Meja Jenerali Charles Mbuge Afariki. Angalia Namna Magufuli Alivyomkubali Akampandisha Cheo Ghafla

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 194

  • @eveliynejoseph7944
    @eveliynejoseph7944 2 месяца назад +14

    Apumzike kwa Amani,Alikuwa mchapa kazi sana na alipenda sana kilimo 😢😢😢 nikimuona nakumbuka enzi hizo Ruvu 832 KJ 2014

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 2 месяца назад +23

    Apumzike kwa Amani amsalimie Magufuli😭😭😭🙏

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 месяца назад +4

    vizuri havidumu kifo wee ni adui yetu cku zote...😢😢😢😢😢😢😢😢 raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie..apumzike kwa aman AMEEEN😢😢😢😢😢

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 месяца назад +29

    duuu hakuna hasara tumewahi pata TZ kama kifo cha Magufuli leo tungekuwa super power

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 месяца назад +3

      Mnoo mnooo tungekua watu wenye akili timamu tungekua kwenye mchakato wakuona tunapataje mwingine wa namna ile kwakua waswahili ni vijitu jitu tu tunachukulia poa .

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 2 месяца назад

      @@FahadAbubakari-y3f Safi sana ungekuwa unajua kirusi ningesema umnichka una akili sana wewe

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 месяца назад

      @@jeanmusamba8448 presiba

    • @giztony2009
      @giztony2009 2 месяца назад

      Endelea kuota ndo za mchana

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 месяца назад +3

      @@giztony2009 sasa nawewe Ota za usiku unakataza hata watu wasiote aisee kila mtu aote ndoto zake

  • @AliDulla
    @AliDulla 2 месяца назад +16

    Pumzika salama asante kwa huduma yako kwa nchi yetu

  • @RaymondMallya-s1h
    @RaymondMallya-s1h 2 месяца назад +2

    Apumzike kwa Amani afande😭 Mwenyez Mungu akutunze mahali pema peponi Amina

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 2 месяца назад +1

    Mweehh magufuri😢😢😢🙌🙌🙌ilikua raha kweli bt😢

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 месяца назад +11

    Wanakufa wenye faida tu jamani Mungu atusimamie

  • @monicamose1710
    @monicamose1710 2 месяца назад +1

    Magufuli was greatly president,may you continue Resting in peace 🙏🙏❤️❤️❤️

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 месяца назад +14

    MIAMBA MIWILI YOTE IMEONDOKA.😭😭😭😭😭😭!!
    Uende unapostahili kamanda wetu Brigedia Jenerali Mbuge Tutakukumbuka kwa kazi zako mahiri kwa nchi yetu

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus 2 месяца назад +1

      Major General si Brigadier General

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 месяца назад

      Nashangaa😅😅😅​@@GoodDeeds-Jesus

  • @michaelkisesa3959
    @michaelkisesa3959 2 месяца назад +1

    Mungu amlaze mahara pema pepon Amina, alikua mzalendo wa kweli.

  • @MayarashidiMayarashidi
    @MayarashidiMayarashidi 2 месяца назад +1

    Mungu amlaze mahali pema

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe 2 месяца назад +25

    Daaaaaaah maguful bado nakuliliaaaaa baba nayaman ungekuwepo tusingekuwa hivi tulivyo 😭😭😭

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 2 месяца назад +3

      Subhannallah usiseme hivyo angekua na uwezo huo angejizuia angalau asife (Yasismfike mauti)...Tuwe na mpaka wa maneno sawa mdogo wangu

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 2 месяца назад

      Kwani muko vipi?

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 2 месяца назад +2

      Naamin huo ni udini tu unakupelekesha.lkn MAMA YUKO VIZUR KULIKO MAKUFULI.HONGERA MAMA 2025 URAIS NI WAKO

    • @fahdihasnuu9034
      @fahdihasnuu9034 2 месяца назад

      Punguza wenge babaa acha mawazo ya kipumbavu

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 месяца назад

      ​@@MussaMussa-v4x 2025 CCM Twende na Mh Majaliwa Ushindi mapema sana kama Yangaaa

  • @OmarySalumu-q1i
    @OmarySalumu-q1i Месяц назад

    Jamaa watakumbukwa Kwa Mengi mazuri Yao waliyoyafanya ,,,,,Mungu Aziweke Roho Zao Mahali Pema Peponi Amiin

  • @madelefamily2703
    @madelefamily2703 Месяц назад

    Daa!!

