Roma Feat Appy - Namuachia Mungu (Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 386

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 6 месяцев назад +57

    Nyimbo Iko vyema Sanaa , Appy Kwa hii saut yake ya kipekee atafka mbali. Kama nawew umependa gonga like apa. 😍

    • @KidNgoni
      @KidNgoni 6 месяцев назад

      Hiyo sauti kamcopy dada mmoja anaitwa SIA. Hamuwezi mjua nyie si mnawasikiliza watanzania tu. Hamjui Kiingereza

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 6 месяцев назад

      ​@@KidNgonihapo ndo umeona umeongea point kwel hivi sia Kuna mtu HAMJUI? Hajamuiga hiyo n yake sema inafanana na sia

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 6 месяцев назад +115

    Sioni comments za kusifia Appy alivyoua kiitikio na sauti yake yenye mirindimo adimu❤❤❤

    • @Tesha2000
      @Tesha2000 6 месяцев назад +6

      Appy fundiii wa saut ambayoo hamna mwingne anaweza

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 6 месяцев назад +4

      Noma sana dadeq

    • @Galilayatz
      @Galilayatz 6 месяцев назад +4

      Ntamtafuta nifanye nae ngoma

    • @stanleyandrea5153
      @stanleyandrea5153 6 месяцев назад +3

      Umeongea vizuri sanaaa

    • @vicentchalle6221
      @vicentchalle6221 6 месяцев назад +2

      Fundi sana uyu dada🔥🔥🔥

  • @barakamgimba5706
    @barakamgimba5706 6 месяцев назад +26

    Wanaokubaliana na mm kwamba ROMA kwenyee hii nyimbo yupo sahihi like zenu apa❤️

  • @mr.platonic2166
    @mr.platonic2166 6 месяцев назад +25

    KAKA ROMA USINGEPIGA VERSE MBILI HUMU TUSINGEKUONA KABISA ..KWA MARA YA. KWANZA ROMA ANAFICHWA NA APPY ❤

  • @KaisariapelesiMweta
    @KaisariapelesiMweta 6 месяцев назад +17

    Tunao rudia rudia kuiangalia hii ngoma like hapa!!!huu ni Mpiniiiii dadekiii

  • @Sesakwaukweli3
    @Sesakwaukweli3 6 месяцев назад +6

    Appy hii sauti yako ni ya dhahabu keep fighting nakuona ukipambana na kina Ayra starr soon yaani kibongo bongo hakuna anaeza pita ktk hizo line zako uko poa sana nafatilia sana kazi zako uko vzr na humu hujamuangusha Roma umemtendea haki

  • @mkizerhbc
    @mkizerhbc 6 месяцев назад +24

    For those who are watching this in 2099 ROMA was a legend

  • @b3falampendwa758
    @b3falampendwa758 5 месяцев назад +3

    Roma thank you for remembering to defend/fight for,mothers (wives)...We appreciate you for bringing Appy to this platform.Both of you be Blessed.

  • @BrandonAngelo-ux8bu
    @BrandonAngelo-ux8bu 6 месяцев назад +2

    Huyu dada anajua sana anasauti flan hivi yakipekee hongera sana Appy, Roma nae mh! Nifundi aswa

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks Месяц назад

    Mwenzako anafunga novena ya Mt Rita wa Kashia shauri yako

  • @Chida
    @Chida 6 месяцев назад +11

    Kwangu napitisha hii ngoma kuwa ni hit ya mwaka 2024

  • @hopenicefavori
    @hopenicefavori 6 месяцев назад +8

    🙏🏾 Asanteni god kwa yote na kwaachiye unipinganiye Roma yote tu mwachiye god nipe lik zangu nauseme Amen🇨🇩

  • @abedimhjeshi593
    @abedimhjeshi593 6 месяцев назад +8

    Brother 🎉🎉 Roma UNA JUWA MPAKA UNA KERA KAKA 🎉🎉🎉 mwenyezi mungu azidi kuku bariki sana ✌️✌️🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡.

