LIVE: RAIS MAGUFULI AMBANANISHA MKANDARASI "NIJIBU, FANYENI KAZI USIKU NA MCHANA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 года назад +6

    Mungu akupe maisha marefu Raisi wetu JPM

  • @amosmalaba5
    @amosmalaba5 3 года назад +7

    Baba kama baba piga kazi mzee baba watanzania wote tunakuombea kwa Mungu

  • @omarinasoro6211
    @omarinasoro6211 3 года назад +12

    Nakupongeza mzee magufuli katika utendaji wako wa kazi, hasa kwakuwapa vipaumbele wanyonge, Sasa tunaheshimiana,

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 3 года назад +4

    Tuko pamoja sana Rais wetu mpendwa,hakika Tanzania tumebarikiwa sana

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 года назад +5

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi 3 года назад +5

    Magufuli 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @makameabdalla3147
    @makameabdalla3147 3 года назад +6

    Nakuelewa sn magu
    Wananchi kwanz stor baadae
    Order coffee ☕ popote ulipo ntalipia

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 3 года назад +1

    Mungu akulinde akuongoze akuimarishe.

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 года назад

    Chezea JPM, humfahamu vizuri. Hapa kazitu

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 года назад +5

    Ewe mwenyezi MUNGU nazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wangu

  • @saikouamadousow
    @saikouamadousow 3 года назад

    my president and father

  • @mu-crzymahez9229
    @mu-crzymahez9229 3 года назад +4

    nice km nice

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 года назад

    Mungu mbariki JPM

  • @salumnakauka5355
    @salumnakauka5355 3 года назад +2

    Bonne travail monsieur président.Dieu vous protège.

  • @gilbertmichael9130
    @gilbertmichael9130 3 года назад

    Hapa kazi tu!
    Maneno matupu yalikuwa awamu zilizopita... Sio hii

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 года назад +3

    Mpaka raha kuongozwa na Raisi anayejuwa kila kitu, kumdanganya ni kazi ama haiwezekani kabisa.

  • @mdl6463
    @mdl6463 3 года назад +4

    Magufuri piga kazi baba tunakuombea kwa mungu udumu milele daima

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 года назад

    Magufuli afise ubwenge bwinshi cane nukuri, mubisanzwe arazi ivyo arimwo, nico ciza co gutwarwa n'umuntu yakoze mubushikiranganji butandukanye imyaka myinshi!!
    Courage Mon Président 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
    🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿

  • @josephemmanuel3175
    @josephemmanuel3175 3 года назад +3

    Hyo ruwasa mbona muongo Sana bombs nchi 14 kwa litre million mbili 😂😂😂😂😂 litre million mbili wangeweka bombs nchi 12 ni sawa na 300 cio 350 na bomba ni duct ama DI ndio nzuri Zaid ya hapo labda MM-STEEL valve,adapter,coupling,spool za kununua zitawasumbua sana za nchi 14 ruwasa kampiga changa raisi zitawasumbua sana

    • @josephemmanuel3175
      @josephemmanuel3175 3 года назад

      Inaonekana ruwasa hata hajui mabomba yapo nchi ngapi hata said zake zinaanzia na ngapi na PN zake 😂😂😂😂😂 nchi 14 vituko hivi akati ni nchi 12x10 decrese na 10x8 na 8x6 au 4

    • @chrispinchrisant1540
      @chrispinchrisant1540 3 года назад

      DATA ZA USANIFU UMEZIPATA WAPI CHIEF,MAANA NAONA TAYARI UMEISHA-DESIGN???🤣🤣🤣🤣🤣

  • @erickgodwin3148
    @erickgodwin3148 3 года назад +8

    Anko magu ni Yule Yule..jembe kama jembe.

  • @SalmaSalma-nb2cv
    @SalmaSalma-nb2cv 3 года назад +5

    Bado tunakupenda baba mbona unaongoza vizur jmn

  • @kuntakintekoko5320
    @kuntakintekoko5320 3 года назад

    mheshimiwa watu wanakuheshimu, na waswahili tunaamini ukiheshimiwa jiheshimu, zungumza na wenzako kwa heshima awe ni waziri, mkandarasi au mmachinga,

  • @paulmyavilwa1991
    @paulmyavilwa1991 3 года назад +1

    watakoma 😂😂😂😂

  • @luindamchwakanigee4811
    @luindamchwakanigee4811 3 года назад +3

    Saf mkuu

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 3 года назад

    Waooo inabidi 2025 ukacaghuliwe tena Wewe ni jembe

  • @ElikiEdward
    @ElikiEdward 8 месяцев назад

    Mkuu ya mkoa

  • @erickpaul9426
    @erickpaul9426 3 года назад

    Watakoma mawaziri 😂😂

  • @salamagat4784
    @salamagat4784 3 года назад +2

    Wakwanza

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 года назад

    Engineer kashikwa paaaabaaayaaaaha

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 года назад

    Unaletewa umeme afu unataka kulipwaaa???? Hahahahahaaa

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 года назад

    Tuabadilisha katiba baba

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 года назад

    nAnYiNyi.mAkAnDaSi.mUeNdE.cHiNa.kUwAjEnGeA.fLaOvA.hUKo.kiLa.sUKu.wAo.tU.wAmiKujA.kWeTu.

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 года назад +2

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu