🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 апр 2024
  • 🔴#Live: MAKONDA AWASHA MOTO - AWASIMAMISHA WATUMISHI -''HUWEZI KUJIELEZA - UMEPATAJE HII NAFASI?''
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 192

  • @AidelyChawala
    @AidelyChawala Месяц назад +9

    Wewe dogo makonda siku zote nilikuwa nakuombea tulimiss hizi hekaheka nakupenda dogo mama akimaliza mda wake hakika wewe ni hazina ya taifa letu pia ni kiboko wa wazembe mafisadi pia katika ubunifu hakuna wakukufikia ktk nchii ubarikiwe sana mungu wa mbinguni akubariki sanaaa!

  • @khasanimiraji
    @khasanimiraji Месяц назад +8

    Mheshimiwa makonda tunakuombea Dua nyingi sn .umenyooka kama rula hongera sn kwa kazi nzuri sn

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Месяц назад +4

    I Salute you Mhe Makonda 🌹👍🏽👌🏽💯 Mwenyezi Mungu Akuongoze 🤲🥰🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 Месяц назад +1

    Mama doctor Samia mungu akubariki sana kwa maono yako naomba makonda asibadiliike kulingana na mazingira mama huyu ni mchapa kazi mana God bless you!❤

  • @julypetros7692
    @julypetros7692 Месяц назад +1

    I salute you my brother makonda . God bless you sir

  • @lulendakamata9184
    @lulendakamata9184 Месяц назад +8

    Makonda Mungu akubariki sana!! Wakulete Mwanza ili nasi tunufaike!

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 Месяц назад +1

    Mweshimiwa Makonda. Hongera zako. Unafanya vema sana. Na nao wataalamu wa barabara bila mitaro, kazi chafu. Ni loop hole zao zikiharibika wanashangilia wapate kapiga dili. Kwa ujumla hakuna darasa hapo. Mungu akubariki. Kazi iendelee.

  • @RHODAMWAMBWALA
    @RHODAMWAMBWALA Месяц назад +3

    Makonda oyeeeeeeeeeee

  • @mrrichardnyantika2297
    @mrrichardnyantika2297 Месяц назад +1

    Hi watching from kenya

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 Месяц назад +3

    Makonda ni saa 8 usiku sasa sijalala jinsi ninavyokufuatilia I salute you ni kiongozi bora na si bora kiongozi nakufunika kwa Damu ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu Aliye Hai. Mama yetu Mungu amekuongoza kumteua tena huyu Kijana wetu Mungu anakupenda saana Mama TZ sasa Imechemka wakuu wa Mikoa wengine watakuwa nao na amsha amsha na ufuatiliaji kwani uongo mwingi kwa wakurugenzi walijisahau saana uwajibikaji

    • @samsonmisik5382
      @samsonmisik5382 Месяц назад +1

      Si mtupatie huyo makonda hapa kwetu kenya?

  • @mrrichardnyantika2297
    @mrrichardnyantika2297 Месяц назад +1

    Nakupenda makonde

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 Месяц назад

    Jamaa yuko vizuri sana....!

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 Месяц назад +1

    Mkurugenzi umejieleza vizr na kazi yako ni nzuri MUNGU akubariki

  • @user-po3qj8gb7e
    @user-po3qj8gb7e Месяц назад

    Daaa makonda mdogo wangu mungu akulinde na husda akupe maisha malefu rais wetu wa baadae asante

  • @zakayolukumay
    @zakayolukumay Месяц назад +3

    Unafaa kutunukiwa Ph. D ya heshima ya uongozi. Hongera sana RC Makonda

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Месяц назад +5

    God bless you
    Waamshe hao viongozi
    Wana kiusingizi
    Toka tumtoke Magufuli

  • @elikanamusa
    @elikanamusa Месяц назад +1

    Makonda na sifa ya kuwa kiongozi maana kwa wale waliosoma blue taxonomy au blue print sahivi tunahitaji level ya juu yaani applying, Creating 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 waeleze vizuri