  • @mshiumamayunga4139
    @mshiumamayunga4139 5 месяцев назад +3

    Nakukubali roma,ila dada appy anasauti ya kipekee nampenda na anajua atafika juu zaid

  • @MustaphaKijusi
    @MustaphaKijusi 24 дня назад

    Oya ii nyimbo funga roma hauja kosea kutafuta kiitikio kipo juu yamstarii appy hongera yako dada

  • @alfeomathew
    @alfeomathew 6 месяцев назад +1

    The song is amazing,, namkubali sana roma lkn uyu dada namkubali sana ata ngoma zake,, dear dingi ni nyimbo inayogusa maisha yangu kabisa,, her voice is superb

  • @ZzikoliaKE
    @ZzikoliaKE 2 месяца назад

    HIYO SAUTI YA MUTENGE JOOH, WAAH, FROM KENYA HAPA., acha tuwajie mungu basi.

  • @Bigstaragle
    @Bigstaragle 6 месяцев назад +41

    Wa Kwanza Mimi Nipeni Like Zangu Watu Wangu Wa Vivaroma

    • @EmanuelMrisho-gb5tt
      @EmanuelMrisho-gb5tt 6 месяцев назад

      ruclips.net/video/66Qq6RjxAjI/видео.htmlsi=GgA6dSk_YRKzJmHY❤

    • @EmanuelMrisho-gb5tt
      @EmanuelMrisho-gb5tt 6 месяцев назад

      ruclips.net/video/66Qq6RjxAjI/видео.htmlsi=GgA6dSk_YRKzJmHY❤

    • @IsaacLameck-nz8yr
      @IsaacLameck-nz8yr 6 месяцев назад +1

      Toa wimbo wako upewe like

    • @harounhassan-hp4fo
      @harounhassan-hp4fo 6 месяцев назад

      dah huyu demu anaimbaa bhn nmemsikiliza Zaid ya Mara 10 hichii kidemu kinajua

  • @jamesalfred6675
    @jamesalfred6675 5 месяцев назад

    Kuna nyimbo halafu kuna hit,hii ni bonge la ngoma aisee..Appy nakuona mbali sana Dada yangu Mungu ni mwema,unajua mpaka unajua tena🔥🔥🔥

  • @Clistophermatafa
    @Clistophermatafa 6 месяцев назад +1

    Halafu konde bana ameshindikanika huu mwaka ni wake hata SAMIA anamkubali huu TEMBO play sensema utanielewa❤🇧🇮🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇸🇸🇨🇩 like it guys

  • @robertvincentshayo
    @robertvincentshayo 4 месяца назад

    Kazi nzuri uncle mistari mizuri inafundisha maadili mazuri mazuri kwa watoto wetu wa kike na dada zetu.

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 5 месяцев назад +2

    Ngoma hii Kwa kwel naskiliz mara nyingi since day one niipate

  • @RamadhanKiwembela-fb1jk
    @RamadhanKiwembela-fb1jk 6 месяцев назад +2

    Kwa marapa wakike huyu appy amekuja vizuri sana Aendelee kupambana

  • @MakkahslimMakkah
    @MakkahslimMakkah 2 месяца назад

    Roma hii mistari nifunze n mie brother unatisha 🎉🎉🎉🎉 keep it up BRO

  • @schoolofsuccess666
    @schoolofsuccess666 6 месяцев назад +2

    Roma umeua wacha watu wapush sensema Ila umeua sanaa mwachie mungu apush huu
    #Roma

  • @IssackMmtule
    @IssackMmtule 2 месяца назад

    Ana sitahili mauwa yake huyu jamaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ kaka good sana

  • @b3falampendwa758
    @b3falampendwa758 5 месяцев назад +2

    Our GOD Never Loose. He wins always.

  • @nihukashabani9565
    @nihukashabani9565 3 месяца назад

    Mbongo ukisikia namuachia mungu ujue anaenda kwa mganga

  • @Liveapp-h2e
    @Liveapp-h2e 5 месяцев назад +1

    Good combination between roma + appy always this people you have never disappointed me .

