Bwana asipolinda Mji waulindao wafanya kazi bure!! Unaweza ukawa na mageti makubwa na kufuli za alam na bado wez wakavunja na kuiba!! Unaweka turubai unafunga Duka lako unaenda nyumban unalala usingiz mtammmmm kabisaaa Bwana analinda!! Barikiwa mnoooo kaka kikubwa Iman yako na Mungu wako!! Mungu akuinue mnooo katika viwango vya juu.
Mwenyezi Mungu na mimi nakuomba unizidishie imani kwako yakumpita huyu kaka by your grace🙏🏿... Kaka Nakuombea M/Mungu azidi kukuendeleza kwa kila namna 🙏🏿...
Kuna kitu kaongea huyu jamaaa...."Hatua ya kesho huijui na kikubwa kumuamini sana Mungu" aseee hili swala ni kubwa sana maana huyu mjuba kaelewa kwamba Mwenyezi Mungu ndie mlizi wetu sana wa kila siku.... may our almight one God bless this Guy truly! maana kama kweli amekiri kwa ndimi zake kwamba Mungu yupo na ndiye mlinzi wetu sisi wanaadam basi Namuombea sana azidi kumfanikisha. Inshallah!!!
Jamaa uko vizuri Ana jiamini Sanaa,kubwa kulikoo sio muongo anaongea ukweliii wenginee wanacheka halii ya kuwa hata msikitin ama kanisani hawajawahii fikaa miaka mingi zaidi yakee,imanii tuu kuamini kwa kila jamboo kuwa mungu yupoo na sio kila anae swalii ndio msafii Sana kuliko wenginee mungu tuu ndio anajuaa
@@seifchembela4346 kuna tofauti kati ya imanii na kumwomba Mungu, ukiwa na imanii yaan hata kumwabudi Mungu nikitu simple coz maandiko matakatifu ynasema "" Tukiwa na imanii kama punje ya diliani basi tutauwambia mlima ng'ooka na unang'ooka tuu.so hongera sana kwakee brother
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Karibu zanzibar wapo wanao fanya ibada lkni ktk biashara zao hawamuamini Mungu wanafanya ushirikina wapo wanaofnya ibada maisha yao hawamwamini Mungu wenye imani mbovu watakuchukulia vingine ila mlizi wa anaefanya ibada na asiefanya ibada Mungu peke yke
Kama unaona huyu jamaa ni mchawi ka mimi, nipe like.....msikitini haendi, kabla hajamjua mungu anasema alikuwa anaibiwa, kamjua haibiwi, na msikitini haendi, na masheikh ndo walimshauri...ha ha
Hakuna imani ya mtu kumuamini Mungu halafu uikate miaka 7 hujasujudu. Kwawaida ya imani ya kumuamini Allah/Mungu inakupeleka kwenye khofu ya kutokutenda aliyoyaamrisha na kukupa mapenzi ya Mola wako. Ssa yy imani yake iwe inampeleka wapi miaka yote hiyo? Na anaimani kubwa ya kuacha duka lisiguswe. Allah anajua yaliyokwenye nafs yake lkn ndugu zangu tofauti ya muisilam na asiekua muisilam ni swala. Na alipojiwa Nabii Mussa (A.S) na mwanamke aliyezini na kuua mtoto akamfukuza kwa kukhofia adhabu za Allah zisishuke naye yupo pamoja na yule mama. ALLAH alimtaka amrejeshe yule mama na akamuuliza Nabii Mussa kwani hakuona mtu mwenye makosa zaidi kuliko huyo mama na akaambiwa ni twariqu swalaa ambaye kinaingia kipindi cha swala na yy anaamua kwa makusudi kua haswali. Swala ni mkoba wa kutia amali zako bila ya swala ni sawa na kwenda kuokota maembe halafu ukawa huna cha kutilia. Kama kweli anamuamini Mungu na anajua Mungu anamlindia mali yake imani ingekwenda kwenye kurejesha shukurani/swala na ingemtengeneza hadi akaingia masjid kujumuika na wanaume wenziwe na pengine adhana ya sala anaisikia na anaipuuza imani gani hio kubwa? Allah amuongoze yy na sie, Amiin.
