Tumsifu Yesu Kristo! Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini (kumbe chimbuko la jina ni Kijerumani? Klein!!). Historia nzuri Baba na ni ya kuvutia. Una bahati sana umepata fursa nyingi nzuri kama za Elimu, kujifunza lugha nyingi, tamaduni mbalimbali, ni utajiri mkubwa sana. Hongera Baba Kilaini. Tunakuombea bado miaka mingi uendelee kumtumikia Mungu na watu wake. Waitu, ad multos annos!!
Hongera sana baba Askofu nakumbuka mafundisho yako miaka ya 70s kama vijana wa YCS huko Kyegolomora.Mungu akuongezee miaka mingine hamsini ya utumishi wa Bwana 🙏🙏🙏🙏
Tumsifu Yesu Kristo!
Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini (kumbe chimbuko la jina ni Kijerumani? Klein!!). Historia nzuri Baba na ni ya kuvutia. Una bahati sana umepata fursa nyingi nzuri kama za Elimu, kujifunza lugha nyingi, tamaduni mbalimbali, ni utajiri mkubwa sana. Hongera Baba Kilaini.
Tunakuombea bado miaka mingi uendelee kumtumikia Mungu na watu wake.
Waitu, ad multos annos!!
Hazina kubwa sana hii kanisa katoliki la Tanzania
asante sana baba methodius Kilaini Mwentezi Munɡu azidi kukujalia afya ya mwili na ya roho
Hongera sana baba Askofu nakumbuka mafundisho yako miaka ya 70s kama vijana wa YCS huko Kyegolomora.Mungu akuongezee miaka mingine hamsini ya utumishi wa Bwana 🙏🙏🙏🙏
Hongera sana Baba Tunakutakia maisha yenye baraka uendelee kutuchunga wana kondoo wako
Mungu amjalie heriiiii askof wetu
👏👏👏👏MUNGU AKUBARIKI SAANA BABA ASKOFU METHOD KILAIN
Hongera baba askofu mungu akulinde 🙏
😂😂😂 nilikua mzuri sana kwa hesabu nmeipenda hiii
Hongera Sana Baba mungu azidi kukubarik Sana tuendelee kupata busara zako Baba.....
Hakika leo tunasikiliza Historia ya Historia yenyewe ya kanisa
Hongera sana Baba🙏
Safi mhashamu Baba Askofu Kilaini
Yesu ali ingiya kanisani
Hongera sana baba kwa utume wako🙏
nachokipenda kwako Bishop uko very open na kale kasifa hakapotei hongera sana...
😂😂😂😂 ha ha ha kaasili kakitibaijuka
Ubarikiwe Sana baba Askofu. Uishi milele.
Hongera sana father
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza Baba Yetu Askofu Klain
😂 pole kwa kutekwa nyara na musa memba
😂😂😂😂😂😂 kumbe kinyago
Hongera sana Baba kwa jubilei ya Dhahabu
Ali piga hela Akishirikiana na Lugemalila huyo