  • @masoudmassamon7318
    @masoudmassamon7318 Месяц назад

    Big up broh ure in good and blessed way

  • @user-fy4hd9go2s
    @user-fy4hd9go2s Месяц назад

    Congratulations bécasse thé way you manage your people is si right

  • @masudimikidadi4741
    @masudimikidadi4741 Месяц назад +9

    Makonda atabaki kuwa makonda tu hawezekaniki tumpe inchi jamani tusonge mbele

  • @saldinthegreat2264
    @saldinthegreat2264 Месяц назад +3

    I WISH VIKAO VYOTE VYA WAKUU WA MIKOA VIWE LIVE KAMA HIVI

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 Месяц назад +1

    Usife usioze Mh.. Makonda. Mungu akulinde utokapo na uingiapo na popote utakapokanyaga Mungu Babaakutangulie.wewe Musa hakika umekuja kutukomboa Watanganyika k ...

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl Месяц назад +2

    Nakuonea huruma makonda wangu kupambana na watu walioko nyuma yapazia but watanzania asilimia / 80 ya watanzania wanakukubali

  • @ephraimmakaranga1795
    @ephraimmakaranga1795 Месяц назад +1

    Big up sana Makonda mungu ukubariki sana

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 Месяц назад

    Huyu kiongozi the way anavyoongoza kikao na kuhoji maswali yenye mantiki na kubaini longo longo, hakika utaona kwamba ni kiongozi makini sana sana na anaeelewa zaidi ya anaowaongoza .... Excellent 👏👏👏

  • @ayshamramba7155
    @ayshamramba7155 Месяц назад +7

    Nimewahi kusema Mungu Mbariki Makonda

    • @dicksonlango7537
      @dicksonlango7537 Месяц назад

      Mungu ana makusudi mema na huyu mtu ndo maana wabaya hawampendi....!

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 Месяц назад +3

    Sina baya na makonda mwanangu sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mwana siyo sinich

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +2

    Mama samia nakupa hongera na maono yako ya kuona mbali nakusifia sanaaaa hapa umecheza Bibi kumteua Makonda kweli Mungu ana makusudi nzuri sanaaaa kuifufua Ccm ya Chama kwanza mtu baadae Mungu skupe afya njema 2024 2025 2530 kweli Tanzania ni nchi ya amani

  • @user-ru1yk6tc7w
    @user-ru1yk6tc7w Месяц назад +4

    Nakukubali makonda

  • @user-ur8gz8dk5c
    @user-ur8gz8dk5c 22 дня назад

    Kiongozi wangu muda wote💪💪

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 Месяц назад +7

    Ni viongozi wa chache katika inchi hii wenye fikra kama ulizonazo Makonda na Samia angelikuwa anafanya kama hayo tunge mielewa

  • @toyi7605
    @toyi7605 Месяц назад

    Mungu akupe guvu katika kazi uliyo pewe na mungu

  • @rehabuarsonramson7082
    @rehabuarsonramson7082 Месяц назад

    Good question, unapataje hii nafasi

  • @hamadihamis96
    @hamadihamis96 Месяц назад +2

    Watu wanaomsema vibaya Makonda hua wananishangaza sana. Huyu jamaa Angekua waziri mkuu tungeendelea sana

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 Месяц назад +6

    VIONGOZI WAKUIGE KUCHAPA KAZI WA MALENGO , HUKU UKISHIRIKISHA MAWAZO YA WATU UNAOWAONGOZA. MUNGU ATAKUJAALIA NA UONEVU HAUTAKUWEPO

