Lava Lava - Mama Samia (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024
  • "An uplifting song celebrating unity and progress, echoing the vision and leadership of our president."
    For Bookings: iamlavalava@wcbwasafi.com
    Follow Lava Lava On:
    Instagram: iamlavalava...
    Facebook: / iamlavalavapage
    Twitter: iamlavalava?lang=en
    #wasafi #lavalava #music
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 175

  • @modiyuu6287
    @modiyuu6287 25 дней назад +28

    Leo wa kwanza kutoka somalia naombeni like za lava wetu

  • @detiger1407
    @detiger1407 25 дней назад +15

    Tanzania mnapenda rais wenu ❤❤❤ nipate likes zangu toka kenya

  • @AmkayStaaboy
    @AmkayStaaboy 25 дней назад +8

    Nyimbo nzuri wasani wa tanzania ndo maana wizara yenu inawasapoti sana mnajuwa kuimba vitu vina maana kwa mweshimiwa #Mama Samia 🇹🇿🇹🇿❤️❤️
    Burundi 🇧🇮🇧🇮 ✍️✍️✍️

  • @teddy_wizzy
    @teddy_wizzy 25 дней назад +19

    Ok kila mtu anasema yeye Niwa kwanza 😢 basi mimi nimekuja nikiwa wa mwisho wapi likes zangu❤❤ kenya woiyee

  • @DivIN257
    @DivIN257 25 дней назад +9

    Mnipe like zang jaman from🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-ej7yz6qx1g
    @user-ej7yz6qx1g 25 дней назад +6

    lavalava wimbo wako inapendeza sana tena sana

  • @Phanemontarry
    @Phanemontarry 25 дней назад +3

    Naomba liké zungalu natoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 24 дня назад +3

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲❤❤tz

  • @SmilingDolphin-bi8wg
    @SmilingDolphin-bi8wg 25 дней назад +3

    Napenda sana venye Tanzania wanampenda Rais wao njoo Kenya uone mashaka..

  • @shedracksinabajije3623
    @shedracksinabajije3623 25 дней назад +13

    Me wa tano leo naomba like zangu

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 24 дня назад +1

    I love my Tz nation🇹🇿love bite goma kali sana hili❤🎉

  • @user-oz3lp1ib7m
    @user-oz3lp1ib7m 25 дней назад +7

    Kenya 🇰🇪 nipeni like zangu

  • @amouramour160
    @amouramour160 25 дней назад +3

    İla lavalava anjuwa sana wala sio uwongo💥

  • @boyjay7444
    @boyjay7444 25 дней назад +10

    Mimi wakwanza naomba like zangu2000

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 25 дней назад +3

    Tanzania inapendeza kwelikweli 🔥🔥🔥🔥

  • @bishop6395
    @bishop6395 25 дней назад +3

    sending some love from Nairobi🇰🇪

  • @Am_mastar
    @Am_mastar 25 дней назад +9

    Mm ndio wa kwanza nifollow na likes zangu wakenya tuko mbele kwa kila kitu

    • @MoMnyama
      @MoMnyama 25 дней назад +1

      We konyo nini umesukihuu wimbo unahusu wakenya, kihelele namba moja chapili umesikia sis tumakaa kushinda na wehu chatatu kojoa ukalale sawa malaika wa wa bikira Maria

    • @Am_mastar
      @Am_mastar 25 дней назад

      Ebu nusa matako yako kama ainuki niongeleshe

    • @MoMnyama
      @MoMnyama 25 дней назад

      Hebu nenda kafilwe huko

    • @Am_mastar
      @Am_mastar 25 дней назад

      Ndio maana insteady utombe madem unatomba wanaume wenzako

  • @DybalaDete
    @DybalaDete 24 дня назад +1

    I love mama samia ❤🤍
    Continue rest in peace magufuli jembe Amen🙏🏼🙏🏼🙇🏽‍♂

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 25 дней назад +3

    Tanzania is so beautiful 🎉

  • @ElijahMwenda-gb3fy
    @ElijahMwenda-gb3fy 8 дней назад

    Lavalava siku zote much love from Kenya now we want collabo you and zuchu

  • @Halalpolice786
    @Halalpolice786 23 дня назад

    Born in Tanzania, bred in Kenya. Proud of you both my countries and countrymen (that of course includes the noble women of both countries). Wapi likes zangu?

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 25 дней назад +5

    Wakwanza mimi hapa 😂😂😂😂❤❤

  • @KedyTz
    @KedyTz 25 дней назад +3

    😇😇😇🌍🔥🔥 Tanzania 🇹🇿

  • @professor_munir
    @professor_munir 24 дня назад +1

    Huu nyimbo kali sana , unawez mfanya hadi raisi akakata viuno

  • @MartinMwakyagi
    @MartinMwakyagi 25 дней назад +1

    Tumepoooa na mama yetu rais wetu we all love you❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥

  • @alisaidahamed8065
    @alisaidahamed8065 24 дня назад

    Manifique Tanzanie
    Machallah machallah ❤️💪 maman Samia 🇹🇿

  • @user-ts1sp7ei6b
    @user-ts1sp7ei6b 10 дней назад

    Bien sana ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PatronizeNgombo
    @PatronizeNgombo 25 дней назад +3

