KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE - CONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 240

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 39 минут назад +7

    MUNGU ni mwema asande BABA MWANA na ROHO MATAKATIFU ameeeen Hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 2 часа назад +41

    Wananchi waliyo kwenda congo hongereni wote wafike salama ilove u yanga yetu oyeeeeeeeee daima mbele hatukati tama inshallah 💚💚💛💛💛💓💓💓

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 Час назад +15

    ALLY KAMWE MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE AFYA NJEMA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💚💛💚💛👏👏👏👏

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka Час назад +11

    Tunamshukuru Allah kwakujaalia Mafanikio makubwa kwenye timu nakuomba Allah tuzidishie mafanikio zaidi Inshaallah

  • @muzafarrajan8477
    @muzafarrajan8477 2 часа назад +36

    haijaisha mpk ishe like nyingi yanga robo hiyo

  • @HangiNgholo
    @HangiNgholo 2 часа назад +17

    Jambo moja kubwa nimelipenda kutoka kwko ally kamwe ni kumtanguliza Mungu this time around. Hujigambi now unamwachia Mungu. inshallah.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Час назад +1

      Hajigambi sio kumuogopa Mungu Bali ni timu mbovu imemfunga mdomo 😂😂

    • @KANAZIBoy
      @KANAZIBoy Час назад

      🎉🎉😂😂​@@laninjeje8290

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 11 минут назад

      Mungu hausiki kwenye ufirauni wa mipira yenu

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 2 часа назад +18

    Mungu yupo pamoja na yanga afrika atatuvusha

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 часа назад +12

    Alihamundulih mungu ni mwema dua tu kila hatua 💚💛💚💛

  • @EunicePaulo-l2t
    @EunicePaulo-l2t 26 минут назад +1

    Mungu nimwem a Sana murundi salama vipz vyetu

  • @husseinrwanda2394
    @husseinrwanda2394 Час назад +2

    Asante Mungu kwa hili la Leo......Daaah Yan tungezid kupoteana......God bless Young Africans

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 21 минуту назад +1

    Mi yanga ila timu yangu imedoda sana sijui kwa nini. Atuna speed kabisa.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 часа назад +16

    Clement mzize ni mchezaji wa kiwango cha juu sana sana anafanya mpiira kuwa rahisi na unakuwa rahisi sanaaaa....
    Huyu dogo anaweza anza first eleven ya madrid he is very very high quality player

    • @josephgalandu128
      @josephgalandu128 2 часа назад +3

      Nzize hatar

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 2 часа назад +3

      Mzize ni striker mzuri sana.

    • @HangiNgholo
      @HangiNgholo 2 часа назад +3

      Bonge moja la striker. Mnyumbulifu ana nguvu na mbio. Kifupi kabarikiwa kila kitu

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Час назад +2

      Alichangamsha second half

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 Час назад +2

      Kibabage afukuzwe na kocha waje

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 2 часа назад +15

    Jeshi wamepanbana poti moja tuliyopa itaongezeka kwa mkapa inshallah mungu abariki yanga yetu daima mbele tutafika safari inshallah 💚💚💚💛💛💛💚💚💚

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 16 минут назад

    Inshallah kheiry, tunawaombea safari njema

  • @monicahwafula2120
    @monicahwafula2120 2 часа назад +2

    Ukweli usemwa, Yanga is struggling, sidhani kama Gamondi angepoteza mechi 3 mfululizo mlikurupuka kumfukuza Kocha bora sana, kama kuna mtu anafurahia haya matokeo ni Gamondi✌️💚💛 yaani tunafurahia sare ya kibahati.

    • @Happynesi-d4k
      @Happynesi-d4k 2 часа назад

      Acha kulaumu gamodi kashaondoka tunapambana na said Rimov mungu atatuwezesha robo tufike kwa kishindo usikatee tamaa tutasimama tu usijali

    • @JanuaryInnocentNdungurunguNdun
      @JanuaryInnocentNdungurunguNdun 2 часа назад

      Kamchukue akafundishe kwenu

    • @monicahwafula2120
      @monicahwafula2120 2 часа назад

      @@Happynesi-d4k inshallah

    • @AzizSeleman
      @AzizSeleman Час назад

      kabisa aise yani sasa hivi timu aijulikani inachezaje kwa gamond tulikua tunafungwa mpira ukiwa unaonekana aise mungu atusaidie😮

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 35 минут назад

    Hakika Wananchi mnastahili PONGEZI MNO kwa kazi iliyopendeza vzr mno,yaaaaaani wee acha tu,Cc ndio Yanga,NIMEAMINI HII LEO !!🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @WinnieMashinga
    @WinnieMashinga 2 часа назад +5

    Yani hii point moja ni mwanga tosha kwetu ss wana Yanga kwenda robo fainal

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema Час назад +2

    Nawapongeza sana Mungu atujalie mechi za nyumbani tupate Ushindi. Mungu ni mwema point 1 tumepata Ugenini.

