TAZAMA BODYGUARD wa RAIS MAGUFULI ALIVYOINGIA BUNGENI KULETA JINA LA WAZIRI MKUU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 50

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 года назад +11

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Kamanda, endelea kulinda Heshima ya Rais wetu wa Tanzania yetu John Pombe Joseph Magufuli

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 года назад +1

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @alatizosadoki7383
    @alatizosadoki7383 4 года назад +8

    Hongera kamanda kwa kazi ya kumlinda mh magufuli piga kaz

  • @lenatusmbegasi9289
    @lenatusmbegasi9289 4 года назад +2

    Hongera kamanda kwa kazi mzuri ya kumlinda rais wetu mteule kutoka kwa mungu.

  • @khanakwasarahlydia2190
    @khanakwasarahlydia2190 3 года назад +2

    Am going to miss you so much😭😭😭😭😭

  • @jacksonpeter6415
    @jacksonpeter6415 4 года назад +4

    God bless Tanzania

  • @karimmkejina980
    @karimmkejina980 4 года назад +7

    Wanajeshi wananidhamu kweli

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 4 года назад +2

    Hadi raha yaani

  • @mosesnjenga2767
    @mosesnjenga2767 4 года назад +3

    Huyo si bodyguard,fala nyinyi! Anaitwa Aide-de-camp (ADC), a ceremonial figure fro the military,who acts as the president's assistant...

    • @despnawilliam2889
      @despnawilliam2889 3 года назад +3

      Jmn,wengine hatujui n kutuelewesha tu kwa upendo c mpaka tutukanwe!!

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 3 года назад

      Em tumia lugha nzur fala ww

  • @dennislukumay9261
    @dennislukumay9261 4 года назад +1

    Hongera Sana rais wetuuuuuuuu

  • @phylisowino395
    @phylisowino395 3 года назад

    This leadership...mmmh

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 4 года назад +3

    Mambo ni motoo

  • @happygreyson2071
    @happygreyson2071 4 года назад

    Nazipenda Sana hizi mbwembweee.....!! Safiii Tz

  • @MikereMio
    @MikereMio 4 года назад +2

    Zitto na mbowe wana pamisi sana apo bungeni 🤣🤣🤣🤣

  • @victoriankanue7849
    @victoriankanue7849 4 года назад +2

    Inafurahisha saaana

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 4 года назад +3

    ni mlinzi wa raisi au ADC kuna ujinga wa wananchi sana.body guard na ADC ni sawa? mwanajeshi kashakuwa usalama eeehe

    • @osm721
      @osm721 4 года назад +1

      Aide de Camp right? I though he is not supposed to be involved in any political thing

    • @D_16G
      @D_16G 4 года назад

      asante kwa kuwaelumisha wasioelewa kwa huyo sio bodyguard/ anaitwa ADC/presidents helper

  • @digahg7890
    @digahg7890 4 года назад +2

    Ety mpambe badala ya muwakilishi wa rais

  • @sikanyikafasten375
    @sikanyikafasten375 3 года назад

    President EDGAR LUNGU attending pays tribute to let president John pombe mugafuli

  • @mrh2812
    @mrh2812 4 года назад +1

    Daah yan mwanajeshi anamwita mpambe

    • @kassimabdu5677
      @kassimabdu5677 4 года назад

      Huyo ni mpambe wa Rais..hicho ndicho kiswahili rasmi kwa muambata wa Rais. Tujifunze.

    • @SampleKiller99
      @SampleKiller99 4 года назад

      Una nafasi ya kujifunza zaidi.

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 4 года назад

    😂😂😂😍😘😘😗😗😗😙nmefurahi kuona anajua kupangilia maneno na kuongea vzur sana bas nampa100% anafaa kuendelea kumlinda mkuu wetu wa nchi mtukufu JPM ...nawapenda sanaaaaaaaaa...piga kazi baba tumekupa kura zote kiroho safi😗😗😗😗

  • @ellytunduza9900
    @ellytunduza9900 4 года назад +3

    Wezi wakubwa mnatufanyia komedi sisi

  • @abburakkaan5694
    @abburakkaan5694 4 года назад +2

    Wewe spika gani unazungumza vitu nonsense MPAMBE......!!

  • @nimrodsigulu2053
    @nimrodsigulu2053 4 года назад +2

    Muwe mnaripoti kwa weledi..huyo sio bodyguard wa raisi

  • @abdallahmussa601
    @abdallahmussa601 4 года назад

    John Joseph pombe magufuli hana baya @10 tena

  • @gilbertemmanuel6891
    @gilbertemmanuel6891 4 года назад +3

    Bunge la ndio2

  • @luganomwaigomole8849
    @luganomwaigomole8849 4 года назад +1

    MUNGU ANAWAONA PIA

  • @ramadhanathumanimbembez9479
    @ramadhanathumanimbembez9479 4 года назад

    Simba
    Love

  • @juliusmaina9233
    @juliusmaina9233 4 года назад

    Haha ...anaitwa magufuli ... Ati ametuma aide wake wapy!??

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 4 года назад

    😂😂😂 ume wahi kumuamkia mtu ambae hajui hiyo salam,, mh Job Ndugai salam za kijeshi zina mchachafya lakini kwakua ni kiongozi wa nchi lazima apewe heshima ya kijeshi na mwanajeshi,,

    • @geofreylucas9469
      @geofreylucas9469 4 года назад +2

      Yakhh! Hata mm nimeona haelew namna ya kuipokea

    • @sulaymanwaziri4455
      @sulaymanwaziri4455 4 года назад +1

      Yani bora iwekwe sheria kwa hawa viongozi wakuu ktk nchi japo wapewe kozi ya 3 weeks baada ya kuapishwa,, japo ajue kusalimiwa kijeshi ili asiwasumbue wanajeshi watiifu pindi wawasalimiapo,, kama umeangalia vizuri utagundua huyo mlizi wa mh Rais hiyo hali imempa shida mpaka alitaka kuweka hizo barua bila kuzihakiki,, ila kwakua ni mjeshi akakumbuka haraka kuhakiki,, hiyo yote ni kwasababu anamsalimu salam ya kijeshi mtu ambae haijui nae hawezi kuacha kumsalimu kwasababu anatambua ni kiongozi mkubwa ktk nchi

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 4 года назад +1

    Nashangaa Askari kuingia kwenye Bunge la hadhi,,,yeye si Mbunge wala Waziri,,,,Ukiritimba huo wa Rais wenu sababu anahujumu demokrasia ya Taifa haswa Bunge kwa kumtuma Askari,,,daaah!!!!

  • @aminasuleyman9294
    @aminasuleyman9294 4 года назад

    Mikono itawaka moto walah

  • @dastanfussy4898
    @dastanfussy4898 4 года назад

    Mpambe.

  • @gilumbaliza2431
    @gilumbaliza2431 4 года назад

    .
    Z

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail Месяц назад

    Wapumbavu nyinyi. Huyo ni MPAMBE wa Rais, siyo bodyguard. Siyo mlinzi. Hata Spika kasema hivyo. Nyinyi hamzisikilizo clip zenu wenyewe? Wazembe sana nyinyi.