Sio KWELI Mhe. Lowasa kama kuna dhana ya kulipa ndie aliyelipwa kwa sababu binafsi alikuwa na karibu 20% ya "likebility" ya voters hivyo CHADEMA waliona muhimu kumpata Mhe. Lowasa kama Simba S. Club walivyomhitaji Bernard Morisson alivyokuwa kwa watani wao Yanga.
Seriously, baada ya uchaguzi siasa zinahamia Bungeni?? Kwamba hakuna ruhusa ya mikutano ya kisiasa nchini?? Jamani tuweni serious na nchi yetu tafadhali.
Hivi Slaa huna kazi nyingne za kufanya? Ulikua CCM ukala Sana, ukaenda Chadema ukala na ukaisaliti chama ukapata hela , ukaja ukapata uteuzi na ukatulia kimya huko.. Leo unarudi tena unapiga kelele , hapo huwezi teuliwa tena nenda kalime acha siasa uchwara hizo
DK.slaaa nakuelewa sana sanaaa upo vizuri mnoo
VERY BRIGHT MAN AMONGST. GOD BLESS U. AMEEN.
Dr. slaaa upo juuu sanaa hakika we ndo role model wangu kabisaaa
Dr Slaa upo vizuri sana
Nakupenda bure Slaaa
Keep it bro..mhandishi......naamini siku moja utakuwa sehemu flani bro...
Uko sawa kabisa baba dr
🇹🇿R ESPECT FOR U Dk SLAA UR VERY BRIGHT MAN
HAKUNA KICHWA KIKALI KAMA SLAA! SLAA UTABAKI KUWA JUU!!
Mzee unaongea vzr
Safi sana babayetu uko vizuri sana👏👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Stanislaus big up, bravo 💪👊✊
Umeongea point sana mzee Dr slaa kuhusu filamu wengi uelewa wao ni mdogo sana ila impact yake itakuwa kubwa sana italeta faida kubwa sana
Chawa wa Mwendazake,
Kweli Slaa ww ni mtaalamu kwa kweli Tanzania hatuna vyama tuna mauzauza tu
Hapo kabisa uko sawa baba
Huyu mzee ni pafectionist
NAKUBALI SANAAAAA
Slaa Ni mkweli sana, sijui Kwa vile Ni padre rohoni? Nampenda.
Magufuli 😢😢😢😢😢
He is the man, tusome kitabu chake kuna mengi zaidi
Hiki ni kichwa kweli kweli
Slaa nilimjua hapendi ujinga pale kinambowe walipolipwa na Lowasa agombee uraisi
Sio KWELI Mhe. Lowasa kama kuna dhana ya kulipa ndie aliyelipwa kwa sababu binafsi alikuwa na karibu 20% ya "likebility" ya voters hivyo CHADEMA waliona muhimu kumpata Mhe. Lowasa kama Simba S. Club walivyomhitaji Bernard Morisson alivyokuwa kwa watani wao Yanga.
Mze slla uko sahihi sana
Ulikua unaipeleka wapi. Hahaha. Wanahabari bana
Rais.samia.ana.washauri.wanaompotosha.mambo.mengi
A man I respect very much. 👏👏
Kuwa raisi unakwama wapi mzee gombea 2025 naona uzalendo unao
Wewe ndie uliibeba chadema wengi tulikukubali
Ok
Mzee wewe unasema ukweli kabisaaaaaa asante sana Raisi Samia anachukuwa EXTRA MAIL
Dr slaa muoga napia msaliti kweli na muongo pia
Umeonyesha uwazi kwa sababu ya kuenderea kua juu wewe ndoo unatakiwa kuigwa
Yaap Tatizo ni kukosa Elimu elekezi ya kile kinachofanyiwa kazi
Mtu akisha lambishwa asali hata udikteta hawezi kuuona, na hata akiuona, atajifanya hamuoni kabisa.
Mhurumieni huyu baba.... anateswa na "fadhila" Yeremia 17:5..
Unamaa gani? kwamba kalaaniwa kwa kumtegemea Nani?
@@issayaahimidiwe9681 magufuli
Seriously, baada ya uchaguzi siasa zinahamia Bungeni?? Kwamba hakuna ruhusa ya mikutano ya kisiasa nchini?? Jamani tuweni serious na nchi yetu tafadhali.
Hiyo ni kweli
Mzee uko sawa ukweli mtupu tembea kwa ukweli kama jpm
Dalili za mtu aliyevimbiwa
Kwani huyu alikuwa wapi siku zote alivyokuwa balozi mbona hakuyasema haya mi naona angenyamaza akaendelea kula pension yake apumzike TU.
Kwani saa hizi siyo balozi?
Okay.yakunyaka tumenyaka
SEMA baba ukweli wengine hawajui siasa
Dr slaa muongo mbona jpm alisema ukimshauri yeye ujuee umekosea ?? We urimsharijeee??
V
Hivi unanitambua umetoka wapi
Huyo Mzee chizi
Km wewe!.
Duu
Mama kachemka mzee
Mzee umenena
Huyu mtangazaji anatokea media gan kubwa mbona yuko vizuri hivi
dar24
Very True!!!
Slaa njaa imeanza
Mhhhh wasomi wetu wa kitanzania
Madokta huwa hamkosei.mpo straite
Democracy not a priority? 🙄🙄🙄
Ovyoooooo
Mafisadi wamerudi.
Dr Slaa?; afadhali unyamaze.ule pension yako salama. Ukweli raia tunakuona.unabwabwaja.sasa. Yaani huoni kama Magufulu alikandamiza vyama pinzani? Kwakuwa umepewa ubalozi wa kukobekwa. Mzee acha upuzi wako, unatuudhi ukweli.
wew ndoo unae muona hivo mm namuelewaxana
@@kaguripenina63 hata mimi Natamani Dr Slaa angeongoza NCHI hii. Ni MKWELI na husimamia anachokiamini
Hata mimi namuelewa na napenda hoja kwa hoja.
kojoa ulale
Huyu Tapeli tu Dr slaa hanapakwenda tena kazi imeisha njaa mbaya
Hivi Slaa huna kazi nyingne za kufanya?
Ulikua CCM ukala Sana, ukaenda Chadema ukala na ukaisaliti chama ukapata hela , ukaja ukapata uteuzi na ukatulia kimya huko..
Leo unarudi tena unapiga kelele , hapo huwezi teuliwa tena nenda kalime acha siasa uchwara hizo
Tutamchagua awe Rais ili uzimie!!!
@@mamboshepea8888
Kura za wajinga huwaga hazitoshi na huwa mjinga wao hashindi.
Hivyo sina wasiwasi mchagueni akutane nacho
Ulikua unaipeleka wapi. Hahaha. Wanahabari bana