🤩 Magufuli ali takiwa awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 pindi tu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipo toka madarakani! Magufuli Oyeeeeh 😲 💪🏾 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀🙏🏾
Raundi hii ni kunyooshwa tu bila kupepesa, imebakia kwa wabunge watoa rushwa za chumvi na nyamaaa, this is maguuuu brother, a new pan africanist of this era.
Baba magu tunaomba pia kule Kilimanjaro, kuna uwanja uko maeneo ya soweto, ni pori la miaka mingi , inasemekana kilinunuliwa na muingereza , na hakifanyii chochote , tunakiomba sisi wana Kilimanjaro tukiendeleze .
Katika mawaziri wa Magu hapa kwa lukuvi alipatia. Anapoga kazi balaa. Alipewa wizara yenye changamoto za kila rangi. Anaishughulikia vilivyo. Mungu ampe nguvu kwa kweli
Tumeuona uchumi wa kati? Au ndio wanaokataa wanakataa tu, Tangu uhuru mpaka leo ndani ya miaka mitano JPM katangazia ulimwengu yeye ni wa MFANO. ...nani anaunga mkono Dr, akae madarakani tu mpaka azeeke? ¿tu hablas! Sema
Ni yupi tena atakayesikiliza kero zetuu jaman jibu ni ayupo tunakulilia sasaiv ulisimamia ukweli na haki nandomaan sasaiv wanakuona hufai baba ila Kama ss ulitufaa Sana jpm Pumzika kwa aman
Baba yapo na maji kilimanjaro inaitwa ya mzungu,hii imekaaje Rais wetu. Maji yetu anamiliki mzungu kivipi,baba tunaomba hizi idara nyeti za vitu lishe ziwe chini ya serikali kwa afya ya watu wako wanyonge. Sidhani km tukienda ulaya watatupa investment ya hiyo idara. Baba tunakuomba
Yani hawa wasaidizi wa rais baadhi wanasubil mpaka rais aje uko wakati wao wanaweza kulitatua. Ndio maana Mh Makonda wananchi wa dar wanampenda yeye anavamia tu sehemu na kulimsha. Hapo siku rais akija utaona Mkurugenzi, DC na RC watakavyo anza kujikanyaga kanyaga.
Natamani nikwetu Kenya haya mambo yangekua yanaendelea,,mungu tupe president kama huyu anayejari wakulima wa chini,mungu tu naomba skiza maombi yetu si wakenya
Lukuvi namuaminia kuna watu tu wanataka kumharibia wanampa imfomation si sahihi, lukuvi we jembe no one like you tunakupenda chapa kazi,kazi yoyote haikosi changamoto, ndio hizo.
Watanzania tusiwe kama watu ambao hatujaenda shule. Demokrasia na Katiba ni vitu muhimu sana kwa nchi yoyote ile hata kama mtakuwa na kiongozi bora na anayekubalika namna gani. Mimi nawashauri Watanzania tubadilike kwa sababu hauwezi kuwa na kiongozi bora kila wakati. Magufuli leo mnamuona bora lakini ni kwa sababu ya kodi zenu mnazolipa na hamuwezi kuwa nae mda wote. Vijana wa kati ya miaka 18 - 30 mnataka kuniambia mtakuwa na Magufuli kila wakati au kwa kuwa amewaambia yeye ni "JIWE" mnadhanishia hatazeeka. Hakikisheni Katiba ya nchi ni bora na Demokrasia ikubalike msidanyanywe na Wanasiasa au watu wa Dini kuwa eti Demokrasia ni ya Wazungu. Lazima mrekebishe Katiba kipindi hiki mukiwa na kiongozi muelewa. Mimi bado simuoni kuwa Magufuli ni kiongozi bora kwa sababu anafanya mambo makubwa Kitaifa huku watu Wakifilisika, Wakipotea, na kuuwawa. Hivi mnataka kuniaminisha kuwa mtu na familia yake aliyefilisiwa na Magufuli anamshangilia. Mnataka kuniambia Familia ya watu waliofukuzwa kazi na kukosa ajira inamshangilia Magufuli. Mnataka kuniaminisha kuwa Familia iliyotumbuliwa na pengine mtu wao kuuwawa na Serekali ya Magufuli wanampenda. Acheni kuwa "MAZUZU"
🤩 Magufuli ali takiwa awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 pindi tu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipo toka madarakani!