  • @bonifacepatrice7236
    @bonifacepatrice7236 Месяц назад

    Bonge moja ya Song huyo Dada kaua kwa hiyo aina yake ya uimbaji❤❤

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 6 месяцев назад +1

    Wazee tutunzee familia zetu ndo zinazogusa mioyo yetu Roma umetisha sana ila huyu Demu nomaa kauwa sana yuko humble sana ❤🙏

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 месяца назад

    Na umekimbia familiya na kila siku unalia na mke wako ameshikiliwa na huko kumbe unaliwa ujuwe mimi sijafikiliya

  • @cecykaitanus7873
    @cecykaitanus7873 6 месяцев назад

    Perfect message. Well done Roma hukoseagi aisee. Dada pia ana sautinzuri sana ya kipekee

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 6 месяцев назад

    Kuanzia Leo ni Shabiki wa Roma... Dada umetisha xana hongera

  • @user-oy1ym6lx2i
    @user-oy1ym6lx2i 4 месяца назад

    Appy is the Tanzanian Sia, more love from kenya

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 5 месяцев назад

    Hii ngoma ndo fevorite song yangu kwanzo appy ameua sana aise uyo ni corus killer

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 6 месяцев назад

    Ngoma kali mzee baba appy na mkubali sana love from Drc Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 6 месяцев назад +4

    Duh! huyu Appy ni hatari Like kwake

  • @leonardmsomi2904
    @leonardmsomi2904 6 месяцев назад +6

    Huyu demu ni sumu,,,,, hii ndo sanaa, full ubunifu coz hiyo sauti alivyoitumia sio simple kuiga.

  • @KisekeMtanganyika-zz8ti
    @KisekeMtanganyika-zz8ti 4 месяца назад +1

    Appy kapata na zote namwachia mngu❤❤❤

  • @CafizzuNgaoson
    @CafizzuNgaoson 6 месяцев назад

    Kaka Roma hii nyimbo ni kubwa zaidi ya vile unafikiria. Appy ameimba vizuri sana ila Ungemshirikisha dadangu Jovial angeua zaidi. Ni maoni tu!

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 6 месяцев назад

      Yeah kwa maoni yako, Ila maoni ya wngi huyu kafanya vzuri Zaid

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 6 месяцев назад +7

    Appy anasababisha nisubiri vipande alivyoimba yeye, ROMA anisamehe tu.... Vocal la Appy halivumiliki kabisa

  • @Fredymhema-xq2dv
    @Fredymhema-xq2dv 6 месяцев назад +2

    Tuache kwa Roma Ananya Lakin appy. Naye kajitahidi sanaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤

  • @princesadon5017
    @princesadon5017 6 месяцев назад

    Hii Ngoma Roma kali sana...uyuu dada fundi...ni Ngoma ambao itaishi milee🎉🎉🎉❤❤

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 6 месяцев назад

      🎉🎉🎉

  • @DanielMushi-ce3lo
    @DanielMushi-ce3lo 6 месяцев назад +1

    Legend Roma.... Thanks Bro

  • @VinnyVinny-e2v
    @VinnyVinny-e2v 3 месяца назад

    Du. Wwe appy unatuwakirisha mwz mabatini❤❤❤❤

  • @dalalimrembo
    @dalalimrembo 6 месяцев назад +2

    Huu wimbo umefanya baba angu katukumbuka kutupigia simu akakiri anatamani kurudi nyumbani je tutampokea????
    Akaambiwa baki huko huko😭😭😭 i wish hili dude lipate airtime zaid liwazindue baadhi ya wanaume wa ovyo
    Huyu dada na vocal yake kwenye game ameleta radha nzuri wabana pua tumewachoka

  • @nicksonkutunga
    @nicksonkutunga Месяц назад

    Roma anakipaji cha mziki si utani...Siaya Na mapenzi hizo Mada Hua anazielewa sana lazima akitoa dude lishike hisia zangu

  • @bahaticlement1
    @bahaticlement1 5 месяцев назад +1

    Appy anajuwa kuimba kihisiya sana,l imagine collabo yake na Linex itakuwaje?

