Hata mimi na kwavile wanajua naana pia ya majina yao, sio mswahili mweusi tii utasikia anaitwa Krishna jina la kihindi au mtu anaitwa anorld kisa baba alikuwa anapenda kuangalia movie acha niishie hapa
Jamani jamani serikali iwaongoze hao watu japo dini wajuwe kwamaana hayo majina tu mimihata moja sikuweza kulishika hata elufi mojatu viongozi waongozeni vizuri hawanduguzetu
Hapa ndio pale panaponifanya hata niwe katika hali gani nakumbuka tuu kuwa Mungu ni fundi. Angalia kwa nje tunaona lugha ngumu lakini wao huona wanaelewana.MUNGU wa mbinguni sifa na utukufu ni zako - wachaga ...aika RUWA mbee - wamasai .....Ashe ENGAI - wapare ....Havache MULUNGU - wameru ...,Haika IRUWA
Ana miaka tatu gonga like tuendelee kwenda na nchi yetu ngumu
🤣🤣🤣🤣shikamoo nchi yangu Tanzania nakupendajee!
😂😂😂🇹🇿
This is great Africa is rich in culture bigup Ayo tv 🇰🇪🇰🇪 ❤
Influence is power...
Msanii gani unaempenda au kumsikiliza.?
Madogo wa kihadzabe wanajibu Diamond.
Hatar mzee
Nishida mondi adi. Mpolini. Ankulikan. Kweli simba
Aisee nimecheka sana hii nchi ni ngumu sana
Allah Akbar mwenyezi mungu ndie muumbaji wa mbingu na ardhi na wana Adam
Dunia ina maajab
Haya majina yanasababisha NIDA kugoma kutoa Vitambulisho vya Uraia.Umakini unahitajika kwakweli.
Ahahahahahahaha
😆😆😆😆😆😆😆
Hahahahahh
🤣🤣😂😂😂
Nimegundua uzaben hawamjui allykiba wanamjua diamond,we diamond umemfanya nini allykiba!! "Kamongo umemfanya nn pegelee hana maketi"😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Tanzania nakupenda nchi yangu wewe
Wapo mkoa gani jamani kumbe Tanzania ni story nzuri aisee
Wana lafudhi nzuri ya Kiswahili kuzidi Masai na Wachaga.
Mtuache wachagga
Wachaga zero kabisa na wezi haoooo
@@ahz6907 zero kwenye nini na wezi wamekuibia nini ebu jaribuni kuwa na respect jamani
@@palokuthereza2555 pole sana, mengine yaache yapite.
Sio vizuri kuingiza ukabila humu ndugu unakosea
Love this from kenya
Makarani wa sensa kazi mnayo!!
Hapo wahesabu sensa kazi wanayo!!
Subhanaallah kuna lugha jamani duniani watu wamanyala ndio wanao zungumza hivyo nilifikiria kuwa watu wa Africa ya kusini
Huku siyo Manyara, ni Wilaya Karatu mkoa wa Arusha... Lake Eyasi
@@georgemassebu2083 Makongoro Nyerere ni Mkuu wa mkoa wa Arusha !!!😂😂😂?? .Hapo Manyara sikiliza uzuri utaelewa.
MANYARA is my home and it's blessings for everything tanzanite tarangire mbuga maziwa tribes yani full fululu mpka mbulu
@@manyaraboy nakubali
Mandishi be like; jina lako nani?
Hadzabe; Oleh-ka-fuf-dwa-ah-su-du-ika.
Kwa kiswahili haiwezekani 😁😁😁😅😅
Mwandishi; de ka brrizz!!!
😁😆😆😆
Hilo jina Ol'enka soe w'an'usuein'ka!🙌😂
Kwa hawa form six wa miaka hii,hawatoweza kuandikisha hayo Majina.
