Hatari hii mbona maswal ndio yenyewe unapaswa uelewe hiko ni kipindi cha burdan na hao ni wasanii inalazimu kuwachokonowa yale yanayovuma kwa watu way aseme wahusika ni kweli ndio lengo la kumuwalika mgeni halafu istoshe hawa wasanii wenyewe wapo kwenye brand so nilazima wakangamizwe na maswali ya uchoxhezi ili kujuwa wapo wPi na wanKwenda wapi ama ww mwenzangu kwa ujuzi wako ulipendelea sana wajiandae na maswali gani mana mwenzetu mara ww ni mtaalamu zaidi by doctor
Jamani mm naona wamalize tofautizao tunawapenda wakiwa pamoja
Ukhty Asha ,ukhty Adila,ukhty mwanacha ,achane tofaut zenu msamehe anane maisha yaende tunakupendeni mkiwa pamoja ❤❤mm binafs inanimaa kuwa mbali mbali😭😭😭😭
Mashaalah bnt Juma nakupongeza kwa kujiaminiii na kujibu vzr maswali , nakupenda Sana.
Mashallah ukhti Asha nakupenda huringi wala hujiskii
Muwapatanishe warudi pamoja kwasbb watu tunawapenda wawe pamoja ukhty asha na ukhty adila na ukhty mwanacha
Mashalla asha kaongea vizur hongera yk mamy mungu akubarik
Mashaallah ukhty asha
Mm nipo Oman
Sw
Hatari hii mbona maswal ndio yenyewe unapaswa uelewe hiko ni kipindi cha burdan na hao ni wasanii inalazimu kuwachokonowa yale yanayovuma kwa watu way aseme wahusika ni kweli ndio lengo la kumuwalika mgeni halafu istoshe hawa wasanii wenyewe wapo kwenye brand so nilazima wakangamizwe na maswali ya uchoxhezi ili kujuwa wapo wPi na wanKwenda wapi ama ww mwenzangu kwa ujuzi wako ulipendelea sana wajiandae na maswali gani mana mwenzetu mara ww ni mtaalamu zaidi by doctor
Kuna watu wanaimba tu kaswida ila hawana sauti wanasaidiwa n biti tu
maswali ya watangazaji mbona hayana msingi wajipange wanataka kuliza nini
😅😅
❤😂🇴🇲🇹🇿