Shabiby ataka laini za simu zichangie Bima ya Afya kwa wote, hospitali za Serikali zibinafsishwe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 апр 2024
  • Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameshauri kila mwenye simu akatwe Sh2,000 kila mwezi, wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakatwe Sh10,000 na hospitali, zahanati na viuto vya afya vya Serikali vibinafsishwe.
    Shabiby amesema hayo leo Ijumaa Aprili 5, 2024 wakati akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
    Amesema kuna wamiliki wa laini za simu nchini milioni 72 ambao makato yao kwa mwaka yataingiza Sh1.720 trilioni na zikijumlishwa za Sh10,000 kwa mwezi za wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi Serikali itapata kwa mwaka takriban Sh2 trilioni, zitasaidia kuwa chanzo cha mapato ya uhakika kwa Bima ya Afya kwa wote.

Комментарии • 6

  • @PhilipoMwita-ge2oj
    @PhilipoMwita-ge2oj 2 месяца назад +1

    Mbona unasema wabunge mtoe elfu15 kwanini msitoe milioni moja

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 2 месяца назад

    Hiii mijitu hii hailiziki yaani walianza kwenye miamala Leo tena kwenye line jaman ! Kama nyingi wabunge mnauzalendo na wananchi wenu ! Kwa nn ktk posho zenu msitoe kila siku mnavo kuwa bungeni ?

  • @user-it8su6ss5v
    @user-it8su6ss5v 2 месяца назад

    Hakuna shida sisi wananchi wa kawaida tutatoa ilanyie matajiri toeni million kwa laini

  • @dr.abdallahngenya9780
    @dr.abdallahngenya9780 2 месяца назад

    Mheshimiwa hajui analoliongea .. mtumishi wa umma anakatwa bima kwenye mshahara alafu pia uje umkate kwenye line ya simu ... Likifanyika hilo maisha ya mtumishi wa umma yatakuwa magumu sana

    • @YohanaKagambo
      @YohanaKagambo 2 месяца назад +1

      Ndo ratizo la kuwapa uongozi wahamiaji aende kwao afanye huo ujinga sio uku kwetu na chogo lake kama mwiko

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 месяца назад

    Huyu kaona ukweli, bila tozo ambayo Wananchi wote watachangia kamwe hatutafanikiwa. Wala msiwaulize Sana watu, kwani REA mlituuliza, au mfuko wa barabara, au maji. Afya ni muhimu kuliko umeme na barabara. Wasioitakia nchi mema ndio watakaopinga na si lazima tuwasikiliza. Wananchi wa kawaida wanunue bima ya shs 20,000 tu. Mkiliweza hili la bima tutakuwa mfano Africa.