Magufuli Oyeeeeh 😲 💪🏾
🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀🙏🏾
Kabisa jmn Yani nikimsikiliza mpk nalia peke yg
Kweli kabsa mungu ampe umri mrefu aongoze kwamiaka 20 panapo uzm.
Yaani kweli kabisa, kuna watu waliitawala hii nchi kwa uipapasa tu.
Kweli kabisa,tungekua mbali.
Well Said
Asante Baba magufuri Mw/MUNGU 🙏 akupe maisha marefu Zaid Ww ndyo kiongoz tulye kuwa tunamuhtaj
Kama na wewe ni mpinzan kama mimi ila unamkubali magu gonga like kama zote magu myaka mia
Best president ever 🙏 🙏 🙏 🙏
Baba hakika hata huko uliko tunaamini upo pamoja nasi vijana wako wewe ni baba yetu Tabzania
Mr Magufuli ungwna wako unaleta faraja kwa sura ya kisiasa Africa.
Maguful nilikuaa nakupendaa Sana lkn mungu nakupendaa Sana Tena Sana zaidiii yetuu 😭
Aisee mh shimiwa Raisi Endelea baba yani Mimi Nakukubali sana Raisi
Raundi hii ni kunyooshwa tu bila kupepesa, imebakia kwa wabunge watoa rushwa za chumvi na nyamaaa, this is maguuuu brother, a new pan africanist of this era.
🔥🔥🔥🔥🔥😂😂
Baba magu tunaomba pia kule Kilimanjaro, kuna uwanja uko maeneo ya soweto, ni pori la miaka mingi , inasemekana kilinunuliwa na muingereza , na hakifanyii chochote , tunakiomba sisi wana Kilimanjaro tukiendeleze .
INGEKUWA KASI HII KAIANZA WAKATI HUU TUNGESEMA MSIMU WA KURA UMEFIKA.LAKINI KASA HII MWANZO MWISHO.SAFI SANA
Lukivu leo huna hamu ila kazi unafanya sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi ipo ukiwa muongo ujue kujipanga
😂😂😂😂😂😂😂
Raisi asante sana yaani nakupenda kwa kuwapasha viongozi wanaojifanya wajuaji .Badili Wizara hiyo huyo kalewa madaraka
Santeeeeee baba Magufuli
Yaani Mheshimiwa Raisi leo natamani ningekuwa ningeomba nikuone maana kura yangu nakupa maana ww ni kiboko yao 👏👏👏
Safi sn magufuli mungu atakulinda unapiga kazi sana wewe unafaa kutawala miaka ata 30 unajua sn christiano simba Johannesburg
Mh Amiri Jeshi Mkuu Magufuli anajua story zote ‘ usimfiche kabisa ..!...Sasa shughuli mnayo...!
