UBISHANI WA KUENDESHA GARI WAUWA WATOTO WAWILI ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 61

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 месяца назад +1

    Acheni kumsingizia mungu kwa mambo ya watu wazembe. hao wazibitiwe na sheria ichukue mkondo wake

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 4 года назад +1

    Ingekua na kesi za UBAKAJI munazing'ang'ania Kama hivi mpaka mwisho ingekua Raha kweli na wabakaji easingekuepo wallah. Allah awaingize firdous watoto na awape subra wazazi wao

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 Год назад

    Innalilahi wainna ilayhirajiuun

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 6 лет назад +1

    Inna Lillah wa inna ilayhi rajioon,
    Mauti ni mamoja lakini sababu ni nyingi na hauwezi kuwa muislamu ila uamuni kadhaa wa qadar yake Allah swt, tunajumuika na wazee wenzetu katika msiba huu, Allah swt awape subra na awajaalie wawe watoto wa jannat Firdaus amin

  • @عُماني-ط5ج
    @عُماني-ط5ج 6 лет назад

    Inna lillah waina illah rajiun Allah awape makaz mema janatul firdaus kifo hakipingi kinataka sababu tuu poleni sana wazee Allah awape subra ndio kadar yake.

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 месяцев назад

    Innallillah wainalih rajiuon

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 6 лет назад +1

    Innalillahi wainnailayhi raajiun Allah awalaze pema peponi amin..poleni sana wafiwa

  • @cocom.m7776
    @cocom.m7776 5 лет назад +1

    Wazanzibari hatuendelei kila mtu anajua yeye ndo mwishoe tunaondoka sote Allah atawajaalia qaburi lao liwe na noor

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 года назад

    Innalilah waina ilaih rajiun.hakuna kitakacho baki ila allah peke yake.

  • @mundhiraliy7498
    @mundhiraliy7498 3 года назад

    Poleni sana familia

  • @abdullahamadmwinyi8233
    @abdullahamadmwinyi8233 6 лет назад +1

    mungu awape wepec wazazi wte

  • @ramadhankimbeiye2150
    @ramadhankimbeiye2150 6 лет назад +1

    Poleni sana wafiwa!

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 6 лет назад

    Poleni sana kwa wote mlio patwa na msimba ALLAH awape subra ya araka😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ahmadsayyeed1400
    @ahmadsayyeed1400 5 лет назад

    Poleni sana wana familia

  • @harunakasim1497
    @harunakasim1497 6 лет назад

    Mungu awaraze pema pepon

  • @saidsule9395
    @saidsule9395 6 лет назад

    Poleni sana kwa msiba

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 лет назад +1

    Ina lillah wainah ilaih rajiun

  • @babalaojureit2145
    @babalaojureit2145 5 лет назад +1

    Inna lillah wainna ilaihi raajiun

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 лет назад +2

    Inna lillah wainna ilayhi rajioun

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 лет назад +1

    Innallillah wainnallillah rajiuni

  • @asmaafamau5139
    @asmaafamau5139 6 лет назад +1

    Inalillah wainailahi rajiun

  • @habibatally6392
    @habibatally6392 5 лет назад

    innalillahi wainnailayhi rajiun. sasa uyo MTU hajui kuendeaha gari halafu anasema sio makusud. na Hugo mwenye gar ilikuaje akaacha funguo? mm hapo sielewi chocho nahiai walikusudia hao wasitufanyie masihara bhana. izo sababu za kijiinga tukizikubali kila SKU kutakuwa na matukio ya ajabu halafu mwisho was cku watasema sio makusudi

  • @khamishassan8603
    @khamishassan8603 6 лет назад +1

    Ushauri wangu Afande akasome dini yake kwasababu kwenye dini hiyo inakubalika kwamba kulipiza kisasi kwa wale waliouluwa mtu wao lkn wakisamehe ni bora zaidi sasa wao ndio wameshasamehe sasa Kama hapo mutafanyaje?unajua kuna baadhi ya kesi ukiendanazo kituoni unaambiwa hizo kamalizianeni wenyenu,kwani wasihukumu tu!simeni dini yenu pia sio muangalie dunia

    • @fredysiwale5413
      @fredysiwale5413 3 месяца назад

      Huyo afande anajua wajibu wake huwezi kupatana kwa uzembe huu lazima waadhibiwe ili iwe fundisho kwa wengine

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 5 лет назад +2

    Ety alikanyaga gear

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 лет назад +1

    Poleni sana bi jina.

