NGUVU ZA GIZA ZILIZOJIFICHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
HTML-код
- Опубликовано: 4 дек 2024
- UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RUclips: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando RUclips
/ @pastorsunbellakyando
Bwana yesu asifiwe juu yako
Pastor Sunbella na team yako Mungu awabariki sana. Mmekuwa msaada kwa jamii kutokana na mafundisho yenu. I wish wachungaji pia wausikilize ujumbe huu waache kupigana vijembe kwenye huduma zao
Thanks alot pastor you have blessed my heart may God bless you too I love you teaching 🙏
Uplifting message great secrets servant of Jehovah has revealed. May the lord bless you mtumishi.
Amina mchungaji uko vizuri nakukubari sanaaa
Mahubiri yako yananibariki sana... natazama nikiwa Mombasa 🇰🇪
Mungu akubariki mchungaji Kwa neno hili.
Ee Yesu uokoaye naomba uniokoe na mm .. Nisije nikaingia makuchani mwa watumishi ambao sio wa Mungu.. Mungu niweke kwenye mikono salama ya wachungaji wako. Kila nguvu ya giza ilojificha ndani yako kwa siri ikapoteze nguvu kuanzia saivi kwa jina la Yesu. Asante sana mtumishi wa Mungu.. Ubarikiwe mnoo baba
Kila nguvu ilojificha ndani yang ya giza ikapoteze nguvu kwa jina la Yesu
Yesu niokoe kwa neema yako
Amina Mungu akubariki wa huduma yako nzuri
Ee Mungu wangu naomba unipandishe viwango vya juu zaidi ktk kukutafuta nakukutumikia natamani niwe kama Petro, ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kunifungua ufahamu wangu. Sasa nimetambua kuwa nguvu zina tofautiana.🙏
Ubalikiwe mtumishi
Thibitisho la Zaburi 119:105, Barikiwa mtumishi wa Bwana.
Amen namini nimekombolewa Katrina Jinan la yesu
Mungu akuweke naomba maombi yako
shalom mtumishi wa mungu, baba naomba nami uniombeye siku nyingi nina shida lenyi kusumbua maisha yangu nimezunguka kwa watumishi lakini sijapataka kujuwa chanzo ni nini, naishi apa canada nafuataka mafundisho yako kwenye mtandao na leo naona nikuabiye shida yangu naamini mungu atasema na wewe asante.
Waaamu mungu ni mkuu hakika kuna mambo mengi sijui ktk huu ufalme thank you Jesus.
Ameen,nimejifunza kitu hapo. 🙏🙏 mtumoshi wa Mungu
Amen Asante sana mtumishi kwa mafundisho yanayobadilisha maish yetu ya kiroho
Mungu akubariki Sana Baba Asikofu
Jamn mm naombeni.nikuje Dom nionane na pastor Sanbella 🙏. barikiwa Sana bishop Sanbella 🙏
Kwan Dom yupo sehemu gani ety 😊😊na me tongozane
We mchungaji sijui nifanye nn juu yako hila upo na akli Sana sana
Amen this is the message of true worshipping and faithful bwana yesu asifiwe
barikiwa sana mtnsh
Barikiwa mtumishi nimefunguliwa
Mungu nisaidie kuelewa
Nimebarikiwa Sana na nimepokea kwa jina la Yesu kristo alie hai , na naiman ipo siku na mm ntapakwa mafuta ya uponyaji. Barikiwa mtumish ntazid kufuatilia mafundisho yako
Halelujah
Nimefunguliwaa na nimepokea
Kwa Jina la YESU KRISTU ALIYEHAI
Amina.
Haya ni mafundisho hadimu sana Yesu akutunze
Mtumishi umekuwa baraka Sana kwa mafundisho
Watching from Oman,God Bless you man of God
Nimebalikia sana nawezaje kuongea nahuu Mchungaji rakini kwasasa nikombali sijui mtanisaidiaje asante
Watching from Kenya 🇰🇪
Asante mtumishi,ume jibu swali langu,Amen
Nguvu zote za Giza zilizokuwa ndani yangu kwa sili zitoke kwa jina la
Yesu wa Nazareth aliye hai barikiwa xn mtumishi
Mungu akubariki mtumishi wa mungu aliyehai. Amen
Barikiwa
Yaani nakukubali sana Mtumishi. Unajua sana tena sana mpaka mtu anaelewa. Utukufu na heshima ni kwa Mungu.
Amen mtumishi
Evey knee shall bow every tongue confess that Jesus christ is Lord
Aksante Bwana kwa Neema kubwa kugunduwa yakuwa neema ina kiango. 🙏🙏
Ubarikiwe mchungaji
Funzo zuri kweli Barikiwa Sana mtumishi
Nimebarikiwa pastor,niobee sana
Mungu akubariki mtumishi nimeanza kukutazama Leo but nimeshapata mafundisho yakunisaidia.
