Ana maneno ya shombo!! 😂😂 Lkn nimemkubali Mambo ya utatu,, kwajina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, & tumsifu yesu kristu.... Krist.... Tumaini letu...
Angekua babayangu mzazi asivyokua na aibu basi angesimama kwenye kitu hapohapo ukumbini amwambie "aise naniii embu Rudi huku kabla cjakasiri""" mtu ashatolewa mahari af unasema ana mdomo??? Jinga kabisa
🤣🤣🤣yaan apo walijua wanapewa mipesa kumbe🤣🤣angalia walivyopokea kidharau inshot wamekutana mama akiongea sanaa baba kimya coz anadharau beat moja uchezaj tofaut ndan ya nyumba hatariii🤣
Nilichokisoma hapo inaonyesha ktk familia hiyo ndio shughulii yao kubwa ya kwanza we Kama mtu alianza kuchafua Hali ya hewa cku ya engagement leo mnampa Tena mic ya nn na hapo ndio kafupisha yaan balaa tupu mpaka bb harusi anaogopa kwanza kitaumana Sasa hiv anachafua Hali ya hewa we mtu anaenda had kumgusa shemeji mtu Hadi kifua eti ujue nn,😅😅😅
Mdogo mtu Mbona kama mwezi mchanga? Full mapepe talking nonsense all over na hiyo couple Mbona full stress na gubu? Utafkiri wamelazimishwa, in short kila kitu kwenye hii clip ni utopolo mtupu
Yes.Nilivyomwelewa. 1.Unamchukua Dada yetu ila apendi kuonewa. 2.Tunashirikiana katika kupambana hivyo isimtese 3.Usiseme hukuambiwa au hujua tabia ya Dada yetu hivyo mchukue ukiwa unaelewa 4.Inaelekea mtoto siyo wa huyo kaka.Ndiyo maana kamleta,Ukipenda boga na uwa lake ili baadaye usiseme ujui,umeonyeshwa tena mbele ya mashahidi wengi.Mtazamo wangu ulikuwa hivyo.
Ana maneno ya shombo!! 😂😂 Lkn nimemkubali Mambo ya utatu,, kwajina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, & tumsifu yesu kristu.... Krist.... Tumaini letu...
Me naona kaongea tu vizur amechangamsha
Punguzeni makasiriko
Watz wanajua kukasirika kha
Umeonaee wapunguze makasiriko 😂
Khaaa Kaka waivi sitaki ,🤓🤓🤓☺️😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂
Mapenzi yao yanaonekana yakuigiziana tu no happy alafu uyo Mume mwenyewe sasa anaonyesha anazarau sana
Umeona ee
Ni kweli kabisa hamna upendo hapo na bwana harusi anaonekana kauzu
@@janeschurmanns7364 kajikausha utadhan kalazimishwa hahahh
@@janeschurmanns7364 🤣🤣
Aki nimecheka sana yan jamaa ni ngumu anajilazimisha kucheka kwanza km sio yeye anaeoa
Ushubwada mtupu wallahi kama angekuwa mdogo angu ningemzibua mikofi hapohapo hata ningejali basi kama ndo bibi harusi
Huyu jamaa miyeyusho sana,analeta utoto tu,bwanaharusi mwenyewe kauzu zaid ya dagaa
😅😅😅😅😅😅
Mbona km yy ndio kama MC sasa....kk kachachuka mpk anaboà...shem lake yuko serious atarii ila bi harus pambe 😘😘
Niupendo tu jmn anachanganyikiwa dada yake kupunguza namba nyumbani
😂😂😂😂😂😂😂😂
😀😀😀jamaa anaongea sana asee
Nimecheka kabla sijaangalia😁😂😂😂
iv bwana harus na shemej yake watawezana kwel😅😅😅
watawezana kiroho. ngumu
😂😂😂
Yaani anavyomtambulisha huyo aliyekuwa anamshibisha utadhani kama hiyo sherehe ni yao ( yeye na huyo chakula chake )
HUYO N DEMU WAKE ALIMSHIBISHA KIVIP SASA CHEEE KAONGEA PUMBAA TU
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Dogo yupo vizuri Sana Tena sema tu Bwana harusi anatia wasiwasi !