  • @ATWSKnowledge
    @ATWSKnowledge Месяц назад

    huyu mwenyezi mungu amsamehe madhambi yake popote alipokosea akiwa na nia safi ya kurekebisha na apumzike kwa amani

  • @chriseskibet718
    @chriseskibet718 2 месяца назад

    Poleni Sana ndugu zangu watanzania kwa msiba huo.

  • @GrussCuup-zk3yo
    @GrussCuup-zk3yo Месяц назад

    Namkubuka magu

  • @JaphariMsabaha
    @JaphariMsabaha 2 месяца назад +2

    Mungu awape pumziko jema makamanda wote

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @leonardedson3604
    @leonardedson3604 2 месяца назад +7

    DAAA😢😢😢😢😢 WALE TULIOKUWA NAE RUVU JKT 832KJ TUMEUMIA SANAAAA

    • @ubwashalom6690
      @ubwashalom6690 2 месяца назад

      Tena sana aiseee

    • @josephmkini6118
      @josephmkini6118 2 месяца назад +2

      Da alikua mtu na nusu pale 832kj ruvu jkt op kikwete tutammiss sana

    • @samwelmbise4975
      @samwelmbise4975 2 месяца назад

      OP Tz ya Viwanda tutamkumbuka sana 832KJ..😢

  • @dicksonkapera4999
    @dicksonkapera4999 2 месяца назад

    Duh 😢

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 5 дней назад

    Ila huyu Magufuli jamn daaaah😢😢

  • @abrahamsebastian5073
    @abrahamsebastian5073 Месяц назад

    Pumzika kwa aman bosss.

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 2 месяца назад

    mbuge nakukubali sana mungu akupunzishe salama

  • @SophiaMagoti-li8bc
    @SophiaMagoti-li8bc 2 месяца назад +1

    Kamsalimie JPM na umweleze yote ambayo umeyaona kipindi hayupo😢😢 pumzikeni Kwa Amani

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 2 месяца назад +3

    RIP Brged Jen Mbuge.😊

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 2 месяца назад

    Poleni kwa msiba😢

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 2 месяца назад +1

    😢😢😢

  • @mwanaimahassan5166
    @mwanaimahassan5166 2 месяца назад

    Innalilah wainnalih rajiuni afande 😢😢😭😭🙏

  • @estherjohn8360
    @estherjohn8360 2 месяца назад +3

    Apumzike kwa Amn

  • @EstherWambura-t2t
    @EstherWambura-t2t 2 месяца назад +6

    Magufuli utakumbukwa milele na watanzania wazalendo wakweli na wasafi ktk miyoyo yao. RIP JPM TUTAKUPENDA DAIMA

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera141 Месяц назад

    Apumzike kwa amani kamanda

  • @ThomasReginaThomaspresident
    @ThomasReginaThomaspresident 17 дней назад

    Regina thomas president ugandans❤😂🎉😢😮😅😊

  • @danielmwauragichiri3214
    @danielmwauragichiri3214 2 месяца назад

    Go well rafiki, Emmanuel

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 2 месяца назад +3

    Makamanda Wote Wapumzike Kwa Amani 🙏🙏

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 2 месяца назад

    Mie ni mzalendo sana🙏🙏😢

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 2 месяца назад

    Pumzika kwa amani , pole kwa familia

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 2 месяца назад +3

    🥹🥹🥹🥹🥹hakika sisi wote ni wa mungu na kwakwe tutarejea

  • @issamkumbalu483
    @issamkumbalu483 28 дней назад

    Salute ya IGP atar

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 2 месяца назад

    Vizur havidumu😢😢

  • @MichaelKangeta-lt2gh
    @MichaelKangeta-lt2gh 2 месяца назад

    Pole Kwa family yote

  • @gastontimiza3899
    @gastontimiza3899 2 месяца назад

    Rest in peace😢

  • @victorsabuni6801
    @victorsabuni6801 2 месяца назад

    😢vizuri hadumu

  • @EnockChingula-gw1po
    @EnockChingula-gw1po 2 месяца назад

    Cammander kazi umeimaliza mungu akutunze mahali pema peponi

  • @alexnyigo8864
    @alexnyigo8864 2 месяца назад

    Munguu mpokee mtumishi wakoo

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 2 месяца назад +1

    Apumzike Kwa amani

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 месяца назад

    Pumzika kwa Armani ❤❤❤❤

  • @sengendotwaha9333
    @sengendotwaha9333 2 месяца назад

    Rip

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад

    Pole kws familia ya mbuge

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 2 месяца назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆

  • @jovinjoseph4887
    @jovinjoseph4887 2 месяца назад +4

    Mzee ametembeza saluti kwa kila mtu, mpaka imebidi Janet Magufuli acheke tu, ukimtazama usoni tu unakula saluti😂

    • @gosbertireneus5558
      @gosbertireneus5558 2 месяца назад +2

      hahhahaaaa daaah huyu kamanda huyu, apumzike kwa amani

    • @arafathussein7910
      @arafathussein7910 2 месяца назад

      Iko hivi,ata mke wa afande ni afande

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 месяца назад

    Jamani mpk raha

  • @Bim941
    @Bim941 2 месяца назад

    Mabeyo kuna Jambo hukulifanya😢😢😢

  • @monicasengamarwa
    @monicasengamarwa 2 месяца назад +1

    Ni kweli Ulistahili. Pumzikeni kwa Amani

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 2 месяца назад

    Duuhhhh RIP

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 2 месяца назад

    Our lovely president

  • @khadijaomary2427
    @khadijaomary2427 2 месяца назад +2

    KWA kubeti kwangu kama magufuli angekuwa hai huyu jamaa angekuwa na CHEO kikubwa sana zaidi ya hicho cha meja jenerali angekufa na cheo kikubwa sanaaaaaa kama alivyopanga mungu

  • @josiahjohn-i8w
    @josiahjohn-i8w Месяц назад

    RIP msalimie mahufuli baba

  • @evodiusdamian1277
    @evodiusdamian1277 2 месяца назад

    Pumzika kwa amani kiongozi wetu

  • @KELVINHENRY-j1k
    @KELVINHENRY-j1k 2 месяца назад

    😭😭😭😭😭

  • @johnbrunoomolo6201
    @johnbrunoomolo6201 2 месяца назад

    Let him rest in peace generally

  • @EmmanuelJacobo-l3s
    @EmmanuelJacobo-l3s 2 месяца назад +1

    magufuli hakua na hiana hata kidogo ukifanyq vizuri anakutukuza hapo hapo na kukuinuq

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 месяца назад +1

    Jaman kamanda wangu alikuwa na upigaji wa saruti hatali mpaka unapenda

  • @SaidiKitange-us2ej
    @SaidiKitange-us2ej 2 месяца назад +1

    Kuhusu mbuge nakumbuka kuhusu cku ikulu Dodoma palivyo chafuka na tunaojenga kuitwa wahasi. 835 kj op mirerani. Cjui kilitokea nn serikali hii jaman ukifuatilia utauwawa.

  • @jebace
    @jebace 2 месяца назад +1

    hapo ndio wivu ulipo anza

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 2 месяца назад

    Dah apumzike kwa Amani.
    Msalimie Magufuli .hakika alikupenda sana ila Mungu aliwapenda wote .

  • @monicasengamarwa
    @monicasengamarwa 2 месяца назад

    Jenerali Mbuge mtoto wa dadangu Boke machozi hayatakoma. 😢😢😢

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 2 месяца назад +1

    Magufuli alichagua watu walioonyesha uwezo wao katika kazi kwakweli nitakukumbuka laisi wangu nastasahau mafanikio niliyoyapata wakati wauongozi wako wa haki

  • @joelmsella7975
    @joelmsella7975 2 месяца назад

    Rest in peace

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 2 месяца назад

    Jamani kamanda rip

  • @AronThomas-ws1sy
    @AronThomas-ws1sy 2 месяца назад +1

    Rip jenerali Charles mbuge.

  • @rehemaadam4102
    @rehemaadam4102 2 месяца назад

    Pumzika kwa Amani ,poleni familia ya Mbuge

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад

    Nakumbushwa kumamini Yesu na kujitakasa kila saa

  • @frankthadeo1679
    @frankthadeo1679 2 месяца назад

    Inauma sana lakini njiayetu ni moja pumzika kwa amani

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 месяца назад

    Dah rest in peace major General Mbuge

  • @anthonygikuri
    @anthonygikuri 2 месяца назад +1

    Huyu jamaa alifuzu kupiga saluti

  • @Christophergaspar-qe7wk
    @Christophergaspar-qe7wk 2 месяца назад +1

    Hakika alikuwa ni kamanda mwenye uzalendo mkubwa kwa nchi yake.

