NICOLE AFUNGUKA MAZITO/ SARAH ALINICHUKIA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 сен 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 112

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 года назад +15

    Ss hp makosa ya nikole au makosa ya korosho yy Ana jijuwa mume WA mtu saa sita alifa nn kwa nikole

  • @raelnyawera825
    @raelnyawera825 2 года назад +15

    Hati hayuko sawa kichwani 😂😂😂😂

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 года назад +17

    Tanzania aisee ni nchi special sana, ina watu ukiwasikiliza kwenye mahojiano Yao, ni kama uko kwenye show ya mziki

  • @lucyshirima9332
    @lucyshirima9332 2 года назад +12

    🤣🤣🤣🤣🤣apo kwenye nicooole I kill yuh nmechekaa

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 3 месяца назад +1

    Wow umependeza Sana kweli 💖💕💖💕💖💕💖💕

  • @salycsuleyman3952
    @salycsuleyman3952 2 года назад +55

    Nalipenda hili lidada

  • @yassinsaid1119
    @yassinsaid1119 2 года назад +14

    Hakuna kma Wew Nicole coz Ni Mzur alaf una jiamin kinyamaaaaa

  • @germanomuanga3153
    @germanomuanga3153 2 года назад +9

    Amekutubukiza Utumbo tumboni mwako 😂

  • @footballnews6129
    @footballnews6129 2 года назад +21

    harmonize naomba past papers zako.

  • @claudiaclemence5121
    @claudiaclemence5121 2 года назад +6

    Yaan Nicole bwana hahahaaa kama kafanya kadrama Fulani hv,,eti anaulizwa swali ulishawahi kumtamani harmonize yaan watangazaji walivyotegemea ajibu na yeye alivyojibu tofaut

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 2 года назад +4

    Sasa ndo umtengeneze nywele 🦥🦥😁😁

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu2113 2 года назад +12

    Napenda alivosema eti urafiki wake na harmonize ni special hauwezi kuisha, wale wanapendaga wakikualika kwenye tv yao umponde harmonize ndo wapate kiki

    • @kuchiethephenomenal7879
      @kuchiethephenomenal7879 2 года назад +1

      Tumia akili,, kila akihojiw mtu ambae Tupo upande huo mnategemea watu kupata Kiki,, Hao wapo kazin mtu kumponda mtu ni mtu mwenyewe

  • @khadijahussein3089
    @khadijahussein3089 2 года назад +10

    I love you juma lokoleeeeeeee

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 2 года назад +8

    Nayapenda meno yako mamy

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 2 года назад +28

    Shenzi type, uko na mume watu usiku alafu unasema mke wake sio mwema kichwani. Nonsense.

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 года назад +8

      Shenzi ww ss km ujui maana unaropoka tu yy alo jijuwa mume Wamtu alifata nn saa sita nyumbani kwa nikole

    • @rubniyi3551
      @rubniyi3551 2 года назад

      @@nishaabdula5015 mwambie Nisha

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 2 года назад

      Nicole shenzii

    • @denisharris2889
      @denisharris2889 2 года назад

      Word

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +5

    Hapana uyo muongo iyo haingii akilini kbs uyo dada alikua analiwa na Harmonize saa6 usiku upelekewe pesa hapana hata mimi sikuelewi kbs

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 года назад +14

    Muongo aliwahi kusema alifanya kazi na Hamo bure leo anasema eti alifanyakazi

    • @footballnews6129
      @footballnews6129 2 года назад

      hajawahi kusema hivyo interview yeyote.

    • @naimakombo4576
      @naimakombo4576 2 года назад

      @@footballnews6129 alishawahi kusema fatilia vzuri

    • @footballnews6129
      @footballnews6129 2 года назад

      @@naimakombo4576 me nimeangalia interview zake zote toka mwaka jana ile.