🤣🤣🤣🤣🤣
Hajamkubali dogo
😅😅😅mbona wasiwasi
Jamaaa kazingua sana kumchana dadaake sio kauli nzuri kuonesha dadaake kuwa anakauli mbovu
Huyu kaka kanichefua😏 maneno mengiii Hana point ya maana.
kwanza bwana harusi sio mzuri pili kanuna
Kwa kweli amechangamsha lakini bwana harusi yuwaona Kama ni wasting of time sijui Kama ni MADHARAU ni tabia yake all the best
Analopoka huyo kaka sijapenda ndio nin sasa anacharuka ovyo au kanywa alikasusu😂
😂😂😂 Kanywa uyoo siunaona anavo yumba yumba
Kabisaaa hata huyo bibi harus hajapenda😅ona alivyokunja mikono inamaanisha hajapenda
Hii couple hawana furaha
Kbsaa
Kweli,kwanza huyu bwana sioni tabasamu kabisa
Mume kachukia sana ajikazaa 😂😂
🤣🤣🤣
Nimecheka
Hamna kitu apo amepoteza mda kwanza Bwana harusi kamaind
Hii clip ni utumbo mtupu anaona anaongea point mwenyewe kumbe utumbo mtupu
Nilikuepo mshikaji anachonga sana mpaka anaboa
Saida
Daa Irene wote tunazarau ila midomo wachache😜
kiherehere cha kufa mbwa yaan ww unamasifa ....sasa kushibishwa jeshini inahusika vp
Jeshi Hilo kwio full uraia raia
Uyu anamchafulia dadake
Nimempenda huyu kijana💋💞😂😂😂
Oya we mwamba ume Ua sana yani kwenye hiyo Kharusi
Angekua babayangu mzazi asivyokua na aibu basi angesimama kwenye kitu hapohapo ukumbini amwambie "aise naniii embu Rudi huku kabla cjakasiri""" mtu ashatolewa mahari af unasema ana mdomo??? Jinga kabisa
HAHAHAHAHAHAHAHhahahahaha
😂😂😂😂
Haha🤣🤣🤣
@@elishebakanani3707 anazingua
Bwana harusi kama anawasiwasi chee mungu awatangulie
Kbsaaa
Ujumbe mzuri sana aliosema Ndugu ntu au shemegi
😂😂😂 okay mambo ya jeshn
Kaka wa hivi inatakiwa umpe somo kabla arusi haijafika
Hahaha kwa kwel ucje kuniharibia shereh
We mwambie shemeji yako hapendi utani kutaniwa wala nini ukija kushika Mick mdogo angu ongea maneno machache ya point ,baada ya shereh we anza story
Umeonaa aisee Mushi gan Wana sifa hvyo
Acha kabisa nimecheka na coment yako
Zawadi nzuri sana tena kubwa
Haka kajamaa msemo hii vipi au utoto umo, eti rafiki yangu mara alikuwa ananishibisha.hakafikiri kabla ya kusema et?
Wow!
Kaka kama uyu anabaki tu nyumban siku ya send off yangu, sitaki ujinga kabisa
Hahaha Yan baki tuu nyumban kwa kweli
😁😁😁😁😁😁😁😁
Kwakweli
Hakikaa mdogo mtu kazingua Mara zawadi afungue Mara alete mpenz wake wa jeshini loh noma saana
😆😆😆😆
Mpaka shemeji anajiskia vbaya
Wageni wetu punguza kusirika jamani👌👌❤❤❤
Hawa wanapasha kiporo moto au!!!! Hakuna furaha kabisa au ndio, hata kama kama mlishakula chakula.... Hiki kiporo lazima mkifurahie.
Yaan umesoma ad form six lakin we n box ukiloa na maj kwisha
Yaan anakera kweli
Sometimes ma kaka tunafkiria sana kuona gisi dada zetu wanaenda kupigwa miti ...sasa jama haipo sawa huyooo muda
Dogo anaongea Sanaa hana utulivu kabisaa
🤣🤣🤣yaan apo walijua wanapewa mipesa kumbe🤣🤣angalia walivyopokea kidharau inshot wamekutana mama akiongea sanaa baba kimya coz anadharau beat moja uchezaj tofaut ndan ya nyumba hatariii🤣
Yani yy kamsii shemeji yani mtu akimtibuwa tu asipate shida dada yake ata msaidia ila hiyo zawadi ndosija penda😂😂😂
Ila n kawaida y wanajesh utani unakuaga mwing me mwanyew siku y harus yng utani ulikua mwing had nilitak kulia
Siku zote napenda kujifanya sijui kuongea mbele za watu huwa inasaidia ,mshikaji anaongea sana ,kiasi inabore
Hahaha sio kwa kiupi hyo 😂😂
Angekuwa mdogo wangu ninge mbatua
😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Obimo hana furaha
Obimo siyo kwa uchezaji huo mtunze Dada yangu
Huyu nae
Maneno mengi then utamwambiaje dada ako ana mdogo mbele ya shemeji mfyuuuuu jifunze
Kuna mdada kabana mkia wa farasi pamoja na huyu kaka wanakiherehere ndio wameharibu sana hawa
🤣🤣🤣🤣mlikuwa mnafunguliana milango ulimlinda wapi?Tony km Tony alikuwa anaangaika atulii looh
Mpe mbata moja akalale
Una fikili yeye apo kasha kula bangiii ya kutoshaaa yaniiiii
Wanaume angalieni na pakuowa
😁😁😁😁 Jamaa kilaza sana. Mc usirudie tena kuruhusu utopolo kama huu ukumbini be strictly maana ni Aibu hii, ikibid hata clip lenyewe lifute tu.