Ma Shaa Allah Best interview Kuna kitu cha kujifunza kwa huyu jamaa tuchukue mazuri yake especially vile anaamin katika Mungu naamin atakuja kua Muumin mzuri Big Millard Ayo Leo umepatikana brother
Nimempenda jamaa jinsi anavojibu maswali Allah azidi kumsimamia ila kazingua kua ana zaidi ya miaka 7 hajaswali hakika huu ni mtihani kwake Allah amjalie na imani yake izidi na aanze kusali
🤦♂️ Samahani hii video ndo naiyona leo,naomba nitimize ndoto za huyu mtu.nipo Zanzibar nimkaaz wa huku na Nahitaji aweze kuyafikia maisha yke anayo yahitaji. MILAD Wasiliana nami kwanjia ya email .Ahsante 🙏
Maisha yana siri kubwa sana hata mtu afanye nini jambo la kwanza utasikia namuachia Mungu kwani Mungu ndo kimbilio lao ila matendo yao ni siri kubwa sn
Millard Ayo. Nakupongeza kwa kazi nzuri unayo fanya. But ningomba uweze kua unawesa simu ya mwanchi maskini Kama huyu kwenye habari zake unapo zizimua, ili walinwengu wapenda wema na wanao sikia Kama wamependezwa na juhudi na Imani ya mtu Kama huyu na kutaka kumchangia kitu kidogo pengine akaweza kuongeza biashara yake au kununua matunda akala na familia yake Basi anawesa kuwapatia. Please
Majibu mazari barikiwa sana
Hamim sasa uswali bila swala unamuuzi Mungu...Allah hapendi mtu asiependa ibada....lengo tuliloumbiwa ni kumuabudu Allah...S.W....
Nampenda sana huyu msela Millard ayo big up bro unamaswali yakueleweka
Jamaa ana imani kubwa sana ndani yake afu ni mkweli, hope wengi wetu tutajifunza kuhusu imani kupitia interview hii. Big up Bro. Millard
Mashaallah. Allah atakujaalia utaswali pia. Jitahidi uswali sala tano.
Bwana asipolinda Mji waulindao wafanya kazi bure!! Unaweza ukawa na mageti makubwa na kufuli za alam na bado wez wakavunja na kuiba!! Unaweka turubai unafunga Duka lako unaenda nyumban unalala usingiz mtammmmm kabisaaa Bwana analinda!! Barikiwa mnoooo kaka kikubwa Iman yako na Mungu wako!! Mungu akuinue mnooo katika viwango vya juu.
Kijana chapa kazi uko mbali sana kidunia na Allaah aku ongoze zaidi katika twaa yake uapate kumsujudia.
Kweli mungu ana nguvu sana bro
Mwenyezi Mungu na mimi nakuomba unizidishie imani kwako yakumpita huyu kaka by your grace🙏🏿... Kaka Nakuombea M/Mungu azidi kukuendeleza kwa kila namna 🙏🏿...
Huyu Kaka 🙌🙌Imani yake Kali sana na MUNGU anampenda mnoo..ila Aanze Kusali Abarikiwe Zaidi
Kuna kitu kaongea huyu jamaaa...."Hatua ya kesho huijui na kikubwa kumuamini sana Mungu" aseee hili swala ni kubwa sana maana huyu mjuba kaelewa kwamba Mwenyezi Mungu ndie mlizi wetu sana wa kila siku....
may our almight one God bless this Guy truly! maana kama kweli amekiri kwa ndimi zake kwamba Mungu yupo na ndiye mlinzi wetu sisi wanaadam basi Namuombea sana azidi kumfanikisha.
Inshallah!!!