Mzee lukuvi kmbe anamuogopa Mzee magu
Kazi mkuu lazima aogope
Perfect Magufuli
Maguuu kiboko Mwaziri Roho zao zipo juu kama wanakula Tambi 😃😃😃
😂😂😂😂😂😂jiwe lisage unga leo hii 😂😂😂
Uwiiiiiii hkn kuiba ule na wtt yk tunakula wote na miaka kumi mbele tunampa
Lukuvi amejitahidi sana jamn migogoro mingi ya ardhi ameitatua,asiaibishwe kwa hili jamn
Lukuvi nakukubali sana kiongozi,Wewe ni Rais mtarajiwa
Koma
@@claudiangowi9585 asante jamaa anajidai huyo ata ongea yake ya kijeuri na kujiskia naunga mkono koma yako
Majaliwa
Kwangu Mimi ni Japho basi
mwenyekiti wa chama 🏃🏃
duu maguful kiboko
Hatari magu noumah na huku Zanzibar mtuletee mtu kama huyu
Rais wetu you came at the right time..ukiwasikia watanzania maskini wanavyonungunika unatafikiri niwakimbizi..janabi ila hii nchi hatari
Katika mawaziri wa Magu hapa kwa lukuvi alipatia. Anapoga kazi balaa. Alipewa wizara yenye changamoto za kila rangi. Anaishughulikia vilivyo. Mungu ampe nguvu kwa kweli
Magufuli atawale tu, mpaka apate umri wa miaka angalau 80 ndio angalau apumzike! Lakini kwa sasa aendelee tu.☺
Tumeuona uchumi wa kati? Au ndio wanaokataa wanakataa tu, Tangu uhuru mpaka leo ndani ya miaka mitano JPM katangazia ulimwengu yeye ni wa MFANO. ...nani anaunga mkono Dr, akae madarakani tu mpaka azeeke? ¿tu hablas! Sema
Wewe ulikuwa raisi wa kweli
Tutakukumbuka baba
Hatopata kiongozi Kama huyu mungu atamlipa kwa achokisimamia
Rukuvi kuwa makini umejikanyaga kanyaga sana angalia mkuu
Awa haki lulu ime shatutoka waallahi mungu tupekama big ddy wallahi
Lukuvi nakupenda sana
🤣🤣🤣🤣nitamwambia
@Moonface ila anajitahidi Sana katika kazi
Naona,akuna,aja ya,upinzan,huyu,rais,,ni,wananchi,wote,,magu,hoooooooooooye
Kweli raisi hapo waziri amemfinyia mwenyekiti hiyo cyo kweli,unajuwa kutenda haki ni kazii waziri fanya haki usiendeshwe kama asemavyo mhesh raisi
Magufuli babalao
Ni yupi tena atakayesikiliza kero zetuu jaman jibu ni ayupo tunakulilia sasaiv ulisimamia ukweli na haki nandomaan sasaiv wanakuona hufai baba ila Kama ss ulitufaa Sana jpm Pumzika kwa aman
Mungu ampe maisha marefu
Kwa UTENDAJI HUU WA MAGUFULI acha MBOWE AJIFANYE KATWEKA MAANA HANA HOJA YA KUZUNGUMZA
Lukuvi pia yuko vizuri ila inabidi aongeze umakini!!
Lukuvi very humble...
Huyu ni gadaff mpya hataki MA's hara na wala hana urafiki na MTU ktk kazi
Jiwe lisage unga leo
🤣😂👌
Hahahaaa
😂😂😂😂😂😂ukiwa muongo ujue kujipanga mzee 😂😂😂😂😂😂
Mh Lukuvi jaribu kuongea uongo unao endana na ukweli ili wananchi wakuelewe
Baba yapo na maji kilimanjaro inaitwa ya mzungu,hii imekaaje Rais wetu. Maji yetu anamiliki mzungu kivipi,baba tunaomba hizi idara nyeti za vitu lishe ziwe chini ya serikali kwa afya ya watu wako wanyonge. Sidhani km tukienda ulaya watatupa investment ya hiyo idara. Baba tunakuomba
Yani hawa wasaidizi wa rais baadhi wanasubil mpaka rais aje uko wakati wao wanaweza kulitatua. Ndio maana Mh Makonda wananchi wa dar wanampenda yeye anavamia tu sehemu na kulimsha. Hapo siku rais akija utaona Mkurugenzi, DC na RC watakavyo anza kujikanyaga kanyaga.
Sasa nimeelewa kwa Nini mashamba yanauzwa kwa kasi hapo dar 🙌🙌🙌🙌
huyu baba aendeleee.kutawala miaka 100
Usiwafnye watoto wadogo ata mie sio mtoto mdg najua uyo amekushika😂😂😂😂
Halafu mtu mwenye akili yake timamu anamfananisha Dkt. JPM na nani sijui. Hebu tumwache mzee afanye kazi.