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv 6 месяцев назад

    Huyu mtoto ni wa wap anaimba ivi 😮 yaani akina zuchu wanavuma na huyu yupo 😢nimelia sana

  • @MustaphaKijusi
    @MustaphaKijusi 24 дня назад

    Nashindwa lakuongeaa Bora niendelee kuskiliza 2

  • @hashimmac4032
    @hashimmac4032 6 месяцев назад

    Anko Roma na Aunt Appy it is over mmemaliza mmetisha kinoma big up sana mmeutendea haki🔥🔥

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 6 месяцев назад

    Sema huyu Dada kajua kuutendea haki huu wimbo, ameimba kwa kuzingatia content

  • @MakkahslimMakkah
    @MakkahslimMakkah 2 месяца назад

    Roma uyu dada saut waah !!!! 😊😊❤❤🎉🎉

  • @OmaryJumanne-l4q
    @OmaryJumanne-l4q 6 месяцев назад +3

    Appy saut aliyo nayo dah namuona mbali sana vaib ipo juu kwa kaka roma maua chuku 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 6 месяцев назад +3

    Kumbe Appy ni kazuri piga kazi uko na legend ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bindatalent6972
    @bindatalent6972 6 месяцев назад +1

    Sijui nimsifie nani maana duh ❤

  • @GodloveSimon
    @GodloveSimon 6 месяцев назад +5

    Jamaa kuba ngoja kachana sanaa anasema kuwa mjin ukixhndwa lud kwen inaitwaje ile ngoma

  • @mrantena_
    @mrantena_ 6 месяцев назад

    Dadangu appy sio siri umetisha sana, keep it up sister, chorus 100%

  • @alhajiFashions7563
    @alhajiFashions7563 6 месяцев назад +1

    Appy❤❤❤❤ hii sauti aaaah High creativity ❤❤❤

  • @immakulathamwambi3868
    @immakulathamwambi3868 5 месяцев назад +3

    Mmh kiitikio ni hataree❤❤❤❤

  • @maziyanomaloz
    @maziyanomaloz 6 месяцев назад +2

    Bonge la album 🔥🔥🔥🔥
    Kenya imependeza kweli🇰🇪

  • @dicksongeorge7745
    @dicksongeorge7745 6 месяцев назад +3

    Mmh huyo dada jamani, mtu na nusu, sijui niongee maneno gani ili niridhike kwamba nimemsifia.

  • @AbubakhariSwedi
    @AbubakhariSwedi Месяц назад

    #roma and #appy🎉🎉🎉 wavulana na wasichana hawawezi kuelewa

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 6 месяцев назад

    Appy ni next level 🔥🔥🔥 ana sauti nzuri tz nzima akuna kama yeye

  • @imansylvester768
    @imansylvester768 6 месяцев назад +17

    Cm yangu ya leo ya kwanza mwanangu kanipigia cm ananambia ckiliz Roma namwachia Mungu😊

  • @JackieClever
    @JackieClever 6 месяцев назад

    Sema Bible unasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake yeye mwenyewe wanawake wanadanga sana wanaumiza sana zalau,jeuli,kuona wao Ni wanaume mm huwezi jua behind

  • @firegun9443
    @firegun9443 6 месяцев назад

    Wanajiita wajanja wa zile kazi shenzi zao
    Sasa Appy ana muachia mungu Gd

  • @JavasonZion
    @JavasonZion 6 месяцев назад

    Umeinuliwa macho matatu...infact promax
    Mwenzako ako na kiswaswadu kimefungwa na blada daamn!!Rest in peace Babangu ile chupa ulipokufa tuliiona tukaivunja😭😭😭😭😭😭

  • @peternyenza7712
    @peternyenza7712 6 месяцев назад

    Appy is the best vocalist...big up sana. Roma kaua mbaya ✊✊✊

  • @VictorGosbert
    @VictorGosbert 6 месяцев назад

    Wametukumbusha vema wajibu wetu asee,,kazi nzr sana

  • @BigirimanaHussein-m8k
    @BigirimanaHussein-m8k Месяц назад

    Wameuw kwel kwel ngoma Kal San ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sirryhmes5277
    @sirryhmes5277 6 месяцев назад +1