  • @FahareJuma
    @FahareJuma Час назад +2

    Inabidi kumuwomba Mungu nsamaha godi yanga amuombe Mungu samahani kwama neno yaliyo hongeya mimi sio nswaili mimi NTU wa nsumbiji

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 часа назад +4

    Uhakika point 7 ziko tayar,hatoki mtu KWA MAKAPA

  • @sameersurve7496
    @sameersurve7496 Час назад +1

    Good work .namba ya dube ni no.7.atafunga sana akitokea mbavu ya kulia.lapili kama akicheza kibabage awekewe juu mtu wa kukaba sana sio pakome labia mzize au faridi mussa.tunge wapiga zaidi ya 2.together we can.

  • @EdsonMartin-e3k
    @EdsonMartin-e3k 2 часа назад +3

    Kunajua mnapambana kurudisha hali sawa ,kisaikolojia kwa wachezajii, nafikirii sasa bench la ufundii piya liangalie programm ya mipira ya juu, wachezaji wetu hawaluki wanategea adui akose ndo acheze ,..haitusaidii,...kabisa second balls,..hatui win kabisaa mara kadhaaaa

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 2 часа назад +18

    Inshaallah kwa uwezo wake Allah mechi zote tutashinda daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉💛💛💚💚

  • @JamesMoleli-x9l
    @JamesMoleli-x9l Час назад

    Hongereni Sasa sana wachezaji wetu kwakupambana mpaka dakika tisini zimeisha natumetoka na droo nijambo lakumshukuru Mungu asanteni sana pamoja ❤❤❤❤❤

  • @jamesupanganamundu7073
    @jamesupanganamundu7073 Час назад +3

    Halid aucho asipewe mechi za ligi atunzwe kwa club bingwa,wapo wakina mkude wanaweza cheza mechi za ligi Aucho ni muhimili mkubwa wa midfield yetu.

  • @hassanrashidi1267
    @hassanrashidi1267 22 минуты назад

    Well done, kaz nzur san

  • @KenethMichael-ic6yl
    @KenethMichael-ic6yl 2 часа назад +4

    🙏🔰🔰 na tunafuzu kwenda robo inshallah 👍

  • @KhamisJuma-r6i
    @KhamisJuma-r6i 34 минуты назад

    Mimi napendasana kuwashauri nakuwaasa wapenzi washabiki nawachama woote tunayoipenda nakuitakia kheiri mema namafanikio timuyetu tuache maneno yakishabiki yanayotufanya tuvuke mipaka naomba tufurahi sana ilatusikufuru kwajigamba etii ubora watimyetu kwasasa inauwezo wakucheza hata namalaika au peponi mbinguni nakadhalika tuacheni nimakosa makubwasana tunaiweka timyetu pabaya nakutuumiza wapenzi wanachama namashabiki tuacheni kubwa tuzidishe Dua maombi nakumuachi Allah hakika atamsaidia ahsanteni

  • @TaboraTalentCenterTTC
    @TaboraTalentCenterTTC Час назад +1

    Hongera Sana matumaini yetu tumerudi kwa kishindo Mungu awatangulie

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 19 минут назад

    Da maisha iv yanga asaiv wa kushangilia pwent moja da

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 2 часа назад +1

    Kweli kabisa mashallah nimeipenda sana iyooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi Час назад +2

    Kweli umesema kabisa Hili goli limefungua mlango .Hatufungwi tena g'o

  • @DeoNgonyani
    @DeoNgonyani Час назад +1

    Hongera vijana wetu kidogo machozi yametulia

  • @DrEliud
    @DrEliud 12 минут назад

    Kwan mechi za mwanzoni tulikua atutafuti kufuzu.. kuna siku umeshawahi kutwambia mnafungwa??? Leo si mmesema tunawafunga nje ndani.. HEBu acha kuzidi kunikera.. timu zinatafuta point 9 wengine 7.. sisi kipoint kimoja ndo tunaanza kupagawa 😢😢😢

  • @allysinde6208
    @allysinde6208 56 минут назад

    Usiongee Sana Ally, ongeeni na wachezaji wote wajitume uwanjani kama Zamani..
    Mpira uongee uwanjani na sio mdomoni..

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 Час назад

    I love my team but tunacheza chin sana jmn Nini shida tujpange misimu ujao ila kaeni mumrudishe Nabi n tutafute beki na striker🎉🎉🎉🎉il yote yote💚💚💚💚💚 inshalllah

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 Час назад +1

    Haijaisha mpaka iishe inshaallah mwakani tutarejea imara zaidi

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 2 часа назад +1

    Team bado mbovu sana waambieni waongeze bidii wapo wanyongefu sana kama wanaumwa homa ya Yabisi.

