MWANANCHI AMKOMALIA MAKONDA MBELE YA WANANCHI /MIMI MTATA/UNANITISHIA KUNIROGA/SIWEZI KUMRUDISHIA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Комментарии • 354

  • @Richardkomanya
    @Richardkomanya 2 месяца назад +9

    Makonda na Mimi napendaa kuwa kama wewe nifanyie mpango hapo

  • @topmanyota6760
    @topmanyota6760 3 месяца назад +8

    Makonda unajua unajua na unajua tena hongera sana

  • @ElidaimaMsuya
    @ElidaimaMsuya День назад

    Hongera mheshimiwa makonda kwa kazi kubwa unayoifanya yakuwatetea wanyonge nakuombea kwa mwenyezi mungu akutangulie. UZidi kupambaña usichoke wanyonge tunanyanyasika
    .

  • @hosianaminja7034
    @hosianaminja7034 3 месяца назад +20

    😂😂😂😂😂mikutano ya Makonda inafundisha sana

    • @DAVIDLUTHA
      @DAVIDLUTHA 2 месяца назад

      Licha yakufunfdisha inasaidia wanyonge kupata haki zao laiti kiongozi Mkuu wanchi angekuwa hivi natumaini kuwa hakuna ufisadi hakuna utapeli hakuna mwananchi mdogo kuonewa migogoro ya mashamba viwanja kubomolewa majumba kwakwe ingekuwa hakuna kila mwananchi angepata haki

    • @godfreyopiyo4840
      @godfreyopiyo4840 Месяц назад

      ​@@DAVIDLUTHA😢😅😢😢😢

  • @user-et2zr1pw8l
    @user-et2zr1pw8l День назад

    Uko vizuri sana makonda fanya kazi hata wakikejeri ukweli upo pale pale tu fanya kazi

  • @evodiuskalema2123
    @evodiuskalema2123 3 месяца назад +13

    Nakuelewa saana Paul makonda na tunakuelewa wananchi wa chini saaana Mungu akulinde makonda❤

  • @user-pw9pz5gj3s
    @user-pw9pz5gj3s 3 месяца назад +6

    Makonda Asante Sana kwakuwepo ukovizuri sna

  • @ElidaimaMsuya
    @ElidaimaMsuya День назад

    Hongera sana mheshimiwa a

  • @JaneBukuku-sy5pc
    @JaneBukuku-sy5pc 3 месяца назад +13

    Unatete nchi baba makoda nimekubari sana dogo

  • @raymondkaria1451
    @raymondkaria1451 3 месяца назад +2

    Ndg Paul Makonda nakuelewa sana Mungu akulinde na Kukuongoza kaka

  • @user-jg7tr4cc4m
    @user-jg7tr4cc4m 3 месяца назад +6

    Mungu akulipe makonda unafanya kazi kubwa sana😂😂😂😂

  • @awdhiamiri7451
    @awdhiamiri7451 3 месяца назад +15

    binafs namuelewa muenezi kazi ipo

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 3 месяца назад +9

    Arafu yanatokea majizi yanajitokeza kusema Makonda anaalibuchama. Makonda piga kazi

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 месяца назад +5

    Makonda umeisha mshika huyo amekubali mil6 na 8. Makonda kashika tayari huyo. Hongera mh makonda

  • @ramadhanseif4178
    @ramadhanseif4178 3 месяца назад +5

    Viongozi wetu mtutembelee ss wananchi wenu kamahivi makonda ww mungu akuongoze

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 3 месяца назад +5

    Rais Rais Rais ninakuomba umpe Makonda cheo awasemee wananchi Hawa, tazama Bado tuna Imani kubwa na chama cha Mapinduzi.❤❤❤❤❤❤

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 3 месяца назад +13

    Nampenda sn Makonda, piga kazi Baba!

