aisee mko vizuri kipindi kinakua cha moto wachambuzi wanachambua vizuri sana tunaomba muendelee na huu moto msije rudi nyuma tafadhari msije fanya makosa kuwaleta akina jemedari na oruma maana asilimia kubwa wamejitengenezea maadui kwaiyo inaweza kuwa ni rahis kupoteza watazamaji na wafatiliaji watu tuna wafatilia kutokana watangazaji na wachambuzi wako na weledi wajuu sana
Kwa mawazo yangu kusema Kagame cup team zije kama pre- season si sawa maana kama ndivyo basi why waweke KOMBE???? UKIINGIA UKILIKOSA HASA KWA TEAM KUBWA UNAHARIBU BRAND YAKO MAANA UNAENDA KUFANYA MAZOEZI WENGINE WALIO TAYARI WANACHUKUA KOMBE.
Kuna tofauti baina ya mashindano ya kirafiki yanayopangwa na vilabu vyenyewe anayoyaongelea Geof Leah na mashindano ya ushindani yanayoandaliwa na mamlaka za soka za kitaifa/kikanda.
WAMILIKI WA REDIO WAKITAKA KIPINDI HIKI CHA MICHEZO KIWE KIZURI WAAIGE MFANO WA SKY SPORT AU SUPER SPORT WA KUCHUKUA WACHEZAJI WASTAAFU BAADHI KUA KM WACHAMBUZI KWENYE KIPINDI CHA MICHEZO. MFANO KWENYE KIPINDI ICHO AKIPATIKANA JULIO TU KIPINDI KITANOGA SANA.
Jee hawo watu wanauwezo wa ku present vitu hewani? Look at jemedari ni former player lakini hana professionalism yoyote hata ivyo hawezi kudadafua vitu. Ila ni wazo zuri sana
YAANI UNAMKATAA JEMEDARI SAID ALIECHEZA MPIRA NA AKAUSIMAMIA KAMA KIONGOZI WA SHIRIKISHO LAKO, AFU UNAWAKUBALI HAO WACHUMIA TUMBO WASIOWAHI ATA KUGUSA MPIRA. AZAM UNAYOIONA LEO MOJA YA MAFANIKIO YAO NI RAMANI YA JEMEDARI SAID ALIPOKUA MENEJA WA AZAM FC AKAWEKA MIUNDOMBINU AMBAO ATA LEO AZAM WANATUMIA. JEMEDARI SAID ANAPENDWA NA WATU WA MPIRA 1000 AFU ANACHUKIWA NA WASIOPENDA MPIRA WATU 12 TU.
Mpira ni mkakati tu huyo kocha ataondoka 1 .kama hana ushirikiano 2.kama kikos kibovu mtamfukuza tu 3.nabi ukitaka kujua football ni project nabi keshakimbia huko 😂😂😂😂
Coach mzuri ni yule anayeweza kufundisha mchezaji akaelewa bila kujali kwamba awe funding wewe Coach umfanye mchezaji aweze ku co op Mara moja na mchezaji wenzie kufeli kwa Simba ilikuwa ni wachezaji wabovu baadhi, mbinu za Coach zisizo badilika, uongozi legevu na ubdhirifu
Niulize kwann crown ina namba kubwa kwenye views 1. Kwasababu inapatikana sehem chache ivo inapatikana sana youtube? 2 mapenzi tu ya watu 3 nguvu ya alikiba 4 mvuto wa watangazaji Ni nini zaidi mpaka asaiv sielewi
Nakubali Sana Ayo umekuwa wa 🔥🔥 Hans ndo injinia kabisa Geof umeacha ujinga wa efm nakubali kiza ❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na pia hongera nyingi kwa kocha kikeke big brooo
Unyama sana crownsport tunapasua mawimbi👑
Crown mmetisha sana, mwanzo mzuri 👏👏👏👏
Hapa ni nyumbani👑💪🙏
Kimasiharamasihara tu #crown is taking over
Hongera kigkiba .big brooo
Kwakweli mmetisha sana
nawapenda sanaaaaa
Crown Tv 👑 hapo ni nyumbani twashukur sana kwa Abari za michezo na nyinginezo
Munaupiga mwingi sana crown ni nyumbani nite mo,G au Morgan ni kiwa kariakoo
Naitwa hamis kutoka kahama tuko pamoja sana crown fm
Ududu ni mwingi jioni ya leo
Mimi mac muga😁👑👑👑👑👑
Am a big fan guys👑👑👑👑👑👑
Nomaa
Nawapata kutoka oman vizuri kabisa
Hapa ni nyumbani
aisee mko vizuri kipindi kinakua cha moto wachambuzi wanachambua vizuri sana tunaomba muendelee na huu moto msije rudi nyuma tafadhari msije fanya makosa kuwaleta akina jemedari na oruma maana asilimia kubwa wamejitengenezea maadui kwaiyo inaweza kuwa ni rahis kupoteza watazamaji na wafatiliaji watu tuna wafatilia kutokana watangazaji na wachambuzi wako na weledi wajuu sana
Crown chukueni maus yenu
HUMU TUUUUU HUMU TUUUUU HUMU TUUUUU
Nikweli simba wanaweza kua wazuri musimu huu
juma ayo mwisho saa 6 tena braz
Nasikilza crown sports kutokea malawi 🇲🇼🎧 lilongwe
Lilongwe sehem gan boo
Mbona wasafi siwapati live
Crown chukueni maua yenu
Jaman naomba paul mkai awe anafungua kipindi kitapendeza sana maana anajua knoma
Wa 3 kukomenti nauliza tu iv kuna mtu alitegemea kuwa alikiba anaweza kuifanya hii redio kuwa iv mpaka sasa?.....