  • @Mariamkiss
    @Mariamkiss Час назад

    Yanga bingwa❤❤❤❤ naipenda yanga

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 2 часа назад +2

    Wa kwanza mimi nipen mauni mauwa yangu 🎉🤸🤸🤸🤸🤸👊

  • @LeonardLuvanda
    @LeonardLuvanda 39 минут назад

    Hongera sana yanga na amini molali imerudi

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 35 минут назад +1

    Mwanzo mzuli

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart Час назад +4

    Bado timu haijakaa sawa
    , kocha Hana uwezo wa kuiongoza yanga, anakosa kujiamini, wachezaji hawana confidence wanapoteza nafasi nyingi na pasi zinaenda kwa adui, fanyeni kazi juu ya kuimarisha saikolojia.

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 Час назад

      Kwenye situation kama hii hata wewe ungekosa kujiamini.

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo Час назад +1

      Kupoteza nafasi haijaanza Kwa Kocha Ramovic usimtie doa Kocha

    • @KulijeNovart
      @KulijeNovart 56 минут назад

      @selemanmcharazo ! Kila mtu na maoni yake, Mimi naiona timu imeflop, wachezaji hawapishani kama tulivyozoea. Bro mechi ya mwisho tuliyocheza kama yanga tuliyoizoea ni ya Singida black Star s. Nikueleze tu kuwa kama tungecheza vile CL tusingefungwa mechi zote! Mwangalie Max imeflop vibaya!

  • @alexbujenja2750
    @alexbujenja2750 34 минуты назад

    Hovyo kabisa. Unajitapa kwa draw Hatuna Kocha hapa huo ndo ukweli haya maneno mengine ni Kupalilia UGALI wenu tu

  • @mkaliwow3435
    @mkaliwow3435 2 минуты назад

    Kumbe yanga akifugwaaa Huwa anakua na adau hivi jamani khaaaa weww 😂😂😂😂😂😂na mungu munamkumbuka aaya manatak malaika tena

  • @BintSwai
    @BintSwai Час назад +2

    Nakupendaa buree

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 2 часа назад +1

    Niliwambia msimuweke diara 😢ila alhamdulillah

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 24 минуты назад

    Kamdomo tu mmefeli sana😮😮😮😮😮

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 часа назад +1

    Alhamdulillah sina la kusema zaidi

  • @SinguModoka
    @SinguModoka Час назад

    Mikia fc wamenuna waacheushamba wa kufatilia maswala yasiyowahusu yanga bingwa Afrika asiyependa ajiyonge🎉

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn 44 минуты назад

    Usiongee sana,bakisha maneno

  • @HuseinKhamis-sq2ke
    @HuseinKhamis-sq2ke Час назад

    Ila ally kamw alhamdulillah anazijuw mara hiii😮😮😮😮😮😮

  • @modestagobe8678
    @modestagobe8678 Час назад

    Leo kamwe wakushangilia sare kweli yanga imeishiwa sana haya mpambane muwafunge wote waliobaki kama mnanguvu za kiume

  • @FahareJuma
    @FahareJuma Час назад +1

    Inabidi kuwomba nduwa sana

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Час назад

    Duuh! Maisha yanaenda kasi sana leo Ally Kamwe anashangilia sare😂😂

  • @kenedysimon3566
    @kenedysimon3566 Час назад

    Acha kujigariji huwez kushinda unatemea kibabage😊

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 2 часа назад

    Alhamdulilah tunashukuru kwa kilichopatikana

  • @OmaryIdd-l3z
    @OmaryIdd-l3z Час назад

    Alhamdulillah naamin hawatoamin yanga kwenda robo

  • @OmariMkwizu
    @OmariMkwizu 2 часа назад +1

    Huyo Ali kamwe hakili hana

  • @JeremiahWilliam-d6d
    @JeremiahWilliam-d6d Час назад

    Kweli nimefurahi sana kwa goli la dube mimi namushahuri kocha amuanzishe dube hatakama hafungi

  • @saidyabdallah5376
    @saidyabdallah5376 Час назад

    Usiongee mengi sana mpila bado hanza kuongea mechi ya mwisho bado unamechi 3

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 Час назад

    Kazi imeanza daimambele💪💪💪

  • @ibrahimzacharia7273
    @ibrahimzacharia7273 42 минуты назад

    Mm kiukweli kocha hayupo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu kocha

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 28 минут назад

    Tatizo la Ally anaongea sana kuliko uhalisia

  • @JaphetMasalu-n9d
    @JaphetMasalu-n9d Час назад

    Tunaxhukulu xana mungu ❤❤❤❤

  • @josephsuluo
    @josephsuluo Час назад

    Yanga tukubali tu kwamba tumezingua kubadilisha kocha wakati tunakwenda kwenye michuano ya kimataifa