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 3 месяца назад +21

    Ndio muelewe mijizi hinakimbiliaga ccm kuficha maovu yao,,

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 3 месяца назад +3

      Mitapeli na kila takataka ipo ccm

    • @user-bt3wt6nt4z
      @user-bt3wt6nt4z Месяц назад

      ​@@stellahwilfred5762chadema poleeeeee😂😂😂😂😂😂

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 25 дней назад

      yeah nimegundua kule wanajificha ili waogopwe kwa sababu ya umaarufu wao wa kwenye chama

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal 2 дня назад

    Hahaha😂😂😂😂 hyo ndyo tunduma usikute mzee wawat kavurugwa

  • @user-yy1qr5bx9m
    @user-yy1qr5bx9m 3 месяца назад +4

    Makondo MUNGU akutunze mimi mtani wako (gogo) nakuombea sana ni kazi njema kusikiliza kelo za wananchi.

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 3 месяца назад +8

    Makonda MTU makini mno.Maswali yako ni hakika na yaliyonyooka.pokea🎉🎉🎉🎉

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 25 дней назад

      Jamaa ana uwezo mkubwa sana wa hoja kuwazidi wasomi wengi mno

  • @VictoriaKetegwe
    @VictoriaKetegwe 3 месяца назад +2

    Mungu akulinde mhe.Makonda ..Mhe.mama yetu Samia Mungu akulinde.tutatua matatizo ya wananchi.5 Tena mama

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 3 месяца назад +6

    Tusaidie baba, Mungu akutunze baba.

  • @DAVIDLUTHA
    @DAVIDLUTHA 2 месяца назад +3

    Fanya kazi Makonda nimekubali uko vizuri

  • @zuwenaissa8628
    @zuwenaissa8628 3 месяца назад +2

    Nakuombea sana ufike mbali

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 5 дней назад

    Mhe.Paul Makonda tunakukalibisha humu kwetu Nyadarua county

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 месяца назад +3

    nitapeli huyo maana anavyo jikanyanga😂

  • @pilladtradersupdates6568
    @pilladtradersupdates6568 3 месяца назад +2

    Matapeli ni wengi TANZANIA

  • @IbraZeboy-fu3js
    @IbraZeboy-fu3js 3 месяца назад +2

    baada ya makufuri ni wew kazi kazi

  • @hamisisteven2018
    @hamisisteven2018 11 дней назад

    Hakika namuona mgufuli magufuli kwa mbali huyu jama napenda sana

  • @user-bt3wt6nt4z
    @user-bt3wt6nt4z 3 месяца назад +4

    Nakuona magufuli wa sasa❤❤❤😂😂😂😂

  • @elishashijashija8472
    @elishashijashija8472 2 месяца назад +1

    Mheshiwa makonda Mungu akuzidishie sana wema uliona nao wa kuwatatulia changa moto Watu, vijana tuna kupenda sana

  • @EliakimKibiki-wl8yb
    @EliakimKibiki-wl8yb 3 месяца назад +1

    Sahih

  • @NgongwaNasoro
    @NgongwaNasoro 4 дня назад

    Makonda Fanya Kaz baba Mnguhakulinde Hakuzidishie Nguvu

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 19 дней назад

    Asiye na shule anafanya makuu,Hongera RC Poul Makonda,mtu ana aibu eti usichanganye mkuu hataaoni haya ukweli siku zote utabaki na huongo unadhirika waziwazi,na rudi tena kusikiliza tena siasa baada ya Jpm .