Jaribu na ww dukan kwako
@@mussaabdiel9797 Hapo ni kumjaribu Mungu wewe
Amina
Huyu Ni mtunguyaz budaboss Mungu akubariki njaro zako zakubarika👊👊👊👊🙏💪
Respect kwako Braza Millard Ayo
Millard umepatikana mpaka anataka kurudia maswali eeeeeh hii kali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo MTU msijaribu kumuibia aisee atakuja kuwatoa mabusha
Uyu Jamaa anaailkili Sana na wamekutana wote Akil mingi 😂😂😂
Millard uko vizuri utangazaji: nice questions flow. Mtangazaji mwingine apate mtu anajibu kimkato hivi interview Haizidi dakika moja.
Ana Flows nzuri za Maswali...Nampongeza sana @Millardayo
Millard uko good mzee
mjibuji ndo balaa
Subhan Allah, interview nzuri sanaa, Mmmh Yuatisha Jamaa.Millard Mfayie Suprise Ya Mlango wa duka.
Daah, kweli MUNGU mkuu
@@bahatsamson7220 y7y
Jmn millard hilo ni bonge la interview ♥️🙏💪
Jamaa uko vizuri Ana jiamini Sanaa,kubwa kulikoo sio muongo anaongea ukweliii wenginee wanacheka halii ya kuwa hata msikitin ama kanisani hawajawahii fikaa miaka mingi zaidi yakee,imanii tuu kuamini kwa kila jamboo kuwa mungu yupoo na sio kila anae swalii ndio msafii Sana kuliko wenginee mungu tuu ndio anajuaa
Acheni Iman mbaya, Nampa big up jamaa anaiman Kali Sana kumuamin Mungu .
Kwaiyo wanao weka milango awa Amin mungu
Sio kwamba awaamini ila imani yake pia ni kubwa
@@seifchembela4346 kuna tofauti kati ya imanii na kumwomba Mungu, ukiwa na imanii yaan hata kumwabudi Mungu nikitu simple coz maandiko matakatifu ynasema "" Tukiwa na imanii kama punje ya diliani basi tutauwambia mlima ng'ooka na unang'ooka tuu.so hongera sana kwakee brother
Kwel
Ana lolote.....Mzee wa Miba huyu
km unaamin uyu jamaaa ni mafyaaa wa ndumba gonga like twende sw
Mashaallah mungu akuzidishie imani
Jamaaa kanichekesha sanaa majibu yake
Interview za Millard ayo TV ni mzuri sana yaani anajua kuuliza maswali yale ya muhimu ni mzuri sana interview
🤣🤣🤣🤣🤦🏽♂️ mlinzi ninaye Mwenyezi Mungu 🙏 Allah akupe nguvu na iman thabit
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Hata mungu anasema usimruhusu ibilisi nafasi wewe
Hahaha! mr milard apa uligonga mwamba broo ulikifata sicho ulichokipata;pole ila unapambana 4sure broo,kip it up
Kakutana na jiwe kavu aseee
Genius Allah akujaliee uanzwe swalaaa brother
Karibu zanzibar wapo wanao fanya ibada lkni ktk biashara zao hawamuamini Mungu wanafanya ushirikina wapo wanaofnya ibada maisha yao hawamwamini Mungu wenye imani mbovu watakuchukulia vingine ila mlizi wa anaefanya ibada na asiefanya ibada Mungu peke yke
KAMA UMEGUNDUA MILARD AYO ANA WASI WASI /KITETE /MTERO GONGA LIKE
Hahahahaa kabisa anaogopa
Hhhhh basi haaya
Anamtero kama wote
Hahaaa
Daah milad blog yako inapendwa kichizi..hadi laki zako one m na zidi ...hongera kwanza
HII IMANI NI KALI SANA NAAMINI MUNGU YU MWEMA NA anapotajwa na anaye mwamini humbariki mara dufu.