    • @antoninakwekwe3853
      @antoninakwekwe3853 2 года назад

      Mbona uko naudaku wachana na mrembo wetu

    • @dangotee5051
      @dangotee5051 2 года назад

      @@antoninakwekwe3853 😀😀😀

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 2 года назад +5

    Harmonize kalila ili zigo kweupe😂😂😂

  • @antoninakwekwe3853
    @antoninakwekwe3853 2 года назад +6

    Nampenda sana huyu dem walai

  • @lillywanjiku621
    @lillywanjiku621 Год назад

    Nakupenda mamaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nicole kipenzi

  • @shakiraissa1170
    @shakiraissa1170 2 года назад +4

    Jmn jumaaaaa 😂😂 mara hii anayajua mambo ya salun 🤣

  • @lillywanjiku621
    @lillywanjiku621 Год назад

    I lov the gats swiry♥️♥️♥️

  • @fimbodaddy3249
    @fimbodaddy3249 2 года назад +5

    Juma una kisebusebu

  • @Noname-gg6bx
    @Noname-gg6bx 2 года назад +7

    Huyu demu sio mzuri sanaa wala nini sema kubandika matako makubwa tu

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 года назад +8

    Nicole kama nicole

  • @PAKA100STUDIOS.
    @PAKA100STUDIOS. 2 года назад +2

    Uhalisia wa maisha yetu upo kwenye filamu zetu, karibu katika familia yetu.

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 года назад +2

    Juma ni shida🔥🔥🔥🔥

  • @junoirbidaga5817
    @junoirbidaga5817 2 месяца назад

    Amekula muzingo wako uyo niongo ❤❤❤😊

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +1

    Hata ilo jibu amerijibu huku amestaki Aaaah ukweli anao moyoni kaliwa uyo

  • @haurahawari5828
    @haurahawari5828 2 года назад +2

    🤣🤣🤣nikole umenifurahisha eti usiku viipii??

  • @emmamuelfrank9342
    @emmamuelfrank9342 2 года назад +5

    Nimependa tu anavyojibu 😂😂

  • @user-cj7it7jx7z
    @user-cj7it7jx7z 3 месяца назад

    nakupenda

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 2 года назад +7

    Nicole una miaka 26....Nakuwaza ukifika miaka 40🤔

  • @ernestsebai737
    @ernestsebai737 2 года назад +7

    Uyu ali........ asitudanganye

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 2 года назад +5

    😁😁😁😁🤣🤣🤣😂juma noma

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 года назад +2

    Aya friend with benefits 😂😂

  • @faridahasani5544
    @faridahasani5544 2 года назад +10

    Juma kaona hera kavulugwa atar

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 года назад +2

    Wewe dada acha ujinga

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 2 года назад +6

    KONDE BOY 4EVERY BODY

  • @mohirabbi3922
    @mohirabbi3922 2 года назад

    Jamani wevi mbaya

  • @massoudjr6146
    @massoudjr6146 2 года назад +4

    Nicole Bwan

  • @ramathedon4001
    @ramathedon4001 2 года назад +3

    uyu kashagongwa na korosho

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 3 месяца назад

    Uyu dada anatoka kijijini

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 4 месяца назад

    Engekuwa ww je ufanyiwe hvyo kwa mumeo ungeona sawa

  • @daudabdallah7843
    @daudabdallah7843 2 года назад

    Nicole mwanamke anayejitambua kawakomesha wambea wa wasafi

  • @laizerlekisongo1216
    @laizerlekisongo1216 2 года назад +2

    Kweli nimeamin kuwa kuna chawaaa hapo

  • @halmamudy1
    @halmamudy1 2 года назад +2

    Sarah upo wapi unasemwa huku🤣🤣🤣🤣

  • @ritahnerima8056
    @ritahnerima8056 2 года назад +4

    Sauti mbovu

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 2 года назад +4

    Korosho haezi vumilia mzigo Kama huo uende na baridi tu rahisi,lazma alionja tu,bibi aliondoka coz korosho anapenda pussy

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d 4 месяца назад

    Ww dada mume anauma saa 6 ukae na mume wa mtu et useme shuting

  • @zaqiamhando8571
    @zaqiamhando8571 2 года назад +11

    Ila juma mnafk khaaa🤣🤣🤣🤣

  • @fhgggffhg7721
    @fhgggffhg7721 Год назад

    Ji

  • @CathyGodfrey-db5qm
    @CathyGodfrey-db5qm Месяц назад

    Makosa ya uy mdad alikulupuka too akutumia akili

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 2 года назад

    Juma juma juma mmh!!! Usutwa unaueza hasa!!!!! Sidhani kama wabembe wapo hivyo.... ..