PASTOR HONGERA SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NATAMANI SIKU MOJA NAMI NIWE NA UWEZO KAMA WAKO
Huwezi kumwabudu MUNGU nje ya kiwango unachomjua...☺️
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏
Ubarikiwe mtumishi,tunaomba uanzishe huduma na mkoa wa mwanza,wana mwanza nasi tunakuhitajiw
Amen.Tukitoka Arusha tunakuja Mwanza.
Amen..mafunzo mazurii sana..am blessed
Nina barikiwa.sanq na ibada yako Pastor Kyando huwa kanisa liko wapi?
na mimi nime nyosha mkono wangu na taka kumupa yesu maisha yangu
Fuatisha pia hiyo sala ambayo wameongozwa hao wengine,nawe pia utaokoka.Mungu akubariki sana.
@@realityofchristchurch bwana yesu asifiwe baba ukirudi dar es salaam naomba nikuone kabisaaaaa
Kanisa liko wapi nifike moja kwa moja.
@@bettymwasa1079 Kanisa lipo Dar es Salaam, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Na kwa leo ibada itaanza saa kumi na moja jioni.Karibu sana.
@@realityofchristchurch asante baba' nategemea nami nitakaribia
Pastor sauti yako iko chini sana please ogeza sauti
Nilifurahi sana kushiriki meza ya bwana dar ilibidi nisogeze safari mbele kushiriki meza ya bwana nakusubiri arusha
Mungu akubariki.naomba namba mchungaji
Asante MUNGU
Amen nimebalikiwa sana na Mungu akubaliki.
Amen sana mtumishi wangu
Amee
Blessed🇰🇪🇰🇪
Amen baba
I connect in Jesus mighty name...
God bless you
Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amina
Hilisomo nilangu nahitaji kukuona pasta kwamsaada zaidi naomba no yasim plz
Ameeeeen
Amina
Amen barikiwa Sana bishop Sanbella 🙏🙏🙏🙏🙏 naomba niulze lini wa mikoani tutaanza kuja???mm nataka nikuje dom.nionane na pastor Sanbella.Asnten
Hata Mimi Niko Nairobi Kenya, bila natamani sana nije
Utaratibu utatangazwa hivi karibuni.
@@realityofchristchurch okay.asanten..nitakuja dodoma.
hakika kila mmoja ana wito wake usimdharau mwingine hata kama ameshindwa jambo fulani tujua kila siku tunajifunza .
tutjifunza kwa wengine pia. kubali kujifunza kutoka kwa wengine
Unamaanisha nini
Respect
Amen!
Nipo na wewe pasted nakupata vizur
yeah untusaidia mtumishi ubarikiwe. kwani unatuwezesha kujitambua tuna level gani katika imani zetu
Ninahitaji Masada wenu, baba yangu ni pastor na huku pastor mwenzake anamsingizia eti ni mchawi tuaomba msaada kwa Hilo tathadhali
😢Amen
Haya mambo nikweli kabisa muchungaji
🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙏
Pastor Bwana yesu asifiwe naomba namba yako niwasiliane na wewe
Ipo siku kabla huu mwaka kuisha nitakanyaga hii madhabahu
Mm Paster naomba uni saidie Niko saudia nime fungiwa kwa office na Sina kazi na omba Muni bee ni pate kazi huku chakula ni shida
Ameeeeeeeeeeeeen
Shule kubwa sana nimejifunza kitu
Natamani sn ningekwepo hapo.
AMEN
Nyingi ya clips zako zimenyimwa ubora wa sauti.Rekebisheni tupate ujumbe vyema
🙏🙏🙏
Bwana unaomba usinipite uniponye
Huduma hii inapatikana dar?tafadhali anae jua anisaidie
Nimesikiliza how to overcome darkness part 1-4 maombezi sioni muendelezo wake au Pr Bella alibadili tittle hakuendelea na roho ya nyoka ?
JAMANI MNATUONEA MNAKUJA KIMYA KIMYA TANGAENI MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
AMINA
Kanisa liko Dodoma
Sifa na utukufu ni Kwanza MUNGU
Naiwe kama tunavyo amini
Uyu pastor yupo wapi?
Anapatikana hapa Reality of Christ,Dar es Salaam, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Karibu sana
How can I reach him personal
@@ednaelharoun3365 0657173322
Barikiwa xana pastor...umekuwa msaada xana kwangu
Ecxetly
Huyu ni kopy ya mr mitimingi
Mungu akubariki mchungaji Kwa neno hili.
Watching from Nairobi kenya 🇰🇪
Ubarikiwe sana
mchungaji kwa mafundisho
Amina
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