Majina yao yanatamkwa kwa klick language🤣🤣🤣🤣🙌hii jamii inahitaji kumulikwa zaidi Ina kitu Cha kujinfunza ni kivutio kwakweri
😂😂
Oya kausha
Hahaaaa umetishaaq
Salut Sana 🔥🔥 dudu kwee
Jamani unaezasema huko nidunianyingine mungu aliumba kwrli
hayo majina huwezi andika eti . lakini wamepata heshima yangu
Jmn tz yetu kubwa 🤣🤣🤣👌👌
Nimependa huyo mwenye miaka tatu🤣🤣🤣
Miaka 3 alafu kwa kujiamini mjanga kweli huyo hajui miaka yake alafu kamuiga diamond
Majina yao yana swaga kinomaa😍😍😍
😀😀😀
Dudu kwaya
Mungu isaidie Africa
Aaah hyo Kwa kiswahili haiwezekani
Huyo alovaa kofia jina lake 🤣🤣
Ila analafudhi nzuri ya kiswahili kuliko Masai na Wachaga.
Mwanangu diamond unakubalika mpaka Kwa hadzabe huko porini hebu wanunulie TV ya Sola wawe wanaangalia wasafi
Point! Aende hata aiapige show bila vyombo mradi wamuone live tu
Huyu "Ole ka kuku kiswaika" aoe sasa!.... Ok, kuna swali umeli skip sana mtangazaji! Hao nyani ni chakula au ufahari?
Millrd ayo daaaaaaaaaaaa hiii noma sanna
Daaaaaah noma sana hata mtoa talifa kashindwa kulitaja hilo jina 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
Tanzania nchi yangu, du!! Mungu alitupatia kila kitu, hawa ndugu na hii lugha sambamba na watu wa NIDA kazi wanayo
Jamn Tz 🇹🇿 yanguu pend sana inchi yangu
Duh! Nimependa sana majina yao na yanafurahisha kinoma japo kuyatamka ni magumu
Chibuu km chibuuu 💪💪💪
💚 TANZANIA
Duuuh hayo majina ni hatari 🔥🔥🔥🔥
Mwanangu Charles TZA tumesoma wote chuo🔥
Hakika Kaka
Makarani wajipange na kuandika ayo majina Dah😂😂😂😂
Ebu nitajie jinamoja2 ulio sikia
@@kelvinjustin8168 dododonkoteaj
😂😂😁 niwenzet hawa kwelii. Nchi ya mama iyooo
Mama Samia angalia Raia wako hukuu😭
Hata mimi na kwavile wanajua naana pia ya majina yao, sio mswahili mweusi tii utasikia anaitwa Krishna jina la kihindi au mtu anaitwa anorld kisa baba alikuwa anapenda kuangalia movie acha niishie hapa
Ayo mwambie mondi akapige show huko awape burudani jamani wa tz wenzetu ikiisha sensa
MY WANGU POPOTE ULIPO NALETA KWENU DUME 3 ZA NYANI NA DEBE MOJA LA ASALI KAMA MAHARI 😋😋😋
Diamond platnumz 👑🙌🙌🙌🙌🦁🦁🦁
Mi napenda sana wanavyoongea eti.🤣🤣🤣🤣
Mamb mtoto mzur
They have links with south Africa tribes u use clicking sound dialect 4 communication
Ilo jina la mtu wa pili nimecheka sana hata kwa mzizi siwezi kulirudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nmesikia majina mengi ya kihadzabe Ila huyo wa pili duu....
Jamani jamani serikali iwaongoze hao watu japo dini wajuwe kwamaana hayo majina tu mimihata moja sikuweza kulishika hata elufi mojatu viongozi waongozeni vizuri hawanduguzetu
Hawana dini hao au wanaadubu jua au.mbn hujawauliza wanachokiabudu , ungewambia mwenyezi mungu ni mmoja tu ,Allah s,w,t. Na mtume Muhammad s,a,w.
Allahu Akbar Allah tabaraq rahman
Huyo dogo ako na miaka mitatu🤣🤣
😂😂😂kidogo nicheke
😂😂
@@nkelamei2870 😂😂
Duh.......
Dahh Huku sijui kama nitapaweza nimeomba kuamishwa mtu anaitwa dudukwaaa mara kwakwakuokwaako 😂😂
Ako kakuku ni kakwako kaka wew😂😂😂
Atarii sana kitoweo nyani!!!!
Mmmmh haya majina tema mate chini so powa kama umeskia jina la mshikaji wa pili vizuuuri litaje.
