

    kipindi bora makini sana ampgi kelele hakika crown ni Radio1 tu Tz🎉🎉🎉

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 месяцев назад +23

    mnatish crown ,mnatembea nakiwanja

    • @directorwizard7310
      @directorwizard7310 6 месяцев назад +3

      😅😅😅😅😂😂😂😂 Kaka Hawa Watu Nihatari Sana Wanatembea na Kiwanja 😂😂😂

  • @godfreyyaya816
    @godfreyyaya816 6 месяцев назад +5

    Crown sports mnajuwaaaa sanah kuliko mfano

  • @asifreds8787
    @asifreds8787 6 месяцев назад +20

    atlest hawa wanajua kufatia ishu za mpra big up brothers

  • @georgenomaawejamaa4472
    @georgenomaawejamaa4472 6 месяцев назад +4

    Habar sahih kutoka CLOWN 👑Spots / wanasimba tupunguze weng huu mwaka miwetu 👏👏

  • @AlfredoManuelbaloManuelbalo
    @AlfredoManuelbaloManuelbalo 6 месяцев назад +3

    Nakukubali from Moz🎉🎉🎉

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 месяцев назад +88

    Hao viongozi wanachuki na Simba huyo cy kiongozi wa Azam ila ametumwa na viongozi wa Yanga. Kwann waseme Fei hatakiwi kujiunga Simba?

    • @anathshabani2952
      @anathshabani2952 6 месяцев назад +17

      Kwani kiongozi wa yanga anahusika vipi kwenye administration ya azam

    • @AliyussufMakame-js5dp
      @AliyussufMakame-js5dp 6 месяцев назад +6

      Vita vinaendelea bado

    • @Mariah-r1o
      @Mariah-r1o 6 месяцев назад +4

      Simba tuna vita kubwa Sana tufanyeni maombi ndugu

    • @TheMrisho
      @TheMrisho 6 месяцев назад

      @@anathshabani2952kwasababu huyo kiongozi ni wa Azam ila shabiki wa Yanga

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 6 месяцев назад +3

      Yanga tenaa 😅,, hivyo vipengele mbona kawaida tu, Kwanza biashara Yanga aliijua mapema kuhusu Fei,, ndio maana Azam wamegoma

  • @victornanda183
    @victornanda183 6 месяцев назад +2

    crown sport you have a good team
    Kunalimoja apo ndo litawachafulia jina @Geoff mshamba sana uyo

  • @ajabamatola4429
    @ajabamatola4429 6 месяцев назад +4

    Mpo vizur sana pigeni kazi vijana

  • @Allyacudo
    @Allyacudo 6 месяцев назад +7

    Simba tunawezankulipa hata dola laki 6

  • @mangeneralsupplies4910
    @mangeneralsupplies4910 6 месяцев назад +20

    Mayele na fei toto inakuaje iyo Simba mpya

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 6 месяцев назад +5

      Ila wewe kichaa Kwa kweli mayele kutoka uko Aje hapa tunaweza kumlipa 82 million Kwa mwezi

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 6 месяцев назад +2

      ​@@onekisstv8412 kichaa niwew Kwan ww ndo unayelipa hizo pesa😂

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 6 месяцев назад

      @@AngelmackieCharity Ngoja tuone

    • @kigodolotv
      @kigodolotv 6 месяцев назад

      😂​@@onekisstv8412

    • @RamadhaniKombo-l7w
      @RamadhaniKombo-l7w 5 месяцев назад

      Ex

  • @ngomasniper4949
    @ngomasniper4949 6 месяцев назад +15

    Leo mmeongea sana na huyo
    Jamaaa ameipanga tamu vizuri sanaaaa viongozi wafanye uhakika

  • @andrewmagelewanya5124
    @andrewmagelewanya5124 6 месяцев назад +18

    Expert wa mambo ya usajili😂

  • @sidesidekhamiss-uv6kn
    @sidesidekhamiss-uv6kn 6 месяцев назад +16

    Napenda sana

    • @twahakabajemi9716
      @twahakabajemi9716 6 месяцев назад

      Habari za uongo msemaji wa Azam kaisha kanusha hamsikii

  • @AmurJecha
    @AmurJecha 6 месяцев назад +2

    HAYO NI MAWAZO YAKO SIMBA WALITAMANI KUMSAJILI FEI TOKA CHAMA YUPO SIMBA USIFANYE UYANGA WAKO❤❤❤

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 6 месяцев назад

    crown mko vizuri sana hii ndio tv ya uchambuzi wa soccer Tanzania na Africa

  • @JoeliGidamsa
    @JoeliGidamsa 11 дней назад

    Mpo vizuri mnachambua bila kuangalia upande wowote

  • @nyangesaidi5792
    @nyangesaidi5792 6 месяцев назад

    Hongera CROWN SPORT nawapata vizuri kutoka America

  • @QareemAlly
    @QareemAlly 6 месяцев назад

    Yoooooh King kiba Big up xana umetisha wangu hii ndo crown kiba hawakuwezi tena!!!.

