FIDO VATO AWATOFAUTISHA WADUDU WALIOITWA NA RC MAKONDA "SIO WADUDU WALE WANAOENDA KUZIKA WENZAO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 105

  • @Samarahmotorcylesparepartshop
    @Samarahmotorcylesparepartshop 7 месяцев назад +4

    Jina la wadudu sio waendesha bike wala nini..simpingi kaka ila nawapa historia ya jina wadudu....Jina wadudu lipo tangu miaka shazi manyu limeanzia kwa wale machalii walikuwa wanapakiaga takataka kwenye gari wanapeleka jalala kuu kwa jina la wakati huo kwasasa wanapaita dar au dampo,sasa walikuwa wakipita sinoni miaka iyo hakuna ata lami kuna jalala wakiwa wanapakia taka tuna watania wadudu kutokana na wao kufanya kazi dampo na mataka taka ndo tukawa tunawaida wadudu wa dampo,vikaja vikaibuka vikundi vya wadudu vingi kuna wadudu wa unga na kuna wadudu wa unga wanasaga paka chuma ...ndo kwanzia apo miaka ya 2010 kuendelea sisi tunakua wadudu ikawa fem maana zamani mdu akikuita mdudu ni mnazichapa halikuwa jina zuri kabisa majamaa wenyewe tulikuwa tukiwatania wanakutukana mbaya ...hiyo ndo mwanzo wa jina wadudu kaka

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 месяцев назад +11

    Daah, huyu.mshikaji ana bonge la Confidence aisee, keep it up bro

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 7 месяцев назад +12

    Nimeipenda sana hii interview

  • @SamwelLaizer-mg5ww
    @SamwelLaizer-mg5ww 7 месяцев назад +14

    Jina la wadudu ni wanamziki wa maeneo ya engosengiu kwa malaizer ndo wadudu wa dampo

  • @deusmallya3384
    @deusmallya3384 7 месяцев назад +1

    Big up sana👊👊👊👊👊
    Rambo umeiheshimisha chuga

  • @peterlyimo6696
    @peterlyimo6696 7 месяцев назад +6

    Leo Fido katulia sana.

  • @SuperdollGuard
    @SuperdollGuard 7 месяцев назад +3

    Leo nimemuelewa fido sana jamaaa kuna busara anaanza Kuwa nazo tunakitu cha kujifunza kwake

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 7 месяцев назад +5

    ❤fido upo vizuri sana Big gap

  • @StephanoJapheth-p5f
    @StephanoJapheth-p5f 3 месяца назад

    Big up bro ❤❤❤❤❤

  • @emmahaugusty2383
    @emmahaugusty2383 7 месяцев назад

    Me nawajua wadudu Toka 2007-8 wakiwa wanaitwa Wadudu wa Dampo tulikuwa tunavunja kwenye Free stage ya Via Via.....chuga Ina historia kubwa sana.....Hawa machalii wa juzi mengi hawayajui.

  • @paulomollel7721
    @paulomollel7721 7 месяцев назад +9

    Mwamba fido kwanza kulikuwa nawa dampo usiwasahaau

  • @pwanihabari
    @pwanihabari 7 месяцев назад +19

    Maisha yasiyo rasmi daima haya mwisho mwema, haya maisha ya hawa wapuuzi waitwao wadudu sio maisha rasmi wala sahihi hayana baraka ya dunia wala kutoka kwa Mungu, wanapaswa kubadilika, vyenginevyo watajutia milele

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 7 месяцев назад +3

      Acha watumike tu kwanza kuna laana kwenye majina ya hovyo hii ni nchi ya vimbwenga upepo ukishapita hutawasikia tena

    • @abuubaqr5808
      @abuubaqr5808 7 месяцев назад +2

      Pelekeni ujinga uko, acheni kuchanganya mambo embu

    • @ibrahimudamas326
      @ibrahimudamas326 7 месяцев назад +2

      Akili ndogo sana Aibu kwako😅

    • @rendemickey9318
      @rendemickey9318 7 месяцев назад +1

      Watu kama nyie ndo hamfai kabisa mnajitia watakatufu kumbe wachafu

    • @EmanuelLaurenty
      @EmanuelLaurenty 7 месяцев назад +1

      Mshamba uyo angalia maisha yako aloo

  • @MAILAGUN
    @MAILAGUN 7 месяцев назад +2

    Wadudu tunasema Braaaap nakubali sana brodhee fido

  • @raskise7493
    @raskise7493 7 месяцев назад +1

    Wadudu wa dampo ,,,,,Ankle D,na rasta ,wanajiita wadudu toka nijuane nao kwenye harakati za sanaa 2014,wanajuklikana sana kama wa dudu wa dampo ,,,,,,ingekuwa dar ilo jina lingeleta maneno sana sema majamaa wametulia hawajesema jina lao limetumika