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +1

    Mwanangu yaan kwenye peg yako bila kukuona sina amani hata kidogo kama kwenye peg yangu ya Timu ya Simba siwezi kulala hata kidogo bila kuwaona.Yaan we unaweza uongozi kama dada Sendega RC Manyala mnatisha sana.❤❤❤❤ 👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Месяц назад +1

    makonda❤❤❤❤❤❤❤

  • @kassimyusuph9470
    @kassimyusuph9470 Месяц назад

    Mungu akuzidishie kk

  • @user-lf3vd1xx2p
    @user-lf3vd1xx2p Месяц назад

    makonda Mungu akuta ngulie kazi yako njema

  • @faustinekarama978
    @faustinekarama978 27 дней назад

    Hongera mkuu bado kuna madudu tupambane

  • @msemegeorge2834
    @msemegeorge2834 Месяц назад +3

    Hiki ni chuma kilicho andaliwa na mungu mwenyewe hongera sana Arusha tegemeeni mambo makubwa sana kupitia mwamba huyu huyu

  • @JohnKamugunga-ee3rt
    @JohnKamugunga-ee3rt Месяц назад +2

    Hakika unacha ziada Mungu aendelee kukulinda.

  • @KenethKomba-pj6id
    @KenethKomba-pj6id Месяц назад +2

    Makonda safi sana

  • @MrajJong
    @MrajJong Месяц назад +1

    Fanya kazi yako kaka

  • @johnjescajohnjesca
    @johnjescajohnjesca Месяц назад

    Mungu akubariki makonda, nakuombea uje mkoa wa Geita.

  • @user-po3qj8gb7e
    @user-po3qj8gb7e Месяц назад +1

    Mama ulichelewa wapi kumuingiza makonda selikalini?

  • @WazirJuma-gd5oo
    @WazirJuma-gd5oo Месяц назад +1

    Makonda hanaga unafiki laiti laiti watendaji wote wangelikuwa hivi, hii nchii ingekuwa mbali sana ila viongozi wengi niwasaka tonge

  • @user-wc8eb6nk6l
    @user-wc8eb6nk6l Месяц назад

    Daa makonda mungu akutunze utumishi wako na sawasawa.

  • @kassimyusuph9470
    @kassimyusuph9470 Месяц назад +1

    Ilojitu latarula linaonekana kunamtu kariweka sasa halijui hata,kujieleza asante kk enderea kututolea madudu

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 Месяц назад +1

    Kumbe viongozi ni vilaza hawajui tofauti yakutengeneza na kujenga

  • @user-sv9cl2qj7e
    @user-sv9cl2qj7e Месяц назад +2

    Magufulification in makonda aliyeon hili lik zng

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 Месяц назад +1

    Mama doctor Samia kwa maono yako nakuonba nakuomba Sabaya mnyoosha inchi mama mfikirie❤

  • @aloycekaguhi7959
    @aloycekaguhi7959 Месяц назад

    Big up makonda tunakuamiini sana

  • @meadaephraim648
    @meadaephraim648 Месяц назад +1

    Mweshimiwa Mkuu wa Mkoa barabara zetu za mitaani hazifai hata mgonjwa kupeleka hosipitali ni kazi kubwa.

  • @josephsisa8139
    @josephsisa8139 Месяц назад

    10:28 Nice makonda

  • @GiftiMngongo-nc8hn
    @GiftiMngongo-nc8hn Месяц назад +1

    Safi makonda

  • @libeberu
    @libeberu Месяц назад +1

    I still have questions about Makonda's approach to government officials. As a leader, you must share your expectations in your colleague's speech and not force someone to speak what you think, even if you haven't directed them on what to say in their speech.

  • @abdallahmohammed6634
    @abdallahmohammed6634 Месяц назад +1

    Uyu baba makonda ni mwamba na apendi wanyonge wakionewa leo sisi bodaboda ametuacha tunatembea kifua mbele chapa kazi baba najua mafisadi awatapenda unachokifanya ila mwezimungu ndio atakaekulinda kwanguvu zote asante.

