Kishimba aja na mapya, apendekeza Wizara ya Malalamiko na Matatizo "TUWE NA WIZARA YA KERO"
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba ametaka Serikali kuunda Wizara mbili za Kero na Matumizi.
Hata hivyo Kishimba amependekeza kuwa huu ni wakati wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanza ukaguzi mapendekezo kabla ya kuanza kwa Ujenzi wa miradi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano April 12,2023 mbele ya Bunge ambapo amesema hakuna anachosaidia CAG ikiwa anakwenda kufanya ukaguzi wakati matukio yakiwa yametendeka.