  • @J96_PFT_ACADEMY.
    @J96_PFT_ACADEMY. 7 месяцев назад +1

    Wadudu og ,wapo dampo na wanatakiwa kupewa heshima yao,, ila wanao trend sio walio anzisha jina wadudu

  • @msafitv5461
    @msafitv5461 7 месяцев назад +13

    leo fido umeongea kikukwa sana from dar sema nakukubali sana🎉🎉

  • @husseinrashid2833
    @husseinrashid2833 7 месяцев назад +1

    Waoga mnajulikana katika hilo njoeni kiumeni huku🤣🤣

  • @JuniorSabath-x6s
    @JuniorSabath-x6s 7 месяцев назад

    7:00 hizo style sio poa😂😂🔥

  • @AdamMwava
    @AdamMwava 7 месяцев назад +3

    Fido nakukubali San ❤

  • @Thekidsknowledger
    @Thekidsknowledger 7 месяцев назад +1

    Broh all the best wonderful ahead crank hip hop music there just take it to another level interm of promote tourist external,That's will nourish your music international

  • @gideonstanley2155
    @gideonstanley2155 7 месяцев назад +4

    Twende yukaingalie chuga youtube❤❤❤

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 7 месяцев назад +3

    Dah fido ni mtoto wa chuga namjua tangu yuko mdogo

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 7 месяцев назад

    Anafact mno 🤝

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 7 месяцев назад +3

    Salute sanaa mwamba

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 7 месяцев назад +4

    Leo.umeongea point

  • @TonyLucky-km7gq
    @TonyLucky-km7gq 5 месяцев назад

    Huyu ndo mwenye point

  • @EvansGodfrey-tj5op
    @EvansGodfrey-tj5op 7 месяцев назад +4

    Jamaa anauwezo sana wa kujieleza

  • @AwardBillb000ard
    @AwardBillb000ard 7 месяцев назад +2

    Huyu jamaa kuna media akifanya interview anakuwa smart sana.... Kuna interview alifanya Manara Tv 😂😂😂😂 sema yule prizenta wa Manara alistahili yale

  • @JacobMwita-g5x
    @JacobMwita-g5x Месяц назад

    Fido Ana Danyaga mboya sana

  • @trofinlyimo3520
    @trofinlyimo3520 6 месяцев назад

    Broo fido vato wew ni mkuu!

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 7 месяцев назад

    🤣🤣🤣 hapo kwa wanawake sasa🙌

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 5 месяцев назад

    Wafundishe namna ya kujiweka smart hayo mavazi wavae wakienda kufanya shoo maana hivyo walivyojiweka inasababisha waonekane waharifu

  • @SamwelLaizer-mg5ww
    @SamwelLaizer-mg5ww 7 месяцев назад

    Voice of arusha

  • @mulastar
    @mulastar 7 месяцев назад +4

    ila Vato mbona ukifanya mahojiano na Kiswahili Tv unajiachia ila kwa Millard unaweka attention sana.?

  • @mbembetyson05
    @mbembetyson05 7 месяцев назад

    Is necessary Kumeza mate na kufanya Mtaaah mdomoni? But nakubali

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy 7 месяцев назад

    Uyu ndo king wa chuga

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 7 месяцев назад

    Leo ame tuliaa kawa mtu kweli 😂😂😂😂❤

    • @IdrissuHassan
      @IdrissuHassan 7 месяцев назад

      Inaonekana somo la Makonda limeanza kufika

  • @mrjohn4446
    @mrjohn4446 7 месяцев назад +5

    Hao wadudu wana faida gani kiuchumi

  • @annamussa185
    @annamussa185 7 месяцев назад +4

    Huyu kaka huwa Mhandsom shida Bangi yani akubali akatauye acha Bangi

    • @Aiisha901
      @Aiisha901 7 месяцев назад +2

      amekaa kama mu mexico hatari au wale wa huni wa south amerika 😂😂😂😂

    • @mussaKimaro-cj6ge
      @mussaKimaro-cj6ge 7 месяцев назад

      😊​@@Aiisha901

    • @Trey2k365days
      @Trey2k365days 7 месяцев назад

      Nmekukubali aisha😂😂​@@Aiisha901

    • @fidhuman
      @fidhuman 6 месяцев назад

      Vuta na wew😂😂😂

  • @autoroyaledubai
    @autoroyaledubai 7 месяцев назад +3

    anaheshim media

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 7 месяцев назад +1

    Nakubali

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 7 месяцев назад

    Kweli nchi hii ina vilaza,ona kiandunje

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 месяцев назад +4

    Huyu jamaa yuko fit alafu anaonekana ameshapambana mno kimaisha

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 7 месяцев назад

    Fido leo nimemsikiliza kwa mara ya kwanza ila kila nikiona picha zake nilijua ni mmarekani