  • @JosephSongolo-lb9fr
    @JosephSongolo-lb9fr Месяц назад

    Nakukubali sana makonda namuona mzee magu huyu hapa.mungu akulinde brothe,ila broo mmetusahau sana vinyozi hamtupi Frusa kabisa hata kutunzungumzia .

  • @mwajabuswedi2252
    @mwajabuswedi2252 Месяц назад

    Karibu sana Arusha

  • @JohnMnjoi
    @JohnMnjoi Месяц назад +1

    Mnkonda anaweza

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 Месяц назад

    Daah, Makonda anajua kubana....kambana Eng wa maji hadi makofi aliyopigiwa yamepotea.....!!!!

  • @MahmoudTwalib
    @MahmoudTwalib Месяц назад

    Muheshimiwa makonda hiyo rohoya ko nzuri ulokua nayo .mm nakubashiri utafika hadi nafasi ya uraisi mungu akulinde nakila baya

  • @zakayolukumay
    @zakayolukumay Месяц назад

    Hongera sana RC Makonda kwa maono ya kuiendeleza Arusha. Karibu sana Arusha.

  • @user-ri8ch2hs3m
    @user-ri8ch2hs3m Месяц назад +1

    Tungekuwa na wakuu wa mikoa 10 tuu wa aina ya Makonda watendaji wazembe wa nchi hii wangeomba poo

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i Месяц назад +1

    Hili kimbilio la lugha ya et wananchi wa kawaida mara eti wananchi hawa masikini toka maneno haya yasemwe yamtusaidia nini ka si maigizo yale yale ni kama kujigeuza umagu katika kutafuta kiki zile zile na watu bado wanagalagala kwenye tope lilelile this is mamba life styles!!.

  • @manasecharles894
    @manasecharles894 Месяц назад +2

    Mwamba🤛🤛

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Месяц назад +1

    Makonda yani kunaroho ya urais

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Месяц назад +1

    Lakini zile hotel alizofunga Buldoza wakati ule alipoamua kuua utalii Arusha,Leo zingejenga zingine nyingi tu! Ukisema tumeletewa royal tour tuchangamke, nyumba haziwezi kuoteshwa kama uyoga!

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam Месяц назад +1

    Makonda nakukubali sana wewe Kama wewe Kwa sababu nimkweri. Ila CCM. Hapana

  • @neemacocorico2022
    @neemacocorico2022 Месяц назад +1

    Makonda ni chaguo la Mungu.Ana akili kubwa sana

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re Месяц назад +1

    Mh. Makonda kujenga na kurekebisha Barbara Ni kwamba Kuna watu wahenga Barbara na watu wakuangalia Barbara kila siku Zina Hali gani. Zamani Sana kulikuwa na neno PWD kwa utani Ni Punda Wengi Duniani hao ndiyo kwa Leo ndiyo TARURA lakini hakuna kitu Bora wabaki idara ya ujenzi.

  • @HusseinPandu-ok2pn
    @HusseinPandu-ok2pn Месяц назад

    Piga kazi Comrade

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 Месяц назад +1

    Ila jamaa yuko vizuri, sema tu wengine hawampendi coz hapendi maujinga kama uzembe wanyonge kuonewa na zaidi wivu tu....!

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 Месяц назад +2

    Hili ni bunge kamili

  • @goldensilver210
    @goldensilver210 Месяц назад

    Mokonda 👍

  • @user-fe5xx5os7b
    @user-fe5xx5os7b Месяц назад +1

    Hongera Sana Brother Makonda Tupo pamoja na wewe Msaidie Mheshimiwa Rais Usisikilize maneno ya wanafki Mtegemee Mungu Tu na Umsaidie mama yetu Rais Samia

  • @albertmlelwa2912
    @albertmlelwa2912 Месяц назад

    Drk Rais Samia hakukosea kulipata jembe kama hili ni bonge la msaada mkubwa katka mafanikio yote ya raisi👏👏👏🤩