  • @AdamMwaihojo-f9u
    @AdamMwaihojo-f9u 2 месяца назад +1

    Jamani kweli huyu brigedia jenelali Charles mbuge alifariki daah

  • @hosealebric
    @hosealebric 2 месяца назад

    Ulale xalamaaaa mwanang

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 месяца назад

    Sasa huko India mnaendaga kufanya nini?. Hakuna cha maana bora hata SauthAfrica. Wanachofanya ni kufanya miili yenu kama vifaa vya uchunguzi tuu. Bora Serikali chini ya wizara iajili Madaktari kutoka nje ili kutibu na kufundisha Dataktari wetu. Hii itasaidia kwa kila mtanzania hata sisi tusio na uwezo wa kwenda kutibiwa nnje.

  • @Jenybless
    @Jenybless 2 месяца назад

    RIP JIRANI YETU MBUGE.

  • @salimamri9488
    @salimamri9488 2 месяца назад +2

    Huyu jamaa watakuwa wamemuondoa

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 2 месяца назад

      Kansa inatembea

    • @Mimi-wf7mb
      @Mimi-wf7mb 2 месяца назад +1

      Hii nchi ukishaonyesha uzalendo tu na raia wakakupenda ujue hauko salama

  • @CharlesAntony-e9g
    @CharlesAntony-e9g 2 месяца назад

    Rest in peace kamanda

  • @lwiticomwalukumba4148
    @lwiticomwalukumba4148 2 месяца назад

    😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be 2 месяца назад

    Kamanda pumzika kwa amani, Umelitumikia taifa vizuri

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 2 месяца назад

    😂nyota yake iling'aaaa sanaa Lala salama kamanda

  • @OmarySalumu-q1i
    @OmarySalumu-q1i Месяц назад

    Jamaa watakumbukwa Kwa Mengi mazuri Yao waliyoyafanya

  • @gabrielanthony3
    @gabrielanthony3 2 месяца назад

    RIP general

  • @khadijaomary2427
    @khadijaomary2427 2 месяца назад

    Chief hangaya anamcheki2

  • @OmarySalumu-q1i
    @OmarySalumu-q1i Месяц назад

    Mbuge

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 месяца назад

    Amir jeshi mkuu sio.mchezo ni vitendo bila kuchelewa. Wspewe heshima yao

  • @richardelihuruma8065
    @richardelihuruma8065 2 месяца назад

    Rest in peace Afande

  • @MohamedKinega-jt4vi
    @MohamedKinega-jt4vi 2 месяца назад

    Meja mbuge nilikuwa namkubali sana kwani halikuwa Hana majivuno na pia halikuwa ni rafiki wa watu

  • @frankuhahulla3236
    @frankuhahulla3236 2 месяца назад

    Lala kwa amani mwamba!
    Hatukudai!

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад +1

    Machozi yamenitoka jmn.

  • @BarakaMwajanaga
    @BarakaMwajanaga 18 дней назад

    Pumuzika kwa amani

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 2 месяца назад

    Jeshi halishindwi hiyo kauli haitasahaulika Rip mbuge

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 месяца назад

    Kipindi Cha baba magu kazi ndio ilikuwa chanzo Cha kupanda cheo lakin kwasasa ukisifia tu kazi tayari umepata,,,pumzikeni Kwa aman bado mnaishi kwenye mioyo ya wazarendo

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 2 месяца назад +1

    JPM aliamsha uchapakazi nchini, ,Uzalendo na kujiamini.
    JPM ataendelea kukumbukwa kwenye mioyo ya watanzania wengi sana.
    Pumzika kwa amani JPM

    • @EdwardMashauri-e7e
      @EdwardMashauri-e7e 2 месяца назад

      Utamkumbuka wewe na mataahira wenzio

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 2 месяца назад +1

      Hata tahira ana kidogo chenye manufaa kwake, na ni suala la mtizamo TU wewe kama ulimchukia wengine walimpenda bw mashairi,huwezi kuchukiwa au kupendwa na wote, ndio kilimwengu.

    • @GeorgeErasto-f9j
      @GeorgeErasto-f9j 2 месяца назад

      Polen wafiwa

    • @EdwardMashauri-e7e
      @EdwardMashauri-e7e 2 месяца назад

      @@GeorgeErasto-f9j Wamefiliwa wapi jamani??