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 2 часа назад +1

    Tatizo nyie mnaongea sana hadi wachezaji wanavimba vichwa sana muwe mnawasema pia

  • @petrokishe
    @petrokishe Час назад

    Kwa mchezo gani yanga imeshakufa punguza maneno

  • @omeganthale3220
    @omeganthale3220 14 минут назад

    Hili kundi mnamaliza Wa mwisho😂 mamaeee

  • @AbdallahHamis-v9e
    @AbdallahHamis-v9e Час назад

    Hongera yanga

  • @SadickCheyo
    @SadickCheyo 7 минут назад

    Msemaji unaongeapointi sana,umri mdogo hekma nyumba

  • @tumvisiagekonga2142
    @tumvisiagekonga2142 2 часа назад +3

    Kwa msaada wa Mungu Tutavuka

  • @davidarabiy3924
    @davidarabiy3924 2 часа назад

    Unaongea point brooo

  • @DottoMagayamwe
    @DottoMagayamwe Час назад

    Naqubal sana chama langu allah!! atuongoze

  • @AllyMuyaz
    @AllyMuyaz 34 минуты назад

    Sijawahi kuikatia tamaa time ya wananchi

  • @SabihaDadi
    @SabihaDadi 2 часа назад

    Hogera mzize yupo vizuri do go yupo fit na chama yaani kambi njoo zenj wachezaj wazito wengne

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 2 часа назад

    Narudia tena KOCHA atatuuwa na kama ataendelea kumuamini ABUYA pale kati tusitegemee ushindi kwa maana ABUYA akiwa na mpira bila hata ya kukabwa pasi anatoa kwa adui, muda wa kushambulia mpira ukifika kwake unaurudisha kwa Adui kwa hyo shambulizi linakuja tena kwetu

  • @MohammadHashimu
    @MohammadHashimu 51 минуту назад

    Ally ubadilishi shati hilo tokea umekwenda kusafisha uwanja wa kmc mpaka leo

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 46 минут назад

    Wewe chizi kweli kwani umeshindwa robo ndoto

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 Час назад

    Huyu mbwa yaani mpaka tushinde ndo uzungumze aise kama sio fani yako waachie wanaojua hiyo kazi

  • @MagrethEmmanuell
    @MagrethEmmanuell 47 минут назад

    Point 1 anafurahi nn

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 34 минуты назад

    Usingee sana

  • @danielmasolwa
    @danielmasolwa 44 минуты назад

    Bado yanga sema tu nafuraha kwa dube ila yangaaa badoooo

  • @JeniphaSamwel-r9j
    @JeniphaSamwel-r9j Минуту назад

    Amen Amen Amen 🙏

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb Час назад

    Ndiyomaana, munafungwa, munapendasifa

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 56 минут назад

    POROJO TU HIZO,SIE YANGA na TP MAZEMBE NDIO TIMU TUTAKAZOMALIZA Namba 3 na 4

  • @KondoNgoma
    @KondoNgoma Час назад

    Mungu tusimamie

  • @DevotaHaule
    @DevotaHaule Час назад

    Mungu tusimamie wanajangwani tupite kwenyehili jambo ili tufike atua ya robo fainali

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 5 минут назад

    😂😂😂😂 VIBONDE WALIKUTANA SASA 😂😂😂😂 ILA WAKWETU BADO WAKO MKIANI 🐸🐸🐸🐸

  • @ezekielkidemi9660
    @ezekielkidemi9660 57 минут назад

    Mjeruman anaitwa said mlskia wap,mpunguze mdomo

  • @samweledward7664
    @samweledward7664 2 часа назад

    Yanga Bingwa ✅

  • @HamisMtota
    @HamisMtota 20 минут назад

    Tuko pa1 endeleen kupambana

  • @NathanDanial
    @NathanDanial Час назад

    ❤❤ mungu yupo

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 32 минуты назад

    Wasemaji mnakazi sana

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 2 часа назад

    I think we shall make it

  • @HuseinKhamis-sq2ke
    @HuseinKhamis-sq2ke Час назад

    Sijaona cha kuwa ufurahi hapo ally kamwe

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba Час назад

    Ila Abuya ametukosesha Goli sijui pale alikuwa anataka nini

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 29 минут назад

    Mafanikio msimu huuuu kweli

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Час назад

    Ally uache kukufuru , maneno yako ya kusema labda tucheze na malaika ndio yanayoitafuna yanga.

  • @r3gistratoe310
    @r3gistratoe310 35 минут назад

    Clement akitaka kujifunza kifaransa nitamfundisha kwa bure hahaha