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 месяцев назад +16

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @JumaChenya-i9y
    @JumaChenya-i9y 3 месяца назад

    hongera sanaa crown media nawaata kutoka katavi

  • @MussaHajikimwaga
    @MussaHajikimwaga 6 месяцев назад +1

    Crown ni noma nawapata vzr sana

  • @JUMAAli-d5y
    @JUMAAli-d5y 12 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉Nawada maua yen crown sport

  • @simaoguambe3295
    @simaoguambe3295 6 месяцев назад +5

    Safi 👉 sana kutoka Moçambique

  • @ShukuruGeorge-b6u
    @ShukuruGeorge-b6u 2 месяца назад

    Crown media nawapata vizuri simba nguvu moja 🎉

  • @ShukuruGeorge-b6u
    @ShukuruGeorge-b6u 2 месяца назад

    Crown media nawapata vizuri simba nguvu moja

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 6 месяцев назад +2

    Nilichokiona kuna tofauti kjbwa kwenye uchambuzi crown mmetulka sana sio makelele na mazogo kama media nyengine nyingi kwenye uchambuzi wao

  • @wamburamwikabe1046
    @wamburamwikabe1046 3 месяца назад +1

    3:25 simba ni timu kubwa🎉💪

  • @hassanyange7331
    @hassanyange7331 6 месяцев назад +1

    I love Yanga from united state of America

  • @FestoDatus
    @FestoDatus 7 дней назад

    Nawakubali crown

  • @charlesjelemiah4427
    @charlesjelemiah4427 6 месяцев назад +3

    Naomba hans atuthibtishie kweli feisali anatua simba mana tutamsahau chama haraka sana #crown media mko smart sana🎉

  • @MarryStephano-p5g
    @MarryStephano-p5g 4 месяца назад +1

    Fei lazma tutaishi nae Simba 👍👍👍

  • @AgripaMwangobola-z7r
    @AgripaMwangobola-z7r 2 месяца назад

    Naipenda crown tv mm

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 6 месяцев назад +14

    Nawapata pande 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 6 месяцев назад +1

      Beira nampula maxixe emquilemane montepuez pemba nacala em tete au PAnde zipi

  • @JahaziMustapha
    @JahaziMustapha 3 месяца назад +1

    Hongera sana clouds midia

  • @IsmailIddimdoe
    @IsmailIddimdoe Месяц назад

    Kaka lazima tulipee kisasi chama katoka fei ndani mama sipati picha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 6 месяцев назад +11

    Mm naamin fei anaogopew na yanga na akienda simba yanga wote watamkalie fei mpk mashabiki 😂😂😂

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 6 месяцев назад

      Kwani huko aliko Azam Fei hakutani na Yanga? au umeongea bila kujua ulichoongea?

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 6 месяцев назад

      Ikikutana na azam wachezaji viongiz mashabiki wooote machoyao kwa fei🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓

  • @mrnumber-g5s
    @mrnumber-g5s 24 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ hansi tupe madini

  • @sirbussongo4490
    @sirbussongo4490 6 месяцев назад +1

    Aisee ni nzuri sana

  • @OdellyMwakyembe
    @OdellyMwakyembe 6 месяцев назад +2

    hans unapata wapi izo data,maana zina uhakika cna na uko nondo kinoma,be blessed

  • @AzigadiMlowe
    @AzigadiMlowe 6 месяцев назад +1

    Ok sheria

  • @JosephChacha-w1g
    @JosephChacha-w1g 6 месяцев назад

    Nawapata vizuri kutoka pande za meatu-simiyu,crown sports mnatisha!

  • @akarshmirrow4033
    @akarshmirrow4033 6 месяцев назад

    Superb crown sports💪

  • @MZAMILUMNYOTI
    @MZAMILUMNYOTI 6 месяцев назад +1

    Mpo vizur Sanaa kutoka Kenya hapa nakuru

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 6 месяцев назад +2

    Upepo wa chama umeshazimwa!signing za Simba siyo za kitoto.chama alipata jina wakati alipokuwa Simba,Simba ni zaidi ya chama