Na Tundu lisu😆😆😆😆
MDOMO WAKO LEO KWISHNEY
Leo kwishney maana naye huyu, haelewekagi muda mwengine.asitetee
Natamani nikwetu Kenya haya mambo yangekua yanaendelea,,mungu tupe president kama huyu anayejari wakulima wa chini,mungu tu naomba skiza maombi yetu si wakenya
Rais wa moyo wangu
Raha ya magu ni Muwazi ndo maana watu wanapata shida sana
Kura za URAIS 2020 niuhakika mzee baba popote ulipo tupo.
Mzee huu sio utawala wenu uliouzoea hauoni aibu
Tunasimamia ukweri ndio baba
Lukuvi yupo vizuri
Jesus blessing should rain on him
Nchi ilikuwa imeshauzwa
More than anything my President
Lukuvi namuaminia kuna watu tu wanataka kumharibia wanampa imfomation si sahihi, lukuvi we jembe no one like you tunakupenda chapa kazi,kazi yoyote haikosi changamoto, ndio hizo.
Lukuvi hana shida kabsa watu tu wanamletea sifa mbaya
Go go go JPM
#VivaJPM!!
Alikua mpenda ukwel kama yesu
Kwa Tanzania hakuna Raisi kama magufuri hata tokea labda!
Tutampata kamahuyu kweri kizuri hakidumu
Lukuvi ni waziri makini ila mzee punguza .....
Ujamaaism
WANAFUNZI WOTE O-LEVEL,HIGH LEVEL MPAKA CHUO KIKUU...
Pita kwenye channel yangu kuna mengi mazuri
usipuuuzeeeeee
Kura yangu chukuwa magu
Viva Raisi
Mzee hana baya pengo lako halitozibika
Sasa hivi kuna kibonde mmoja macho ya mdondo, kazi yake ni kuzungusha matako kwenye nchi za watu na kuomba misaada kama mwehu.
Kisha utasikia punda mmoja anasema jpm hakua rai mzuri hata ni mambo ya kusikitisha mungu amuweke kw
Hata mh lukuvi pia anamuogopa rais kwa kweli anatetemeka
LUKUVI UNAJIBU WAZEE WENYE MASHAMBA NA ARDHI VIBAYA SANA
Kuwa waziri katika serikali ya Magu ni sawa na utumwa(slave) tu.
Badilisha iWaziri mpya nakuomba Raisi
uwe wewe
Ha
Watanzania tusiwe kama watu ambao hatujaenda shule. Demokrasia na Katiba
ni vitu muhimu sana kwa nchi yoyote ile hata kama mtakuwa na kiongozi
bora na anayekubalika namna gani. Mimi nawashauri Watanzania tubadilike
kwa sababu hauwezi kuwa na kiongozi bora kila wakati. Magufuli leo
mnamuona bora lakini ni kwa sababu ya kodi zenu mnazolipa na hamuwezi
kuwa nae mda wote. Vijana wa kati ya miaka 18 - 30 mnataka kuniambia
mtakuwa na Magufuli kila wakati au kwa kuwa amewaambia yeye ni "JIWE"
mnadhanishia hatazeeka. Hakikisheni Katiba ya nchi ni bora na Demokrasia
ikubalike msidanyanywe na Wanasiasa au watu wa Dini kuwa eti Demokrasia
ni ya Wazungu. Lazima mrekebishe Katiba kipindi hiki mukiwa na kiongozi
muelewa. Mimi bado simuoni kuwa Magufuli ni kiongozi bora kwa sababu
anafanya mambo makubwa Kitaifa huku watu Wakifilisika, Wakipotea, na
kuuwawa. Hivi mnataka kuniaminisha kuwa mtu na familia yake
aliyefilisiwa na Magufuli anamshangilia. Mnataka kuniambia Familia ya
watu waliofukuzwa kazi na kukosa ajira inamshangilia Magufuli. Mnataka
kuniaminisha kuwa Familia iliyotumbuliwa na pengine mtu wao kuuwawa na
Serekali ya Magufuli wanampenda. Acheni kuwa "MAZUZU"
Mwanangu wew akili ndogo
Hahaa
.
Waziti uwe muazi idara inamatatiizo
Best President Ever.
Alikua mpenda ukwel kama yesu