Hakuna dharau zilikua nyingi ila Mungu si wa kwao pekeeyao
Hansi kk nimekufatilia toka wasafi na nimeamua kuamia craun kwajiliyako abari zauwakika unazoww tu apa bongo wengine wachambuz wamchongo😂😂🎉🎉🎉🎉
Crown fm ni ya moto vipindi vyote haina mpizani hongera kiba
Kwa mawazo yangu kusema Kagame cup team zije kama pre- season si sawa maana kama ndivyo basi why waweke KOMBE???? UKIINGIA UKILIKOSA HASA KWA TEAM KUBWA UNAHARIBU BRAND YAKO MAANA UNAENDA KUFANYA MAZOEZI WENGINE WALIO TAYARI WANACHUKUA KOMBE.
Kuna tofauti baina ya mashindano ya kirafiki yanayopangwa na vilabu vyenyewe anayoyaongelea Geof Leah na mashindano ya ushindani yanayoandaliwa na mamlaka za soka za kitaifa/kikanda.
Tunafata 100 kwa 100 cairo egypt
WAMILIKI WA REDIO WAKITAKA KIPINDI HIKI CHA MICHEZO KIWE KIZURI WAAIGE MFANO WA SKY SPORT AU SUPER SPORT WA KUCHUKUA WACHEZAJI WASTAAFU BAADHI KUA KM WACHAMBUZI KWENYE KIPINDI CHA MICHEZO.
MFANO KWENYE KIPINDI ICHO AKIPATIKANA JULIO TU KIPINDI KITANOGA SANA.
Umetoa mawazo mazuri sana mkuu.Asante
Jee hawo watu wanauwezo wa ku present vitu hewani? Look at jemedari ni former player lakini hana professionalism yoyote hata ivyo hawezi kudadafua vitu. Ila ni wazo zuri sana
❤❤❤❤❤
Habari za Leo ndugu zangu, sorry naomba kuuliza kuhusu fei naona mtandaoni imekuwa kelele hivi ni kweli anatarajia kujiunga na Simba au niuoongo?
❤
Hapa ninyumbani
YAANI UNAMKATAA JEMEDARI SAID ALIECHEZA MPIRA NA AKAUSIMAMIA KAMA KIONGOZI WA SHIRIKISHO LAKO, AFU UNAWAKUBALI HAO WACHUMIA TUMBO WASIOWAHI ATA KUGUSA MPIRA. AZAM UNAYOIONA LEO MOJA YA MAFANIKIO YAO NI RAMANI YA JEMEDARI SAID ALIPOKUA MENEJA WA AZAM FC AKAWEKA MIUNDOMBINU AMBAO ATA LEO AZAM WANATUMIA.
JEMEDARI SAID ANAPENDWA NA WATU WA MPIRA 1000 AFU ANACHUKIWA NA WASIOPENDA MPIRA WATU 12 TU.
Duuuu na Mkai tena
👑👑👑👑👑👑👑
🔥🔥
Msije mkasajilii wa kin orum n jemedari said
Poul mkai mkali wa dimba
Kwann hamueki matangazo kwenye vpnd vyenu au ndio hayajapatikana ???
Mtuletee radio wa mikoano hswa morogoro mfanye mpango mje mapemaaaaa
Mpira ni mkakati tu huyo kocha ataondoka 1 .kama hana ushirikiano 2.kama kikos kibovu mtamfukuza tu 3.nabi ukitaka kujua football ni project nabi keshakimbia huko 😂😂😂😂
Coach mzuri ni yule anayeweza kufundisha mchezaji akaelewa bila kujali kwamba awe funding wewe Coach umfanye mchezaji aweze ku co op Mara moja na mchezaji wenzie kufeli kwa Simba ilikuwa ni wachezaji wabovu baadhi, mbinu za Coach zisizo badilika, uongozi legevu na ubdhirifu
Naupata kaka ni mm HIGUAIN nipo Markani JOJA ATLANTA mm kaka nataka na baza simu ze nu
🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Niulize kwann crown ina namba kubwa kwenye views
1. Kwasababu inapatikana sehem chache ivo inapatikana sana youtube?
2 mapenzi tu ya watu
3 nguvu ya alikiba
4 mvuto wa watangazaji
Ni nini zaidi mpaka asaiv sielewi
Kipndi linaanza saa ngapi
Saa tatuu
Crown chukueni maus yenu
Hapa ni nyumbani
nawakubali sana
❤❤❤❤
Crown chukueni maus yenu
Hapa ni nyumban
❤❤❤
❤❤