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 6 месяцев назад +2

    Mpira wa tz ni upuzi mwingi sana

  • @AmaniRamadhani-rw8jp
    @AmaniRamadhani-rw8jp 6 месяцев назад +1

    Tuko pamoja ❤❤❤

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 6 месяцев назад +2

    Mnavotamka neno chama mnaharibu media

  • @chidimsafi1279
    @chidimsafi1279 6 месяцев назад +8

    Hansi unajuaa Sanaa mpakaa anakeraa

    • @malimoya
      @malimoya 6 месяцев назад

      Jamaa anajua uchambuzii mpaka anaboa yaaaan😂😂

  • @yussufkhamis5909
    @yussufkhamis5909 6 месяцев назад +1

    Noma sanaaaaa

  • @ibrahimsalim7247
    @ibrahimsalim7247 6 месяцев назад +12

    Hapa ni nyumbani

  • @TatuLumola
    @TatuLumola 6 месяцев назад +2

    Tunawapata na tunawaelewa Sana mmetisha safi

  • @VyamanaAbdallah
    @VyamanaAbdallah 6 месяцев назад +1

    Radio yangu one love

  • @ladiusmk.anthony4989
    @ladiusmk.anthony4989 6 месяцев назад

    Crown mpo vizuri

  • @mrnumber-g5s
    @mrnumber-g5s 24 дня назад +1

    Nakubar sana

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel 6 месяцев назад +4

    Habar za hapo studio simba wamesajili wangapi

  • @MwinyiSeif
    @MwinyiSeif 2 месяца назад

    Nawafuatilia nikiwa kumbini makunduchi hongereni crown

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 6 месяцев назад

    Crown 👑 👸 🤴 👑

  • @alistide249
    @alistide249 6 месяцев назад +1

    Well well done

  • @ZuberiMaghembe
    @ZuberiMaghembe 2 месяца назад

    Mko vzr sana kwa uchambuzi

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 6 месяцев назад +2

    Ivi studio iyo ni ya nani watanzania wenzangu nikiwa London KY jamani naombeni mniambie mbona sijawahi kuiona nimetoka tanzania juzi tu 2023 oh hongera tunawapa mimi na mtoto wangu

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 6 месяцев назад +2

    Mnajua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yuzzomanboy
    @yuzzomanboy 6 месяцев назад

    All the way from iran 🇮🇷

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 6 месяцев назад +4

    Simba wakimsaini Fei Lazima Yanga wafaidike na Bilioni Moja
    Hayo ndiyo matakwa ya mkataba Wa fei kutoka Yanga kwenda Azam😂

  • @WendoJuma
    @WendoJuma 6 месяцев назад

    Masterpiece Interview

  • @SebastianMahendeka
    @SebastianMahendeka 6 месяцев назад

    Crown tunaomb boss king ingie kweny kingamuz cha Azam tv tunaomb San tupat

  • @sixytntongambele3038
    @sixytntongambele3038 6 месяцев назад

    Hii media ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 5 месяцев назад

    Simba imesajili wachezaji wengi wazuri sana. Watasahau Chama na Fei Toto na hata Kibi Denis. Vyuma vilivyopo vinatosha sana.

  • @josephbundala7277
    @josephbundala7277 6 месяцев назад +1

    Yani nimesikiza mpka nimehisi na mm nipo kwenye uchambuzi hongeren sana Crown Media

  • @JamesSamweli-y6m
    @JamesSamweli-y6m 6 месяцев назад +9

    Kaka ansi mnajua kuchbuaaa

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 6 месяцев назад

    Uchambuzi yakinifu kutoka Crown media

  • @fireboyfireboy-ib3of
    @fireboyfireboy-ib3of 6 месяцев назад +2

    hiv hiz microphone haziwaumiz maskio mpk mnapomaliz kipnd na kila cku mnazivaa na vip haziwakel

  • @MarryStephano-p5g
    @MarryStephano-p5g 4 месяца назад

    Fei lazma tutaishi nae Simba 👍👍👍 2:57

  • @BenetiusMutalemwa
    @BenetiusMutalemwa 3 дня назад

    Nawakubali sana hapo studio

  • @fadhilimpini
    @fadhilimpini 6 месяцев назад +1

    Salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kingofdecember
    @kingofdecember 6 месяцев назад +2

    Hii ndio redio yangu ...hapa ni nyumbani

  • @SunShine-hq
    @SunShine-hq 6 месяцев назад

    I agree with you Hans

  • @Aberypaulondigele
    @Aberypaulondigele День назад

    Wa Katoro geita kila la kheri simba katika kusaka alama 3 muhimu kwa Bravos

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 6 месяцев назад

    Big up from Zanzibar 😊

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 29 дней назад

    Ni rahisi sana, mchezaji avunje mkataba. Aende kama free agent anakotaka na siyo kwa kuuzwa😂😂

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 месяцев назад +4

    TATIZO LA MABEKI WA SIMBA WANAHAMA WOTE KWENYE LANGO LAO. NI WAZITO KURUDI KUKABA HADI WANAFUNGWA. KUENIMAKI I KWENYE LANGO LENU

    • @kenyzach9124
      @kenyzach9124 6 месяцев назад

      😂😂😂 nimecheka. wanahama wanafata mpira unapoenda

  • @StanleyYusuph
    @StanleyYusuph 6 месяцев назад +2

    I like