    Lavalava❤❤❤kenya 🇰🇪

  • @matugarecords
    @matugarecords 23 дня назад

    Bonge la ngoma hili 🔥🔥🔥🔥

  • @antonykaranja9252
    @antonykaranja9252 25 дней назад +3

    Kujaribu kuibia upepo wa harmonize...diamond ni aibu tu.hii nyimbo angetaka kuimba yy

  • @DavidErick-un7ng
    @DavidErick-un7ng 24 дня назад

    Ngoma kali sana wasafi awajawai kukosea

  • @user-nl8my3ye5d
    @user-nl8my3ye5d 20 дней назад

    So amazing 🎉❤🇰🇪

  • @gredatv554
    @gredatv554 25 дней назад +1

    Unapiga sana nyimbo nzuri kaki HUNA basi jitahidi kutembelea kiki tuone

  • @user-oe5ze5uq8m
    @user-oe5ze5uq8m 25 дней назад +2

    Lavalava champion

  • @doulaco9480
    @doulaco9480 25 дней назад +4

    Kisa harmo kutangaza album ya MS ambayo ni (Muziki wa Samia) nanyi mmeanza ujinga wenu... Gonga like Kama unaamini kwa mjeshiiiii❤

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 25 дней назад +1

      Yaani nimesema hivyo hivyo yani katumwa Lava ajiimbie vyovyote ku draw attention tu. Ila tar 25 ipo pale pale

    • @zahirimaulidi4702
      @zahirimaulidi4702 25 дней назад +1

      Ndo kuma kati ya makumq wa bongo

    • @zahirimaulidi4702
      @zahirimaulidi4702 25 дней назад

      Ufinyu wa akili tyu quma tyu ww attention itaondolewaj au wat wanafanya kazi nzul

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 24 дня назад

      Acha wivu ndo mtu asimsifie raisi wake ujinga tu

  • @adobrandadobrandtz5036
    @adobrandadobrandtz5036 24 дня назад +1

    Kama unaupenda mziki huu like ❤

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 24 дня назад

    Lavalava kajipata🎉❤

  • @zanzibarweddings7884
    @zanzibarweddings7884 25 дней назад +2

    I'm the first one 😎

  • @user-gm7es7eu6n
    @user-gm7es7eu6n 3 дня назад

    Big up bro unaweza 😂😂❤❤

  • @jojopaulomartins1514
    @jojopaulomartins1514 25 дней назад +2

    Atali sana🔥

  • @user-dc1uz9qw6u
    @user-dc1uz9qw6u 24 дня назад +1

    ❤❤❤ Bujumbura burundi

  • @castromendozaofficial2485
    @castromendozaofficial2485 25 дней назад +41

    I love the way Tanzanian musicians show their love to the President ❤.....kuja huku Kenya uone maajabu 😂😂😂😂

    • @MaryMwende-fn9gy
      @MaryMwende-fn9gy 25 дней назад +6

      Why don't you go to that Tanzania, they just pretend they're okay but on the ground things are different........😢

    • @JohnTsofa
      @JohnTsofa 25 дней назад +4

      Kenyans are not simps bruh😂😂😂unaexpect wakadinali waanze kurap ju ya Ruto

    • @uwezontalengwa1827
      @uwezontalengwa1827 25 дней назад +4

      Msani wa maana tz ni Roma na ney wa mitego true boy,,,hawa wengne ni machawa

    • @bajagihaji8923
      @bajagihaji8923 25 дней назад +2

      Tupo pamoja

    • @faizhassan5029
      @faizhassan5029 25 дней назад +3

      Kenyans Tunajijuwa Wenyewe😂😂

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l 24 дня назад

    Kali sana❤❤

  • @ephigenianyange711
    @ephigenianyange711 25 дней назад

    Wow..lava lava unajuaaaa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 21 день назад

    Lava lava 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jkaaya3639
    @jkaaya3639 25 дней назад

    Mama Wewe paga kazi sisi wananchi tuko nyuma hila mama mafisadi wanao kuangusha piga msasa Please we love you Mama

  • @firebeetey136
    @firebeetey136 25 дней назад

    Lava Motooo....Firebee KENYA...Collabo one day 💪💪💪💪

  • @VivanBravest
    @VivanBravest 25 дней назад

    Wow good idea 🎉🎉❤❤❤❤

  • @AliodaSilvaSilva
    @AliodaSilvaSilva 25 дней назад +2

    We fala tu, akuna kitu wimbo hapo

  • @luckybarbershop2342
    @luckybarbershop2342 24 дня назад

    Love bite nice song homie

  • @ayambishow__
    @ayambishow__ 25 дней назад +1

    Fam❤❤❤

  • @user-vd6fb7lf8k
    @user-vd6fb7lf8k 18 дней назад

    Amna Ubunifu melody zile zile tu

  • @Danielkilonzo-pn1rn
    @Danielkilonzo-pn1rn 25 дней назад

    nice one weka like kama umeipenda

  • @TristanKevin
    @TristanKevin 25 дней назад

    Nomaa sanaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @barakamunga5265
    @barakamunga5265 25 дней назад

    Huo mstari wa kusema "ukifa huozi" uko kinafki, nyimbo nzuri lkn love bite 🎉❤

  • @venancemartin6734
    @venancemartin6734 25 дней назад +2

    International kwa usanii huu, ni zero(0)

  • @phelgonaamondi8547
    @phelgonaamondi8547 25 дней назад

    Simply the best ❤❤❤

  • @liy254
    @liy254 25 дней назад

    Lavalava my best

  • @azzleboy
    @azzleboy 25 дней назад

    Dadeq noma sana..

