Kujipamba kwenu kusiwe kwa utu wa nje yani kusuka nywele kuvaa dhahabu na kuvalia mavazi bali uwe utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yasiyoharibika,yaani roho ya upole na utulivu iliyo ya thaman kuu mbele za Mungu.
Kweli muujiza huwa haujirudii kbs,miaka zaidi ya 10 iliyopita nilielekezwa kumpa bubu soda ya fanta isiyokuwa ya baridi nitamke damu ya Yesu mara7 alipokunywa tu alifunguka akaongea,ila sijawahi tena kufanya kwa bubu tena.
Heeeeee hili ni andiko jipya kwa hiyo tukae uchi mana hatujaja nanguo n'a tutembee kwa miguu mana huko ni kumsawazisha mungu katupa miguu tapante gari kweli tutakuwa hatuendi mbinguni
Mimi niliota kama nalima nikapata nyoka na kulikua na mama na ndugu mkubwa na mtoto wake,pia nikalima pande ingine kulima kujucha nyasi na mkono nikamuinua nyoka,pia kuna siku nikaota kuna nyoka kwa jikoni pembeni anataka kutoka inje mimi nikafungua atoke halafu kuna mama na mzee wake walikua huko wakaniambia nimwaje watu wanamjua,lakini akasema ni mimi nilienda kumchokosa na kulikua na mama na baba wamekaa hapo inje
Habari zaidi kuhusu mpango wa Mungu kwa ajili ya kumjua Mungu Mungu na mtume wake basi tuendelee kujifunza na hatua hiyo ni wema sana kuwatendea haki binadamu wote ulimwenguni pote duniani kote ikiwa wewe mwenye kumcha mwenyezi Mungu kwa kila siku zote ili kuhakikisha kwamba kila mmoja wetu kwa nyakati mbalimbali katika maisha yake ya mwisho awe wa Mungu
Habari zaidi kuhusu mpango wa kujenga maisha mazuri sana kuwatendea wema wazazi wawili na mtume wake na kwamba kila mtu ana haki ya kumjua Mungu na mtume wake
Habari yako ndugu msomaji wangu hebu chukua hatua ya kumjua Mungu daima hekima ni kumcha mwenyezi Mungu na mtume wake na maendeleo yoyote ndani yake Mungu ni mwenye nguvu zote ili kuhakikisha kwamba kila mtu ana haki ya kumjua Mungu daima hekima ni kumcha bwana Mungu wako kwa ajili ya kufanya hivyo ni uzima wa milele katika kristo yesu bwana wetu
😮 katika maisha yako ya mkononi kwa kutuma neno hotuba kwenda kwa ajili ya kumjua Mungu ni wema mwanzo na mwisho uwe makini sana kuwatendea haki binadamu wote ulimwenguni pote na duniani kote ikiwa wewe ni mwenye kumcha mwenyezi Mungu na mtume wake na kuiepusha shetani ni adui Zahoro binadamu wote ulimwenguni pote duniani kote
Mpendwa kuota unashindana na wanyama una vita na ufalme wa Giza ngazi ya wachawi, suala ni je hiyo vita unashindaga au Huwa wanakuzidi?, Je Huwa unanguvu hata ya kumuita Yesu Kristo au Damu ya Yesu kwenye ndoto?,
Hivi jamani mtu anasema tulizaliwa bila kusukwa nywele nywele ni kweli sasa nikuulize mpendwa wewe ulizaliwa umevaa nguo mbona unavaa nguo na viatu na saa ya dhahabu unavaa nguo za thamani wakati neno la Mungu linakataa kuvaa nguo za thamani na saa nzuri ya dhahabu
Sasa mchungaji hizo pesa zilienda wapi baada ya kuokoka maana imeandikwa fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana na nakumbuka ulipookoka ulishuhudia ulikuwa huna hela kabisa na babaako alikuwa maskini ??