DUME LA TEMBO amen
Ameeen
Safi
Asante. How are you doing fine
Noma sana Millard sijawahi kuzichoka habari zako
Angekuja kufungua uku mtaan kwetu. Nadhani akil ingemkaa xawa tu. Wangap wanakubal kuwa mtaan kwao amnaga uzembe kama uwo? Like hapa na ku comment
twende saw boc
Iba wibiwe
😂😂😂
km kwnu hkuna uzembe nenda kamuibie uone km hujatembea uchi😀😀😀
😂🤣🤣
Nimependa sana interview yako mungu akubaliki kazi yako
Huyu jamaa toka dk 1 ya interview kamtaja mungu zaidi mara 20 imani kubwa san
Ila kuswali haswali
Milad ayo unamaswali mazuri sana
Hyu jamaa anajielewa..ila kwenye ibada ndio mtihani...Allah swt amuongoze ktk hili.
Millardiayo umenifurahisha sana leo una machale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hyu jamaa inawezekana hana lolote ila kwakua sio kawaida watu wanaogopa2 alf ana akili nyingi sana
Ndo ivoo masikini
Umeonaee
yani huyu mjanja sana hana rorote wala chochote ila kawashika nyota wezi
Nakubaliana na wewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kama unaamini hii taharifa itasambaa kwa wezi konki Na walioshindikana kutoka mikoan na kwenda Mtwara kumuibia GONGA LIKE HAPA
"Sauti y mke wangu uisikie ww...iyo haipo" hata dini inakataz...safi kijana hapa umejali thamani y mke na mwanamke
Kama unaona huyu jamaa ni mchawi ka mimi, nipe like.....msikitini haendi, kabla hajamjua mungu anasema alikuwa anaibiwa, kamjua haibiwi, na msikitini haendi, na masheikh ndo walimshauri...ha ha
Mungu ndio kila kitu jamani... ukimuamini kikweli haswa utashangaa ulinzi wake hakuna mlinzi zaidi ya mungu...maneno yake sahihi kabisaa
nawewe amini halafu usifunge mlango
Sometimes sio uchawi sababu anajiamini na hao walimzunguka hawawezi sababu wameshajiwekea kuwa ni uchawi sio hawawezi kuiba kwa kuogopa
Angefungua huku kwetu huyo Mungu ndio angemtwika Mwizi mzigo.
Hakika hakuna kinachomshinda Mungu aminini tu
Hakuna imani ya mtu kumuamini Mungu halafu uikate miaka 7 hujasujudu. Kwawaida ya imani ya kumuamini Allah/Mungu inakupeleka kwenye khofu ya kutokutenda aliyoyaamrisha na kukupa mapenzi ya Mola wako. Ssa yy imani yake iwe inampeleka wapi miaka yote hiyo? Na anaimani kubwa ya kuacha duka lisiguswe. Allah anajua yaliyokwenye nafs yake lkn ndugu zangu tofauti ya muisilam na asiekua muisilam ni swala.
Na alipojiwa Nabii Mussa (A.S) na mwanamke aliyezini na kuua mtoto akamfukuza kwa kukhofia adhabu za Allah zisishuke naye yupo pamoja na yule mama. ALLAH alimtaka amrejeshe yule mama na akamuuliza Nabii Mussa kwani hakuona mtu mwenye makosa zaidi kuliko huyo mama na akaambiwa ni twariqu swalaa ambaye kinaingia kipindi cha swala na yy anaamua kwa makusudi kua haswali.
Swala ni mkoba wa kutia amali zako bila ya swala ni sawa na kwenda kuokota maembe halafu ukawa huna cha kutilia.
Kama kweli anamuamini Mungu na anajua Mungu anamlindia mali yake imani ingekwenda kwenye kurejesha shukurani/swala na ingemtengeneza hadi akaingia masjid kujumuika na wanaume wenziwe na pengine adhana ya sala anaisikia na anaipuuza imani gani hio kubwa?
Allah amuongoze yy na sie, Amiin.
