Ee mungu Baba, mbariki huyu mchungaji George Mukabwa, Gusa kila Hitaji la moyo wake na ukamuinue katika kila atakacho, katika jina la Yesu Kristo, Amen
Ubarikiwe sana Pastor Mungu aendlee kukutunza, Umekuwa baraka kwenye maisha yangu kwakwel kila ninaposikilza mafundisho yako umekuwa ukiinua iman yangu sana
Neno Mungu mpendwa uwe unatumia herufi kubwa ukiandika herufi ndogo hao ni miungu wengine,,pitia biblia yako uone ufafanuzi huu,,usije ukapishana na baraka za Mungu kwasababu zinazoepukika,,ubarikiwe
Daah leo asubuhi na mapema nlienda nyumbani kwa mteja kwa ajili yamhumidumia ( kumsuka) ghafla aka connect cm kwa RUclips + TV.... hakika nmebarikiwa sana..... nimerudi wangu nyumbani nlikua na Aim ya kwenda kanisani... Kwangu lkn Roho imesukumwa nimsikilize tena... hakika imani imesema hapa nikanisani pia...sijacherewa Bado Mungu naomba Neema ya tenda neno lako Kwangu
Asante mtumishi,hakika mafundisho yako ni ya kuliaandaa kanisa linalo kwenda mbinguni. Mungu akutunze,apanue mipaka yako ya huduma, na akupe kutumikia shauri na kusudi la Bwana. We love u.
Kwa Nini wengi hawadiki.jameni.munawalimu..mwenye maarifa naujuzi.wamandiko..adikeni.saaaaaana.muwewanafuzi wazuri.nyinyi mukokaribu nae.musikieni.sana.sisi tukombali.
Mungu akubariki sana. Tangu Mungu anielekeze hapa nimeinuliwe sana yaani saaanaa. Blessings Man of God
Ee mungu Baba, mbariki huyu mchungaji George Mukabwa, Gusa kila Hitaji la moyo wake na ukamuinue katika kila atakacho, katika jina la Yesu Kristo, Amen
Kwa kweli Baba umetumwa na mungu kutulisha neno LA mungu barikiwa baba
Asante muchugaji kwa kusikia mungu
Hallelujah hallelujah gloty glory to God thank you father 🙏🙏🙏
Namshukuru Mungu Kwa ajili yako Baba nimejifunza mengi.Mungu azidi kukutunza
Mungu akubariki sana pastar,Mungu akutunze,,Nabarikiwa sana na mafundisho yako
Na barikiwa sana
Shukrani sana Mtumishi Wa Mungu.
I thank God for this wonderful teachings.oh how I desire to be lead of God🙏
Namshukuru mungu tangu nimekujua umenibadilisha sanaaa
I am addicted to your teachings,pastor George you are a blessing to me.
Barikiwe na mungu wanna biguni
Amen and amen, hallelujah hallelujah, im really getting blessed in spiritual teaching, more blessings pastor
Ubarikiwe sana Pastor Mungu aendlee kukutunza, Umekuwa baraka kwenye maisha yangu kwakwel kila ninaposikilza mafundisho yako umekuwa ukiinua iman yangu sana
halleluya jina la Bwana libarikiwe,amen
Amen … niongoze mungu wangu .. maisha yangu yamekua yakujirudia Rufus sana
What a strong word can't wait to visit the church I know God is giving me a testimony 🙏
Ee Mungu mbariki uyu mchungaji mara mia zaid ya alivyo sasa.
Mtumishi Mungu azidi kukutumia, ili uzidi kutubariki.
Mungu akubaliki sana
Umenibariki baba 🙏🙏Mungu akutunze 🙏
Mungu anagawa vipawa natamani sana neema hiyo. ubarikiwe Mtumishi
Mungu akubariki sana naomba no Yako Mtumishi
hakika wewe ni mtumishi wa mungu aliye hai nabarikiwa sana
Umeniinua sana pastor asante sana na barikiwa
Mungu.akubariki.mimi nilichelewango sana kuku.sikiliza..mwalimu.mwenye.hekima..namaarifa. Yaki mungu.ooootupate.walimu..nachukuru.hatakwa.hili néné ninalolisikia.kwa.sahi.hatakamahaliko laleo lakini mafuta .niyalayale.yaileile Siku.hataka.mahatukuweko
Holy spirit 🙌
Mungu akuvike nguvu zaiidi
Past
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeeeen Amen oooh Goodness True ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nabarikiwa sana na wewe
Hakika wewe nimtumishi wamungu, mungu anakutumia sana, naomba kila anae mpenda uyu mtumishi asije akaomba bila kumuombea mungu azidi kumulinda.