Mtumish kwa nini hadi waimbaji wa gospel wanasuka rasta kwani wanaosuka rasta huwa hawana roho mtakatifu ama wanae huwa sielewi tu mimi wanasikia injili inahubiliwa na mbona bado wanasukia tu
Mungu mwenyewe ndo atachambua as long umeesha ambiwa fuata roho yako usiige kwa wengine…. Wale wamesuka na mimi nisuke …..! Apana wewe ni wewe na Mungu wako na wale ni wale ni Mungu wao
mchungaji ndoto za nyoka zinamana gani ktka ulimwengu wa roho, kuota ukipambna na nyoka??? pia, kuota namna ulivyokuwa kipindi unasoma shule ya msingi inashiria nini? mfno shule ya msingi ulikuwa kiongozi, mcheshi na kadharika je hii inamana gani?
Mungu awabariki sana kuwatendea wema uaminifu na maendeleo yoyote ya kumjua Mungu ni uzima wa milele
Kujipamba kwenu kusiwe kwa utu wa nje yani kusuka nywele kuvaa dhahabu na kuvalia mavazi bali uwe utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yasiyoharibika,yaani roho ya upole na utulivu iliyo ya thaman kuu mbele za Mungu.
Kazi yako njema pamoja na promover tv msipozimia mioyo kuna taji yenu mbinguni
Amen Amen Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho ya ufahamu ya kumshinda shetani nmebarikiwa sana shalom
Amen amen Sana pastor Mungu akubariki Sana
Asante mtumishi kazi yako ni njema ktk ufalme wa Mungu
Mungu amenisaidia sana kupitia huduma Yako,
Kweli muujiza huwa haujirudii kbs,miaka zaidi ya 10 iliyopita nilielekezwa kumpa bubu soda ya fanta isiyokuwa ya baridi nitamke damu ya Yesu mara7 alipokunywa tu alifunguka akaongea,ila sijawahi tena kufanya kwa bubu tena.
Mungu atusayidiye mubalikiwe watumishi wamungu
Amen thanks for the wonderful massage glory glory hallelujah
Thanks for listening
Naweza nikapata je namba yako ?
Amina mtumishi nimekuelewa vzr sana kwa majibu mazuri ya mungu ubarikiwe sana zaidi
Mchungaji kweli mungu amekutuma ili sisi tu okolewe mungu akubariki sana
Ubalikiwe muchungaji
Aminaa mchungaji
Mungu akubariki Kwa mafundisho
Hongereni kwa huduma ya Bwana, Mungu awatunze,
Nipo mwanza natamani tufanye ibada pamoja na familia yangu, naomba nafasi hiyo 🙏
Hakika unaweza kufanya kufanya aina zote za uovu ila mwisho wa siku utamkimbilia Yesu Kristo
mimi mwenyewe nawazaga tunaweza tukaishi maisha matakatifu mwisho wa siku tukakutana na watoaji kafara wa damu za binadam mbinguni😏😏
Amina mtumishi barikiwa sana mt❤
Asante mtu wa mungu
M'barikiwe sana watumishi wa Mungu Katekela na Promover.
Baba ni mala yangu ya Kwanza kugusikia
Unahubili! Ila itabidi ni guchunguze kwa jina la Kristo Yesu.
Kajifunze kwanza kuandika ndio uguje ugamchunguze
elewa kuna kalama tano katika kanisa hivyo yy sio muhubili ila ni mwalim chunguza utaelewa
Hatutakiwi kuweka chochote kichwani, maana nikumsahihisha Mungu. Tulizaliwa tukiwa hatujasukwa hivyo tubaki natural wanawake ili tuingie Mbinguni.
Ubarikiwe sana kwa maana,huu ndio ukweli ambao wanawake wengi wamekuwa wakiukata lakini wewe umeujua Amina sana.
Amina Rose Bwana Yesu akutunze
Heeeeee hili ni andiko jipya kwa hiyo tukae uchi mana hatujaja nanguo n'a tutembee kwa miguu mana huko ni kumsawazisha mungu katupa miguu tapante gari kweli tutakuwa hatuendi mbinguni
@GlauryHaule Acha upuuzi wa kishetani, kama huna Roho Mtakatifu basi fanya unavyowaza.
@@GlauryHaule 1Petro 3:3
Mungu atusaidie maana kwa akili hatuwezi
Asante tumishi wa Mungu.
