MAAJABU ya BAHARI YA SHETANI au PEMBE YA JOKA - Eneo lenye mauzauza ya kutisha zaidi yale ya BERMUDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 79

  • @SheikhNassorMuhammad
    @SheikhNassorMuhammad Год назад +4

    هَٰذَا خَلْقُ اللَّهِ فَأَرُونِي مَاذَا خَلَقَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ ۚ بَلِ الظَّالِمُونَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
    Huu ni uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Basi nionyesheni wameumba nini hao wasio kuwa Yeye! Lakini madhaalimu wamo katika upotovu uliyo dhaahiri.

  • @rosecute4904
    @rosecute4904 Год назад +7

    My favorite channel sns ❤️❤️

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Год назад +2

    Dunia hii ina mambo mengi ya ajabu sana. Kazi nzuri Sky 🔥🔥🔥🔥

  • @AlexMasawe-m9r
    @AlexMasawe-m9r Год назад

    Nakubali zana makala zako

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 Год назад

    Hii kwangu mpya, shukran Sky

  • @maigathomas2353
    @maigathomas2353 Год назад

    Jamaa anajua kusimulia sana

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 Год назад +5

    Jamal april ajiangalie, sky anakuj kupindua meza kibabe kwenye hizi simulizi✌

    • @mirajimwango5763
      @mirajimwango5763 Год назад

      kabsa mzee aongeze tu na backround iwepo kama ivo

    • @teophilletus8969
      @teophilletus8969 Год назад

      Anakuja mar ngapi

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 Год назад +2

      Sio kweliii jamal anatoa ufafanuzi na anachimba sana ila sky anapita juu juu tu hawez na hamuewezi jamal jamal ni next level mzee

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 Год назад +1

      Sikiliza hiii halafu nenda kasikilize ya jamal uone utofauti na sikiliza area 51 ya sky na ya jamal ndo ujue jamal ni mnyama

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 Год назад

      @@jumaabas6837 utajua ww na Jamal wako, sisi tunamuelewa Sky

  • @wilondjamwenebatu5485
    @wilondjamwenebatu5485 Год назад

    Hongereni sana

  • @augustinolessa9405
    @augustinolessa9405 Год назад +5

    SNS napata kila nachohitaj love it

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 7 месяцев назад

    nilipitiwa Na hii Ni noma

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +1

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @kulwanzobe7657
    @kulwanzobe7657 Год назад +1

    Huwa naenjoy Sana kusikiliza makala 360 nawapenda Sana SNS

  • @shadrackmwampote4615
    @shadrackmwampote4615 Год назад

    I like the way you narrate

  • @subirafelix7413
    @subirafelix7413 Год назад +1

    Big up Sns

  • @mswamatrick7868
    @mswamatrick7868 Год назад +4

    Hope makala 360 ipo kila siku mana there is a lot to cover out here, so please keep it up the good work

  • @nishimweguy9135
    @nishimweguy9135 Год назад

    Nampenda sana Frédérick bundara hapa sns

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 Год назад

    Makala 360 ni🔥🔥🔥🔥

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Год назад +2

    Duh paka naogopa

  • @fatumadjumbe2714
    @fatumadjumbe2714 Год назад

    My favorite channel ❤️ 💕 💓

  • @dantemaina6008
    @dantemaina6008 Год назад +1

    Me n mkenya Ila napenda ii channel Sana sana sijawaii kosa kuwatch any video mumepost kazi nzurii Sana sns

  • @rjb31
    @rjb31 Год назад +2

    Bro Sky
    You never disappoint
    In narrations
    #SnS never die up
    🙏🙏🙏🙏🙏🧠

  • @danielsanga8730
    @danielsanga8730 Год назад

    Huyu mwambaa duuuuu! 🙌🙌🙌

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Год назад

    Habari. Sky tulete stor ya ginimbi kwa uchambuzi zaidi

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Год назад +4

    Hapana, hayo maeneo ya Bermuda triangle maji yake yametulia sana hakuna dhoruba (KUNA WAKATI YALE MAJI HUWA YANAVUTA KWENDA CHINI TENA KWA NAMNA YA AJABU).
    Meli huwa zinapita kipindi ambacho maji yametulia kwasababu kuna technology ya kutazama Hali ya hewa ya maeneo hayo kabla ya meli kupita