  • @nicksonnewton1540
    @nicksonnewton1540 7 месяцев назад +3

    fido leo kaongea saut ipo cool

  • @pwanihabari
    @pwanihabari 7 месяцев назад +1

    Meno machafuuuuuuuu kama anakula Udongo😁😁😁😁 au ndio U gangster😀

    • @Worldunite
      @Worldunite 7 месяцев назад +2

      Hapana, wengi wana meno ya aina hiyo ni sbb ya maji aisee

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 7 месяцев назад +1

      Na baridi pia ​@@Worldunite

  • @GetrudeWilisoni
    @GetrudeWilisoni 7 месяцев назад +2

    Mimi wa Kwanza Leo jamani

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 7 месяцев назад

    Fido anaangalia na media anayofanya nayo interview nd maana hapo katulia😂

  • @benjaminandrew5265
    @benjaminandrew5265 7 месяцев назад

    Mzee wa cordonyo, CO wa wadudu

  • @EugeneMushi
    @EugeneMushi 7 месяцев назад +1

    Hahaha eti aliona demu wa ki Black. Yaan Mama ako unamuita Demu

    • @Worldunite
      @Worldunite 7 месяцев назад

      😃😃..labda alijisahau, si unajua tena katumia lugha ya kihuni

  • @paulomollel7721
    @paulomollel7721 7 месяцев назад +1

    Wailio anzisha neno wadudu niwale wale jamaa

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 7 месяцев назад +1

    Interview kali

  • @paulomollel7721
    @paulomollel7721 7 месяцев назад +1

    Hawa madogo wa juzitu

  • @paulomollel7721
    @paulomollel7721 7 месяцев назад

    Walemacha li unawajuwa vyema and kawadudu wa dampo

  • @GetrudeWilisoni
    @GetrudeWilisoni 7 месяцев назад +1

    3:33 3:36 3:37

  • @reganimushi8062
    @reganimushi8062 7 месяцев назад +3

    Kaka mkubwa kumbe Muhindi

    • @EvansGodfrey-tj5op
      @EvansGodfrey-tj5op 7 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @Worldunite
      @Worldunite 7 месяцев назад

      Muhindi mixer na mrangi😂😂😂
      Mhindi pori huyo lkn yuko tofauti na wadosi wa kawaida

    • @AlvinKhim-lc1jo
      @AlvinKhim-lc1jo 7 месяцев назад

      amewazidi wadosi😂

  • @FanikishaAfricaMabati
    @FanikishaAfricaMabati 7 месяцев назад +1

    😳😳

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 месяцев назад +1

    Kumbe fido ni mrangi wa kondoa?

  • @MariamMgaya-bs4pw
    @MariamMgaya-bs4pw 7 месяцев назад

    Hogera mtoto wetu rangi yetu hiyo kondoa

  • @Az__2012
    @Az__2012 7 месяцев назад +2

    Kumbe unajifanya gangster na ni mdosi🤣

    • @Worldunite
      @Worldunite 7 месяцев назад +1

      Gangster ni lifestyle ya mtu na mdosi ni kabila

    • @Worldunite
      @Worldunite 7 месяцев назад +1

      Aweza kuwa mdosi lkn makuzi yake yakawa tofauti na yakawa ya ki-gangster

    • @Az__2012
      @Az__2012 7 месяцев назад

      Wachaa kutetea,,, ukishakua na damu ya kidosi tu anakua muogaa muogaa au snitch

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 7 месяцев назад

      ​@@Az__2012 uyu anakataa usnitch sasa

    • @AmuorKing
      @AmuorKing 7 месяцев назад +1

      Real gangster hatizami rangi wala kabila wala nchi acha kubagua magengster wote peponi

  • @FadhilNtoga
    @FadhilNtoga 7 месяцев назад

    12345😂😂😂😂😂😂😂

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 7 месяцев назад

    😂😂