    Kenya huku ndo skiza tune na nyinyi Tz ??Viva roma

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 6 месяцев назад

    Chorus kali kutoka kwa Appy keep shining young lady

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 6 месяцев назад +2

    Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤❤❤

  • @ADOKINGDIGITALSATELLITE
    @ADOKINGDIGITALSATELLITE 6 месяцев назад +8

    Wananguuu huyu Roma wa 🔥🔥 weka like zako hapa

  • @SixTechlmt
    @SixTechlmt 6 месяцев назад +5

    hii nyimbo hii mara ya 100 naiskiliza per day, huyu roma michano yake hata kama ni baharia una cheat lzm roho ikusute afu happy kamaliza mazima

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 6 месяцев назад

    Appy tunaverify √√√√√🔥🔥🔥🔥 utatupeleka Grammy

  • @carl-donald
    @carl-donald 6 месяцев назад

    Hii najua ma-player hawawezi kupa likes maana umewaambia reality.

  • @user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
    @user-pb2jx5zm3k.MBUZIII 6 месяцев назад +3

    ROMA I miss you BONGO 😂😂 bado unatisha 2 noma @taphanegmbuzi 🐐

  • @SamunduSantana
    @SamunduSantana 6 месяцев назад

    Appy umeuwa sana kwenye colas auja mwangusha Roma yani kama mwanaume ninge kwita One six❤

  • @OktavianChigo
    @OktavianChigo 3 месяца назад

    Huu wimbo huwa nausikiliza kila cku asbh!!

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 6 месяцев назад

    Ngoma kalisana dah nimeipenda appy ukovizuri dadangu pambana mungu atakuinua umekutana na mzee wakazi

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 6 месяцев назад

    APPY Hukosei hujawah kukosea mama SAUT YA PEKEE MAMA

  • @vicentfarres2201
    @vicentfarres2201 6 месяцев назад +1

    Appy umetisha dadaakee

  • @stylebender8870
    @stylebender8870 6 месяцев назад +2

    It’s her voice for me ❤

  • @Jidaissa
    @Jidaissa 6 месяцев назад +1

    Appy na sauti yake ya kipekee sana bravo san

  • @IsaKinyonga
    @IsaKinyonga 6 месяцев назад

    Roma iba tena na heppy hii ngoma kali sana na haitoshi

  • @abedimhjeshi593
    @abedimhjeshi593 6 месяцев назад +1

    Tupo na wew pamoja my brother CHAPA KAZI Roma kaka mkubwa

  • @radojembe7347
    @radojembe7347 6 месяцев назад

    Chuma
    Message is dope
    A true definition of heart n Tanzanian giant Roma

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf 6 месяцев назад +1

    Happy ni msanii wa daraja la juu saana

  • @alloysmkama6879
    @alloysmkama6879 6 месяцев назад

    Appy so talented huyu dada❤❤❤ Roma kafichwa kabisa

  • @sumanyavoice7844
    @sumanyavoice7844 6 месяцев назад +1

    Nakuona mbali sana dada APPY

  • @isretchaissa6878
    @isretchaissa6878 4 месяца назад

    Hii imeweza kufika mbali sana kiukweli

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy 6 месяцев назад +1

    Uyu apy wamoto sana

  • @Didieuoxy
    @Didieuoxy 6 месяцев назад +12

    Niko Wa 500 ki like nipeni zangu unajuwa roma❤❤

  • @mwakatimabph5316
    @mwakatimabph5316 5 месяцев назад

    Daaah hatar sana haka kadada,,kameubonda sana

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi 5 месяцев назад +1

    Samia ameanza kuonga watu wa kuiba kura samia acha wizi

  • @zuberisaidi4221
    @zuberisaidi4221 6 месяцев назад

    Bonne la nyimbo,Roma pewa ulinzi mahala ulipo.❤❤❤

  • @gideon-athuman-jumanne-kai9256
    @gideon-athuman-jumanne-kai9256 4 месяца назад

    I hope sikumoja nitakutana na appy nakumuambia jinsi alivyobarikiwa sauti maana kwa comment naona aifai napia King Roma👊