Amen
Shalom, nashukuru Mungu sana kwa maisha Yako mtumishi
Amina
Mimi niliota kama nalima nikapata nyoka na kulikua na mama na ndugu mkubwa na mtoto wake,pia nikalima pande ingine kulima kujucha nyasi na mkono nikamuinua nyoka,pia kuna siku nikaota kuna nyoka kwa jikoni pembeni anataka kutoka inje mimi nikafungua atoke halafu kuna mama na mzee wake walikua huko wakaniambia nimwaje watu wanamjua,lakini akasema ni mimi nilienda kumchokosa na kulikua na mama na baba wamekaa hapo inje
Glory Glory Glory 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Habari zaidi kuhusu mpango wa Mungu kwa ajili ya kumjua Mungu Mungu na mtume wake basi tuendelee kujifunza na hatua hiyo ni wema sana kuwatendea haki binadamu wote ulimwenguni pote duniani kote ikiwa wewe mwenye kumcha mwenyezi Mungu kwa kila siku zote ili kuhakikisha kwamba kila mmoja wetu kwa nyakati mbalimbali katika maisha yake ya mwisho awe wa Mungu
Habari zaidi kuhusu mpango wa kujenga maisha mazuri sana kuwatendea wema wazazi wawili na mtume wake na kwamba kila mtu ana haki ya kumjua Mungu na mtume wake
Habari yako ndugu msomaji wangu hebu chukua hatua ya kumjua Mungu daima hekima ni kumcha mwenyezi Mungu na mtume wake na maendeleo yoyote ndani yake Mungu ni mwenye nguvu zote ili kuhakikisha kwamba kila mtu ana haki ya kumjua Mungu daima hekima ni kumcha bwana Mungu wako kwa ajili ya kufanya hivyo ni uzima wa milele katika kristo yesu bwana wetu
😮 katika maisha yako ya mkononi kwa kutuma neno hotuba kwenda kwa ajili ya kumjua Mungu ni wema mwanzo na mwisho uwe makini sana kuwatendea haki binadamu wote ulimwenguni pote na duniani kote ikiwa wewe ni mwenye kumcha mwenyezi Mungu na mtume wake na kuiepusha shetani ni adui Zahoro binadamu wote ulimwenguni pote duniani kote
Habari yako mwenyewe umjue Mungu na mtume wake
Ahsante sana Mtumishi Mungu wa mbinguni akubariki sana kwa mafundisho mazuri
Nakufuatilia sana
Muwe mnasoma biblia vizuri na kuielewa sio mstari mmoja tu bila kusima maandiko mengi neno la Mungu na likae kwa wingi ndani yenu
Yesu atusaidie.
Pamoja sana nakuelewa vyema
Mtumishi wa Mungu, naomba unisaidie unapoota ndoto za kushindana na ng'ombe ,nguruwe,...huwa Ina maana gani??
Mpendwa kuota unashindana na wanyama una vita na ufalme wa Giza ngazi ya wachawi, suala ni je hiyo vita unashindaga au Huwa wanakuzidi?, Je Huwa unanguvu hata ya kumuita Yesu Kristo au Damu ya Yesu kwenye ndoto?,
Ukiota ng'ombe ni roho ya mizimu inakufuatilia pia ukiota nguluwe unajichafua maana yake Kuna mambo unayafanya yasiyompendeza Mungu
Amina balikiwa
Barikiwa sana
Hivi jamani mtu anasema tulizaliwa bila kusukwa nywele nywele ni kweli sasa nikuulize mpendwa wewe ulizaliwa umevaa nguo mbona unavaa nguo na viatu na saa ya dhahabu unavaa nguo za thamani wakati neno la Mungu linakataa kuvaa nguo za thamani na saa nzuri ya dhahabu
Jamani kama mtu unaona uelew nibora tu akaachana na hizi habari sio kucomment ujinga
Yan apo kweny mafuta ,maji,chumvi, ni utapeli tu hamna lolote, nikukosa marifa tu.
Pls sogea dar ili wa mikoani mbeya huko na watoka nje ya nchi tushifiki baraka za mathabahuni pako
Yani we baba nakuelewa vzr
Pastor I requested you to read
Leviticus 19:27
Ila kweli tupu hiiii
Kuna hizi michoro watu wanajichora na kuopoa mwili nazo ni za uchawi
Tupe ni namba kanisani hatupajuwi
Sasa mchungaji hizo pesa zilienda wapi baada ya kuokoka maana imeandikwa fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana na nakumbuka ulipookoka ulishuhudia ulikuwa huna hela kabisa na babaako alikuwa maskini ??