  • @suleimanally2397
    @suleimanally2397 4 года назад

    mengine tuanmsingizia M/mungu iatakuaje wewe sidereva utaendeshaje gari wakatisidereva?

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 месяцев назад

    Wapemba awo huwa wana sifa sana wanapokaa wanataka kuonekana

  • @suleimanally2397
    @suleimanally2397 4 года назад

    utashindanaje mambo yakipuuzi kama hayo

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 лет назад

    Uwo ndio ugwana allah awape subra katka kipnd hich kigumu

  • @fatmarashidi8353
    @fatmarashidi8353 6 лет назад +1

    Inalilaiwainalilailajun

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 месяцев назад

    Ila tupo kwa wafiwa

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 лет назад +1

    Poleni sana

  • @suleimanally2397
    @suleimanally2397 4 года назад

    halafu unasema Allah amepenga mtuohajuii gari ataendeshaje

  • @zawadisamwel3714
    @zawadisamwel3714 5 лет назад

    Tanzanian

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 6 лет назад +2

    Wekeni publication date tuwe tunajua matukuo yamefanyika mini.

  • @mwanawetumwagora6283
    @mwanawetumwagora6283 6 лет назад

    Inauma hao wachukuliwe hatua.

  • @ayoubpapi3947
    @ayoubpapi3947 6 лет назад

    unajua vizuri kupatana ila unaona hakuna hela ya kurambatu kwa hapo.

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 лет назад

    Innalilah wahinah rajiuun

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 7 месяцев назад

    Sheha kajaa njaa Afrika bwana viongoz wamechoka

  • @HassanAhmed-nu6rr
    @HassanAhmed-nu6rr 6 лет назад +2

    wawe na subra wezee waloondokewa na watoto woa kwani kila nafsi itaonja mauti

  • @maryamrajabu4582
    @maryamrajabu4582 6 лет назад

    khasani nassir kumbukaaa

  • @suleimanally2397
    @suleimanally2397 4 года назад

    walicho fanya niuzembe

  • @paulinasemindu1292
    @paulinasemindu1292 4 года назад

    😭😭😭😭

  • @suleimanally2397
    @suleimanally2397 4 года назад

    wapelekwe mahakamani

  • @maryamrajabu4582
    @maryamrajabu4582 6 лет назад

    tukibalini mitihani kwani huo ni mtihani

  • @HassanAhmed-nu6rr
    @HassanAhmed-nu6rr 6 лет назад

    wacha mzee mlekwa kuwa sheha na mzee machano atakua sheha usishangae buree kama na ww unataka usheha vaa shati la kijani tu bass

  • @suleimanali7403
    @suleimanali7403 6 лет назад

    wamefanya kusudi kisheria haowafungwe mika7

  • @ahmadsayyeed1400
    @ahmadsayyeed1400 5 лет назад

    Wazazi wamekubali kusamehe mbona mnalazimisha police nyie mnaijua sheria aaaahh wachen mambo yenu hayo

  • @majeshingoleka1481
    @majeshingoleka1481 6 лет назад

    Mbele yao nyuma yetu

  • @iddikhamis3309
    @iddikhamis3309 6 лет назад

    Ni msiba mkubwa ulotukuta mtaani kwetu

  • @sikuzanikhalfani62
    @sikuzanikhalfani62 6 лет назад

    ufugaji wa kuku

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 лет назад

    Wao wamechukulia kidini,wewe unachukulia ki serikali .

    • @yuzonae3895
      @yuzonae3895 6 лет назад

      Asia Kheir nashangaa hata mie lkn kheir Allah awarehem wote walopoteza maisha

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 5 лет назад

    Ujinga au uzembe tusimsingizie allah mikono yetu ndio imetangulia allah awape kila la kheri

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 3 года назад

      Sasa watu wamesha kufa asieachiee Allah, hizo ndio hulka zetu kwa Waislamu ajali ikitokea hata kama kuna uzembe wa kushukuriwa ni Allah