"ARUSHA TUNAJENGA AFYA TU NA KUTAFUTA PESA"- RC MAKONDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 июн 2024
  • ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewataka Wakazi wa Mkoa wa Arusha Kumshukuru na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na maono yake na mapenzi mema aliyonayo kwa Watanzania.
    Mhe Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumanne Juni 25, 2024 mara baada ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma za vipimo na matibabu kwa wananchi wa Arusha kwenye kambi maalum ya siku saba ya Madaktari bingwa inayoendelea kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
  • СпортСпорт

Комментарии •