  • @itenboyofficial
    @itenboyofficial 25 дней назад +2

    Wa kwanza jamani subscribe

  • @Kbreeze_tz
    @Kbreeze_tz 23 дня назад

    Love bite tajiri wa loves

  • @VenanceAckim-yw6jm
    @VenanceAckim-yw6jm 25 дней назад

    Love bite🔥🔥

  • @sokaupdate5545
    @sokaupdate5545 24 дня назад

    Mmnamgeza harmonize

  • @PatrickMwamba289
    @PatrickMwamba289 25 дней назад

    Harmonize anaroga hadi wimbo wa Mama😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 25 дней назад

      Are you ok. Hizo ni fikra za kishirikina sasa hapo karoga nini. Mxiew

  • @abduljumaa1238
    @abduljumaa1238 25 дней назад

    Kwanza kabisa natoa shukuran zangu kwa mh rais

  • @baruthmussamuslim3434
    @baruthmussamuslim3434 24 дня назад

    Towen nyimbo zenu mapema maana jeshi la mtu mmoja anakuja na albam ya mama Samia asa mwambie na simba atoe yake maana harmonize kwenye kampen mwakan atakua bize sana
    Namama

  • @stellajohannsen99
    @stellajohannsen99 25 дней назад

    Goma kabambe we ❤❤❤❤❤❤❤

  • @KassimMullah
    @KassimMullah 25 дней назад

    Namkubali mama haha nikiwa 254 🇰🇪

  • @breezyafricana3250
    @breezyafricana3250 25 дней назад +1

    Mlisem hamuendi international kabisa sio😂

  • @emmanuelcaliph3714
    @emmanuelcaliph3714 25 дней назад

    Kazi nzuri sanaa

  • @NdakhiSusu-qz9md
    @NdakhiSusu-qz9md 25 дней назад

    🔥🔥🔥🔥😍

  • @abdallahhamiss9649
    @abdallahhamiss9649 25 дней назад

    Naombeni laik zangu wa kwanza

  • @zahrarashdi1109
    @zahrarashdi1109 25 дней назад

    O yaaaaaa🎉

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 25 дней назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 25 дней назад

    Nomaaa

  • @Africansnews
    @Africansnews 25 дней назад

    Uyu atauza inchi yenyu kwa wazungu . Hamjui mnaimbia nani .uyu si magufuli uyu anafanya kazi kulingana na vile ameambiwa na wazungu

  • @idrismaalim2254
    @idrismaalim2254 25 дней назад

    Moto sanaa

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 25 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 25 дней назад +1

    Huyu ameskia konde ana album yake mama samia yepia amekuja na yake😅

  • @mufassaibcals
    @mufassaibcals 25 дней назад

    Wape wapeeeee

  • @raymondmtecko9197
    @raymondmtecko9197 25 дней назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @networqlagfu
    @networqlagfu 25 дней назад

    First here

  • @tamtamklasik6799
    @tamtamklasik6799 25 дней назад

    Nice ❤

  • @mufassaibcals
    @mufassaibcals 25 дней назад

    Aya we

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 25 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @geedyboy3170
    @geedyboy3170 25 дней назад +1

    Kwa nyimbo zako hizo utatoka wasafi bila tuzo😂😂😂

  • @alexmbigi4878
    @alexmbigi4878 24 дня назад

    rip jpm😢

  • @Itszydanny
    @Itszydanny 25 дней назад

    ✌️

  • @Africansnews
    @Africansnews 25 дней назад

    SULUHU THE US pupete

  • @Kakerluder
    @Kakerluder 25 дней назад

    Mr Kungufu Master 🎉😂

  • @josephrucho2761
    @josephrucho2761 25 дней назад

    Wakwanza mm like apa

  • @dullacityboy232
    @dullacityboy232 25 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @croxzfireGideonsirma
    @croxzfireGideonsirma 25 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @KelvinMweri
    @KelvinMweri 24 дня назад

    from254🎉

  • @BarakaKihinda
    @BarakaKihinda 21 день назад

    Bongo tulilogwa na nani, hata like tunaomba Kila comment wap likes😢😢..

  • @elisante6838
    @elisante6838 25 дней назад

  • @sambakhanog97
    @sambakhanog97 25 дней назад

    Gonga like kama zote

  • @taufikishazili5633
    @taufikishazili5633 25 дней назад

    Duhh ...sadness

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 25 дней назад +1

    Wakwanza your

  • @GloryJohn-nm5wo
    @GloryJohn-nm5wo 25 дней назад

    Sjachelewa