  • @JacobKipamba
    @JacobKipamba 25 дней назад

    Asante kiongozi bora

  • @user-vy6vq2fp5w
    @user-vy6vq2fp5w 7 дней назад

    Hii kesi ningepewa kuiamua mmi angependa huu mzee tapeli

  • @MarisMaris-nr7fd
    @MarisMaris-nr7fd 22 часа назад

    Et anaonea wamama n wabibi😂😂😂😂😂😂

  • @JAMII_DIGITAL.
    @JAMII_DIGITAL. 3 месяца назад

    Nice

  • @NazirWaijaa
    @NazirWaijaa 13 дней назад

    Good approach

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n 3 дня назад

    Chezea mitego ya Makonda?utaingia kwenye18zake tuu

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад +2

    Wezi tu watumishi 😂😂😂

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal 2 дня назад

    Makonda nakubari

  • @mtebebroscar729
    @mtebebroscar729 12 дней назад

    Unafaa kuwa rais wa nchi hii

  • @user-eu7jo4lx1c
    @user-eu7jo4lx1c 3 месяца назад +1

    Ah kuna watu ni watu

  • @SumakuSasa
    @SumakuSasa Месяц назад

    Kazi kazi makonda

  • @EmmanuelKamank
    @EmmanuelKamank Месяц назад

    Sana jembe mungu awe mbele yako

  • @IreneWoisso
    @IreneWoisso 18 дней назад

    Fanya KAZI baba ❤❤

  • @FromHer-me1hy
    @FromHer-me1hy 12 дней назад

    Unabaya makonda bola nife we uish2

  • @JohnStephano-cy3bo
    @JohnStephano-cy3bo Месяц назад

    Hatari sana

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 10 дней назад

    Wanamchanganya ty baba wawaty

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 месяца назад +1

    Na mimi nimewasha ukuu sijui kama imeonekana.

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 3 месяца назад +3

    Samia tena aaah

  • @PAULNZUYU
    @PAULNZUYU 3 месяца назад +3

    Sheria ifuate mkondo

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 месяца назад

    Hapo patamu sana

  • @halidiomari-gs4sv
    @halidiomari-gs4sv 3 месяца назад

    😊

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 3 месяца назад +1

    shenzi hivi vizee

  • @MariamuDaniel-bq8xe
    @MariamuDaniel-bq8xe 3 месяца назад +1

    Jaman huy niwizi

  • @SholomelaDaudi
    @SholomelaDaudi 16 дней назад

    Duuh mbona hatari

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 месяца назад +9

    Mbona Watu Mnasema Habari Za Mahakama Nyerere Alisema Muda Mwingine Kiongozi Uwe Kama Chizi Ndipo Watu Wakuelewe Sasa Kama Mahakamani Shelia Za Kesho Keshokutwa Wacha Raisi Apitishe Kauli Yake Na Ya Chama Alafu Vizuli Zaidi Wananchi Ndio Wako Kwa Ajili Ya Kujua Tuliowapa Zamana Wanafanya Mambo Gani Haki

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 3 месяца назад +1

    Haya ni maigizo ya wazi😂

  • @makantaafrika
    @makantaafrika 2 месяца назад

    Hahahahaha kwa hiyo hapo ndiyo mahakamani???!!!! Tanzania Elimu bado sana!

  • @user-wh7yf8rp5g
    @user-wh7yf8rp5g Месяц назад

    Kazi ipo

  • @abdurazackimimu7743
    @abdurazackimimu7743 3 месяца назад +3

    Mimi nilishadhurumiwa kiwanja na kuuziwa na mwenyekiti wa kijiji ila kwa sasa ni marehemu Mwenyezimungu amsamehe dhuruma ni mbaya sana nikikumbuka nilivyoitafuta hiyo hela kwa shida daaah!

  • @CharlesMapinda
    @CharlesMapinda Месяц назад

    2:25 safii😂😂😂

  • @user-zt4yd2ht4b
    @user-zt4yd2ht4b Месяц назад

    Mkuu muheshimiwa makonda hawk wenye kiti na wajumbe wapowengi wanajifanya niwajanja wakisha pewa uwongozi wadabishe has a we we unafaa kuwa raising kama magufali mungu akutangulie.

  • @meshackjiskaka2818
    @meshackjiskaka2818 3 месяца назад

    😮❤

  • @ayubzaka1598
    @ayubzaka1598 3 месяца назад +1

    Bongo hakuna sharia kabisa mambo ya zamani sana

  • @zuwenaissa8628
    @zuwenaissa8628 3 месяца назад +1

    Makonda oyeeeeeee

  • @charlesmarwa6448
    @charlesmarwa6448 3 месяца назад +1

    Huyo mzee ni kibaka kabisa.❤❤❤🎉😢😢😢😅😅😅

  • @PaulKalanga
    @PaulKalanga 23 дня назад

    Huyo ni tapeli mkubwa sana

  • @saidyusuph7357
    @saidyusuph7357 3 месяца назад +4

    Makonda kasomea sheria au anagombea matatizo! Hiyo kazi ni ngumu sana. Maana wenye matatizo ni wengi zunguka na watu wa sheria