Eluminat je?
Sasa Mchungaji hivyo vyakula viriharibika kwa nn hukuwapatia wahitaji wavitumie hivyo vyakula? Roho was Mungu alikukataza hata kugawa kwa wahitaji???
Ni sahihi kabisa maana ata akija yule mshenz anajiita agakhan hapa tanzania ata rais mwenyew anatulia kma maji ya mtungini hivyo tunaelewa kila kitu.
Hivi na majola ya nguo tunazovaaa? Na viatu na vyakula vinavyotoka viwandani ?
Uwiii nimecheka sana,tunavitaka kwa damu ya Yesu,usiogope.
Mi naulizia nyasaka b ndio nyasaka ipi maana mi najua Ile nyasaka centa tu naomba kuelekezwa
Mtumish kwa nini hadi waimbaji wa gospel wanasuka rasta kwani wanaosuka rasta huwa hawana roho mtakatifu ama wanae huwa sielewi tu mimi wanasikia injili inahubiliwa na mbona bado wanasukia tu
Roho zao ngumu tu,
Mungu mwenyewe ndo atachambua as long umeesha ambiwa fuata roho yako usiige kwa wengine…. Wale wamesuka na mimi nisuke …..! Apana wewe ni wewe na Mungu wako na wale ni wale ni Mungu wao
@@N-J-v9j asante mungu akubariki sana sana
SOMA NENO ANGALIA LASEMA NINI WALA USIANGALIE MWINGINE ANAFASIRI NINI
MAANA MUNGU AMEKUITA KAMA ULIVYO
Wekeni tudownload
Kwani hamuoni dear
Namimi ninaswali,kama ulikuwahaushi duniani hiyo pesa ilikusaidia nini na hyo ndege mbona huko kawaida kwa sasa
Muwe naseti mitambo vizuri ili tuwe nawapata vizuri
Wanajitahidi sana regardless of udhaifu wowote
mchungaji ndoto za nyoka zinamana gani ktka ulimwengu wa roho, kuota ukipambna na nyoka???
pia, kuota namna ulivyokuwa kipindi unasoma shule ya msingi inashiria nini? mfno shule ya msingi ulikuwa kiongozi, mcheshi na kadharika je hii inamana gani?
PASTOR TOFAUTI YA MGANGA NA MCHAWI NI NINI????????EBU TUJULISHE.
Huyu jamaa simuelewagi...hiyo ndege aliluwa anatumia kwenye Dunia gani?hizo pesa alikuwa analipwa kwenye mazingira gani?
Kumbe hujawahi kusikiliza ushuhuda wake tangu mwanzo, siyo ndege hizi zinazopaa angani, Ni ndege ya kichawi isiyoonekana katika ulimwengu wa kawaida
@@eliethmwanguya7118 atuulize sisi vikomazi, tumetoka mbali naye,, Hadi niliogopa kusikiza hio ushuhuda weee, lazima uote tu
Ndo namimi nimemuuliza ngoja tuone km atajibu maana hapo nachanganyikiwa km hakuwa duniani sasa hzo pesa na ndege alikuwa anavitumia wapi???
Huyu hajuwi mambo ya rohoni bado
@@annabyekwaso-wt7oiAnna
Mimi naomba no yako ya simu napenda kuongea na wewe Katekela
mtumishi hivi kusuka hata nywele za asili sio dhambi? maana misuko ni mingi upi unaruhusiwa? au bora kunyoa tu
Hakuna yenye inaruhusiwa, yaaaan ever ,ata yako
@@Mamas-06k sawa kwa hiyo mtu akitaka abane tu inaruhusiwa au ni mwendo wa kunyoa na kuchana fupi
@@preciousgrayson2021 imagine ata kubana, ni kunyoa, na kufungua,kitambaa, ukate shauri la Moja Kwa Moja no turning back in Jesus Name
Kusuka sio dhambi hamja muelewa
Ni dhambi/kosa pia(1Petro 3:3)@@bonifasiemanueli21
Naombeni link ya gruop la watsap la promover
Amen
Yesu atusaidie.
Amina