Anafaa kuea mc
Hafai kbsa
Yaan huyu bhana sasa ndo nn hivyo akiii utumbo na ndizi
Kaka anahangaika hatulii
Kaka bhangi khaaaaaa
Junior huyu
Shemeji m2 ana dharau saana
Bwana harusi ana kitete alafu kama ana wasiwasi
Nimejikuta namaliza mb tu
kinakuuma nini mdogo wangu🤣🤣🤣
Yani hiyo zawadi ningepewa mimi ningempiga nayo kichwani kwake hiyo zawadi upumbavu mtupu
Sham anaongea sana 😌😌
Upo vizur kak nimekupenda maana umechangamka njoo uwe bwana harusi
Chefuuu zaw
Ana masifa mengi mxeeeeew
Wote kwao ni wamejaa misifa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sura ya husband to be sasa 😂😂😂… anavumilia tu
😂😂😂😂
😹😹😹😹😹😹😹😹
😂😂nuru kunywa soda nitalipa
Uyu kaka kawa Mc sasa
Duh wanaume wanaisha
Nilichokisoma hapo inaonyesha ktk familia hiyo ndio shughulii yao kubwa ya kwanza we Kama mtu alianza kuchafua Hali ya hewa cku ya engagement leo mnampa Tena mic ya nn na hapo ndio kafupisha yaan balaa tupu mpaka bb harusi anaogopa kwanza kitaumana Sasa hiv anachafua Hali ya hewa we mtu anaenda had kumgusa shemeji mtu Hadi kifua eti ujue nn,😅😅😅
😂😂😂😂😂😂 daah!! Comment yako nimecheka mbavu sina
Kaka ana mbwembe duu
Uyu kaongea uji tuu
heeeee we nawe umeleta mvuta bange huyu
Mwanaume anaonekana Malaya ana dharau uyo kamuangalia mdada matako ao waloleta zawadi
Umeonae
Yani kaka anaongea hivi dada atakuwaje
Najiulza jmn
Dogo anambwembwe mpka Bibi Harusi anaogopa
Mbna ndo kawa MC sasa
Bi harus unajikunyata nini sasa ndo mdogo wako anangea utopolo
Aibuu htr
Wala hainogi
Hyu jamaa akilii box kweliii 🤣🤣🤣
Irene alipata mitihani sanA kwenye siku take Mungu akampiganie
Jamani kumbe,, mungu wetu ni mwema amtetee!!
Kaka ana mbwembwe nyingi sanaa
Na anavyoitaita watu hovyo
Nimeboreka huyu kaka ana mdomo kubwaaa Lina ongea zawadi yenyewe mbuziiiiii
Mdogo mtu Mbona kama mwezi mchanga? Full mapepe talking nonsense all over na hiyo couple Mbona full stress na gubu? Utafkiri wamelazimishwa, in short kila kitu kwenye hii clip ni utopolo mtupu
Hahahahahahahaaaa
Safi Sana kaka 😆😆😆😆
Mmh bwana harusi kauzu furaha analazimisha
Mdogo mtu Umetisha 😂😂😂😂
Wakwe kazi mnayo mtoto wenu kaoa vuvuzela ni kakake kasema
Mbona lawama nyingi jamaaa kibaya kipiii kaongeaa hapooo?
mbona naona bwana harusi kama amenogewa na moves za dada bi harusi
Safi kaka.
Yes.Nilivyomwelewa.
1.Unamchukua Dada yetu ila apendi kuonewa.
2.Tunashirikiana katika kupambana hivyo isimtese
3.Usiseme hukuambiwa au hujua tabia ya Dada yetu hivyo mchukue ukiwa unaelewa
4.Inaelekea mtoto siyo wa huyo kaka.Ndiyo maana kamleta,Ukipenda boga na uwa lake ili baadaye usiseme ujui,umeonyeshwa tena mbele ya mashahidi wengi.Mtazamo wangu ulikuwa hivyo.
Gara b bwana😂😂eti gara what, gara braiton😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Mc ukimpa mtu nafasi kama cyo mzazi mpe na mda manake kama huyu amepoteza mda wa bure anachokiongea hakina maana
Wewe kweli afande
Kweli hii ni utopolo mputu
Hswaaa