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад +4

    Chuma nguvu moja 💪💪💪💪

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam Месяц назад +1

    Makonda mafisadi wamekupiga Vita ktk nafasi ya utendaji wa chama cha CCM . Lakini umetisha kaka unachapa kazi. Mama anaona pia atatambua wewe mtoto wake. Sio mchezo

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 Месяц назад +1

    Ndungu yetu makonda watanzania tuna kuitaji kuwa makini naviongozi wenzio makini ndungu

  • @GeraldodingoSamson
    @GeraldodingoSamson Месяц назад

    Makonda yupo vzr

  • @ZaycargoMovers-vx6lf
    @ZaycargoMovers-vx6lf Месяц назад +1

    Halmashari ya Arusha ni wapigaji

  • @dicksonlango7537
    @dicksonlango7537 Месяц назад +1

    Makonda hapendi vitu shallow shallow kwa viongozi....!

  • @TalibAwadh
    @TalibAwadh Месяц назад

    Naomba namba mhe. Paul makonda

  • @elikanamusa
    @elikanamusa Месяц назад +1

    SAWA kiongozi huna mbaya😂😂

  • @luckymartin.
    @luckymartin. Месяц назад +1

    wange kuwa wanaonyesha hiyo miladi

  • @raheebraheeb-vd7qv
    @raheebraheeb-vd7qv Месяц назад

    Bro nakupenda Kwa umakin wako Niko nje ya NCH KITI chako hicho Nami naamin utakuwa Rais siku moja❤❤

  • @user-es8vq5vk6l
    @user-es8vq5vk6l Месяц назад +1

    Arusha tunaenda kubarikiwa

  • @songeza
    @songeza 26 дней назад

    Makonda kiboko hata mama atakuachia kijiti makonda oyeeeee

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 Месяц назад

    Hapo patamu

  • @dundocostantine4018
    @dundocostantine4018 Месяц назад +1

    Washa moto Ndg Makonda Arusha ina mtu na Nusu.

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 Месяц назад +1

    Mbona kama naanza kumwelewa Makonda?

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +2

    makonda mjanja sana ,saivi Tanzania nzima ina mfatiliaa uraisi nikugusa tu

    • @issaidrisamusa5962
      @issaidrisamusa5962 Месяц назад

      Suala la uraisi sio jambo ndogo kuliko kawaida. Aguse kama fomu yenyewe atapewa kujaza

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 Месяц назад

      Acha kuongea kishabiki wewe.. eti urais ni kugusa tu.. khaaa we vp wewe? ikiwa alitaka tu kugombea ubunge magufuli alimkata jina lake na akamtumbua juu Kwa juu.. Leo ndio apewe urais ?? Unadhanj urais ni cheo Cha kupewa tu mtu hivyo hivyo?

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 Месяц назад

      @@ibrahimally8073 umenikumbusha Mbali Ndugu, Ilikuepo Na Ipo Shida Mahala.

  • @songeza
    @songeza 26 дней назад

    Mh. Ebu mwambie na RC wa mbeya afuatilie tasafu ulipaji wao c halali mama mmoja kipofu anaishi na binti wanamlipa sh 20,000/- kwa miezi tele sio kila mwezi

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 Месяц назад +1

    Soko La Madini Lirudi Arusha Makonda Mji Uchangamkee.

  • @erefeconc
    @erefeconc Месяц назад

    pambanaa baba Makondaa

  • @nashonkibayayu3776
    @nashonkibayayu3776 Месяц назад

    Uzuri wako mh. Makonda, ni muwazi! Hahitaji majungo. Ni hago Kwa hapo. Lakini pia ni mfundishaji, lakini pia anafanya kazi kwa vitendo.

  • @ZaycargoMovers-vx6lf
    @ZaycargoMovers-vx6lf Месяц назад +1

    Wapigaji tu hao

  • @MosesLaurent-go5ee
    @MosesLaurent-go5ee Месяц назад +1

    makonda wakupeleke shinyanga au Geita tunaibiwa mno