Neno Mungu mpendwa uwe unatumia herufi kubwa ukiandika herufi ndogo hao ni miungu wengine,,pitia biblia yako uone ufafanuzi huu,,usije ukapishana na baraka za Mungu kwasababu zinazoepukika,,ubarikiwe
Shaloo pastor uko vzr
Asante napenda inavyofundisha pastor unanikiza kiimani sana
Amen mungu akuzidishie upako mchungaji nabarikwa nikiwa kenya be blessed
Nabarikiwa sana na mtumishi wa Mungu huyu namuelewa . Mungu akutunze uzidi kuwafanya watu wakamuone Mungu
Amen amen amen 🙏💖
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen
Amen thank Lord
Ubarikiwe sana pastor kwa kweli kupitia masomo yako nimepata kuvuka hatua moja hadi nyingine
Ur blessed Man of God ur Sermon blessing me 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu wambiguni akuzindishiye ninapo zikiliza ni nasikia fuara
Napenda mafundisho yako sana .mungu akubarik nakuengezee zaidi.
Mungu akubariki Baba🎉🎉🎉
AMINA ubalikiwe
Ameen Baba ubarikiwe
Mungu akubaliki sana kwa mafundisho yako
Niongoze ee bwana maishani mwangu
Thank you for your word Lord Jesus Christ through your servant Lord may he do good to you servant 🙏🙏❤❤
Amen Ni kweli pastor
Mungu akubariki kila wakati ninapo kutazama na kusikia somo lako lapata ufahamu mpya
Nakuruhusu mungu uniongoze katika hatua zangu zote
Amen amen nasikiza kutoka mombasa
🙏🙏🙏🙏😊
Yupo Mungu mbinguni asikiaye maombi yetu, Yupo Mungu mbinguni ajibuye maombi yetu
Tunapooomba asikia anajibu🙏🏾
Amen 🙏🙏🙏 Amen
Am growing spiritually through you man of God following you from Saudi Arabia home country Kenya be blessed man of God
Daah leo asubuhi na mapema nlienda nyumbani kwa mteja kwa ajili yamhumidumia ( kumsuka) ghafla aka connect cm kwa RUclips + TV.... hakika nmebarikiwa sana..... nimerudi wangu nyumbani nlikua na Aim ya kwenda kanisani... Kwangu lkn Roho imesukumwa nimsikilize tena... hakika imani imesema hapa nikanisani pia...sijacherewa Bado Mungu naomba Neema ya tenda neno lako Kwangu
Mungu nisaidie
Amen kubwa
Amen Sana baba
Mafundisho yako yamenifungua sana
Kutoka Kenya,nimebarikiwa kweli
Amen and amen
AMINA 🎉🎉
Asante mtumishi,hakika mafundisho yako ni ya kuliaandaa kanisa linalo kwenda mbinguni. Mungu akutunze,apanue mipaka yako ya huduma, na akupe kutumikia shauri na kusudi la Bwana. We love u.
Nina shukuru tena tena sana Nina jisikia Amani dani yangu . Hauna number ya simu mtumishi wa Bwana
Nilikuwa na uliza baba mtumishi number ya simu
HALLELUYAH ❤HALLELLUYAH❤HALLELUYAH 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen
Ubarikiwe sana baba kwa masomo mazr umeniinua mara nyingi ninapokuwa nimeanguka
Njoo na Dar mtumishi tuna kitu sana
🙏🙏🙏👏👏👏😊
Aminaaa
Hakika . mafudisho yako ni ya hali ya juu❤
Kweli Mungu azidi kukuzidishia maarifa kwa kutayarisha bibi arusi
So blessed, more grace sir 🙏
Iam blessed in Jesus name Amen and Amen
Ameeeeeeeeeeeen
Amen Baba❤
Uzidi kuinuliwa Pastor
Kwa Nini wengi hawadiki.jameni.munawalimu..mwenye maarifa naujuzi.wamandiko..adikeni.saaaaaana.muwewanafuzi wazuri.nyinyi mukokaribu nae.musikieni.sana.sisi tukombali.
Njoo utufungue baba
Shalo m paster iko vzr ila inakatikatika sana
Mtumishi wa mungu , mungu akuzidishiye
Maubiri mazuri imenigusa saana
Naweza kupata number ya sim yako
Nakufata toka kongo napendaka mafundisho yako
👍
Napenda ufundishaji wako wa kina Askofu
Amen Ameeeen
Ameen
Ameni
❤❤
Amém glória a Deus
Nimepata kitu hap
🙏🙏🙏🙏🫢🫢🫢
Wakenya mko wapi . Personal haya mafundisho yamenijenga sana wakati nayazingatia
Naombeni namb ya huyu mtumishi kwa aliye nayo
0753333008.
Naomba namba ya kutoa sadaka
0753333008.George Mukabwa
Kweli inafundishwa
Ameeen
Amiin
Kweli inafundishwa
🤣🤣🤣🤣😂😂
Mungu akubariki sana pastar,Mungu akutunze,,Nabarikiwa sana na mafundisho yako
Amen mtumish mafundisho mazuli tunabalikiwa
Ameeni