    • @fatumamilimo7336
      @fatumamilimo7336 3 месяца назад

      wanasheria kama woteee anatembea nao

    • @reubenmajambo1270
      @reubenmajambo1270 3 месяца назад

      Kweli wananchi wanaonewa sana

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 2 месяца назад

      Ana wanasheria ndio maana akisikiliza watu anawambia nenden kwa mtu fulan mkaandike maelezo atafatilia

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 20 дней назад

    Kiti chako kiko mbinguni❤❤

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 3 месяца назад +3

    Kunawatu wana yatimba live live

  • @MahmoudTwalib
    @MahmoudTwalib Месяц назад

    Mungu afikishe muheshimiwa mako danda hadikufia uraisi naawe nahosafi hi hi alokua nayo

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 2 месяца назад

    Hii nimeipenda😂😂😂😂

  • @ElizabethMushi-cl5jc
    @ElizabethMushi-cl5jc 3 месяца назад +3

    Uliaandikaje mkataba bila kupewa pesa

  • @obbytouchez_pro9430
    @obbytouchez_pro9430 2 месяца назад

    Yaani Tanzania hii nzuri sana nyie mpaka nimeangalia mpaka mwisho 😂😂😂😂😂😂

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 месяца назад +6

    Makoda mdogo wangu pigakazi wengi nimatapeli wanatuaribia chama wanyonyoe hao

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 2 месяца назад +1

    chadema ishavukaga hapo tunakuzuga mambo yaende tukutane kwenye uchaguzi kwa katiba. mpyaa.

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 3 месяца назад +1

    Hawa wanatuharibia chama

  • @Kijavaa_jr
    @Kijavaa_jr 3 месяца назад

    😂😂Nacheka jinsi jamaa alivyo jichanganya mwenyewe

  • @richardmfinanga6222
    @richardmfinanga6222 3 месяца назад

    Mmmmm

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 3 месяца назад

    Makonda yani unaturudisha ccm na tunarudi wenyewe, mungu akulinde

  • @imakitori399
    @imakitori399 25 дней назад

    Hao ni hayo hayo ma CCM

  • @katondostudio652
    @katondostudio652 3 месяца назад +2

    Makonda jamn. Kuna zawadi yako mbinguni

  • @DIRHungweTv2023
    @DIRHungweTv2023 Месяц назад

    Makonda akiwasha

  • @JaneBukuku-sy5pc
    @JaneBukuku-sy5pc 3 месяца назад +1

    Nakupeda sana makonda washa toshi makongoroshi chunya 15:54 😅

  • @consomaslani7522
    @consomaslani7522 3 месяца назад +2

    Makonda kiboko 😅😅

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 месяца назад +3

    Yaan Mhe Makonda wewe Jembe. Endelea hivyo hivyo.

  • @faisariswidick6564
    @faisariswidick6564 6 дней назад

    Makonda kipenzi cha watanzania

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 3 месяца назад +1

    Mambo 😂😂😂

  • @KijuuShaban
    @KijuuShaban Месяц назад

    Apewe uraisi huyooo Paul makonda

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 3 месяца назад

    Feroz🎉

  • @hubertmwemezi8426
    @hubertmwemezi8426 Месяц назад

    Uyu mzee nimependa msimamo wake

  • @user-si4ih6hi6x
    @user-si4ih6hi6x 3 месяца назад

    Uyo Mzee Mtata amezoea zuruma

  • @MonyaichiJulius-sb2td
    @MonyaichiJulius-sb2td Месяц назад

    Haki nimekuelewa mweshimiwa Mungu akutunze ututeteee

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 месяца назад

    🔦

  • @user-zu9jg8hx5l
    @user-zu9jg8hx5l 3 месяца назад +2

    MH MAKONDA USIRUDI NYUMA WANANCHI TUNAKUPENDA

  • @user-pw9pz5gj3s
    @user-pw9pz5gj3s 3 месяца назад

    Makonda nakukubari sana baba