Ma Shaa Allah
Best interview
Kuna kitu cha kujifunza kwa huyu jamaa tuchukue mazuri yake especially vile anaamin katika Mungu naamin atakuja kua Muumin mzuri
Big Millard Ayo
Leo umepatikana brother
Anatafuta mtu amtoe kishipa😂😂😂
Tumuamin sana Mungu ndugu zangu
Jamaa ana akili nyingi sana love from Australia 🇦🇺🇦🇺
WAJINA
Ntwara Njini kwa Nkuu wa Nkoa..hahaha nimekubali.
Hahahahahaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mie
Nitakuja Nalingu nikuone kakangu Inshallah si mchezo salut kwako.
Ujasiri wake umewafanya watu kuwa waoga wanahisi kunanguvu ya ziada,wanashindwa kuiba.
Mmmh sio rahis kua na ujasir huo pengne Kuna kityuu
Debora nicheki kwa no 0629908339
@@mustaphyassin9743 Kuna nini?
Afu jamaa yupo serious yanii hacheki
Hata Mimi naamini sane mungu he can move mountains...i just love his faith mungu na amubariki
Anamfanana na Mama Diamond bien Sandra
Wezi lazima wanamjua uyu jamaa ivyo wanaogopa kuingia kwenye 18 zake
Kweli,watu waone njia ipo wazi washindwe kupita kufanya yao
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂kabxaa
Noma sana
Kama umesikia SISWARI twende sawa😂
Nimesikia ''SISWALI'' ila sio ''SISWARI''.
Ukiona hvyo ukoo mzima unaimani nzito kama hata nyumba ya mamaake haina madilisha😍
Nakupenda Millardayo kwa Kaz Zako..GOD BLESS YOU KTK KAZI ZAKO...♥️♥️♥️😍😍
Mmh,kuswali haswali,labda kama ni mtoaji mzuri wa sadaka na kusaidia wasiojiweza ,Mungu analinda kweli.
🤣🤣🤣🤣 Iman ya kumuamin Mungu ulianza mwaka gani🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🏻🙌🏻🙌🏻
MASHA ALLAH... AMEMTANGULIZA ALLAH
Jamaa amenifurahisha kweli. Nilikuwa na tafash zangu nimezisahau
Nimempenda jamaa jinsi anavojibu maswali Allah azidi kumsimamia ila kazingua kua ana zaidi ya miaka 7 hajaswali hakika huu ni mtihani kwake Allah amjalie na imani yake izidi na aanze kusali
Amin insha allah atamjalia na atasali insha allah
Imani ni bora kuliko dini
Karib znz Hamim tunakukaribisha
Hyo inaitw guswaa unaswee jamaa anaaakili n anasiriii sanaaaa hkun mtu ataiba km hajakuta kanaswa na ulimbooo😂😂😂
🤦♂️ Samahani hii video ndo naiyona leo,naomba nitimize ndoto za huyu mtu.nipo Zanzibar nimkaaz wa huku na Nahitaji aweze kuyafikia maisha yke anayo yahitaji. MILAD Wasiliana nami kwanjia ya email .Ahsante 🙏
Milllard Ayo hatari ameuliza mpak mwisho Media zingine zikija hazina maswali😁😁😁😁😁😁😁
Big up broo na pole kwa safari
Wow! This is God an God is every where , every one believe Tanzania their tough on witch craft but u cant imagine how believe he is
Ishi uone mengi ya dunia.
Millard Ayo.
Mbona hao jamaa wakisikia anasema anamuamini Mungu WANAANZA KUCHEKA HAPO KUNA KITU.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
umeona kumbe
Mwenyewe kasema wanajua kwamba nalala nyumba isiyo na madilisha na mamilion🤣🤣🤣🤣
Duuuuu iloduka lingekuwa kinuni Zanzibar 🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Astaghfirullah muislamu na huswali na wamuamini mungu..."kumuamini Allah(M. Mungu) ni misingi ya dini zote.
