"KUENDELEA KUFUNGA MADUKA NI KUWEKA KIBURI KWA DKT SAMIA NA UKOSEFU WA NIDHAMU" - MBWANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 июн 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 14

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 2 дня назад

    Kitambulisho cha mmachinga hivi kilifia wapi?

  • @user-sr8tc8ke6q
    @user-sr8tc8ke6q 2 дня назад

    Rudini kwenye Tozo mtukamue mavi yetu Hadi tuamie Burundi

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 2 дня назад

    Hivi kwa mfano hii ingekua kenya ingekuaje au Ethiopia au burundi au Rwanda lkn bongo watu wameamua kufunga maduka yao ili watu watulie

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 День назад

    Kwan samia si tumemuajir kwann asitusikilize, huyu jamaa vp

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 дня назад

    Mnapenda kumsingizia Mh Samia anausika nn hapo ye ndo mkusanya tra

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 2 дня назад

    Sio kufungua tu. Lazima watu wakae mezani kero ziondoshwe. Kisha ndio watu wafungue maduka.

  • @Zenny89
    @Zenny89 2 дня назад

    Ingekuwa Kenya hapa…Tungekuwa tunamburuza Mwigulu kwa tai yake hiyo atueleze kwanini tra inasumbua watu

  • @alawiyesau
    @alawiyesau 2 дня назад

    Mwenyekiti nawewe jitafakari

  • @manmcog1741
    @manmcog1741 2 дня назад

    Chawa

  • @hakeemwamahoro5144
    @hakeemwamahoro5144 2 дня назад

    Uyu ni Chawa jike

  • @PatrickSaid-zz6gf
    @PatrickSaid-zz6gf 2 дня назад

    Ww choko, kwa nidhamu gani ww unajua watu wamemwaga damu kiasi gani na jasho ad kufungua hzo biashara? Km n kitu rahc fungueni niny biashara alaf mjikate hzo tozo

  • @MbossoMbosso-rw4ox
    @MbossoMbosso-rw4ox 2 дня назад

    Ww maduka xx tunafungaaaaa

  • @sefanianaftari6
    @sefanianaftari6 2 дня назад

    Huyo jamaa sio mtanzania fanyeni reseach