  • @shadyabdallah7247
    @shadyabdallah7247 2 года назад +6

    🤣🤣Ila juma

    • @zakatadam2521
      @zakatadam2521 2 года назад

      Jamn Nicole. Ndio kajbadilish hvy kaangalien video y hakung

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 2 года назад

    Hahahaha Yaani juma mshenz

  • @diglahleeilah9089
    @diglahleeilah9089 Год назад

    Eti alisema aje😅

  • @jenifferkakuvi2600
    @jenifferkakuvi2600 2 года назад +2

    Saa sita za usiku?

  • @njalaalfredwithalimitedthi7676
    @njalaalfredwithalimitedthi7676 2 года назад

    Tunaomba mtuambie ni wap pameandikwa Mme wa MTU kukaa nae mwisho saa mbili, andiko gan hilo

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 2 года назад +1

    Lazima akuchukie kwani nyote ni mapaka shume tuuu hakuna kujua ushemeji au Nini Ila tu mkiambiwa male hip hop hapana kusita Malaya tuu nyie

  • @sheena8868
    @sheena8868 2 года назад

    Hukuwai kuwa na hisia ya kumpenda,eee

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 2 года назад +1

    ruclips.net/video/cTi4vOt4Wys/видео.html
    FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🔥🐉🐉

  • @fazilmalumalu2113
    @fazilmalumalu2113 2 года назад

    Walikata video kabla yakuona dada wawatu anaanza kumsifia harmonize

  • @nancymwangi6455
    @nancymwangi6455 2 года назад

    Ila juma ana utoto

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 2 года назад

    Ingekuwa ni weye ndo Sarah ungejisikiya aje

  • @user-yh8ny1nf3f
    @user-yh8ny1nf3f 24 дня назад

    Harmonize kapinga 😂

  • @aminapangusa
    @aminapangusa 2 года назад

    We a cha shobo kuwapaka watanzania kua hawasafiri we wajua kuna wabongo wangapi wako ma mbele hujui
    Au we wajua kua kwenda nigeria ndio bab kubwa acha hizo wabongo kibao 2po ma mble a ha matusi

  • @lookbabes8710
    @lookbabes8710 2 года назад

    Juma umbea itakuua

  • @tumpejackson6589
    @tumpejackson6589 2 года назад +1

    😂 😂 😂

  • @kondegangmusic5866
    @kondegangmusic5866 2 года назад +2

    Sara kala kichaporuclips.net/video/lmpA8RdJJZg/видео.html

  • @EsterJuma-qe8et
    @EsterJuma-qe8et 2 месяца назад

    .

  • @nasmaaboubakhary3081
    @nasmaaboubakhary3081 2 года назад

    So poah kwa wif yetu

  • @eliyazacharia3392
    @eliyazacharia3392 2 года назад

    ila mlikuwa mnazagamuana sa sita usik mnafany nin acha kutudangany bana

  • @frolajoseph184
    @frolajoseph184 2 года назад

    Ila waxafi mnamuhao na hamonaz

  • @colestmakoloo1500
    @colestmakoloo1500 2 года назад

    Jeshii

  • @flavourjellmaxofficiel3822
    @flavourjellmaxofficiel3822 2 года назад +1

    😂😂😂Diamond platnumz simba ka cheka sana baada yaku ona hii vidéo ebu jionee nawe u cheke🎥🎥👀
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/nzHStcK4g7g/видео.html

  • @jaymore6785
    @jaymore6785 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @irenemakange6153
    @irenemakange6153 2 года назад

    Nicol jaman

  • @candyjunior1566
    @candyjunior1566 2 года назад +1

    We juma wewe

  • @travismakini
    @travismakini 2 года назад +1

    🤣

  • @rusijuju3845
    @rusijuju3845 Год назад

    🤣😂😂

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 Год назад

    😂😂

  • @mirambovumilia4232
    @mirambovumilia4232 2 года назад

    Bosi wetu ametupiga marufuku hata kutaja jina HARMONIZE ndani ya ofisi zake,, we usikii tunavyo angaika kutumia tafsida,, eti mume wa fulani