UKHTY ASHA AWEKA WAZI KUWA ANA UGOMVI NA UKHTY ADILA || AWAKUBALI WAIMBAJI WA TANZANIA BARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 14

  • @dr.fatmasalim
    @dr.fatmasalim 2 года назад +3

    MashaAllah kajibu vizuri sana Ukhty Asha, anakaa ni mtu mwenye busara sana. Iwe ni kweli au sio kweli wana ugomvi, mambo haya hayapaswi kuketwa hadharani kwa sababu kuna watu wengi wanawaangalia hawa mabinti kama viongozi, kwa hio hawafai kuonyesha mfano mbaya. Kutofautiana ni mambo ya kawaida tu, ila namna mtakavyo kabiliana na tofauti zenu ndio muhimu. Alafu hawa mabinti huwa wananogesha sana wanapotoa qaswaida pamoja. Mimi kama Shabiki wenu napenda sana kuwaona pamoja kama mulivyokuwa zamani. Hivyo nawasihi musiwache iblis akacheza na nafsi zenu na kuwagombanisha. Mukipata wasaa tutoleeni qaswaida mukiwa pamoja na Ukhty Adila na Mwanacha, inapendeza sana. Allah Afungue nyoyo zenu mupendane na mushikane daima..Ameen

  • @zuwenahilali5492
    @zuwenahilali5492 2 года назад +1

    ukht asha nmefurahiii saanaaa kuskia ww na adila hamna ugomvi penda sana nyotee💗💗💜💕

  • @HassanoahSalasini-kq3lx
    @HassanoahSalasini-kq3lx 10 месяцев назад

    Ila awa ata kwenye nyimbo zao unaona kabisa awapo pamoja

  • @TawhidaOmar-vv5le
    @TawhidaOmar-vv5le 5 месяцев назад

    Umejidai anaeka wazi kua ana ugomvi mbona kasema hawana ugomvi wwt uongo tuu

  • @aminaimamu3711
    @aminaimamu3711 2 года назад

    Mashallah

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 года назад

    Munawazimu?

  • @dimpoadim2980
    @dimpoadim2980 2 года назад

    USISEME UONGO HEM SEMA KWEL KAMA MUNAGOMBANIA MABWANA MANA HAIWEZEKANI MTU HAMJAGOMBANA KISHA ANAOLEWA ATAKUSOGEA HUJASOGEA🤣

    • @ukhtyashachannel5505
      @ukhtyashachannel5505 2 года назад

      Kwani mimi nimeumbwa ama nimejiumba ety nakama kuolewa kila mtu mungu atampa riskii yake sawa na mungu ndio anaetoa rikii sasa usiropokwe usio ya juaa sawa kaa kimya

    • @ukhtyashachannel5505
      @ukhtyashachannel5505 2 года назад

      Zana itakupeleka motoni acha kuongea vitu wala huna uhakika navyo

    • @timehamad6535
      @timehamad6535 Год назад

      @@ukhtyashachannel5505 kwl umeongea vzr

    • @hafsabakar3141
      @hafsabakar3141 Год назад

      Mh jamani dhana mbaya

    • @mwanaali4729
      @mwanaali4729 Год назад

      Pnd sana ukhty asha achana nao