Unaweza usali na matendo yako ya ovyo ndio mana unaambiwa UISLAM UNAANZA IMANI MASHALLAH KAK MUNGU AKUONGEZEE IMANI ZAID SIKU MUJA UTASWALI INSHAALLAH
@@rukiamussa9509, Tofauti ya kafiri/asiemuisilam na muisilam ni swala
Aallah amjaliye aswali
@@mariammuscat4300 Allahumma Ameen
Hamim ana Iman kubwa ila salaa mungu akufanyie wepesi usali
😂😂kama umeliona pengo konga like
Hata we unakasoro,hujakamilika.
Alafu sio konga ni gonga
yaan hujayaona yote zaid ya pengo?
Hujui hat kuandka😏😏😏
Secondary bado haijapanda
Uyu jamaa yy amemuamini sana mungu ndiyo mana amejiyamini na wa tnzna awajawahi kuona mayisha ya namna hiyo ndiyo mana wanashindwa kuiba
Mmmh ametisha
Hahaha, ana confidence sana na anajibu kwa kujiamini, nachojiuliza haendi kuswali kuna nn hapooo?
Mungujowa kwaza kamaunamuamini nikweri asate amini mungu
tanzania kuna watu wana akili sana huyu ni hatari akili yake sio ya kawaida ila du nabii hakubariki kwao
angeswali mungu angebariki biashara yake.imani bila kuswali haina barka
Kumbuka mwenyezi Mungu aliyetuumba ndiye alietuamrisha tuchukue tahadhari.Uinzi muhimu
Bhi
Imani ya kumwamini Mungu tu
Milady Ayo hio azania umempelekea weye 😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimekushtukia
😂😂😂😂hata mm naona maana kila saa ana onesha
@@pascalinamichael554 😂😂😂😂😂😂😂😂 anatuonesha hio kwa hio toka nafungua video nawakat jamaa anauza vitu kibao
😂😂😂😂
@@Mjingafaki 😂😂😄kwakweli
Maisha yana siri kubwa sana hata mtu afanye nini jambo la kwanza utasikia namuachia Mungu kwani Mungu ndo kimbilio lao ila matendo yao ni siri kubwa sn
Daaaaah Jamaa Akili nyingi sana
Nendeni mkaibe muone kama hamuoti mabusha kwenye macho 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakika Mungu anaangalia moyo wa mtu, kumuamini Mungu kupo ndani ya mtu sio watu wanavyokutazama.
Karibu zenj
Baada ya interview baadae hao Majamaa wanaotizama hapo watakujakujaribu kuiba
No,that guy His living in the village,,,Kwakijijini binadam haziwezi iba tu ,,kijijini kunaraha sana
Mwiz mmja kasha like video baada yakusikia hamn ushrkna apo 😁😁
Am from German.. I don't understand Swahili... But huyu jamaa katisha sana
Kuma makoo unakaa buza
hhhhhhh ss umemfahamuje na huelewi kiswahil
Muhojiwa yupo seriously mpka anatisha kha hahahahah
😂😂😂😂
Dah!! Imetisha sana hii
ebwanae Mungu yupo na anaishi na watu wake, amini Mungu yupo na nguvu zake na miujiza yake inatembea nasi., Amim kunakitu umenifunza
Dukani kwenyewe akuna vitu akuna maajabu apo biskut izo aibe Nan 😃😃😃😃😃😃
Millard Ayo.
Nakupongeza kwa kazi nzuri unayo fanya. But ningomba uweze kua unawesa simu ya mwanchi maskini Kama huyu kwenye habari zake unapo zizimua, ili walinwengu wapenda wema na wanao sikia Kama wamependezwa na juhudi na Imani ya mtu Kama huyu na kutaka kumchangia kitu kidogo pengine akaweza kuongeza biashara yake au kununua matunda akala na familia yake Basi anawesa kuwapatia. Please
Aaache kumpatia mungu mithihani na kumueka kwenye majaribu,,,,shenz typ
Vyakula vyote nakula labda nishindwe tu kuvipata ...😃😃😃😊
juu ya yote ALLAH ndie muweza wa kila jambo brother uko vizuri ALLAH akupe maisha marefu
Allahumma Amiin Allah anatosha