Hy kwa kiswahili haiwezekani 🤣🤣😁
Jamn...nimewapenda🙈
Duuuh dume tatu za nyani ndo mahari😁😁 big up Tanzania tuko pamoja na wahadzabe
Ukioa huku ujiandae kila wiki ng'ombe.
Hahahahahahahahah Waliyopangiwa uko kazi wanayo😂😂😂🤣🤣🔥
Watajidownlod
Jamii hii Ina kitu Cha kujinfunza kwasababu iko tofauti sana
Hiii ni TANZANIA
Waulize kama wanamjua Raisi watanzania watakuambia Diamond
Ni kama asili yao South Africa?!
Hilo jina sasa mamae😁😁😁
😂😂😂😂😂 yaani w mwaandishi unanifurahisha kweli kweli ndugu zangu ni jamii wasandawe
😂😂😂nimekubali aisee majina magumu mtangazaje kasema jina unalijua mwenyewe 🤣🤣
Anajua kiswahili dogo
Kweli kabisa daimond anastahili kuitwa simba
Tanzania kubwa sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Hayo majina hatari Sana ,,, lakini nimewapenda
Unaoji watoto
Dah ndoa
Diamond Platinum
ruclips.net/video/CZX_KvtwUBc/видео.html
MZUNGUMZAJI SHEIKH ABDUL RAUFU AL MUNAAWI
nilitamani kuiyona ndefu hii
Unalijua mwenewe, mmmh mtangazaji gani
Diamond mpaka huku??? Duuuh!!!
Kwahyo wapo inch gan xx
Jamani hayo majina duh! Yani kumbe Tanzania inamakabila mengi hiv
Dah hii interview mbona fupi sn milard ayo
Subuhanallah..!!
Nyie Tanzania muapenda kutaja mambo ya usanii tuu
Wapo nchi gan
Hapa ndio pale panaponifanya hata niwe katika hali gani nakumbuka tuu kuwa Mungu ni fundi. Angalia kwa nje tunaona lugha ngumu lakini wao huona wanaelewana.MUNGU wa mbinguni sifa na utukufu ni zako
- wachaga ...aika RUWA mbee
- wamasai .....Ashe ENGAI
- wapare ....Havache MULUNGU
- wameru ...,Haika IRUWA
Majina hayo yanaandikika vipi asee, raisi watakuwa hawamjui wanamjua diamond tuu
Jamani naomba watuonyeshe vitabu majina yao walivyoandika 😄 🤣 😂 😆 msitupige watu wa sensa
Dudukwe
😂😂😂😂😂
Namie Naitwa Didakus okwae nyakworon tic
Kazi kwenu makarani kwa majina hayoo😂😂😂😂 lazima mtudanganye..
😂😂😂
Haki😂😂😂
Huko ndo pakwenda kuolea sasa yani dume tatu za nyani na asari unachukua jiko raha sana achana na huku mpaka uwe na milioni mbili na zaid ndo uowe
Nyani sasa kumpta inshu sio km zamani wanapita ovyo kijjn kwetu
Diamond platnumz
😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄😄hilo jina la huyo mwenye kofiaaaaaa😆😆😆😆😆
Mpaka ulimi unalia dodod
sasa hayo majina karani kazi anayo hayaaandikiki hayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa yaani ni shida sijui ataandikaje do! Tanzania kubwa
Huko ni bangi free zone wanaburuza msuba ile ngumuu 😂😂😂😂
Dume 3 za Nyani
Mungu anawaona dudugwe
😆 😂
Wapatiwe nyama sawai ila sasa kazi ipo kwenye uandishi wa majina yao🤣🤣🤣
😂😂😂😂ni balaaa
hawa jamaa wanaweza kuwa wapiga mabiti ya mdomo wazuri sana wakatumika kwenye sanaa
Hahaha
NI TANZANIA HAPO JAMANI?
Hiv hawa wa2 wapo tanzania hii😆😆😆🤣
Kwenye kuandika majina sasa kpengere😅🙄😅
wanavitambulisho vya NIDA hao Millard Ayo hujauliza hilo swali
Duduke ndo mayele wa apo kati😁
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Jmn mim mwenyewe nimeshindwa ayo majina watu wa sensa kazi wanayo
Mwenyewe nimechoka iyo lugha
Huyo miaka tatu atuache kidogo😂😂