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Год назад

    Mashaallah sns pamoja🤞

  • @tresorkabongo8758
    @tresorkabongo8758 Год назад +19

    Kama mtasoma hihi comment nataka mfanye makala reincarnation conspiracy, makala ya Atlantis saviors

  • @Manswabu
    @Manswabu Год назад

    Our lovely channel

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Год назад

    Mtupe pia story ya ndege zilizopotea pasina kupatikana(Especially ile ya Malaysia)

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Год назад +2

    Habari, naomba utuletee makala ya "AGARTHA THE ADVANCE CITY/COUNTRY INSIDE HOLLOW EARTH "

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. Год назад

    Sema we jamaa talented sana sio siri. Nikianza kusikiza makala nikasikia sauti yako ndio inarun the show huwa natulia kama nipo kwenye U.E

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 Год назад

      Tunataka yule jean men ndo asimulie sky atulie

    • @BikomboAbdala
      @BikomboAbdala Год назад

      ​@@joshuamakota6714haitanoga magic voice hapa sio mahala pake

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. Год назад +4

    Makala imekuwa fupi sana kaka. Next time tuwekee hata lisaa zima mbona kwetu MB sio changamoto

  • @Manswabu
    @Manswabu Год назад

    Hatari

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 Год назад +1

    Mwamba Fedric bundala

  • @Fardadihd
    @Fardadihd Год назад +1

    Haeleweki mimi sijaelewa lolote au swahili yangu mbovu😀

  • @KiswahiliTV27
    @KiswahiliTV27 Год назад +1

    Tunaomba utuandalie makala ya miji ya kichawi isiyo onekana kama vile GAMBUSHI.

  • @EdwardboayEdward-sx5hn
    @EdwardboayEdward-sx5hn Год назад

    Broo kubali sana ❤sns❤ chama langu🚀🚀🚀🚀

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 Год назад

    💪💪💪🔥🔥

  • @StanleyOwino-r3h
    @StanleyOwino-r3h 9 месяцев назад

    😢

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 Год назад

    Love SNS

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Год назад

    Sky tulete stor ya daraja marufu la kufuli za mapenzi pont des arts

  • @feychipa3054
    @feychipa3054 Год назад

    Unasimulia vizuri but unarudiarudia Sanaa baadhi ya maneno. Unaboa

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo Год назад

    Na maprophet hawaizungumzii hii. Kwamba hawaoni au.

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Год назад +1

    Kaka hapa sijakupata kidogo sidhani kama Bermuda triangle ipo kalibu na Japan!!!!!!

  • @mohamedhussein-i8s
    @mohamedhussein-i8s 6 месяцев назад

    0:16 0:18

  • @alantonio855
    @alantonio855 Год назад

    Watu 31 moja walipotea wako wanasafiri kwenye kisiwa cha Mayotte...mpaka leo hawajawahi kuonekena...

  • @MwadenaChombo-je5kr
    @MwadenaChombo-je5kr Год назад

    Asalaam alaikum ,ningependa makala 360 ichimbe fumbo la maji ya bahari yakitoka hasa Huwa yameendapi , na yakirudi Huwa yametoka wapi? , ama nikweli Kuna kiumbe mkubwa sana anayeyameza Kisha baadae kuyatapika , nitafurahi kuona video hii , ahsante.

  • @shabanially1008
    @shabanially1008 Год назад +1

    Tuletee makakla ya msitu Amazoni

  • @nathangeor
    @nathangeor Год назад +1

    This is sns

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 Год назад

    Dah!! , unanikumbusha RFA kipindi Cha je wajua!

  • @DullyThe_Africana
    @DullyThe_Africana Месяц назад

    Jamal april hana mpizan ,wewe huna uxhaidii inaonekan kam xtor y kufikirika yule profesaa ana uxhahidiii

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Год назад

    Vp kuhusu kutuma vyombo ambavo havina watu ndani kuchunguza

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👍

  • @cotadee1348
    @cotadee1348 Год назад +1

    Unaongea sana jitahidi kuwa unaenda kwenye point mapema

  • @herbertygeofrey2724
    @herbertygeofrey2724 Год назад

    Brother sky weka number tuwe tunasupport hata tips hata buku inatosha ayo madini kuyapata inabidi ule msosi mzito Sasa anaejisikia kutoa tips fresh unachangia brother sky akimaliza kutoa elimu apige hata chips zege na juisi baridi akili ndogo awezi kuelewa elimu ni gharama

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 8 дней назад

    Simchezo